SIRI NZITO || TUMECHAGULIWA NA MUNGU MWENYEWE || PROPHET. ALPHA KIHAMBA

  Рет қаралды 1,200

TENGWA TV

TENGWA TV

7 күн бұрын

BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: +255 760 200 300
TIGO PESA: +255 773 150 150
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0629304931
RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA

Пікірлер: 20
@carenhilary8067
@carenhilary8067 5 күн бұрын
Hallelujah
@rehemakipesile4930
@rehemakipesile4930 5 күн бұрын
Nakuelewa mtumishi
@mmassycharles409
@mmassycharles409 5 күн бұрын
Mfalme Tengwa ni mtumishi wa kweli wa MUNGU,nabii Alfa HAKIKA umeitwa na Bwana YESU, sijawahi kuwa na mashaka nanyi. MUNGU awatunze.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 5 күн бұрын
Shida nyie au wewe unachemka sana
@medsonoscar6031
@medsonoscar6031 5 күн бұрын
Heri wanaoelewa huu ujumbe,siku nilipokutana na MFALME TENGWA pale Suma JKT sikurudi kanisani tena.Ee YESU nakuomba uwalinde watumishi hawa ili waendelee kutufunulia siri za mbinguni.Amina
@FloraSamwel-p1x
@FloraSamwel-p1x 5 күн бұрын
Halelluya mashujaa wa BWANA mliyo teuliwa kwa nyakati hizi msimame na injili ya kweli halelluya wafalme nami ni mfalme pamoja nanyi halelluya
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 5 күн бұрын
Aliyezaliwa na wito ndani yake hawezi potea... hata ukaenda wapi Mungu ako pamoja nawe. Piga kazi ya Bwana mtumishi
@FloraSamwel-p1x
@FloraSamwel-p1x 5 күн бұрын
Halelluya wafalme wa BWANA
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u 5 күн бұрын
Si kweli, MUNGU ANA WATU WENGI, MWILI WA KRISTO DUNIANI NI MKUBWA NA VIUNGO VYA KRISTO NI VINGI,SIYO WEWE NA TENGWA TU,MSIJIDANGANYE KRISTO ANA WATAKATIFU WENGI
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 5 күн бұрын
Mnaona kwa macho ya nje kwamba kristo ana watu wengi! Wapo ndio wanaohubiri tubuni lakini omba kujua mioyo yao ni wauaji, waasherati, wazinzi. Kwa hivyo ni wakati wako kusimama kama wewe uchunguze moyo wako na kuomba Mungu akafungue macho ya rohoni
@johnmgaya2280
@johnmgaya2280 5 күн бұрын
Kwani Mtumshi ,Mungu Katika Israel Alipo muinua Gideon kama muamuzi wakati huo unataka wewe kusema kwamba ,unaweza kumuelekeza majira yanapo anzia na yanapo ishia pia Hata ikatokea Mungu akakuonyesha mtumish wa kweli ambaye moyo WAKO unataka utayatenda Sawa sawa Mtu wa Mungu.
@jeremiambeho1977
@jeremiambeho1977 5 күн бұрын
Pole mungu akusamehe sana huo ni ufinyu wa kiroho kisimani na kiufaham
@jeremiambeho1977
@jeremiambeho1977 5 күн бұрын
Hata Hawa watumishi waitwa Kwa vipawa vyao usiwapinge
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 5 күн бұрын
Mungu anawatu wengi mno Mimi mwenyewe nimechaguliwa Na kumbe napewa niwaambie watu watubu Maana Ufalme wa Mungu umekaribia ,Mkisema hivyo mnampangia Mungu kaxi? Acheni kujiinua Sana Nasema hivi Mungu anawatu wengi Sana na wanahubiri injili yakweli kabisa ,Wengine walioitwa na Mungu inamaana mnawaweka kwenye fungu gani? Naomba kujibiwa
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 5 күн бұрын
Ukijua moyo wa mtu basi huwezi sema ni wengi. Sema wewe upo maana sasa katika makanisa mengi ulimwenguni wachungaji wengi ni nyoka madhabauni na watu hawajui.
@FloraSamwel-p1x
@FloraSamwel-p1x 5 күн бұрын
Halelluya
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 5 күн бұрын
Kweli KBS Mtumishi watu wA MUNGU tupo wengi Sana,Ila watu Hawa n'a akina mbalikiwa wanachemka kupita kiasi wampokea Roho bila mafundisho sahihi walipaswa kwanza kutulia,hâta Eliya aliwaambia MUNGU manabii wote wamekufa akasema Bado nimejisazia Manabii Bado hawajamuabudu baali,Duniani Kuna watu wA MUNGU wengi Sana,mengine asemayo hayakutoka Kwa MUNGU mara eti MUNGU anasema mambo yote ni ushenzi kweli,
@estersamwel721
@estersamwel721 5 күн бұрын
Mambo haya ni Siri, wengi watasikia lakini hawataelewa na Injili hii niyawatoto wachanga, wenye kutafiti, wenye kuchunguza, wenye kujifanya wanajua, kumbe hawajui liwapasalo kutenda, nawapa pole, Maana tofauti ya wanawali wa5 wenye busara na wanawali wa5 wapumbavu tofauti Yao ulikuwa muda, yaan waliupoteza mda kama ww unavyo uchezea mda, kwa hiyo hakuna haja ya kubishana mwisho utaamua Mwenye hekima na mpumbavu.
@FloraSamwel-p1x
@FloraSamwel-p1x 5 күн бұрын
Halelluya wafalme wa BWANA
@FloraSamwel-p1x
@FloraSamwel-p1x 5 күн бұрын
Halelluya wafalme wa BWANA
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 94 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 90 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 20 МЛН
#Live : 11.7.2024 OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 738
LIVE: MAOMBI YA KUKUMBUKWA NA MUNGU // ASUBUHI YAKO YAJA
53:58
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 21 М.
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 995 М.
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 60 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 41 М.
HUWEZI KUFANIKIWA BILA KUFUATA HATUA HIZI
1:17:12
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 52 М.
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 48 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 94 МЛН