In Shaa Allah sharif koba ndoto yangu kukutana na ww. Hiz ni raha Haswaaa Kwa mwenye kujua
@nouhamour5454 жыл бұрын
Kwa mtume raha sana Allah atujaalie mapenzi kwa mtume na atukutanishe nae peponi
@abuusaalimalmasasiyyu94214 жыл бұрын
Wallah wanaofany uzushi hali ya kua wajua kua n uzushi watafukuzwa kweny haudh ya mtume swala na salam ziwe juu yake hawatokunywa maji yake limethibit hilo kwa nyie hamtokutanishw nae kwa kufany mambo ambayo hamkuamrishw na sharia yake
@jumaayyoub25194 жыл бұрын
@@abuusaalimalmasasiyyu9421 je wewe unauhakika gani kama tayari ushafaulu na utakunywa kwenye haudhi ya mtume acha uchache wa elimu kama hujui sema ufundishwe kwani sote tunatafuta pepo na sio wewe unaapa kabisa eti mutafukuzwa kwenye haudhi ya mtume acha ujinga nenda ukasome.
@abuusaalimalmasasiyyu94214 жыл бұрын
@@jumaayyoub2519 mm cjasema nina uhakika na wala sijajithibitishia kubwa ila imethibit kwa mzushi kufukuzwa kweny haudh sas wew kama unafany bidaha acha ucje ukaja fukuzwa ukajuta cku ambayo haina toba kuna hadith ktk suala hilo la huijui sema
@nyotanjemaingarayo53844 жыл бұрын
Subhanallah kupeana nasaha ni vyema lakini SI vyema kuhukumu kwani hiyo ni kazi ya Allah kubwa tumuombe atupe husni hatma. Na pepo iwe makazi yetu amiin.
@MwanaheryBudi3 ай бұрын
Allah ampe subra kwa kufiwa na mdogo wake
@maalimothman4724 жыл бұрын
Allah akubarik ustdh. Koba
@husseynhamad97904 жыл бұрын
Umeengea point kubwa
@husseynhamad97904 жыл бұрын
Umeengea point kubwa
@ademckrkc3 жыл бұрын
MAŞALLAH TÜRKİYEDEN SELAMÜNALEYKÜM
@hassanmaftah53094 жыл бұрын
Doooo 🙌🙌🙌🙌
@ciakilewo42072 жыл бұрын
Sharif komba ni Fundi🔥💯💯May ALLAH grant you Jannat Firdaus my brother ALLAHUMMA AMIIN💪
@sabrinamustafa8554 Жыл бұрын
Sharif ndio yupi hapo
@braqutourssafaris46724 жыл бұрын
Swaluu alaaa nnabii..
@FahmiKhatib-r7tАй бұрын
Maalim koba mung akuzidishie
@ramsogwaramsogwa5594 жыл бұрын
Allah amrehemu alhabibi zingizi
@hilmialjahdhami97873 жыл бұрын
Amin
@ajmilee42044 жыл бұрын
Hafla nyngn ukikosa utatamani ulie😤😭😭😭😭
@zainabsuleiman53503 жыл бұрын
Naaaam 😹😹
@mohamedhaji22004 жыл бұрын
Hivi mnadhani uislamu ni mchezo mchezo tu wa kuimba qasida, kuzikiri na kupiga madufu? Uislamu dini hii haitekelezwi kwa kutafuta kitu mbadala. Kama wakiristo wanapiga ngoma na mziki sisi tuimbe na kupiga dufu na zikiri. Hapana. Uislamu umekamilika. Hata kama unapenda ngoma basi hakuna namna utaifanya ngoma iwe dini hata kw akumtaja mungu huku unapiga ngoma. Turudini katika dini sahihi. Mungu alishatunyima mziki na ngoma ndio basi tena hakuna namna. Tusimlazimishe mungu
@khalidabdulla65453 жыл бұрын
Uwo mziki upo wap apo au nd jazba tuh
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
@@khalidabdulla6545 Khalid hujauona mziki na ngoma hapo. Allah akuongoe
@tariqamran79235 ай бұрын
Unafundisha watu ambao huna elimu ya kuwafundisha... Kasome kwanza
@Jamalidini4 ай бұрын
Ukiona umenyimwa mapenzi ya mtume ujue huna elim yeyote
@komboissa20164 жыл бұрын
Maaalim koba hujawahi kuniangusha allah akujaze kheri nyingiii
@halimakihame17443 жыл бұрын
Wapenzi wa mtume muhammad s a w
@zainulmustofa29583 жыл бұрын
MasyALLOH SubhanALLOH
@massoudsultan61494 жыл бұрын
MAASHALLAH ALLWA BARYYQ
@umayanasir80523 жыл бұрын
Hi kaswida koba umevurunda sauti zawitikiaji haziko standad
Bidaha kazz kweel allah awaongoze muache bidaha na mfuate sunna za mtume swala na salam ziwe juu yake
@waladulikhlaas78704 жыл бұрын
Tuacheni na bidaa zetu...na nyinyi tafutaeni zenu muanzishe
@jamalishoo38024 жыл бұрын
Suna za mtume nani maana mitume ni wengi
@Mr_AdminFootballInsider4 жыл бұрын
Achana na bidaa zetu..fanya bidaa zako wewe
@abuusaalimalmasasiyyu94214 жыл бұрын
@@Mr_AdminFootballInsider m cfany bidaha kwa sabab n upotovu na upotovu ni motoni kama alivotuambia mtume wetu kwa hyo kama waamin mtume kakataza bidaha bas acha upate saada
@Mr_AdminFootballInsider4 жыл бұрын
@@abuusaalimalmasasiyyu9421 hii kujibu ni bidaa tu..halafu unasema hufanyi
@babumsiha15733 жыл бұрын
Mashallah
@AliAthmanAsghar4 жыл бұрын
Mashaallah
@MymunaUlayaАй бұрын
Koba unatakiwa uwafundishe qaswida watu
@sharaful-anaam1383 жыл бұрын
Subhanallah jamaa zangu kupita darasani muhimu sio kila kitu bidaa tukio km hilo wakati wa mtume lishafanyika wakati swahaba mmoja alipomtungia mashairi ya kumsifu mtume na kumuimbia mtume akamsikiliza na kulikubali hilo mtume na kiliunga mkono halina mashaka akavua kitambaa alichovaa shingoni akamvisha swahaba yule bidaa ipo wapi hebu twambieni mbona hatukufahamuni nyie mbn munaifanya dini kuwa ngumu kwa mtakavyo nyie tusipo msifu mtume wetu tumsifu nani hebu twambieni
@kamaluissackkalonkano13483 жыл бұрын
Shukran kwa ufafanuzi akhy
@mohamediabdirashidi10993 жыл бұрын
Rudi darasan acha porojo huyo swahaba nani na ilikua kipnd gani? Kuna swahaba gani watukufu zaidi ya makhalifa hawa wanne wenye daraja na hawakufanya hayo maulid? اين توجد هذا قال الله تعالى فإن تنعزعتم في شيء فردوه الى الله ورسوله Elm mhim sana sana lakin na kumuomba Allah taufik yake na kujiepusha na هواء النفس
@adenmikoba75064 жыл бұрын
mashallah
@ismailimustapha52934 жыл бұрын
ﷺﷺﷺﷺﷺﷺﷺ
@kitwanaabuu809 Жыл бұрын
We koba koba koba koba bababa
@babedyzo38924 жыл бұрын
Doooh nivit
@ngwalimahingika48734 жыл бұрын
Ndo kilichobaki hicho kwa jamii yetu ya Kiislaam Tz kutoa kipa umbele kwa mambo ya kipuuzi tu
@jumamomba95024 жыл бұрын
Vip ni upuuz ilhali anasifiwa bwana mtume محمد
@sawdaasawdaa79034 жыл бұрын
Kuliko kwenda kwa upuuzi wamiziki bora izi bana kwawanao muda aceni kuhukumu ati kakataza kusifiwa kama nabi isa nabi isa amesifuwa kuwa yeye ndito Mungu apo MUTUME MUHAMADI S.A.W hajasifiwa uungu ni u wonderful tu wake wadifiwa ata przsidentu anasifiwa kama presidenti ata biyarusi sasa akipewa eshima zake mutu mukubwa kama MUTUME bila kumwita jinalamungu sikosa amekata tu kumupacika uungu kama nabi isa( yesu) hakukataza bali alitahazarisga kufuru kama zakinaswara alivyopoteta nakupacika kiumbe ca Allah kufuru nyingi.asalaam alykum .
@mohamedhaji22004 жыл бұрын
@@sawdaasawdaa7903 uislamu umekamilika sheikh hakuna bora hiki kuliko kile.
@@salumbweta7731 Fiqhi ya kupiga ngoma sijasoma kweli
@yusufharoub46694 жыл бұрын
Hatar sana
@criminal03mostwanted713 жыл бұрын
Ivi nyie masufi mnaakili kweliiiiii
@meena-ol6fo4 жыл бұрын
Achana kabisa mahabba ya mtume hayo
@yahayab4u6143 жыл бұрын
Koba ves
@ahmaditara85354 жыл бұрын
کان رسول الله صلى الله علىه وسلم ىکلف نفسه فى امر الدعوه فوق ما کلفه الله
@chikuibrahim52304 жыл бұрын
Bid'aa juu ya bid'aa
@jumahashimu73964 жыл бұрын
Hujui kitu
@chikuibrahim52304 жыл бұрын
@@jumahashimu7396 kip ww ukijuacho!!
@jumahashimu73964 жыл бұрын
@@chikuibrahim5230 kasome ndugu yng
@MrSJAmiri4 жыл бұрын
Bidaa ni nini? Na bidaa hapo iko wapi? Nenda kasome
@jamalishoo38024 жыл бұрын
Umefata nini huku
@khatibismail81454 жыл бұрын
Twayeeeeb
@salmamnonya68514 жыл бұрын
Maashallah😍
@evansmlalo40494 жыл бұрын
Viongozi wengi wa Dini Tanzania ni wanafiki. Watu wanasingiziwa kesi mko kimya, Watu wanatekwa Tanzania mko kimya, Watu wanapigwa Tanzania mko kimya, Watu wanapigwa risasi mko kimya, Watu wanauwawa mko kimya, mambo wanayofanyiwa vyama vya upinzani mnayaona mko kimya, mambo wanayofanyiwa ndugu zetu Zanzibar mnayaona mko kimya. Ningekuwa sijafunzwa adabu ningesema "SHUT UP" lakini siwezi. Viongozi wa Dini kama mnazo busara kaeni kimya mkapige kura kama Watanzania wengine endapo mna vitambulisho. Acheni kuwavuruga Watanzania wakati wa uchaguzi wakati Makanisa yenu na Misikiti imewashinda imegeuka ya uasherati, ngono, na kuuza madawa ya kulevya. Zamani Watanzania walikuwa wanawasikiliza sana viongozi wa Dini lakini siku hizi watu wamekuwa wakichambua nani Sheikh na mchungaji anayesema kweli kuhusu Maisha ya watu. Bila "UHURU na HAKI" hakuna kitu kinachoitwa amani. Acheni kusoma vitabu vya Dini mkiwa mumevigeuza. Bahati nzuri sana viongozi wengi wa Dini hawana maumivu yoyote maana sio walipa kodi. Rushwa mlizopokea na unafiki wenu utawahukumu. Mwisho wote kasomeni Safania @
@abuusaalimalmasasiyyu94214 жыл бұрын
Akhy wew mche allah unafik upo moyoni we watuumu unafik jambo ambalo alijuae ni Allah lkn pia we unajuaje kama hao masheikh hawafany jitihada zozote za kuwatoa? Kwan n shart wakifany jitihada watangaze? Soma din yako uinasue nafsi yako utakuja kuulizwa na sio kutuhumu watu mambo ambayo hutaulizwa
@jumamomba95024 жыл бұрын
Umsema kweli
@alhaddajmohammed47684 жыл бұрын
Wamekuwa maadui(wanahusudiana na kufanyiana fitna, chuki na husuda nk yasiompendeza Allah S.W) wao kwa wao na wanaowaongoza/Waumini wao. Leo kumezuka kundi kubwa la wanaojiita Mitume, Manabii, Masharifu (Waganga Washirikina) na Viongozi wa Serikal na Mabungei wanaosema watamtumikia Mungu na wanaapa Wakishika vitabu cha Mungu (Wanamdhihaki Mungu), wayatamkayo na wayatendayo tofauti!!!
@alhaddajmohammed47684 жыл бұрын
Kweli KIAMA kimekaribia. InshaAllah atujalie tuupate mwisho mwema.