You can cry that song yoooh my mind is going far when I hear that song it's better adui kiumbe more than adui shetani
@Pollanese16 Жыл бұрын
I am so tickled. I have fallen in love with this genre. This is my JAM! I grew up in a small town in the US. I had no idea such a beautiful genre exists. This song right here, I know this is a classic bop and I am not even from there but this vibe makes me feel something special.
@RukiyaSalim-vl9khАй бұрын
Pure awesomeness. Classic I love it too
@jonathansima53227 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu mama inshaallah.........kheri adui shetani kuliko adui kiumbe wallah naielewa hii nyimbo htr
@bintshabani45646 жыл бұрын
Cute song
@hassankitwango4874 ай бұрын
Tunaosikiliza 2024/07/17 Tujuane hapa💪✊💯🔥
@Drlove1647 жыл бұрын
Nilipokuaa mdogo kdgo nikisikiaa nyiinbo zaake niliwahi kumwambia baba akaniposeee huuyuu nilimpeendaa sanaa mashair yaake na maneno mazuur sanaa , Mungu akupe kipaaj had pepon,
@nurualihamad8956 жыл бұрын
Mnyasa mnyasa kwann tena hujaposewa
@thureyalea82584 жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@jumahamis59433 жыл бұрын
@@nurualihamad895 😅😅
@chozilasamakikachumbari6705Ай бұрын
Fanya Adabu huyo babangu alinozesha mimi wakati mimi niko Madras 😂😂😂
@husnahussein67856 жыл бұрын
Warereeeee ! Waaaaaah ! Mashairi Mazuri sana... Na Sauti Maashallah keep it up !!!
@inversedelcruise6763 жыл бұрын
Mwisho Wa mwaka 2020 dec 25 leo, kama upo like
@snashiralmuaqly5982 жыл бұрын
Yaani mimi nikiicikia nyimbo hiiii nakumbuka wachawi walivo yatia mafuta ya taaa maisha yangu
@saidali-hx4bk Жыл бұрын
Mi pia nakumbuka mbali nikiskia wimbo huu
@udizungwahimalaya5213 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@abubakarkhamis38843 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah raha jaman raha kusikiliza huchoki waishia kurudia irudia tu
@sakinaabdallah7713 Жыл бұрын
Tena dada heri adui shetani kuliko adui kiumbe but malipo ni duniani akhera huenda hisabu saddaqta mwahhhhh🙏🙏🙏🙏
@thuaibaally69214 жыл бұрын
ah yani hii nyimbo bibi ang anaipenda ananimalizia mb zang kila sku jamani lkn nzuriiiii mpaka bibi anaipenda mashaalah
@snashiralmuaqly5982 жыл бұрын
haaaaahaaaaaaaaa hichi kitu co mchevo voooo thuwaiba
@abdulrahmanhassan93742 жыл бұрын
Hi nyimbo nakupenda toka niko mdogo
@muadhally58033 жыл бұрын
2021 gonga like 😛
@innemussa18286 жыл бұрын
ahsant bint issa,mashaallah!!! mashairi murua!!!! adui kiumbe! daima asikusifu!!! hata kuchoka hachoki!! hata km kitu huna!!!!!
@tunnaika6 жыл бұрын
Wallahiiiiiii
@hassanmkwama99005 жыл бұрын
Alaaaa Mwambie mmakonde
@seifmohd39017 ай бұрын
Nilipokuw mtoto kiukwel nilizichukia sana hiz nymbo taarab ila akil yngu ilkuw ndog baad ya kusikilza ujumbe wa hz old taarab kwa kwel ndio zimekuw zinaniliwaz Allah awafanyie wepes katk kila hali kwa kwel ujumbe ni mzito sana
@SwaumuJaphary3 ай бұрын
Naangalia Leo taarabu pendwa 15/8/2024❤❤❤
@AhmedYussuf-nb4du7 ай бұрын
Masha Allah amakweli dafatuma issa una sauti nzuri mwenyezi akulinde na husuda
@salumgiriki47794 жыл бұрын
dah hii nyimbo naipenda mno nakumbuka kipindi hicho mida ya saa nane nikienda madrassa dah welldown mama fatma issa
@ibbu-tz4 жыл бұрын
Hahaha na ukiisikia tu popote pale unajua mida imefika hahaha mule muleeeeee
@sleymohamed38253 жыл бұрын
hhahaaa kweli bana
@abassseif1433 жыл бұрын
Vyakale ni dhahabu ata na mimi nimeliona ilo
@ShaniLogic10 ай бұрын
@salumgiriki4779 hivi tulikua tunaishi mtaa mmoja nini maana namimi naikumbuka kwa hivyo hivyo pamoja na ile ya Asia alkindy😂😂😂
@OmanOman-bm1lr7 ай бұрын
Kabisa mida hiyo mama kashamaliza kunisuka nshalala naamshwaa haya chuoni sasa😂😂
@BinAlly-k6q2 ай бұрын
Ndani ya Nairobi naisikiliza Doh I miss hom pemba Hapo ushashiba wali kwa mchuzi wa daga wa bizari Nikiwa na Mlezi wangu Bi zainab ndani ya Amani kwamabata nyerere Tumetoka mbali Sana Alhamdulillah namshukur Allah leo 18/09/2024 Nairobi kenya
@binsharif125 күн бұрын
Dah nilisoma nyerere pale home magogoni saiv nimedondokea malindi kenya😂
@cutezyzaaa14076 жыл бұрын
kweny mnanda me ndo namalizika😍😍😍😍
@ivanshayo16406 жыл бұрын
umeona heeee yan hatar sanaaaa uchoki kusikiliza jaman
@abassseif1433 жыл бұрын
Upo saw
@abuumsuyq70335 жыл бұрын
Yaan mashairi matam zanzibar kunawaimbaji wazurisana sautinjema sana pia mapigo yahizo dufu
@abassseif1433 жыл бұрын
Tupo sawa 🤣🤣🤣
@johnkuma68672 жыл бұрын
Hata mimi naamini ni bonge la nyimbo na nimeipenda
@hamzaahmed692 жыл бұрын
Hongera Sana wallah nyimbo nzuri saana
@AllyNjimbo4 ай бұрын
Ww fatma issa hauna mpinzani kwa kuomba na sauti nyororo yenye kuvutia hii nyimbo inanikumbusha mbali sn jins maadui walivokatisha ndito zangu walidiriki mpk kunilisha chura usingizini dah nilipata jabu sn kujitibu mpk kupona nilikaa kitandani si chini ya miezi 2 nakunywa maji tu na uji nikila kitu kinatoka inauma sn aduikiumbe hatari sn
Kuna mtu kanikwaza,ngoja niukonge moyo wangu kwa huu wimbo,Fatma mwaaaa
@fadheelngowi59084 жыл бұрын
Hahahahaaa nimeipenda
@dulaabdalatajanambayasimu76062 жыл бұрын
Hongera mama fatma
@rashidkassid-mo9ip Жыл бұрын
Kiukweli nimezaliwa 1968 na wimbo huu nilianza kuusikia miaka ya 1990 nikiwa nimetembelea sheji yangu pale Tanga mjini. Nika muuliza huyo muimbaji anaitwa Nani? Akaniambia ni Fatma Isa !! Nika muuliza hivi alifanywa nini katka maisha yake mpaka akatoa huu ujumbe mzito? Akaniambia yeye ni msanii mwenye kipaji hivyo Anajua Mambo mengi . Ki ujumla ninampenda Fatma na wimbo huu toka auimbe mpaka Leo sijapata mbadala wake. Hongera bi Fatma kwa kazi nzuri
@mouhamadbakri86557 жыл бұрын
mungu akubariki mamangu
@fatmaabdulqadir17726 жыл бұрын
nampenda Fatma issa anajua kuimba
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
hujanishinda mimi...yani huyu mama wallah kama ningelikuwepo enzi zake ningemuoa habibt wangu kipenda roho.
@Mumewangu Жыл бұрын
@@mohamedsuleiman7215 mie kama namjuwa anapoishi ivyo ivyo kazeeka namuowa tu
@zainabsuleiman59202 жыл бұрын
Ni kweli kabisa hawana tofauti hasidi na fisadi ni kheri adui shwetani kuliko adui kiumbe
@MafundaSharifu7 ай бұрын
Mungu atuepushie na adui kiumbe
@mozasaid38694 жыл бұрын
Adui kiumbe!! 👌👌👊👊
@Amina-zs5gf Жыл бұрын
Haitachuja Wala ikae ichuje Gonga like👍 From 2023 August 20
@misterferuzi38733 жыл бұрын
Adui kumbe 2021 tujuane
@allyibrahim25073 жыл бұрын
Ulipo nipo
@zainabumakame67434 жыл бұрын
Mungu aninusuru na adui kiumbe
@ChumanaSusi4 ай бұрын
Haki ya mungu hi ni taarabu asili ya ukweli. Mpangilio OOOOh unanimaliza hadi kwa damu na nafsi yangu. 🇰🇪 nikali imependeza sana
@aliabdallah4233 Жыл бұрын
Mda wa chuoni ukipita njiani lazma uiskie hiyo kusklza unataka na bakora chuoni zinakungoja sa8
@zainabsuleiman59202 жыл бұрын
Huyu Mama anastahiki tunzo ya uwimbaji bora kwa upande wa taarab maana hatokei kama yeye kwa upande wa taarab kabisa yaani kwa ninayosema
@snashiralmuaqly5982 жыл бұрын
Ni kweli mana hii yimbo ina ujumbe mzuri sana
@asharashid459 Жыл бұрын
2023 comment zenu😂
@MunaGun-tg7of3 ай бұрын
Bora adui shetwani
@SaidiAbdallah-nd2wm6 ай бұрын
Mashallah.....
@AhmedYussuf-nb4du7 ай бұрын
Kwanini na si wazanzibar tukaeka play graund song kama India nazani tuta uzamichezo yetu
Nilikuwa ikifika saa 8 naelekea chuoni nikisikia huu wimbo ninasimama mpk umalize nikfika fimbo zinaniaubiri kwa kuchelewa bby fatma iss ninkukubali
@captainabdul49064 жыл бұрын
2020
@jumamkwelengala59226 жыл бұрын
Hiyo ni kwaniaba ya watu wenye roho mbaya wenyewe wanajijua
@sakinaabdallah7713 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa duniani ni Mapito but akhera ndio kwetu kwa hivyo wataishi n'a hizo adhabu za . Mungu kwa yote waliyatendea wenzao🙏🙏🙏
@ivanshayo16406 жыл бұрын
NI BONGE LA NYIMBO NAIPENDA SANAAAAA
@rehimatanzania43375 жыл бұрын
Bora adui shetani kama kiumbe malipo duni ahera kuisabu fatuma Issa maaneno kabisa maaneno yako
@saidbahanuzi Жыл бұрын
02/02/2023 like
@AllyAlly-yb4pl5 ай бұрын
2024
@SaidAli-ec1zm10 ай бұрын
Old is gold
@latb27476 жыл бұрын
snt kheri adui shetan km adui kiumbe
@sudaissoud36704 жыл бұрын
Legend
@ahmadjkhadira8732 жыл бұрын
July's 2022
@ramadhanimshahara9862 жыл бұрын
Mashaa Allah
@rahmaseif7933 жыл бұрын
Waaaaaooooooo
@JumaMasharubu6 ай бұрын
Huyu ndio kiboko
@ahmedkondohero7 ай бұрын
Mm ilikua zikipigw tu najua mida ya kula tayr 🤣 daah tuntok mbali
@zahorrashid54594 жыл бұрын
Hakikaaaaa.jamaniii.yakale dhahabu sn
@othmanalnabhany32083 жыл бұрын
Xannah kabisa lkn sasa mitusituuuuu
@mwigaali97805 жыл бұрын
Bora adui shetani utamwita nakumpa kitakacho nakwenda zake ila adui kiumbe? Utaimaliza dunia na pembe zake
@allyzezefu79493 жыл бұрын
Bora adui shetani kiumbe hatari anataka akutangulize
@kingrichason33676 ай бұрын
Tunatoka mbali sana 🤣
@nawalidha9313 жыл бұрын
Waa
@SaidiAbdallah-nd2wm6 ай бұрын
Vya kale ni dhahabu....
@NurdinMbaya Жыл бұрын
Mashallah
@hamzaahmed692 жыл бұрын
Mashaalah kwa kweli
@bas2823Ай бұрын
VERY TRUE😢"!😫😩
@VeronicaEmmanuel-v8b Жыл бұрын
MashaAllah 🎉❤
@Dekingalba3 ай бұрын
Yako mengi ya lazima ya thawabu jichumie mja kesho yakusaidie
@cutezyzaa14996 жыл бұрын
😊😊😊
@AsyaMohd-zm4mv5 ай бұрын
Naipenda sana
@salumbaa7378Ай бұрын
2024 tupo pamoja❤
@AbdulhaamidSoud3 ай бұрын
Kheir adui shetani utamwita kichwani atataja jina nakusema akitakacho na kwenda zake alikotokea ila adui kiumbe!?!? Utajuta kuzaliwa kila ukipata maumivu Yy ndo anazidisha moto
@allybinsanga9633 жыл бұрын
31/01/2021 like
@hajikhatibhaji71627 жыл бұрын
NI MANENO YA UKWELI MATUPU
@abassseif1433 жыл бұрын
Lisemwalo lipo kama halipo ujue laja huyu ndio adui 💆
@rahmayusuph79344 жыл бұрын
Wanafki wapoo inawachoma
@saidali-hx4bk Жыл бұрын
Mate chini nnatema....tunusuru ya jalia nahisi Tabia mbaya..
@omarymohamedi88116 жыл бұрын
hili goma balaa
@mbarakahmed389211 ай бұрын
Huyu mama kabarikiwa nasauti walai yani watamani umsikize
@cutezyzaaa14076 жыл бұрын
hehehhe
@makamefoum80584 жыл бұрын
Nitafute kwa 0769311574
@zaidymambo10137 жыл бұрын
mngu akupec
@abdirashidmohamud2317 жыл бұрын
I loved she is the singer I don't speak Swahili but I liked