Baba Olivia Episode 02//She turned 13 and BEGGED her Dad for the first time Party!!Single Dad story.

  Рет қаралды 449,115

Henry Mwakajumba

Henry Mwakajumba

Күн бұрын

#Gabozigamba au Author kwenye story, amekua akiamini kwamba hakuna haja ya kumfanyia mtoto sherehe ya kuzaliwa, Olivia binti yake wa pekee anamlilia baba yake akiomba kufanyiwa sherehe baada ya kutimiza miaka 13.Itikadi na imani za ki Africa zina msumbua nafsi baba yake.
#Catalina au Mama tina anajikuta matatizoni baada ya kupuuzia ushauri wa mume wake wakiwa kwenye shuguli maalumu usiku.
Karibu kuitazama tamthulia ya pekee Tanzania BABA OLIVIA.
#henrymwakajumba
..................................................................................
Gabozegamba, also known as Author in the story, has always believed there is no need to celebrate his child's birthday. However, his only daughter, Olivia, begs him for a party after turning 13. His African traditions and beliefs trouble his conscience.
#Catalina, or Mama Tina, finds herself in trouble after ignoring her husband's advice during a special event at night.
Tune in to watch the unique Tanzanian drama, BABA OLIVIA.
#henrymwakajumba
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
instagram: / henrymwakajumba

Пікірлер: 838
@NelsonManase
@NelsonManase 4 ай бұрын
Gabo mtu serious kwenye move zake kama unakubliana na mimi gonga like
@AbdulyWalker-ei2xl
@AbdulyWalker-ei2xl 2 ай бұрын
Tena malizia ni mtu makini
@JeniphaMwande-ho2ir
@JeniphaMwande-ho2ir 2 ай бұрын
Hii move nikali jaman❤❤
@AmAl-x9j
@AmAl-x9j Ай бұрын
Kweli
@rehemrey-q4q
@rehemrey-q4q 17 күн бұрын
Kabisa yaan❤
@homemadestory4871
@homemadestory4871 4 ай бұрын
Filamu kama hizi nchini Tanzania hua hazipewi nafasi kwa ukubwa na zikipewa upatikanaji wake hadi uwe na king'amuzi sjui tutaendelea lini jamani😢
@mussakatala
@mussakatala 4 ай бұрын
Kwelii kk😢
@homemadestory4871
@homemadestory4871 4 ай бұрын
Huenda upande wa digital marketing hatujajipanga wao ndio wataalamu bana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Kama umesha subscribe basi umefika nyumbani, vitamu vinakuja na tuna hitaji support yenu!! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@homemadestory4871
@homemadestory4871 4 ай бұрын
@@henrymwakajumba litakua jambo jema kwasababu ishu ya kuacha kaz na kukaa ktk king'amuzi ni kazi nyingine hyo pia tisingependa kuona mkitoa kazi mna invest muda na pesa then tuangalie bure hatutoendelea natamani tupige hatua tufkie kudownload& kustream kama wenzetu
@MomaDedu
@MomaDedu 4 ай бұрын
Yani wameweza sana
@amam2211-
@amam2211- 4 ай бұрын
Baba olivya unajuwa sna Mungu hakusimamie kwa kila jmbo
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana🙏🏾🙏🏾
@kelvinchadulaga310
@kelvinchadulaga310 4 ай бұрын
Olivia nimempenda anajiamin sana wooow😂😂😂😂❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Shukran sana kwa Mauwa!!🙏🏾🙏🏾
@zuleykhasaid967
@zuleykhasaid967 3 ай бұрын
Hivi huyu Olivia si ndo mwanne au ??
@teddyomondi2728
@teddyomondi2728 2 ай бұрын
Huyo Mwalimu wake ndio nampenda😊😊. Ywapendeza Sana.
@bizzyjunior_tz
@bizzyjunior_tz 4 ай бұрын
Toka Kanumba Aondoke Leo nimeona movie ya viwango kama vyake ....Gambo keep shining 🌟
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana, Shukran 🙏🏾🙏🏾
@michaelCmichael255
@michaelCmichael255 2 ай бұрын
Safri ya gwaru.... and so many more. Jamaa anajua kitambo. Ni upepo tu hakuukamata vizuri.
@georgejohn6070
@georgejohn6070 4 ай бұрын
Mwalimu ana jicho flani mashallah
@fragrance-h1u
@fragrance-h1u 2 ай бұрын
Exactly yes jmn
@AbdiMwenjuma
@AbdiMwenjuma 2 ай бұрын
Nlijua nimeona pekeangu mm jicho sio poa
@SniperSamson
@SniperSamson 2 ай бұрын
Umeonaa eee
@AbdallahKigera
@AbdallahKigera 2 ай бұрын
Nimempenda bure
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 4 ай бұрын
Mwalimu mwalimu .....kuna wanawake wameumbwa bana
@ZainaAmani-o1w
@ZainaAmani-o1w 4 ай бұрын
Kabisa ni mrembo sana jamanii
@HarunNgovi-z1c
@HarunNgovi-z1c 3 ай бұрын
Anaitwa nani huyu mwalimu???
@ElCapitano255
@ElCapitano255 2 ай бұрын
Nilijua mimi pekeangu nimeona kama mwalimu anakitu kumbe hata wewe umeona
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 ай бұрын
Ila mwalimu mzuri nyie❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante kwa kumpa Mauwa yake! ❤️🙏🏾🙏🏾
@samsifuni
@samsifuni 4 ай бұрын
Nlijua nimeona mwenyewe
@Bint-Zanzibari
@Bint-Zanzibari 4 ай бұрын
Sana Masha'Allah ❤️❤️❤️
@shadrackmasigaTV
@shadrackmasigaTV 4 ай бұрын
Kweli nimeona anashawishi san🔥
@MsodokiAli
@MsodokiAli 4 ай бұрын
Uhaakika mwalimu ni kazuri san
@rubythebosslady8113
@rubythebosslady8113 4 ай бұрын
This is the best film..Mwandishi amefaulu…
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
@AllyWaziri-g3s
@AllyWaziri-g3s 3 ай бұрын
Pachawangu Gabo ulivyo silias naukicheka tunasanana mpaka lafuzi matamsh ufikiliaji kuamua❤❤❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
❤️❤️
@alfredjoshua8625
@alfredjoshua8625 4 ай бұрын
Hii filamu ni nzuri sana ina mafunzo mengi sana ndani ya jamii yetu.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Shukran sana 🙏🏾🙏🏾
@MullahSaidi
@MullahSaidi 4 ай бұрын
Naomba mwendelezo wa hii series ni bonge kubwa la movie. Kama huna D mbili uwezi kuelewa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Kila Juma 3
@AginesCharles
@AginesCharles 3 ай бұрын
Mmmh
@agnesslebayo9021
@agnesslebayo9021 2 ай бұрын
Wewe mwenyewe huna d mbili ndo maana hujui mwendelezo uliko😅
@eliassylvester8150
@eliassylvester8150 4 ай бұрын
Teacher wamoto sana ana macho ya kwendaa😋
@Tinga_Tinga_Makonde
@Tinga_Tinga_Makonde 4 ай бұрын
King Makonde from Mozambique 🇲🇿 I love this movie
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Thanks so much 🙏🏾🙏🏾
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 3 ай бұрын
🧭🤳 big up bro tweeshalumo mbwana ❤❤
@halimaamini8015
@halimaamini8015 4 ай бұрын
Huyu dada mwalimu mzuri jamani anataka kufanana na mke wa beka happy
@cathymama4010
@cathymama4010 3 ай бұрын
Mzuri sana aisee❤
@JamesMtanga-uh5ss
@JamesMtanga-uh5ss 2 ай бұрын
Kweli?
@BigirimanaPascal-m5p
@BigirimanaPascal-m5p 7 күн бұрын
Mzuri sasa nafanana nawatu wahuku Rwanda na Burundi
@samiuhassan8153
@samiuhassan8153 4 ай бұрын
Mbn movie kama ni nzuri hii au mnaonaje🥺🥺
@edwardouma1630
@edwardouma1630 4 ай бұрын
Asante Kaka nimejifunza kitu kidogo apa am from Nairobi Kenya 🇰🇪🙏
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Thanks so much for watching, please subscribe if you didn’t, 🙏🏾🙏🏾
@shadrackmasigaTV
@shadrackmasigaTV 4 ай бұрын
Mwalimu anashawishi Roho ❤🔥🔥🔥🔥🔥 number ya kiatu tuma ahahahahahahahhaha
@rweyemamurweyemamu680
@rweyemamurweyemamu680 4 ай бұрын
Naomba sana sana huyu mtoto Olivia msimuache, she's very very talented naomba tafadhali endeleeni kumkuza
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana, Kuna kazi zake nyingine zinakuja usikae mbali🙏🏾
@uiptv365
@uiptv365 4 ай бұрын
Yaani walipoulizia cake iko wapi, aibu nilipata Mimi 😢😂😂🙌🏽, Ila Nimependa the way jerani wa mwanamke alivyosema “as long ni cake na mtoto yuko happy” that’s all matters 💪🏾🙌🏽❤️💯 Kila week Kama mbali 🙈😂, ebu fanyeni twice a week
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@alexpaul2981
@alexpaul2981 3 ай бұрын
😂
@revocatuspeter-ky4gx
@revocatuspeter-ky4gx 4 ай бұрын
Kiukweli Tangu kanumba atangulie mbele za haki nlikata mkataba kabsa na BONGO MOVIE but LEO sababu ya GABO ❤️❤️💯💯💯💥💥♥️💌💌
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
Habari! umejifunza nini kwenye hii tamthilia? Dondosha maoni yako na usisahau kusubscribe Asante! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@PaschaziaFesto
@PaschaziaFesto 3 ай бұрын
Single dad's wote tuwaheshimu na tunawapenda pia❤
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 ай бұрын
Ahsante sana nime jifunza. Kitu kidogo ila mtoto kafurah uyo🎉🎉
@Mary-ug6oc
@Mary-ug6oc 3 ай бұрын
Kweli hata Mimi nimejifunza
@clemenciajuma2895
@clemenciajuma2895 4 ай бұрын
Mwalimu ni mzuriiiiii adi rahaaaaaaa ❤❤❤❤❤
@hadijaamini
@hadijaamini 4 ай бұрын
Nimependa mwenyekiti alivyonyamazishwa na pande la cake 😂😂😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
😅😅 msosi ndio kila kitu!
@NoorEesa
@NoorEesa 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 ай бұрын
😂😂😂 nakwambiya weaca tu
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 4 ай бұрын
🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂💞💞💞💞
@patricksamba6831
@patricksamba6831 4 ай бұрын
Movie nzuri Bora ila elimisha vizuri ila haijisha vizuri wetengeneze part 3
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Juma 3 part 3 itakua hewani,Subscribe ili usipitwe!
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 4 ай бұрын
Hadi mwaka wa kuzaliwa kumbe una long story na hamsemi😂
@nancyg8664
@nancyg8664 4 ай бұрын
😂😂😂
@Gracious224
@Gracious224 4 ай бұрын
😂😂😂
@violethmushy-zs2qy
@violethmushy-zs2qy 4 ай бұрын
😂😂😂
@domitilaneovitus5724
@domitilaneovitus5724 3 ай бұрын
😂😂😂
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 3 ай бұрын
Huyo mwalimuu huyoo umu owe❤
@HamzaHamiss
@HamzaHamiss 2 ай бұрын
Kabsa anafaa Kua mm yetu
@SniperSamson
@SniperSamson 2 ай бұрын
@gabagambi
@gabagambi 4 ай бұрын
Jitahidini kutokuchanganya Kingereza kwenye maongezi Kiswahili ni lugha tajiri
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante Sana 🙏🏾
@Ummuuthaymeen-wk7zc
@Ummuuthaymeen-wk7zc 4 ай бұрын
Uwongo kiswahili ni luga maskini
@JescaVicent-jo7sj
@JescaVicent-jo7sj 4 ай бұрын
😅😅😅😅😂😂 why between my interview u passing around ​@Ummuuthaymeen-wk7zc
@salumuhafidhimtabe
@salumuhafidhimtabe 4 ай бұрын
Kwa Dunia ya sasa ni ngumu kuepuka kingereza kwa mamna yoyote.... ukitaka kuamini badili lugha kwenye simu yako iwe kiswahili
@nasrahgdjuma930
@nasrahgdjuma930 4 ай бұрын
@@Ummuuthaymeen-wk7zcwho told you that? Labda kama hujui wewe lugha sema
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 ай бұрын
Katarina comedy.alafu mwanao aweke video mtandaoni😂😂😂
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 4 ай бұрын
Filamu hii tunaifahamu wale ambao tupo matured only
@rashidiijumaa349
@rashidiijumaa349 4 ай бұрын
Unalipia vocha kisha unaangalia
@yusufsuwi5350
@yusufsuwi5350 4 ай бұрын
Kiukweli hz ndo filamu angalau zinaweza kufika kimataifa Changamoto niloiyona kubwa Wahusika Yan inaonesha waz ni maigizo maana wamejitenga sn hasa filamu imeigizwa ktk eneo finyu Tamthilia inapendeza kuwe na watu wengine hata km wawe wanapita tu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sna kwa mchango wako! Tutalifanyia kazi! 🙏🏾🙏🏾
@maulidstondo2770
@maulidstondo2770 4 ай бұрын
Ila sio kila Tamthilia iwe na lundo LA wasanii, kikubwa ni dhamir tuu
@samuellasway
@samuellasway 3 ай бұрын
Filamu nzuri sana. Naomba jina la huo wimbo uliopigwa kwenye birthday party. Nimeupenda❤
@christinamgeni9228
@christinamgeni9228 3 ай бұрын
Mwalimu ni mzurii jamni gwaa apate tano zakee
@tropmedia8376
@tropmedia8376 4 ай бұрын
Kwa movie Hii sina cha kusema zaid ya respect for you all 🙌
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
@ZulphaMkwizu
@ZulphaMkwizu 4 ай бұрын
Bonge la combo,...Gabo na Dude this people wanajua bana🎉🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Shukran Sana🙏🏾🙏🏾❤️❤️
@Voxmediatz
@Voxmediatz 4 ай бұрын
Jirani anaendesha Passo
@EmmanuelSelestine-f7g
@EmmanuelSelestine-f7g 4 ай бұрын
Filamu ime chukua mazingira ya uwalisia gabo ana jua
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana🙏🏾🙏🏾
@jackmeshack
@jackmeshack 2 ай бұрын
Nimekuja leo kutoka TikTok lakini nimebaini mama yake olivia ndo huyo jirani akilewa anaanza kulia kama unaamini gonga like twende pamoja❤
@Jay_Y_Charles
@Jay_Y_Charles 4 ай бұрын
Yaani for the talent you have it, even how to manage story upo vizurii sana 💯, it's my first time but i like it pull up... Bado unaweza ila kama ulipotea kwa game but am sure you go to make unbelievable things in bongo movie.. Izi vitu tulizoea kuonaa mbele.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante Sana!❤️
@peterathanasy6765
@peterathanasy6765 4 ай бұрын
We are waiting for party 3 Mr Gabo Zigamba 👏
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Early this Monday Subscribe so you don’t miss anything! 🙏🏾🙏🏾
@violethmushy-zs2qy
@violethmushy-zs2qy 4 ай бұрын
Asa ndy imeishaje hv jmn atoe part 3 ..bhn wabongo ndy wanafeligi apo tu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Hapana haijaisha, hii ni Tamthilia inaendelea mpaka utachoka! Juma 3 episode ya 3 itakua hewani subscribe usipitwe!
@SamShooter-d1r
@SamShooter-d1r 4 ай бұрын
As a filmmaker hii tamthilia iko very cinematic 😮 unaweza cma aijaandaliwa na wabongo naifananisha na Tamthilia za kumekucha za kna john ribber , big up sana kazi ni kubwa naiona ikienda vairow
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana Shukran 🙏🏾🙏🏾
@YoungLutta
@YoungLutta 4 ай бұрын
Huyu mama akilewa analiaa daaaaah kama shangazi2
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
😂😂😂 kumbe kuna watu kama hawa!
@NoorEesa
@NoorEesa 4 ай бұрын
The song please very nice inaitwaje😂😂😂😂na hiyo kulia ya mke wa jirani😅😅😅😅
@IreneJoseph-x8k
@IreneJoseph-x8k 4 ай бұрын
Nimechek saaan oliva avyowatishia kwamb uyo mtu amekufa yaan kila mtu mbiooo😂😂😅
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
😅😅😅 Ungekua wewe ungesimama??
@NatureMw155
@NatureMw155 4 ай бұрын
Uyo mtoto anaweza❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana kwa mauwa! 🙏🏾
@IbrahimMayimba
@IbrahimMayimba 4 ай бұрын
Aiseeeee ni bonge moja ya move inafundisha na inachekesha keep it up bro 💪
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana, Subscribe ili usipitwe na mwendelezo!
@PendoNgao
@PendoNgao 4 ай бұрын
Jamn nisiwe mnafuki mwalimu ni mzuri haki
@haamdtv
@haamdtv 4 ай бұрын
Sana
@renatusmwanakatwe-gl9xb
@renatusmwanakatwe-gl9xb 4 ай бұрын
Kuna cha kujifunza hapa hakika penda saana Gabo hakuna mtu akaanngalia filamu hii akachukizwa.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana, Tafadhali share na kwa wadau pia!🙏🏾
@greennationmedia7987
@greennationmedia7987 2 ай бұрын
Hatari hii Bro upo viwango Vingine
@shalooboyburundi
@shalooboyburundi 4 ай бұрын
ayis zuri firamu nimeyipeda
@yohana1242
@yohana1242 4 ай бұрын
Ndo maana pombe ikafanywa kua haram
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 ай бұрын
Olivia 😂😂😂kana cekesha ujuwe eti barua ingekua ndefu ingenoga mtoto uyo anaweza Masha Allah ❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
❤️❤️❤️
@ashleymohamed6935
@ashleymohamed6935 3 ай бұрын
Ngabo ni noma❤
@abdulaziz703
@abdulaziz703 Ай бұрын
Yaani mpaka nimecheka... eti, barua yenyewe fupi 😅😅 karudia mara 2
@WilliamsBIRIKURE
@WilliamsBIRIKURE 4 ай бұрын
Majilani kama Hao bola mtu awakose kbsaaaaaaa ila tunapaswa kufanya kma bba Olivia ❤❤❤❤❤❤❤❤
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 ай бұрын
Wadaku hao😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Majirani kama hawa unawapa jina gani??
@felicianfrancis9895
@felicianfrancis9895 4 ай бұрын
@@henrymwakajumba mashambwendo
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 ай бұрын
Mashangingi😂
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 4 ай бұрын
wambea 🤣😂🤣😂🤣😂
@salimNdendya
@salimNdendya 4 ай бұрын
Movie nzuri sana
@Naahlyan
@Naahlyan 4 ай бұрын
Jmn iih tabia alofanya uyu mtto kumlekod mmaake nilishawahi fanya mamangu alilia ,unanifanyia ivi mi mamako aah sitaludia tena nimekoma
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Pole sana!❤️❤️
@SniperSamson
@SniperSamson 2 ай бұрын
Ila mwalimu ni natural kabisaaa
@fadhilmandaliabdalla6736
@fadhilmandaliabdalla6736 4 ай бұрын
Best 👌 movie 🎬 MashaAllah, tunatarajia mwendelezo mzuri inshaallah
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana! Tafadhali subscribe kama bado! 🙏🏾🙏🏾
@gerryjusty6594
@gerryjusty6594 4 ай бұрын
Huyu dogo anajua kuigiza aiseee
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Ungependa kuona behind the scenes zake akiigiza??
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 ай бұрын
​@@henrymwakajumbandio ana juwa sana 😂nime mpenda sana
@RajabuSiri
@RajabuSiri Ай бұрын
Mwarimu ni mrembo akika nimekupenda bule ❤❤❤❤
@PhynolThinker
@PhynolThinker 4 ай бұрын
Nice flam with nice man🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Thanks 🙏🏾🙏🏾
@CHRISSboyog
@CHRISSboyog Ай бұрын
😢😢 mwenzio nimeipenda video hiiy❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 2 ай бұрын
Mwalim kawiva mashaa Allah
@saddiqmageta7904
@saddiqmageta7904 2 ай бұрын
Nilikuwa wapi kufatilia hii movie..kila dakika inagusa maisha yangu ..sichoki kutazama
@MudySaid-vg5vg
@MudySaid-vg5vg 3 ай бұрын
Gabo the official video 📹 the first 😢😅
@AbelMwakimbwala
@AbelMwakimbwala 4 ай бұрын
olivia lazima aje kubeba tuzo huyu🙌
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana!!
@عاملهمنزليه-ي8ض
@عاملهمنزليه-ي8ض 3 ай бұрын
Mmmh jamn uyu jiran ako n roho mbay at kumpea kalfti mtt
@AbdulyWalker-ei2xl
@AbdulyWalker-ei2xl 2 ай бұрын
Yaani zile chanel za azam tv wangechukua azam two na sinema zetu wangeweka hizi tamthilia nadhani tungefika maahala fulani hiv mashallah lakini wanaweka za za kutuluk tu wakina mama kimbo wanamafundisho gani kwenye jamii
@SarahKaima
@SarahKaima 4 ай бұрын
Kuna kitu kati ya baba olivia na mawalimu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Umeona nini? 😅😅😉😉
@SarahKaima
@SarahKaima 4 ай бұрын
@@henrymwakajumba nimeona mbali sana 😂
@AbelMwakimbwala
@AbelMwakimbwala 4 ай бұрын
yaan hii kitu inanifurahishaga tu😅uyo dogo wa kiume mjuaji sana😅majirani wanavyojibizana ni raha tupu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
😂😂😂 Asante sana🙏🏾🙏🏾
@jumamkongowe2272
@jumamkongowe2272 4 ай бұрын
Nan anaamn mwalimu na gabo watakua na jambo lao mbelenjapo 😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Umeona nini mzee?😉😉😅
@TwalibTwaha
@TwalibTwaha 2 ай бұрын
Gabo -diamond-mwakinyo -samata watu makini sana kwenye kazi zao na ni wapambanaji
@AthanasMhangavi-vb1cs
@AthanasMhangavi-vb1cs 4 ай бұрын
Ipo vizur aisee🎉🎉🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Shukran sana, share na uwapendao nao waenjoy utamu!
@FestoHelman
@FestoHelman 3 ай бұрын
Gabo my men favorite actor since.....
@YumnaMcha-xk4gd
@YumnaMcha-xk4gd 4 ай бұрын
Muendelezo tafadhali
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Juma tatu hii!
@AliMkumbukwa
@AliMkumbukwa 4 ай бұрын
Utulivu mzul sauti njo angani anga ni jeupe salama kutoka kahama
@AdamClassic-uj9ed
@AdamClassic-uj9ed 4 ай бұрын
Ila Hawa Watu Wa Tuzo Hawaioni Huu Mchezo Ulivyokuwa Mzuri au Tuzo Zao Wanatoa Kwenye Movie Zao za Kijinga t? Daa Bonge la Movie
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana, Tunashukuru sana 🙏🏾🙏🏾
@jonathannsulwa8714
@jonathannsulwa8714 4 ай бұрын
I'm waiting for another episode respect by film this gabo is king of film 🙏
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Coming to your early on Monday, Subscribe and stay notified!
@fadhilmgahi1334
@fadhilmgahi1334 2 ай бұрын
Olivia fundi wa kuigiza namna anvyoigiza kwa nsksh kama mtu mzima mwenye kipaji anajua sana
@luluray2115
@luluray2115 3 ай бұрын
Mnajua aisee
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
Asantee!🙏🏾🙏🏾
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 3 ай бұрын
Jamani baba na binti yake hadi raha🎉🎉🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
❤️❤️
@shartygaking
@shartygaking Ай бұрын
r.i.p mzee korongo allah ailaze roho yko mahara pema peponi
@HappynessSimon-zc6yz
@HappynessSimon-zc6yz 2 ай бұрын
Mama James kunywa nalia kwel
@KatavalyKambale
@KatavalyKambale 4 ай бұрын
Mwalimu mzuri jamani❤🎉❤🎉❤🎉
@AbelMwakimbwala
@AbelMwakimbwala 4 ай бұрын
Nasubiri tu siku Gabo amuoe uyo mwalimu😅
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Endelea kufuatilia 🙏🏾🙏🏾
@Pauline-y4o
@Pauline-y4o 4 ай бұрын
I can't find season three
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
On Monday it will be up! 🙏🏾🙏🏾
@Pauline-y4o
@Pauline-y4o 4 ай бұрын
@@henrymwakajumba thanks for responding the movie is a vibe
@IsackHombelo
@IsackHombelo Ай бұрын
Kaka gapo ww ni mtu na nusu😂😂😂
@XhebbyMandevu-u1h
@XhebbyMandevu-u1h 2 ай бұрын
Teacher ni mzur Balaa mmmmh
@Kaske-bleumartin
@Kaske-bleumartin 4 ай бұрын
Akikunywa pombe 🎉uwa analiya😂😂😂😂😂😂 From merekani na ipenda sana iyi muv
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana 🙏🏾🙏🏾 share na uwapendao!
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo 4 ай бұрын
Waigiza kama Awa ndo tunawaitaji bongo
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Umependa nini hasa kama huto jali kushare? 🙏🏾🙏🏾
@DaudiAmosi-yt2qv
@DaudiAmosi-yt2qv 2 ай бұрын
Yes . ni bonge la movie, but
@James-y3j2v
@James-y3j2v Ай бұрын
Alipoongea 29 substitute inaonyesha 9th of may Watanzania bwana wahuni
@MwanumaHaji
@MwanumaHaji 4 ай бұрын
Huyu mwalim dah had natamni kumjuwa
@EstherNelson-rc9ks
@EstherNelson-rc9ks 4 ай бұрын
Ni nzuriii mmetisha❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Shukran sana!
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 ай бұрын
Ila siwema mbishi kwa hiyo kalewa nyie😂😂😂 alfu mshipafu amesema hawezi lia na saai huyo kalewa kidogo tu kaangusha kilio😂😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
😅😅😅
@omaryshabandaud5235
@omaryshabandaud5235 4 ай бұрын
Dah inakua siku nzur kwangu
@ChampionBoy-cy4of
@ChampionBoy-cy4of 3 ай бұрын
Yah bila shaka brother ametisha sana humu salute nying san.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
❤️🙏🏾
@hassanihussein2731
@hassanihussein2731 4 ай бұрын
Uyo Olivia kabisa sasa 🙌🙌🙌👏👏👏👏
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@RamadhaniKika-b7w
@RamadhaniKika-b7w 4 ай бұрын
Kazi nzuri mnooo❤😊
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
Baba Olivia Episode 17 Season 01Finale❤️// Single Father Story
31:59
Henry Mwakajumba
Рет қаралды 288 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 5 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
ZAZUBA-Staring -GABO ZIGAMBA/RIYAMA ALLY/MAMA ABDUL/SENJELE/KONA
53:05
Patupu Series - EPISODE 02
10:55
Tiko Special
Рет қаралды 5 М.
Jacob Stephen & Jackline Wolper  & Aunt Ezekiel, | SIGNATURE 1 |
1:24:11
Bongo Cinema
Рет қаралды 1,5 МЛН
SIYABONGA MOVIE ( GABO ZIGAMBA )
51:03
Gabz Media
Рет қаралды 170 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/44/ #love
20:05
BabaJoan
Рет қаралды 313 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 5 МЛН