Ukweli mtupu wangapi mmerudia kuangali uu wimbo tia like apo
@HARMONITZ3 ай бұрын
Siyo kuangalia kuusikiliza
@GabrielMwakasitu3 ай бұрын
Hakika mtumishi wa Mungu
@Aririveronicah11 күн бұрын
Real jameni
@EliasKimathi-h9fАй бұрын
Jameni hii ndio time ya kurundi kwa BWANA wetu YESU KRISTO wa NASARETH ,Kama uko ready gonga like hapo.
@zawadimwakapala79354 ай бұрын
Kuongea ukweli na kuanika watu kama Hawa sio Bure ni lazima uwe uwe tayr Kufa Kwa ajili ya kristo.........may blood of Jesus protect you!!!!!!!
@justuslibese60144 ай бұрын
Amina
@JohnAlagwa4 ай бұрын
Kweli kbc
@AllyJackson-sd6kg4 ай бұрын
😂😂😂
@BrianChanachayo4 ай бұрын
Hii nyimbo ni hatar.....ubarikiwe sana mtumishi
@MasanjaSamweli-b3r4 ай бұрын
Kweli
@Catekathika884 ай бұрын
anymkenya Kwa hii nyumba please like my comments mpaka huyu mtumishi alete hii ukweli Kenya,barikiwa sana kutoka Kenya🙏🙏 anybody from tiktok family like my comment,🎉
@gibranhakika4 ай бұрын
❤
@ramadhanwetoto83294 ай бұрын
Huyu mtumishi nmemfollow for long Hata walijaribu kumuua alipata accident mbaya sana juu ya ile song ya Dunia kwaheri Saizi naona ako sawa bt alinyang'anywa mke,
@ramadhanwetoto83294 ай бұрын
❤
@StephanieChirie4 ай бұрын
Exactly 🎉
@harrietajiambo2294 ай бұрын
@@ramadhanwetoto8329alikuwa freemason akatoroka hio ajali fwatilia story yake poa mkewe alikufa au vip
@sinomiles4 ай бұрын
Hizi ndizo nyimbo tunazo zihitaji na sio nyimbo zakutufariji tu. Kweli yote Yesu aliatabiri yote. Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU Pascal Cassian.
@LydiaMasatu3 ай бұрын
Hakika
@PrinceMbwana-i5o2 ай бұрын
ameni ameni ameni
@PrinceMbwana-i5o13 күн бұрын
ameni ameni ameni
@AbdulShegoshwe-bm9ui4 ай бұрын
Mi muislam lakin kawimbo kamenigusa sana mpaka nasisimka kaka hongera sana kwa maono makubwa na ujasiri wew ni mfoasi wa mchungaji HANANJA
@isaya.m.mwakapesa98084 ай бұрын
Mimi hua nakuelewa nilisha mwomba MUNGU Asikuache na akulinde kwa Damu ya Yesu Ameen.
@CreedySotte-ko8zj4 ай бұрын
Hivi unajua ya kwamba naye shetan ameanda wainjilist wake ili watu wakiwaona wawaone kuwa wanafanya Kaz nzuri ya MUNGU
@IskariMasawa4 ай бұрын
Hoja unataka kusemaje Kwa mhubir huyu@@CreedySotte-ko8zj
Ujumbe umeingia vizuri Mungu. mlinde mtumishi wako zidi ya wabaya.
@medisonburianraismakufurip75913 ай бұрын
mungu amulinde
@CrispinHezron3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi, wapendwa wa Mungu ninan bado hajui mpaka hapo Dunia inaelekea wapi ukweli Turudi Kwa Mungu haraka sana
@SandeMvyimba-xm8bn3 ай бұрын
Pokea maua yako kaka 🎉🎉🎉 hakika umeupiga mwingi. MUNGU aibariki KAZI ya MIKONO yako huu ni ukwel kabisa sasa hivi shetani amejua kwamba hakili ya binadam wa sasa inapenda miujiza na mafanikio. Na ndiyo maana nyimbo za sasa watu wanaimba ili wapate pesa na siyo kumuimbia MUNGU wa mbinguni...!!!!!!!! MUNGU akubariki san
@AgnesLuwole4 ай бұрын
Baba umewatolea uvivu umeamua kiwapa dawa yao Mungu akukumbuke na ailinde karama yake ndan yako AMINA
@DenGospels4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@EliaHiluka22 күн бұрын
Nakumbuka kuna mwimbaji mmoja anaitwa kassiann alitoa kama karipia juu ya mawigi ndani ya nyumba ya Mungu na akasema kuwa mbona askofu mkuu yupo kimya na leo limetokea hili
@ntulloboy29164 ай бұрын
Wasio elewa juu ya huhu wimbo jaman mungu awafungue kwa jina lake takatifu
@BRANDIAFRICA4 ай бұрын
Ameni
@johnsylivester84124 ай бұрын
Ujasiri ulionao tu inaonyesha MUNGU anaishi ndani yako
@susanaseyonyundo96894 ай бұрын
Kabisa 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@BoazWalumbe-sn9rf3 ай бұрын
Kabisa
@Pendopasilika2 ай бұрын
Kabisa
@EzekiaMtwaleАй бұрын
kweli!
@KarolinaOmanАй бұрын
Si Bure ,kabisa huu wimbo jaman mpaka uchungu
@cchuwa69804 ай бұрын
Ninacho kukubali unajiamini dadeki makuombea uwe na maisha marefu sana❤
@PantaleoEdward4 ай бұрын
Hata nyie mliocoment Mungu awabariki
@Dominant974 ай бұрын
😂
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r3 ай бұрын
Asante ❤
@PeniJohn-v6x3 ай бұрын
r
@PrinceMbwana-i5o2 ай бұрын
ameni ameni ameni
@ZitaJoseph-bb5wh2 ай бұрын
Amina
@Berenaldo774 ай бұрын
Huu wimbo umetoka mbinguni kufungua watu macho waone
@KennyMusic-k2z3 ай бұрын
Kweli
@Hbiri2 ай бұрын
Nikweli kabisa
@MathiasMbawala-qw2ss4 ай бұрын
Dunia ipo ukingoni kweli kabisa mtumishi wa MUNGU ujumbe mzuri
@MAJIYAUTULIVU.BIBLIA4 ай бұрын
Pascal nyimbo zanamna hiii ndio zinakufaa Sana. Mfano kiapo Cha dam. Siku za mwisho, Mungu anakuita Urud,. Wewe umeitiwa nyimbo za kuonya ujumbe unapenya sana , Huu wimbo nimekuelewa sana na zingine za kuonya. Nyimbo za kutia moyo waache waimbe walio pewa hiyo kaz. Wewe piga msumal kwenye maonyo. Najua inakugalm kuongea ukwel. Mungu atakufanya uishi katkat ya bonde la mbwa mwitu nawe utakaa salama sana,
@israelisponsor87554 ай бұрын
Upo sahihi
@JoyceGrigory4 ай бұрын
Hkika huyu kannada sahihi
@josephatmuli63284 ай бұрын
It true we are toward end time
@corneliuschinungwe932922 күн бұрын
Even I don't understand the language, whenever I pray your songs I feel much blessed as always 5:52 . Keep sharing songs, wish one day even to worship with you in your congregation all will be well with me. Sending love from Zambia🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 Christian nation
@MudrickMzazi3 ай бұрын
Anko anajuwa Sana .siku zote usifanye ujinga Kwa kutegemea utasifiwa mazury ukweli umesemwa na kama kuna. Yyte alie umezwa na uhu ujumbe basi adili na mungu maan uyu katumwa na mungu afikishe uhu ujumbe nadhani wale. Wenye d2 mtakua mmenielewaa
@josephinejofrey9766Ай бұрын
Kabisa wapambane na Mungu mwenyewe
@FloraDannАй бұрын
Congratulations pascal ,hizi ndizo message watu wahtaji and libwabadili mwenendo,Go on brother God bless you,Tunning from Kenya
@WilliamMunga-e3j2 ай бұрын
Tuzidi kushea wimbo huu uwabariki wengine,vijana kama hawa tunatakiwa tuwaombeeee sana ,wana maono makubwa na kazi ya Mungu.hii ni imani ya shadrack,meshack na abednego
@PrinceMbwana-i5o2 ай бұрын
MUNGU awalinde ameni
@Winnieunny2 ай бұрын
Kbsa mungu awalinde tu
@PendopasilikaАй бұрын
Ameen kweli MUNGU awalinde sana
@ElizabethBunzali24 күн бұрын
Mtumishi Mungu alibariki sana ww ni mfano wa stephano upo tiyali kwa lolote huogopa kuporwa mawe ni wachache sana watu wakili kuimba nyimbo kama hizi kwasababu hiyo wanaagalia soko damu ya yesu ikufunike imegusia sana moyo wangu kikubwa ni kuomba neema hata kwa wengine isitupite make hatustahili kwa baba mubarikiwe sana muliokoment
@joycemakokha9648Ай бұрын
Neema ya Mungu yanitosha sitarudi nyuma nitakaa uweponi mwako siku zote ya maisha yangu
@erickrobson5384 ай бұрын
Kamanda Moja la Yesu linajitutumua ishi saana Mkuu
@DanyKyungu25 күн бұрын
Que Dieu vous bénisse l'homme de Dieu seigneur conduit moi toujours dans la vérité.merci
@edmmusyoka21674 ай бұрын
This is how the gospel was first preached by the disciples Jesus left.... fearlessly accepting whatever outcome that might come their way for speaking the truth to the evil world. Mungu tu akulinde. Big love for this from Nairobi
@MawioSeason-u1mАй бұрын
Mungu akube ujumbe mkubwa zaidi ili kurudisha kila kilichopotea
@jaredmanani84103 ай бұрын
Naipenda sana kazi yako mtumishi naomba Mungu anipe uweso karibuni nikulete kanisani ninako hubiri tufanye crusade na wewe...
@MichaelAbel-m5yАй бұрын
Rudia lnjili,acha marumbano na watu,ukiwa na neno na nduggu yako muone, muda umeisha,Mungu aliyeona mapema;mwenye uchafu. na azidi ,hivyo hubiri lnjili,ujana na mihemuka jizuie! Amen
@EliudyClassic4 ай бұрын
Hii ndiyo maana ya kusema ukweli Mungu 🙏🙏 akibariki sana
@fredyelisha268629 күн бұрын
Mungu akulinde sana mtumishi wa Mungu hakika nyimbo zako ni mwanga wa kristo ❤😊
@T.O.G.W.M4 ай бұрын
Kuna makaa yangu nilikua nimeloos kupitia wewe nimeipokea back ...........bloood of Almighty Jesus ikufunike paschal casian hukieda na hukirudi barikiwa zaidi 🙏 umewasha moto dani yangu
@JanifaYadoki4 ай бұрын
Amina
@PrinceMbwana-i5o13 күн бұрын
ameni ameni ameni
@MajanjalaJackson3 ай бұрын
Huyu director tolo mungu amsaidie sana kwa roho yake nzuri anayozidi kuionyesha kwa kuwasaidia hawa watu alianzia kwa founder na hatimaye kamshika na god, mungu akusaidie sana tolo hakika watanzania tunakuombea uzidi kuzidishiwa na kuongezewa pale unapotoa. Naandika comment hii huku machoz yakinitiririka😢😢😢
@Marinete2-lh6tl3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa kuelimisha Jamie kwa jumbe za (nabii) wimbo una ukweli wote
@rhodasalamba88184 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki kwa huduma hii njema Bwana azidi kukutia nguvu neema yake ikuhifadhi kwa ajili ya utukufu wa Yesu Kristo
@BeatriceMorgan-dd5ou18 күн бұрын
Mtumishi wa mungu mungu azidi kukupigania twambie ukweri
@GehaziChaula3 ай бұрын
Mungu atujalie mwisho mwema na atupe upeo wakutambua nyakati
@MOSES7TV3 ай бұрын
Nakipenda sana mtumishi
@mwanjammassa85634 ай бұрын
Kwakweli, bwana mkubwa umeupiga mwingi. Mungu akuzidishiye mara dufu
@hellenmnyazi22021 күн бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu
@rockycity72134 ай бұрын
Cjawahi kukupinga mchungaji paschal Cassian ww nimoto kabisa ubarikiwe zaidi 🙏
Kweli kabisa mungu awe nawe uzidi kutukumbusha tamaa za mali na dunia zinatuhada. Asante mungu
@StanleyMkolomoto-y2g2 ай бұрын
Dada unaimba vzr nimerudia mara 10000000
@LightenessEvaristo-lc3fm4 ай бұрын
Ameeeeen mtumishi wa mungu asiye kuelewa hana bahati
@BlessingSorekorerimanaАй бұрын
Asante sana kwa wimbo huu. Nakufuata vema 5 kwa 5 toka nchi ya kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 mjini Goma
@LydianoNjogu4 ай бұрын
Ukweli injili ni kaa hii...tuambiane ukweli ❤❤
@MaureenMalushaАй бұрын
Ukweli kabisa mtumishi wa Mungu barikiwa sana ujumbe mzuri nimebarkiwa
@GeraldElias-s7j2 ай бұрын
Ipo siku watakuelewa na pengine watakua wamesha chelewa na hakuna nafasi tena ya kutengeneza na Mungu kwakweli Mungu atusaidie sana kanisa dunia iko mwishoni mafundisho ya uzima wa milele yamepungua sana siku hizi kanisan watu wanataka kusikia kwa habali ya miujiza tu na Yesu mtenda miujiza hawamtaki ndio mana sikuhizi ukihubili kwa habari ya kutubu dhambi utabikia na waumin wachache sana kanisan 🙏🙏🙏🙏🙏
@RKWAMBELE22 күн бұрын
Hakika
@KarolinaOmanАй бұрын
Jaman huu wimbo ,umenigusa sana , IPO siku huu wimbo wasaniii wataukumbuka ,so Bure jaman tumtumikieni Mungu maana Dunia imeisha
@catherinemutindi50313 ай бұрын
Endtime gospel song is here.wapi like tukisonga.❤❤
@hxbbxb-g7iАй бұрын
Kwakwer mngu akubalik Sana nikiwa oman napenda nyimbo zako san
@JoyceAndrea-yt1vg4 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa mtumishi wake nimebadilishwa nimeokoka ila nilikua navaa suluar kupitia huu Wimbo nimeacha
@israelisponsor87554 ай бұрын
Amina❤
@HellenSulle-m7tАй бұрын
Barikiwa sana ukiokoka unaokoka jumla
@jacksonjkatikilo81653 ай бұрын
❤❤❤❤❤Safi tupe uponyaji Baba tupone
@sephaniaelisha14414 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi ukweli Kwa sasa umekua sumu ukisema tu vita vinaibuka
@OstakiaCornely27 күн бұрын
Baba anaimba nyimbo zinaujumbe nabarikiwa
@veroniquegershomu91974 ай бұрын
Saut ya mtu aliaye nyikani Yesu akufunike Kwa damu yake 🙌🙌🔥
@EbethBenson15 күн бұрын
Mungu akulinde uendelee kuwafungua watu ufahamu AMINA
@Emmanuel-b4g1n4 ай бұрын
Mungu akulinde ndugu,na amani ya Kristo iwe nawe nabarikiwa nikiwa Mombasa Kenya 🇰🇪🙏
@marryelias7322 ай бұрын
Ubarikiwe PASCAL MTUMISHI wa MUNGU❤
@JOSUESengamuyumba3 ай бұрын
Dah nakupenda Sana Pastor wangu mpendwa. Ila Beat ya uu wimbo aijakaa vizuri mimi ni mtumishi wa mungu josue toka congo DRC
@ElikanaSamwel-y1oАй бұрын
Kaka barikiwa san mungu akulinde san nakuku bali na ukweli mtupu 🎉
@majimotostudio4 ай бұрын
Kaka Mungu akusimamie Umewapa ukweli waooo🎉🎉🎉🎉
@MaryGwau-yq8yqАй бұрын
MUNGU akupe maisha marefu mtumishi wake.uishi mileleee
@StyvenMbisu4 ай бұрын
Pasteur Mungu wa mbinguni akulinde kwa mitego yoyote île!! Ulindwe na Mungu tumesikiya ujumbe kwa kweli!!
@Juma-l4r2 ай бұрын
Hakika ni ukweli mtupu.mungu tuchukue tu ufqnye uumbaji mpya
@irenemoseti45844 ай бұрын
I wish mtumishi paschal ungekua uku kwetu kenya, anae taka kungia mbinguni hawezi kuikana injili ya kweli. Ni yesu mwenyewe anaeubiri ndaniyako. Kazi alio iazisha ndani yako ataimaliza mmwenye, mtumshi tuko wengi tuokukubali na ujumbe ulio ndani yako. Songa mbele mtumishi kiongozi wako yesu yupo mbele yako na damu yake ikufiche siku zote na familia yako amen.
@agnesspaul18662 ай бұрын
❤❤❤❤ Mungu awe nawe ubarikiwe
@REBAWANYAMA-mk7ng3 ай бұрын
Nafurahia roho mtakatifu kukufunulia huu wimbo,mie nko Kenya,Kenya Kuna NABII MKUU An ahubiri hsiku na mchana lakini watu wanachukizwa,barikiwa zaidi.
@erenestyagesa112 ай бұрын
Kaka wimbo mzuri sana MUNGU akubariki
@IreneShadrack-p6c4 ай бұрын
Anawakumbusha tu jaman na manabii wetu tulonao saiv anakupuliza unaanguka chini unajua unajini ndo limetolewa kumbe ndo umeliwekewa eeh mwenyezi mungu tuokoe
@YustinMillinga3 ай бұрын
Hongera sana kaka kwa kutufumbua kwa huo wimbo...😅😅😅
@CatherineMutia-we8pe4 ай бұрын
Cassian may the precious blood of our Lord Jesus Christ protect you,napenda sana nyimbo zako very inspiring.🙏🙏🙏🙏
@Neemajolamokataly3 ай бұрын
Amina mchungaji m kira siku nausikiliza ❤
@zakayomoleli4 ай бұрын
Huyu ni mtu wa thamani sana kwa mkirsto anayejitambua,mungu ananijua watumishi wake wa kulionya kanisa
@basilididaudi23332 ай бұрын
Barikiwe sana, wachache sana wanaohubiri ukweli
@RameraMwaipe3 ай бұрын
Mungu akubark Sana Sana mtumish wenye masikio wamesikia na wenye macho wameona amina
@adecals44313 ай бұрын
Be blessed my brother may almighty God remember ÿou🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@VictoriaCharles-k8t4 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu na akuwekee ngao na zidi ya maaduwi wanaokuwinda
@Martindavid-g5xАй бұрын
Nakuombea sana mtumishi mungu azidi kukufunulia zaidi na zaidi uwatoe watu gizani✍️
@ephellyangalia28454 ай бұрын
May the blood of Jesus Christ cover you servant of God,,endelea kuwaambia ukweli
@Esther-v9s8n24 күн бұрын
Wakristo tupo kama mazuzu sasa mbele za watu umevua nguo unaogeshwa MUNGU shuka mzima mzima utusaidie hatuwezi wenyewe YESU YESU YESU tuokoe
@thomashallu63154 ай бұрын
Kama umeletwa hapa na TikTok
@philipdhianwe93874 ай бұрын
Tiktok inatuleta huku
@mzeewaodds.37454 ай бұрын
Mimi hapa aiseee 😂😂
@AmosBPeter4 ай бұрын
Ni kwel nipo hapa
@AbdalahHamis-q3u4 ай бұрын
Mimi pia
@VeronicaChakubuta4 ай бұрын
Mimi hapa 😂😂😂😂
@kichebacossam85242 ай бұрын
Mungu akujalie kaka kwa kusema ukwel na akubariki
@MelodyChriss4 ай бұрын
Mungu ayupo kama mnavyotaka nyie ila kaimba tena vitu vya muhimu je yeye katowa wap nguvu ya kuyaimba hayo? Jiulize jiulize na wew ukikosa jibu au ukipata jibu lifikilie vzr kuhusu MUNGU
@PatriciaSidi-c4w21 күн бұрын
Unatuambia kweli Mungu azikkukupingania
@sadickmanyengule4 ай бұрын
Pascal Cassian hakika umeusema ukwel Mungu akubariki sana mtumishi wa Baba , maana tulikofikia si kuzuri😭😭 Mungu atusaidie sana 🙏🙏
@pascalinamukui84004 ай бұрын
Na kwakweli dunia iko mwisho sababu ni mengi yanatokea yajabu na ya kushangaza mungu asaidie watu wake🙏be blessed mtumishi 🙏
@happyhaule6713 ай бұрын
Mzuri sana 🎉🎉🎉🎉 p cassian hongera jmn
@TukaeSanga-z8q4 ай бұрын
Damu ya Yesu kristo ikufunike na Mungu akuagizie malaika wakulinde katika njia zako mikononi mwao wakuchukue usije ukajikwaa mguu zaburi 91 nimebarikiwa
@WillySher4 ай бұрын
Nakuombea Mungu akulinde akuepushe na wanaokuwinda 🙏
@irankundachartieret6582 ай бұрын
Ukweli kabisa barikiwa Paschal
@YohanaJustin-dz7rg4 ай бұрын
Dah paschal 🙏🙏🙏🙏 MUNGU akulnde sana
@DavidAlexis-wh1ck2 ай бұрын
Nimeirudi hii nyimbo mara🎉
@rweyerukabuka58084 ай бұрын
Ndugu taji Yako mbinguni ni kubwa, kwa kipindi kibaya tulichomo watu wanakataa kweli wanafuata mafundisho ya kishetani kama bible inavyosema, nakuombea Mungu akulinde
@latifamtamwaАй бұрын
Hatuta nyamaza mpaka kieleweke wakuite kichw sawa ni kwajil ya yesu
@josephmwangupili2834 ай бұрын
Siku zote mti wenye matunda ndo unapigwa mawe kaka Mungu akubariki sana kwa kusema ukweri
@LydiaJustin2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢Sina lakusema zaidi ya Mungu akutiye nguvu na akulinde. saaaana ndugu😢😢😢😢😢😢😢😊😊😊😊😊😊
@JohnFesto-ph8pv4 ай бұрын
Nyimbo safi San nishaidanroad mungu azidi kukubariki mtumishi
@japhetpeter4095Ай бұрын
Kwel manabii wa uongo aliotabri Yesu ndio tuliona Sasa hivi kwel maandiko yametimia