SIRI ZAFICHUKA **Muhubiri Mwaipopo **AELEZEA MWANZO MWISHO

  Рет қаралды 12,307

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@rahmahasan32
@rahmahasan32 7 күн бұрын
Swadkta sheikh Masha Allahu umesema maneno sahihi
@AzizaHamisi-o6z
@AzizaHamisi-o6z 11 ай бұрын
Nimekuelewa sana shekh Allah akuhifadhi unaongea pwent sana Allah akulipe kwa kazi yako nzuri usikate tamaa
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Nabaki kucheka shekhe ww kiboko Allah akuzidishiye
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa sheikh maana sisi waislam tunaongoza kwa roho mbaya na choyo hatupendani tunapenda sana sifa na kuwa watumwa wa pesa kuliko kumuhofu Allah tuache unafiki waislam mashekhe mpendane muelimishane kwa faragha kuliko kukosoana mbele za alaiki mnadhalilishana masheikh mmewahi kusikia mapadri wanagombana kwaajili ya hoja km Luna kosa mnatakiwa mkosoana kwa faragha ifikie kipindi muafikiane
@SadikiKidundo
@SadikiKidundo Ай бұрын
Mungu awe nawe she he
@SadikiKidundo
@SadikiKidundo Ай бұрын
Mungu awe na we. bizin laaah
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 3 жыл бұрын
Sio wa kristo wa sasa, hao ni wa kristo wa kale, Mwenye Enzi Mungu atustiri na atu thabit yaarab katika njia ilio nyooka njia ya haqi, allahumma ameen yaarab,
@samxx411
@samxx411 2 жыл бұрын
Hakuna mkristo wa zamani na WA sasa wote sawa.
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 Жыл бұрын
@@samxx411 Tofauti ipo
@hamismabula5813
@hamismabula5813 3 жыл бұрын
Naona km unawachalenji waislam hivi!!! Ila naona ka ukweli ndani yake! Uko vizuri!
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Kwr shehe. Mwaipopo waislam inatkiwa idi. Tuswali siku moja sababu sisi nikamba moja
@salimbiaisha6466
@salimbiaisha6466 3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh wetu. Mungu azidi kukupa Elimu na Hekima uzidi kutuongoza
@ramajuma4708
@ramajuma4708 3 жыл бұрын
Takbir
@abdulbogoyo1243
@abdulbogoyo1243 3 жыл бұрын
MASHA ALLAH : SHEKH UMEONGEA POINT MUHIMU SANA: WATU WENGINE WANAULIZA MASWALI MAGUMU AMA MENGINE YA KIJINGA ILI KUWACHALENJI WAISLAMU,, INAHITAJIKA ELIMU NA HEKIMA SANA KUYAJIBU.
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
UKO SAHIHI SHEIKH MWAIPOPO.ALLAH SW AKUHIFADHI
@AzizaHamisi-o6z
@AzizaHamisi-o6z 11 ай бұрын
Shekh Kuna wengine pesa zao wamezipata kwa njia ya kishirikina au kwa kufanya uchafu ivyo kutoa sadaka anaogopa
@hamisijuma3362
@hamisijuma3362 3 жыл бұрын
mashaalla mashaalla mashaalla mashaalla mashaalla
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@sefubin4270
@sefubin4270 3 жыл бұрын
Mansha Allah 🤲🤲 unasema ukweli
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 3 жыл бұрын
Waaleikhum salam warhamtulah wabarakatul
@musakibwana4596
@musakibwana4596 3 жыл бұрын
Wahubiri nina waheshimu sana kazi munayo fanya kwakweli inachangamoto tupo nyuma yenu mola atatuongoza. ikija ibada ya kutoa waislamu mkono buli.
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Жыл бұрын
Shekh,toa majibu,utakuwa umewafundisha maswali makafiri
@muslimmuslim512
@muslimmuslim512 3 жыл бұрын
Walaykum Salam warahmatulillah wabarakatuh ninakuomba utupe majib kwayale maswali umetuoji jibu mim binafsi nimeshindwa
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Mashallah
@alimasisalumu8038
@alimasisalumu8038 3 жыл бұрын
Maswali hayo kweli yanaweza kuwachanganya kama hawajasoma, mfano QUR'AN TUKUFU 5:82 mungu hawataji kuwa wamo wachamngu bali wanajisema wao wenyewe ndio maana mungu anacort MAONGEZI yao, NA 5:51 INAMANISHA USIMUPE KAFIRI AU ADUI YAKO SIRI YAKO
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Жыл бұрын
Toa majibu,maana utakuwa umewafundisha mbinu makafiri.
@eliekalonji7805
@eliekalonji7805 3 жыл бұрын
Karibu waisilamu wote wa mathhebu ya suna waljama wamekuwa kipao mbele kwa kuvunja wisilamu kisa cha wa Africa kuwapenda aduwizao marecani na Europe imekuwa tatizo kubwa kwa wa Africa
@abdulhaleemsalim1059
@abdulhaleemsalim1059 3 жыл бұрын
Hao hawafuati ujinga wanaenda na ilmu
@hamidubakary
@hamidubakary Жыл бұрын
ustadh mwaipopo uislam kwelindiodini ya haqq lkn uislam huohuo mwenyezimungu ameupamtihani waunafiq katika uislam kunaunafiq mkubwamno semanao kwakadil utakavyosema lkn unafiq katikauislam nikama mtihanikwetu nawala usichoke kuongeanao ndivyo ilivyo makafilihawanafitna kwakuanjiayao imeshajulikana wmishonasema dini yahaqq lazma ipambwe namisukosuko ndivyoilivyo
@castroboy6940
@castroboy6940 3 жыл бұрын
sikuhizi dini miyeyusho mkristo anasilimu anakua muslam anaanza kuuponda ukristo muislam anabadili anakua mkristo anauponda uislam chamsingi kaa kwenye dini yako tuuu
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 Жыл бұрын
eti after twenty ears ni baada ya miaka ishirini na tano. Huu ni msiba Kwa Mwl huyu maamuma
@mtowarohokajificha3333
@mtowarohokajificha3333 10 ай бұрын
Shekhe walaahi staami kuwa na subira mnafanya kazi za mitume
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 3 жыл бұрын
Ni kweli sheikh mwaipopo kwanini wengine wasali leo wengine kesho?
@eliekalonji7805
@eliekalonji7805 3 жыл бұрын
Uisilamu unashuka thamani kwa sababu viongozi wadini wanaungaka na marekani na Europe kwa kuupinga wisilam kwa sababu ya pesa ndiomana Uisilamu unatupa thamani
@abdulhaleemsalim1059
@abdulhaleemsalim1059 3 жыл бұрын
Hauwezi kushuka thamani kwa sababu mungu alichukua ahadi ataulinda uwisilamu kama sio rehma za mungu hatungekua hapa na uwisilamu ungeisha lakini mungu mkubwa na uwisilamu haushuki thamani mpaka milele
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
@@abdulhaleemsalim1059 UKO SAWA SHEIKH ILA TUJITAHIDI
@eliekalonji7805
@eliekalonji7805 3 жыл бұрын
@@abdulhaleemsalim1059 tusubiri tuone tunako elekea ila nivizuri kutatuwa tatizo kabla halijawa kubwa mana wisilamu unaendesha na majambazi wengi kuliko watu wema
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 3 жыл бұрын
VIONGOZI WA SIYASA NDIO WANAOFALISHA NA TANGANYIKA KULE
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
Ni Nani au Sheikh gani aliefungisha ndoa ya Muhammad na Khadija?
@abuumudhakkir3688
@abuumudhakkir3688 3 жыл бұрын
mwaipopo nakuhusia kama unataka kuhubiri dini nenda kasome dini kwanza kwani haihubiriwi kwa ujingaaaaa...
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 3 жыл бұрын
Mwanzo wa elimu ya dini ni kuhifadhi qur'an alafu ilmu zingine zinafuata.na hakuna mwenye kuifafanua Quran kama mtume.elimu ya dini ina fani nyingi hatuwezi kupata shida ikiwa tutasoma.
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Kwani tukila siku moja kunashida gani huku nikuwapa hoja makafili jamani kundi moja nakamba nimoja ldd mbili zinatoka wap?
@mohamedabubakar7397
@mohamedabubakar7397 3 жыл бұрын
idi mbili zilianza wakati wa mtume saw kupitia hadithi ya Qurayb na ibnu Abbass Swahaba qurayb alikuwa akiishi sham amiri wake ni muawiyah alipokuja na msafara madina Alionana na ibnu Abbass hapo madina. Qurayb alimuuliza ibnu Abbass huku madina muliona mwezi lini ibnu Abbass kajibu jumanosi qurayb nae akamwambia na sisi kule shaam tuliouona siku ya ijumaa HAPA INABAINISHA YAKUWA YAKUWA MIANDAMO YA MWEZI INATOFAUTIANA TOKEA ZAMA ZA MASWAHABA BAADAE QUREYB AKAMUULIZA IBNU ABBASS JE MUTAKULA IDD NA SISI KWA KUWA TUMEWATANGULIA KUONA MWEZI ?? IBNU ABBASS AKAJIBU LAA TUTAKAMILIDHA SIKU 30 ENDAPO HATUKUUWONA MWEZI KWANI HIVI NDIVYO ALIVOTUFUNZA MTUNE SWALLA ALLAHU ALEYHI WASALLAM KWA MUJIBU WA ATHARI HII YA KUWA MASWAHABA WALIKHALIFIANA KUONA MUANDAMO WA MWEZI NA HAWAKUKUBALIANA KULA IDDI PAMOJA NI WAZI KUWA MIANSAMO INAPISHANA KWA HIYO WALIOKULA IDI KWA KUFUATA MWEZI WA NCHI INGINE TUNASEMA NI RAI ZAO NA JUHUDI ZAO ZAKIELIMU NA WALIOFUATA MIANDAMO YA MWEZI WA NCHI ZAO WAKALA IDI SIKU YA PILI WALIFUATA ATHARI YA IBNU ABBASS NA QURAYB KILA MMOJA KUFUATA TAREHE ZAKE ZAMIANDAMO
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 3 жыл бұрын
@@mohamedabubakar7397 hii Hadiyth umeitunga au umetungiwa ? ?? Hivi sham unaijua Vizuri?? Je walikuwa wanawasiliana vipi wakati mmoja yuko sham na mwengine madina?? Sasa ngoja nikuambie kutoka sham hadi Madina kwa wakati ule inachukua Mwezi mzima Kufika.
@mohamedabubakar7397
@mohamedabubakar7397 3 жыл бұрын
@@annassuleiman4508 ndugu katika imaan INAONEKANA WW BADO NI MWANAFUNZI UNAONGEA USICHOKIFAHAMU RUDI KATIKA SAHIH BUKHARI NA MUSLIM UTAIPATA HADITHI HII YA QUREYB NA IBNU ABBASS AMA ULIZIA ALIYEKOMAA KIELIMU ATAKUFUNZA NA KUKUELIMISHA TEFUTA MWALIMU AKUFASIRIE HADITHI NDIO HII رواه مسلم في صحيحه من حديث كريب مولى ابن عباس أن أم الفضل بنت الحارث بعثته في حاجة إلى معاوية بالشام، قال: فقدمت الشام فقضيت حاجتها واستهل علي رمضان وأنا بالشام، فرأيت الهلال ليلة الجمعة، ثم قدمت المدينة في آخر الشهر فسألني عبد الله بن عباس ثم ذكر الهلال فقال متى رأيتم الهلال؟ فقلت رأيناه ليلة الجمعة. فقال: أنت رأيته؟ فقلت: نعم ورآه الناس وصاموا وصام معاوية فقال: لكنا رأيناه ليلة السبت فلا نزال نصوم حتى نكمل ثلاثين أو نراه، فقلت فلا تكتفي برؤية معاوية وصيامه؟ فقال: لا هكذا أمرنا رسول الله صلى الله عليه وسلم
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 3 жыл бұрын
@@mohamedabubakar7397 mie nakuuliza wewe uliyekomaa kwa Akili yako unaona ni Sawa safari ya kutoka madina Hadi sham ni Mwezi mmoja kisha Taarifa zije Leo.. wewe unaonaje hapo??
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 3 жыл бұрын
@@mohamedabubakar7397 naomba unitajie number ya hjyo Hadiyth ili tukaitafute
@ramadhanimakange9766
@ramadhanimakange9766 3 жыл бұрын
Quran yote haina aya yeyote ambayo inagongana na aya nyengine kwahakika kabisa, hizo aya mbili ambazo shekh kazitoa wapo baadhi ya watu mpaka baadhi ya wasomi hawawezi kujibu kile kilichoelezwa kwenye hizo aya
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
Ni Nani au Sheikh gani aliefungisha ndoa ya Muhammad na Khadija?
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 Жыл бұрын
wapo watu muhimu wewe piga debe ukauze dawa.
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 жыл бұрын
MWAIPOPO BIBILIA inasema mtu awayeyote Anayefundisha injili ya namna nyingine kama sio kufundisha injili ya yesu Awe mwanadam au malaika Na ALAANIWE kwahio wewe uko upandegani ? WAGALATIA 1:6-9
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 3 жыл бұрын
MUFTI WA TANGANYIKA WEWE MWAIPOPO SIYO WATANZANIA WEWE MWAIPOPO ZANZNZIBARI NI ZANZNZIBARI NA MUSITULAZIMISHE KUWA WATATANGANYIKA TUNATAKA ZNZ NCHIYETU MTUWACHE
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
We ndio akili huna kweli
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН
MAPYA YAIBUKA MUHUBIRI MWAIPOPO ATOA TAKWIMU YA WASOMI WA KIISLAMU TANZANIA
35:24
SAUDI ARABIA WATU KUCHEZA MZIKI UCHI
30:25
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2 М.
Sheikh Mwaipopo Aililia Zanzibar..!
25:06
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,4 М.
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН