Single FATHER is lost after his Only GIRL started to CHANGE//BabaOlivia Ep 07

  Рет қаралды 94,266

Henry Mwakajumba

Henry Mwakajumba

7 күн бұрын

#BabaOlivia ama #gabozigamba ana anza safari ya kihisia ya baba mpendwa anayejikuta akichanganyikiwa na kupotea wakati binti yake pekee anapokomaa na kubadirika. Shuhudia wakati halisi na wa kweli anapojitahidi kuelewa mabadiliko katika uhusiano wao na kujifunza jinsi ya kukabiliana na sura hii mpya katika maisha yao.
Kutoka kwa siku za utotoni zisizo na hekaheka,ugumu na pirika za ujana, Mpaka kwenye maisha mapya yenye mtazamo na hisia mpya, Episode hii ina angazia uzuri wa upendo usio na masharti wa baba pamoja changamoto za kulea mtoto wa kike. Jiunge nasi kwa hadithi ya kugusa na inayoweza kueleweka kwa kila mzazi na mtoto.
Tazama jinsi baba anavyotafuta ushauri, kufanya makosa, na hatimaye kukua pamoja na binti yake, akigundua kwamba uhusiano wao unazidi kuwa na nguvu kupitia kuelewa na kukubali. Usikose mfululizo huu wa hisia ambao utakufanya uone thamani zaidi ya safari ya uzazi.
......................................................................................................
In this heartfelt episode of Baba Olivia Series, we dive into the emotional journey of a loving father who finds himself confused and lost as his only daughter blossoms into maturity. Witness the raw and honest moments as he grapples with the changes in their relationship and learns to navigate this new chapter in both their lives.
From the innocent days of childhood to the complexities of adolescence, this episode beautifully captures the essence of a father's unconditional love and the challenges of letting go. Join us for a touching and relatable story that resonates with every parent and child.
Watch as the father seeks advice, makes mistakes, and ultimately grows alongside his daughter, discovering that the bond they share only strengthens through understanding and acceptance. Don't miss this emotional rollercoaster that will leave you with a deeper appreciation for the journey of parenthood.
Don't forget to like, comment, and subscribe for more! 💪👧❤️
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
/ henrymwakajumba
#BusinessTips #FatherDaughterDuo #Entrepreneurship #SmallBusiness #Gabozigamba #BabaOlivia #BusinessLessons #Inspiration #FamilyBusiness #motivation

Пікірлер: 709
@user-hg4qs4qr7r
@user-hg4qs4qr7r 5 күн бұрын
Ila mwalimu ni mrmbo sana nipeni likes kumi jameni kwa kumsifia mwalimu
@bongetimwa4948
@bongetimwa4948 4 күн бұрын
Wacha like hata mahari tunaku support
@UmiMarya
@UmiMarya 4 күн бұрын
@@bongetimwa4948 😂😂😂
@MwanashaSuleiman
@MwanashaSuleiman 3 күн бұрын
​@@bongetimwa4948😂😂😂😂😂
@raymondzachariah-xr4ys
@raymondzachariah-xr4ys 5 күн бұрын
Jaman wanaotamani Baba Olivia Amuoe mwalimu wa Olivia weka makipa mengimengi hapa
@bina_28
@bina_28 5 күн бұрын
@reginamichael-eh8yy
@reginamichael-eh8yy 4 күн бұрын
♥️
@UmiMarya
@UmiMarya 4 күн бұрын
Kazi mzuri sn wanaotaka maalimu na baba Olivia wawe pamoja wagonge like nyingi apa
@OmariAbedi
@OmariAbedi 5 күн бұрын
Kwa ambao wanatamani kumjuwa mama olivia gonga likes nyingi ❤❤❤
@mlimatvchannel4896
@mlimatvchannel4896 Күн бұрын
nataka nimjue
@Allankibweja
@Allankibweja 5 күн бұрын
Kwa ambao wanatamani itoke yoteee kwa pamojaaa naomba tujuane kwa like tafadhali🥹
@estherpaul3864
@estherpaul3864 5 күн бұрын
Hata tukijuani haiwezekani😢
@rilianwillium
@rilianwillium 5 күн бұрын
Io mara kwa wiki wanatukatili sana jmn at least iwe siku 3 tusipate tabu kuunganisha matukio 😂
@mlimatvchannel4896
@mlimatvchannel4896 Күн бұрын
hahahahahahahahaha ...kwelii itoke full
@mlimatvchannel4896
@mlimatvchannel4896 Күн бұрын
mambo mengi wasitupe headache 😏😏
@McbarakaeventsTz
@McbarakaeventsTz 5 күн бұрын
Namuangalia vizuri sana na kwa makini sana Gabo, hakika jamaa ana kipaji anajua kuigiza na napata kujifunza ubaba bora anaouonyesha kwa mwanae, Baba Olivia ni mimi kabisa, halafu katoto kanajua kuigiza.
@NdindaNdinda-lm3td
@NdindaNdinda-lm3td 5 күн бұрын
Sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 күн бұрын
Asante kwa kuangalia na kujifunza jambo! 🙏🏾🙏🏾❤️
@UmiMarya
@UmiMarya 4 күн бұрын
Sana. Mashallah
@mlimatvchannel4896
@mlimatvchannel4896 Күн бұрын
asee katoto Olivia nimekapenda bure kako very smart asee kwa brain
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww Күн бұрын
Alafu mwalimu ni mimi kabisa 😂😂😂
@brodeoofficiel
@brodeoofficiel 5 күн бұрын
My peaple from Rwanda Burundi naomba like zenu kama tupo apa pamoja kwa Baba olivia ❤❤🇧🇮🇧🇮🇷🇼🇷🇼❤❤
@AdijaWashuma
@AdijaWashuma 5 күн бұрын
Hii movie napenda sana ila mnachelewa sana🎉🎉
@ndayisengaamissi6102
@ndayisengaamissi6102 5 күн бұрын
Yaani toka nizaliwe ndo napata Kuona Movie kali yenye maadil mazuri na mafunzo yenye kutafakarika kama hii❤❤❤Allah awawekeeni na awape nguvu na maarifa zaidi ili muendelee kutupa vitu adhwim ❤❤nawapendeni kwa ajili ya Allah
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 күн бұрын
Asante sana na Amina 🙏🏾❤️
@justinog3105
@justinog3105 3 күн бұрын
Mi nimeona maoni yetu mnaenda kuyafanyia kazi because very soon tutaona Gabo na mwarimu wakiishi pamoja ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 5 күн бұрын
Njooni huku olivia amekuwa vigelegele 🎉🎉🎉🎉
@bintrashid5108
@bintrashid5108 5 күн бұрын
😂😂😂tushapata mwali
@tukusumanicodemus
@tukusumanicodemus 5 күн бұрын
Mnataka kumfanya nin mtoto 😂
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 5 күн бұрын
@@tukusumanicodemus 🤣🤣🤣
@user-os3tt6ru7k
@user-os3tt6ru7k 5 күн бұрын
Airererereeeeee
@allykamanga4366
@allykamanga4366 3 күн бұрын
😂😂😂
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 5 күн бұрын
Leo nimesaau kuomba like
@AsherSaydd-bo7zi
@AsherSaydd-bo7zi 5 күн бұрын
Yani gabo umu ka act km baba yangu❤❤❤ Allah mlinde baba yangu❤
@veronicahlusekelo5205
@veronicahlusekelo5205 4 күн бұрын
Amin 🤲
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 күн бұрын
Amina ❤️❤️❤️🙏🏾
@UmiMarya
@UmiMarya 4 күн бұрын
Ammin na sote
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww Күн бұрын
Amin
@IreneMsacky
@IreneMsacky 4 күн бұрын
James anaongea vizuri nyie,, wanaomkubali tumpe likes🎉✨🎉❤️❤️
@michaelfortune5294
@michaelfortune5294 5 күн бұрын
Tuzo ya Olivia.........🎉🎉🎉🏆🏆🏅🏅
@BenbossMunezero
@BenbossMunezero 5 күн бұрын
Baba Olivia tunamupongeza sana sisi tuko Burundi Rugombo tunamufatiliya sana❤✌
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 5 күн бұрын
Asante sana!
@officialdon1922
@officialdon1922 5 күн бұрын
Actually nilikuwa sifatilii movie zakibongo Ila iyi kuna siku nilijichanganya kuichek daah yani kila ikitoka nawai kuichek movie inaakili sijuwi it Aisha je Iła big up kwa yeyot alie shiriki natumain amto tudisappointe
@037corgj7
@037corgj7 3 күн бұрын
Nilijua niko mwenyewe
@zuberally9351
@zuberally9351 2 күн бұрын
Tunao mkubali Olivia gonga like
@jasphonejoseph2107
@jasphonejoseph2107 5 күн бұрын
Olivia is a wonderkid congratulations to her,Gabo zigamba,kama kunakitu unatakiwa ukifahamu wewe ni mmoja ya waigizaji Bora kuwai kutokea katika uso huu wa Dunia mwenyezi mungu asimame na wewe siku zote za maisha yako... Legend Gabo Zigamba
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 5 күн бұрын
You nailed it.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️
@ShedrackBishaza-qd4vq
@ShedrackBishaza-qd4vq 5 күн бұрын
Kazi nzur sana hiii mpaka naona raha ya bongo movies 🎉🎉🎉🎉
@Erastusbaba
@Erastusbaba 5 күн бұрын
Episode Moja kwa Wiki ni Ukatili, Acheni kutukatili Jamani.... Ikiwezekana Mwe mnaweka Kila siku!
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 5 күн бұрын
Ukatili sana
@upendommbaga7070
@upendommbaga7070 5 күн бұрын
Igiza ya huyu mtoto kama lulu Michael wa zamani
@user-ib2zn1po4p
@user-ib2zn1po4p 5 күн бұрын
Kuna wale wenye tulifika hiyo hali na hatukukua na mtu wakutuelekeza . Ilibidi tutumie elimu ya darasani kujikimu
@fatumafadhili4701
@fatumafadhili4701 5 күн бұрын
Gabo is such a good father, every woman dream to get this kinda man jaman😢
@user-ox1pr7gw5u
@user-ox1pr7gw5u 3 күн бұрын
For sure Olivia anajua saana kucheza na kamera maana anakuwa kama vile hamna kamera mbele yake very reallife
@user-sf4po1yp5o
@user-sf4po1yp5o 4 күн бұрын
Movie nzr mpk raha jmn ❤❤❤ hizi ndio zinafaa ziwekwe kwenye Azam na Dstv
@mlimatvchannel4896
@mlimatvchannel4896 Күн бұрын
Nikiitazama hii tamthilia nakumbuka tamthilia ya SIRI YA MTUNGI 😘👍👍👍ALOO TAMTHILIA HII YA BABA OLIVIA IMETULIA SANA ,HAKUNA MAKELELE KAMA TAMTHILIA ZINGINE ZA USWAZI ,NA WAHUSIKA WOTE WANAFANYA VIZURI KWENYE NAFASI ZAO ,,,GABO ZIGAMBA THE GREAT ACTOR TO COME 💪💪💪
@ZakiaLilai
@ZakiaLilai 5 күн бұрын
Mwalimu wa Olivia namtazama kwa jicho tofauti kabisa. Huyu mama ni mzuri sana
@sbaam5890
@sbaam5890 5 күн бұрын
Olivia kwa umri wake na uhusika aliouvaa 🙌🙌🙌 kipaji kikubwa Sanaa kutoka kwake...... TUKITUNZE KIPAJI HIKI NA AENDELEE KUPATA NAFAS ZAID NA ZAID
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 5 күн бұрын
Amina!
@elizabethyohana9808
@elizabethyohana9808 5 күн бұрын
Tanzania naombeni likes zenu❤
@MWENDA2020
@MWENDA2020 5 күн бұрын
Athar, Janeth and Olivia you are so amazing dear actors, this series is so nice full of moral, you can watch together as family, what i want to tell you our dearest friends just release even two episodes per week 🥰🥰. all in all mr.GABO since Bado natafuta up to day you are to Hot🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 may god blessings be up on you. SUGESTION FOR THE TITLE OFTHE SERIES MAY BE "A PEFECT SINGLE FATHER"🔥
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 5 күн бұрын
Asante sana, Shukran kwa kufuatilia!🙏🏾
@bettykihwele7713
@bettykihwele7713 5 күн бұрын
Namtazama baba Olivia, natafakari na wababa wengine kwneye Jamie, mbona kama kuna upungufu wa upendo kwa watoto 😢😢
@JONATHANCHANDA-dh4ir
@JONATHANCHANDA-dh4ir 5 күн бұрын
Si wote
@user-oz6uy3kj3n
@user-oz6uy3kj3n 4 күн бұрын
Baba Olivia muoe madam Madam mwenywe anakuelewa ila anaona Soo kukuanza 😂
@hamisruheya9081
@hamisruheya9081 Күн бұрын
Natamani ningepata kubwa na Baba rafiki kama baba Olivia, the way anavyo mtreat mtoto, malezi na maadili mema daaah nimeipenda sana hii series I wish nije kuwa baba mzuri kwa watoto wangu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Күн бұрын
bilashaka utakuja kua baba bora kwa wanao kama umeipenda Baba Olivia! ❤️
@iddibaruani5615
@iddibaruani5615 5 күн бұрын
baba olivia unazingua kwani huwezi kushusha voko. kondoo kashaelewa bado kuchinjwa tu
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 2 күн бұрын
Watu mna maneno 😂😂😂😂😂
@LugyPlan
@LugyPlan 5 күн бұрын
Amina baba wangekua wote kama wakina baba Olivia tungekua na kizazi Cha aina yake
@revocatuskahabi7395
@revocatuskahabi7395 4 күн бұрын
jaman si itoke yote aseee maana sio kwa Utamu wa story hii alooo🎉
@givenessemmanuel3463
@givenessemmanuel3463 5 күн бұрын
When will baba Olivia and teacher fall in love 😂I can’t wait
@Mobilegames807
@Mobilegames807 4 күн бұрын
The past 4 years nilkua naangalia movie na TV shows kutoka mbele ila Iii movie imefanya nirudi nyumbani 💯
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 күн бұрын
Asantee!
@modestking8764
@modestking8764 5 күн бұрын
hapo ndo utajua ualimu ni kipaj mwamba kaandaaa na somo na michoro juu namna sasa kueleza 😂😂 kubal tu umletee Olivia mama Kwanza Janet kachoka kuitwa mwalimu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 5 күн бұрын
😂😂😂😂
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 5 күн бұрын
Namcheka katibu😅😅😂 mbn Kawa mpole ghafla 😂
@AmiriMchikirwa
@AmiriMchikirwa 5 күн бұрын
Set Designer apewe Maua yake 🔥🔥🔥
@Dontatv255
@Dontatv255 5 күн бұрын
Kazi nzuri sana ❤
@user-xz2jr3ne4p
@user-xz2jr3ne4p 5 күн бұрын
Kevin na wewe pia uko huku?
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 5 күн бұрын
🧭🤳 na huku pia upo Calvin???
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 күн бұрын
Asante sana 🙏🏾🙏🏾❤️
@abelremmy9223
@abelremmy9223 3 күн бұрын
Mimi ninaamini hii kazi wakiitangaza zaidi itapata watazamaji dabali ya dabali kazi nzuri kwa waandaaji
@thetrends472
@thetrends472 4 күн бұрын
Katibu kayatimbaa😂😂 nimependa reaction ya wanakijiji na hapo kuna cha kujifunza, kongole kwenu team nzima❤❤❤
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 күн бұрын
Amekua zakayoo😂😂😂😂😂
@JanethSanga-lv8pv
@JanethSanga-lv8pv 4 күн бұрын
Kiukweli iih tamthilia Olivia ndo kanifanya niifatile nimekapenda bure❤❤
@mrkimlee7121
@mrkimlee7121 5 күн бұрын
Huyu ticha ananipa nyege kinyama aiseee 😢
@FelixMassawe
@FelixMassawe 5 күн бұрын
Umalaya tuu kuoga hakhaaaa 🤣🤣🤣🤣
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 5 күн бұрын
Hunizidi mimi
@margarethmlaki8348
@margarethmlaki8348 5 күн бұрын
@@FelixMassawe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 niachani jamani sijawahi kucoment chochote ila leo imenibidi
@eliaogesa1824
@eliaogesa1824 5 күн бұрын
😂😂😂😂 una pepo la ngono
@user-ed3yv4up6y
@user-ed3yv4up6y 4 күн бұрын
Unanyege za paka
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 5 күн бұрын
Taem Strong mkowapi sijaona comment zenu 😢
@user-ul2eo1if2i
@user-ul2eo1if2i 5 күн бұрын
Muarab kaban pembe zot
@NdindaNdinda-lm3td
@NdindaNdinda-lm3td 5 күн бұрын
T
@user-hu8hd2rf9x
@user-hu8hd2rf9x 5 күн бұрын
Nakwambia hatuwezi kosa
@NaimahKhalifasalim
@NaimahKhalifasalim 4 күн бұрын
Tupo
@user-ul2eo1if2i
@user-ul2eo1if2i 4 күн бұрын
@@NaimahKhalifasalim hupo shoga
@josephelemash
@josephelemash 5 күн бұрын
Ila atakama inashele mnafudisha vizurii. Kabisa. 🎉🎉🎉 Alf kingine Baba Olivia jiogezee kWa Mwalimu.
@fatumahossein754
@fatumahossein754 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ancykimario4824
@ancykimario4824 5 күн бұрын
Una macho wew 😂😂😂
@josephelemash
@josephelemash 5 күн бұрын
@@ancykimario4824 kwafile naona Mwalimu anamuitaji Babake Olivia.
@VILLAMEDIA254
@VILLAMEDIA254 5 күн бұрын
Ameshaanza , hatua kwa hatua🤣🤣🤣
@josephelemash
@josephelemash 4 күн бұрын
@@VILLAMEDIA254 Yah. Atie bidii. Maana Mwalimu. Achampenda.
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 5 күн бұрын
Baba Olivia hata mm namwambia mwalimu Janet ni mzuri piga ndoa ya mkeka😂😂😂
@LameckMwansa-bb7fj
@LameckMwansa-bb7fj 4 күн бұрын
Bonge la movie 🎬 yani 😢du gabo zigamba unajua kaka 👏👏
@evasstafford2033
@evasstafford2033 3 күн бұрын
Naisubiri episode 8 kwa hamu kubwa aisee. It gives a lesson kwakweli nice job. Muhimu tuu mama Olivia ajulikane kama hayupo basi madame Janeth awe wife kabisa aisee
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 күн бұрын
Ijumaa hii mapemaa!
@queensiku
@queensiku 5 күн бұрын
Jamani this bond between Olivia na baba ake mpaka raha ❤kama wazungu ivi
@TumaAmin
@TumaAmin 4 күн бұрын
Mie ndio wa kwanza nimekaa kimnya tuh🙌
@Paschlmarco
@Paschlmarco 5 күн бұрын
kamoment furn hiv.. Ety,,Kwanini unaniita mwalimu, kwani nishawahi kukufundisha ww🤗😁
@claudepascal2290
@claudepascal2290 5 күн бұрын
😂😂😂😂
@MartinKhizzer-bi4gw
@MartinKhizzer-bi4gw 5 күн бұрын
Umenichekeshaaaaa😁😁
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 күн бұрын
😂😂😂
@Jahra2023-gm1qp
@Jahra2023-gm1qp 5 күн бұрын
Gabo amuoe mwl
@Jay_Y_Charles
@Jay_Y_Charles 4 күн бұрын
Nimependaa sana iyo kipengelee kwamba whay u call me a teacher,... ❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 күн бұрын
😂😂❤️
@user-dc2yw4sr1g
@user-dc2yw4sr1g 2 күн бұрын
Mambo ni moto 🔥🔥🔥 naomba like 5
@UNKNOWN-np7qp
@UNKNOWN-np7qp 5 күн бұрын
Ila olivia anaonekana muongeaji even kwenye real life
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 5 күн бұрын
Umeonaaa eeh😅😅
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 5 күн бұрын
Kikojozi apa kijiini good😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uyo mama miyeyusho
@g.m166
@g.m166 5 күн бұрын
Best series forever. anae bisha na abishe
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 5 күн бұрын
Thank Youu!
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 күн бұрын
Siwemaa nimekupendaa❤❤ huyo kiongozii hana adabu😂😂😂 eti kofia kma kibuyuu huyo bibi amefutwa kazi kama rutoo hatumtakii😂😂😂😂
@merrykc6037
@merrykc6037 4 күн бұрын
Hii movie naipenda kinoma Yani🥰🥰🥰
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 5 күн бұрын
🧭🤳 Nimewahi leo kutoka Msumbiji Mozambiki 🇲🇿 PEMBA CariaCo ❤️❤️🧿 lazima tuwe na haki sawa kwa sis sote
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l 5 күн бұрын
Maua yako 🎉
@mrlegend7641
@mrlegend7641 5 күн бұрын
Me too I'm from Mozambique Cabo Delgado, Nangade.
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 5 күн бұрын
Kumbe Msumbiji kuna pemba pia 😅😅
@user-mo8fn6yy5h
@user-mo8fn6yy5h 5 күн бұрын
Ndio msumbiji tunao Pemba pia😂😂😂❤❤❤​@@ukhtymwana40
@user-mo8fn6yy5h
@user-mo8fn6yy5h 5 күн бұрын
Não á estresse
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo 5 күн бұрын
Mapenzi ya uyu jamaa ni makali kweli tunatakiwa tuwe ivi wanaume
@tunuyaomar5017
@tunuyaomar5017 5 күн бұрын
Nyie nampenda Olivia ila nimejisikia kachozi kidogo😢baada ya Olivia kua mkubwa nimemkumbuka binti yangu wanetu wanakua wazazi tukiwa mbali katika harakati za utafutaji hata hatupati nafasi ya kufaidi kumfundisha binti mambo ya kidunia ingawa yupo na bibi lakini mzazi ukiwa karibu kjna ka hali fulani unakapata chukua maua yako mwalimu wa Olivia 🎉❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 5 күн бұрын
Pole sana kwa chozi laki tuna imani umejifunza jambo, Mungu akujaalie unacho tafuta ili siku moja ukajumuike na wanao au mwanao!❤️
@GiftAbduly
@GiftAbduly 5 күн бұрын
Nzur sna jmn nipenda Olivia na baba ake 😅😅❤ hongereni waigizaj na waandaj kaz nzur sna ila mwalim si uwe tu mama Olivia 😅🎉
@janethdavidsanga5999
@janethdavidsanga5999 2 күн бұрын
I miss you dady😭nimeangalia hii leo nimeliaaaa Nimekumic baba Katika mazingira magumu nimekuzwa na wewe na ukanifundisha vitu kama mama Pumzika kwa aman baba &' momy🙏
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 күн бұрын
Pole sana ❤️❤️❤️ 🙏🏾🙏🏾
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 5 күн бұрын
Nafurahi sana kuongalia hii movie 👏👏
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 5 күн бұрын
"Namshukuru Mungu kuwa na mtoto kama Olivia karibu yangu huwa napata faraja sana".😢
@GODLOVEMATERU
@GODLOVEMATERU 5 күн бұрын
Hongera Sana baba Olivia uko vizuri filam hizi ndio zinatakiwa Sana kwenye jamii
@user-lu1ev7pw7i
@user-lu1ev7pw7i 5 күн бұрын
Wekenia ata mara mbili per week jamaniii😢
@joseymhina5025
@joseymhina5025 5 күн бұрын
mko vizuriii jamaniiiii safiiiii, ila katibu ana jeuriii😀😀😀😀😀😀😀😀
@MartinKhizzer-bi4gw
@MartinKhizzer-bi4gw 5 күн бұрын
Katibu nimemkubali kawa chamba kijiji kizima ..😂😂 mzee naye hakumuacha kijiji si cha baba ako😁
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 5 күн бұрын
Wa 5 ❤ team strong piteni hapa tutiane moyo
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly 5 күн бұрын
Kweli kutiana moyo kwa maisha ya hivi viumbe 😂😂😂
@kelvinmsangi290
@kelvinmsangi290 3 күн бұрын
Mwalimu ni mrembo Na gabo unajua sana
@dalkenmalonje100
@dalkenmalonje100 5 күн бұрын
Poxaaaaa filamu hi nimeipenda sana. Boy from moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Mueda
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 5 күн бұрын
Baba Olivia si useme tu🤣🤣
@SixTechlmt
@SixTechlmt 5 күн бұрын
Niko tayari mjengoni, nipeni likes za kutosha
@elishabrand9625
@elishabrand9625 5 күн бұрын
Madam mtu wa maana kabisaa🎉🎉
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 5 күн бұрын
Arthur amuoe madamu wa Olivia please
@musashani4139
@musashani4139 5 күн бұрын
Nami Leo nime comment
@abbydanny8721
@abbydanny8721 5 күн бұрын
Haf baba Olivia wanapendan na mwalim janet
@LugyPlan
@LugyPlan 5 күн бұрын
Sema mzee ameshindwa kucheza na aramanza nyakati😅 mtoto kakua mashallah
@jacksonjacknday2815
@jacksonjacknday2815 5 күн бұрын
Msumbiji Maputo 🇲🇿
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 5 күн бұрын
Hongeren sana jamani Mungu awaongoze ❤❤
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 5 күн бұрын
Mwalim na Baba Olivia wot wameingia katika penz Bado kufunguka tu
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@mwajuma802
@mwajuma802 5 күн бұрын
Nampenda sana huyu mwalimu nimzuri 😊sana❤❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 5 күн бұрын
❤️❤️
@aminamohammed-rq7ew
@aminamohammed-rq7ew 5 күн бұрын
Ather na janeth wanapendana jmn waoane tu naam wanaendana 😊❤
@rechokizumbe7314
@rechokizumbe7314 5 күн бұрын
Baba Olivia ni baba mzuri sana kama Baba flani wangu hakika ni baba mzuri kwa mwanae
@emmanuelrichard6771
@emmanuelrichard6771 5 күн бұрын
Olivia n msanii bora kwa upcoming artists
@barackthomas8010
@barackthomas8010 5 күн бұрын
Yeah, anaigiza effortless
@LugyPlan
@LugyPlan 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 we ni mzur bhana elewa
@Tedy-bx4pl
@Tedy-bx4pl 5 күн бұрын
Hongera sana Olivia una kipaji cha jali ya juu yan kama sio movie vile daah Mungu akulinde
@Nancy-pt6zr
@Nancy-pt6zr 3 күн бұрын
Kutoka South Africa tuko pamoja
@JonathanRichard-sh9zk
@JonathanRichard-sh9zk 5 күн бұрын
Mwamba unajua ndoo maana mm bongo hii napeda kuangalia movie 🎥 zako kaka tuzo zote zako mwamba
@dennismusiba4836
@dennismusiba4836 4 күн бұрын
Baba Olivia hutoboi kwa mwalimu.ila movie nzuri sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 күн бұрын
Asante sana!
@HoseaChanga-p2g
@HoseaChanga-p2g 3 күн бұрын
Aisee waandaaji wa hii move walitulia sana respect sana ❤❤❤❤
@AmeRashid
@AmeRashid 5 күн бұрын
Dah walah mnatisha good story inasisimua na inavutia sana❤
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 күн бұрын
Si baba olivia ufungukee useme unampenda mwalimu ama ndo huwezi kusema wamuogopaa😂😂😂
@user-un5ke9tz9b
@user-un5ke9tz9b 5 күн бұрын
Mbona kama mwalimu ampenda baba olive
@Bravolimarbm
@Bravolimarbm 5 күн бұрын
Mfano wangu uyo baba Olivia
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 126 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 37 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 2,5 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 188 М.
PLAN B _ Episode 3
35:19
kp wa Aquino
Рет қаралды 43 М.
Precious Marry Blow My Mind Cover
3:17
Precious Marry
Рет қаралды 20 М.
MISSION IMPOSSIBLE [1]
16:28
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 935
LIZZ KAWACHANGANYA WADADA
12:57
Mr Uky
Рет қаралды 16 М.
Когда научился пользоваться палочками
1:00
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3,5 МЛН