Siri Yangu || Enock Jonas

  Рет қаралды 295,613

FEVALLY MAJAY TV

FEVALLY MAJAY TV

Күн бұрын

Пікірлер: 240
@zubedamae-ro1jx
@zubedamae-ro1jx 2 күн бұрын
Yaan hii nyimbo nikiimba hua napata nguvu zakuomba sana ❤🙏🏾 Mungu ndio msiri wetu haswa ss MAYATIMA 😢
@AgnesBoke-dg4ct
@AgnesBoke-dg4ct 11 ай бұрын
Be blessed man of God
@samsonouma5303
@samsonouma5303 12 күн бұрын
Sometimes Niki kumbuka vitu nime pitia ni Mungu ndio Siri yangu
@AgnesMasinui
@AgnesMasinui Ай бұрын
Nikweli kabisa wakati mwingine watu wanakuona uko sawa lakini moyoni unalia,lakini tumaini liko kwa yesu,ni yesu pekee unaweza ukamwambia Siri Yako maana ako na suluhisho❤
@MaombiFrancine-s3g
@MaombiFrancine-s3g Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah amen 🙏
@Vhlmk
@Vhlmk 5 ай бұрын
Nikikumbuka wanachopitia wazazi wangu😢😢😢😢Cancer ,kuchukiwa bila sababu Plz God intervene its too much
@Gloria-eq6rg
@Gloria-eq6rg Жыл бұрын
Unanikumbusha far sana natamani mtoto ila nashindwa niambie nani ni wewe tu najua mungu utanipa furaha yangu irudi
@catherinenjeeri649
@catherinenjeeri649 Жыл бұрын
😓
@maureennthenya191
@maureennthenya191 Жыл бұрын
From your mouth to God's ears,,, soon a cry will be heard in your house dear jipe moyo,,,, may He remember you the same way He remembered me after 7yrs of waiting, He is going to give you a testimony dear so just worry less becoz He know and it's not like He has forgotten, the blessings might have delayed but He will answer soon for His blessings comes slowly but they have no regrets I promise you 🙏🙏🙏🙏
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
Amen and Amen 🙏
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
Kuwa tu na imani, hivi karibuni Mungu atakujibu 🙏
@mikeyogoyogo4600
@mikeyogoyogo4600 Жыл бұрын
Pole
@MercyNyongesa-c7c
@MercyNyongesa-c7c Жыл бұрын
Ameni 🙏🙏🙏🙏
@PeterHillary-er9ln
@PeterHillary-er9ln Жыл бұрын
Be blessed you songs blesses me
@janineingabire2042
@janineingabire2042 8 ай бұрын
Amen Amen Mungu upewe sifa naheshima
@Furaha-b7j
@Furaha-b7j 11 ай бұрын
Ameni
@veronicahvaatimwanguli2882
@veronicahvaatimwanguli2882 Жыл бұрын
God help me
@RoseOtunga
@RoseOtunga 2 ай бұрын
Amen, amen.. barikiwa mtumish wa Mungu, Mungu ajua Siri ya maisha yangu.. wacha ani tende mema.
@MarcNGARUKIYE
@MarcNGARUKIYE Жыл бұрын
Amen mungu akubaliki Kaka akuzishie imani
@mercymika
@mercymika Жыл бұрын
ukweli huu wimbo umeniguza sana mungu akubariki maana unaendlea knitia moyo
@Millie-q6x
@Millie-q6x 10 ай бұрын
Siri ya moyo wangu yesu nisaidie ❤
@YustaMajaliwa
@YustaMajaliwa Жыл бұрын
Mungu.akubaliki.sana
@brendabii7924
@brendabii7924 Жыл бұрын
Amen. Mungu unikumbuke na hitaji langu la ndani. Unayejua Siri ya moyo wangu, Ni Wewe Tu.
@SarahWilson-e9y
@SarahWilson-e9y 4 ай бұрын
Asante mungu Kwa wimbo huu unanipa faraja mno ubarikiwe mtumishi
@Gladys-n1g
@Gladys-n1g 10 ай бұрын
Only God understand our hearts,huu wimbo inanikumbusha my bro who is in jail hope zangu ilisha kabisa ,nikisikia hii wimbo can't control my tear
@MukuloNechesa
@MukuloNechesa 6 ай бұрын
Amen, unaijua siri ya moyo wangu najua utatenda Mungu.
@dorinemoracha5864
@dorinemoracha5864 Жыл бұрын
Ameni, bro kaa sisi tuko golf ⛳ 🇸🇦 yye tunapitia n yy hanajua siri xetu, mwadamu hawezi njua asante mungu
@VERONICAWAYUA-k2r
@VERONICAWAYUA-k2r Жыл бұрын
Siri ya Moyo Wangu ni wewe wajua Yesu nisaidie Mwokozi
@marysimon2482
@marysimon2482 Жыл бұрын
Kweli ni wewe unajua yale ninapitia ewe Bwana wangu. A good song 😭😭😭😭
@leeh2767
@leeh2767 Жыл бұрын
Only God can understand what's going on inside our hearts Be blessed 🙏🙏🙏
@winiechebetbera9541
@winiechebetbera9541 Жыл бұрын
Only you God 🙏🙏🙏 it's true
@janineingabire2042
@janineingabire2042 7 ай бұрын
Amen ❤
@rosemutinda9466
@rosemutinda9466 Жыл бұрын
May this song hit millions of views and likes
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
Amen and Amen. Blessings to you dear sister 🙏
@LilianOmari-po5kw
@LilianOmari-po5kw 6 ай бұрын
Amen and amen
@lydiahmogaka6423
@lydiahmogaka6423 Жыл бұрын
Ninacho kipitia mungu tu ndiye anajua, ni mwambie nani siri ya moyo maswali yamejaa moyoni, siri ya moyo wangu ni wewe unaijua
@Mary-d8r
@Mary-d8r Жыл бұрын
Kweli ni mungu tu ajuwaye uchungu wa moyo wNgu nisaidie mungu video zako sinanifunza mengi keep up bro
@ChristopherBukachi
@ChristopherBukachi Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 hii wimbo imenikumbusha nilikotoka
@lennoxkalume2517
@lennoxkalume2517 6 ай бұрын
😂😂😂nalia tu mm ila mungu pekee ndo anajua minayo pitia
@VenessaYvonne
@VenessaYvonne Жыл бұрын
Only God bro l love this song hua inafanya hadi machozi inantoka God bless you 🙏
@LeviOndeyo
@LeviOndeyo 4 ай бұрын
Mimi nilifiwa na wazazi wote..hadi nikipitia changamoto nashindwa wa kuambia machungu yangu wala wa kunielekeza anakosa...badala yake navumilia tu na maumivu moyoni mwangu kama kidonda..😭
@highfaitkwamboka4398
@highfaitkwamboka4398 8 ай бұрын
My situation right now 😭😭😭 nimwabia nani Siri Yang mungu 💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭
@RehemaNgumbao-f1s
@RehemaNgumbao-f1s Жыл бұрын
Amen amen siri ya moyo wangu unaijua wewe mokozi
@polinependo270
@polinependo270 Жыл бұрын
Amen 🙏
@AnnSudi-bw7ue
@AnnSudi-bw7ue 11 ай бұрын
Amen
@ErickBundi-nl8np
@ErickBundi-nl8np 7 ай бұрын
Kweri akuna mtu ambaye naeza ambia Siri yangu ila tu wewe mungu wangu
@NaomiJosia
@NaomiJosia 8 ай бұрын
Nyimbo inanikumbusha Baba yangu kipenzi nilimpoteza kama 12years now R.I.P daddy 😭😭😭😭😭
@samweli7985
@samweli7985 4 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu, mungu atatusaidiya kupitiya nyimbo za mtumishi wake
@NaomiJosia
@NaomiJosia 3 ай бұрын
@@samweli7985 amen
@norenemuoki2130
@norenemuoki2130 Жыл бұрын
😢😢😢Siri yangu🙏🙏🙏 barikiwa for the song,,so touching sijui nani mwengine anafeel😢😢😢
@maximillajepkogei2800
@maximillajepkogei2800 11 ай бұрын
I feel it it touches me a lot
@collinssinclair
@collinssinclair 11 ай бұрын
Aminaaaa kwa bwana, wimbo uu ni baraka kwangu, it tells a lot from deepest part of my heart.mungu tuu
@MeledonEzila
@MeledonEzila 6 ай бұрын
Siri niya yesu kabisa
@Salome-pr3ce
@Salome-pr3ce Жыл бұрын
Amen hakika niyeyetu ajuaye siriyangu ²
@eunicebosibori4094
@eunicebosibori4094 Жыл бұрын
Ni kweli mungu tuu ndio najua sili yangu 😭😭😭😭😭😭
@veronicahurunda
@veronicahurunda Жыл бұрын
kuna wakati Mungu anaweza kukupitisha sehemu ambayo utahisi maisha yako yapo ukingoni kumbe ndo anakutengeneza na kujipatia utukufu kupitia wewe MUNGU AKUBARIKI SANA KAKA ANGU KWA UJUMBE MZITO KAMA HUU 😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@DamarisNdiwa-d7r
@DamarisNdiwa-d7r 3 ай бұрын
Amen ,,,Jana nmepita mahali nasikia hii wimbo at least Leo nmepata thanks for encouraging me 🙏life has not been easy
@JanethDastan-tr9xf
@JanethDastan-tr9xf 6 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu kazi yako ni njema sana
@janejane8923
@janejane8923 10 ай бұрын
Amen ni Mungu tu pekee thanks more blessings
@samsonkithi9225
@samsonkithi9225 Жыл бұрын
Mungu abariki kipaji hiki nasi tufate nyayo zako
@DivinahOnsomu-vt9ms
@DivinahOnsomu-vt9ms Жыл бұрын
Asante kaka yetu kutubariki na wimbo mtamu imebidi nikauweka ringtone
@violetpaul4555
@violetpaul4555 Жыл бұрын
Ni Mimi aki Niko Kwa hio situation wooi Go help me
@shellmithmoringo
@shellmithmoringo 2 ай бұрын
when I hear this song tears come out of my eyes 😢😢😢
@WizzyMohaa
@WizzyMohaa Жыл бұрын
God blessed your song bro
@edina-f6j
@edina-f6j Жыл бұрын
Kupitia wimbo huu, nimepata nguvu za ajabu, Amani imepatikana moyoni mwangu, na ninajua vita nitashinda. May God bless you.
@CateWachera-i4b
@CateWachera-i4b 8 ай бұрын
Umebaki niwewe pesa yako mungu wakunisaidia❤❤❤❤❤❤
@Zipporah-n4x
@Zipporah-n4x 7 ай бұрын
Mungu wangu wewe pekee unajua Siri ya moyo wangu
@MivanuelSwizer
@MivanuelSwizer 6 ай бұрын
Mungu n ww tu unajua Siri ya moyo wangu furaha na amani yangu iliyopote n ww wakunirudisha
@veronicachacha7186
@veronicachacha7186 Жыл бұрын
AMINA Ubalikiwe sana
@MaombiFrancine-s3g
@MaombiFrancine-s3g Жыл бұрын
Amen 🙏 Amen amen
@LeviOndeyo
@LeviOndeyo 5 ай бұрын
God bless you brother,,you've touched my heart really of my experience...😢😢❤
@marymunyao8596
@marymunyao8596 10 ай бұрын
This song ❤
@stellamduvike9552
@stellamduvike9552 11 ай бұрын
Umeimba ukweli kaka mungu akubariki
@LeviOndeyo
@LeviOndeyo 4 ай бұрын
The really life I'm passing through..God need your cover...enemies surrounds me even if i do good,they mock me!!😢 😢..
@ruthmwendwa8751
@ruthmwendwa8751 Жыл бұрын
When i listen to Enoch Jones songs they always give me memory of my late brother especially tenda kwangu and bado naedelea but i do try to take heart 😢😢
@janejane8923
@janejane8923 10 ай бұрын
Amen siri yangu ni yesu
@faustajuma407
@faustajuma407 Жыл бұрын
Hakika huu wimbo umekuwa faraja Kwangu yaan hakika mungu Ni muweza wa yote barikiwa kwa wimbo huu
@reubenk3951
@reubenk3951 Жыл бұрын
Amen!! Siri yangu Yesu peke yako waijua!!!!
@RichardSande-pk2oc
@RichardSande-pk2oc 10 ай бұрын
God 🙏🙏 bless you brother you touched my heart ❤
@PericeTunai
@PericeTunai 10 ай бұрын
Barikiwa
@Mercysammy-y8c
@Mercysammy-y8c 5 ай бұрын
Naipenda sana hii wimbo
@MarthaSamwel-s7s
@MarthaSamwel-s7s 5 ай бұрын
Ee ni wew tu ujuae tunayoypitia kweny kaz na pamoj na famlia zet fanya njia pasipo na njia
@priscahchepkwony
@priscahchepkwony Жыл бұрын
🎉🎉
@feithkalunde4253
@feithkalunde4253 Жыл бұрын
I love this .. but nisaidie na cheza kama daudi please
@aduvagaAlice
@aduvagaAlice Жыл бұрын
Oh Jesus, this song sends me into tears What an emotional message😢😢😢😢😢
@halimamtunguja5947
@halimamtunguja5947 Жыл бұрын
😢😢
@Nandiqueen-c6b
@Nandiqueen-c6b 8 ай бұрын
God this is how am down ear me out😢
@AnnaMwanza-t6u
@AnnaMwanza-t6u Жыл бұрын
I love this song... though am going through hard time but I know God is with me..
@RosenaharsonDikison
@RosenaharsonDikison 4 ай бұрын
Hii nyimbo inanibariki sana
@achiengMilly-nl6dq
@achiengMilly-nl6dq Жыл бұрын
I love this. Song
@winfredmutindi8319
@winfredmutindi8319 Жыл бұрын
Siri ya moyo unaijua yesu
@lydiaakinyi2642
@lydiaakinyi2642 Жыл бұрын
Only God who knows especially gulf people only God who knows what they are going through.
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
All is well 🙏
@JanethNgowi-o6p
@JanethNgowi-o6p 3 ай бұрын
Ubarikiwe kaka kwa wimbo kunanikumbusha mbali sana
@dorahsau4115
@dorahsau4115 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sn hii nyimbo inanigusa sn 😭😭😭😭😭😭
@edina-f6j
@edina-f6j Жыл бұрын
Dear Lord, you're the Only Hope in my life.
@veronicanekesa2134
@veronicanekesa2134 Жыл бұрын
Only you Lord can understand what's going on our hearts more blessings my lovely brother tunakukarisha Tena Kwa ibada yetu
@alicekatush9388
@alicekatush9388 Жыл бұрын
God you know my desire please lord hear my prayer
@sarahnamhezi7416
@sarahnamhezi7416 Жыл бұрын
How I feel it's only God knows, hakika ni Yesu pekee anayenaya jua siri ya moyo wangu😭😭 am feeling uplifted spiritual 🙏🙏🙏
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
Amen and Amen! Glory Be To God 🙏
@HellenWesonga-x4g
@HellenWesonga-x4g Жыл бұрын
Mungu tu ndo anajua siri ya moyo wangu😢😢😢....
@phelisterschelimo
@phelisterschelimo Жыл бұрын
Hyo wimbo imeniguza sana nikasikia kulia
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
That's the nature of life my sister! Remain Blessed 🙏
@philipomariba9512
@philipomariba9512 11 ай бұрын
God may bless you brother,you are really such an inspiration 2:16
@ArãoKahambaKambonga
@ArãoKahambaKambonga Жыл бұрын
Muito obrigado por Deus te proporcionar esta grande tarefa de O Salmodea-Lo com hinos de louvores
@alberthusseinkassa9929
@alberthusseinkassa9929 Жыл бұрын
Be blessed abundantly man of God, you have captured my heart ❤️. The only one can acknowledge the secret of my heart is you Lord Jesus
@reubenk3951
@reubenk3951 Жыл бұрын
Oooooh yes my song of the year
@CLAUDIAHSOGAO
@CLAUDIAHSOGAO 2 ай бұрын
Nice song reminds me far❤❤❤
@JosephKitsao-k9e
@JosephKitsao-k9e Ай бұрын
Blessings song barikiwa brother
@ashleykazungu
@ashleykazungu Жыл бұрын
Inangusa sana ubarikiwe
@ashleykazungu
@ashleykazungu Жыл бұрын
❤😢
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
Pole, all is well 🙏
@etiennemukungakaduli7819
@etiennemukungakaduli7819 Жыл бұрын
Asante kwa kunibariki na nyimbo zote ulisha tubariki siku kwa siku
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
Amina Amina 🙏
@nancynzinah8290
@nancynzinah8290 Жыл бұрын
Be blessed 🙏 bro huu wimbo umebariki sana moyo wangu wakati huu mugumu 😭😭💔 MUNGU akubariki sana 👏
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
Aminaaa 🙏
@elizabethlucky8200
@elizabethlucky8200 Жыл бұрын
Unaubariki sana moyo wangu asante 🙏 na Mungu akuzidishie
@fevallymajaytv294
@fevallymajaytv294 Жыл бұрын
Amina 🙏
@lilianagana4200
@lilianagana4200 Жыл бұрын
Good music with moral message.🥰
NGAI WAKWA NI UNJUI BY SAMWEL KAGUCHU
5:02
Samwel Kaguchu
Рет қаралды 58
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,7 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 162 МЛН
ENOCK JONAS - TENDA KWANGU
5:24
Enock Jonas_Truehome Tech Ltd
Рет қаралды 1,5 МЛН
Siri Ya Machozi
7:54
Mercy Ken - Topic
Рет қаралды 34 М.
Yesu Nishindie
4:35
Enock Jonas_Truehome Tech Ltd
Рет қаралды 359 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 6 МЛН
Yona Chilolo - Nakutegemea Baba 0fficial 4K Video 2023
6:40
Yona Chilolo Official
Рет қаралды 1,9 МЛН
WARAKA WA AMANI ESTER
12:55
fimtespa
Рет қаралды 204 М.
MAOMBI YANGU Bella Kombo cover YAFIKE KWAKO AND HIYO DAMU, DAMU TAKATIFU WORSHIP BY DANYBLESS
25:33
Dunia iko Mwishoni - Paschal Cassian (official lyrics video)
6:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 495 М.
Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba
41:37
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 1,1 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН