Mwalimu,unafundisha vizuri,Mimi naomba uniunge kwa group laki lakini Mimi ndo kwanza naanza hatua za mwanzo kabisa nisaidie mwalimu nijue kupiga gitaa.
@nicksonthevet3 ай бұрын
Karibu sana, utajua tu kama una nia. WhatsApp +255 686 418 546
@muryokimunyoki183510 ай бұрын
Nimependezwa ....Need to be added kwa what's up group.
@nicksonthevet10 ай бұрын
Kindly share your number so that I can add you
@petermwangi86278 ай бұрын
Somo nzuri kweli kweli kaka. Ningependa kuwa Kwa WhatsApp group.
@nicksonthevet8 ай бұрын
Tuma message 0686418546 nikuunganishe
@petermwangi86278 ай бұрын
@@nicksonthevet nitumie complete number. Niko Kenya
@nicksonthevet8 ай бұрын
+255 686 418 546
@petermwangi86278 ай бұрын
@@nicksonthevet asante
@LuthasonKimath7 ай бұрын
Mkuu mimi naomba nione masomo ya nyuma
@nicksonthevet7 ай бұрын
Nitumie message whatsapp 0686418546
@mjombake7 ай бұрын
nimependa mfumo wako kwa kufunza
@nicksonthevet7 ай бұрын
Ahsante sana, karibu
@bonfacewamwea60819 ай бұрын
Sio uchawi😅😅
@nicksonthevet9 ай бұрын
Kabisa
@Prof.Dr.SavaiGukhu8 ай бұрын
...ni mazoezi...
@nicksonthevet8 ай бұрын
@Prof.Dr.SavaiGukhu ndiyo mkuu. Mazoezi tu
@RobertChuma-s6b9 ай бұрын
Namba mkuu😊
@nicksonthevet9 ай бұрын
0686418546
@KevinKipchirchir-w6d9 ай бұрын
I like it brother but sijajua vizuri kukutanisha,,,sijui kama unaeza nitumia zingine with this content
@nicksonthevet9 ай бұрын
Zipo nyingi, nitumie message whatsapp 0686418546
@NzasaMusya9 ай бұрын
Nataka kujua solo nitumie: tips
@nicksonthevet9 ай бұрын
Nitumie message whatsapp 0686418546
@DieudonneLeani8 ай бұрын
jambo tena mwalimu wa gitaa,naona unge onesha polepole