Mama ni Mama Safwa traditional Song Performed by Sister Das and Suluhu Nasibu Seleman Mwanjalila from Mbeya Tanzania. Sister Das is staff member of Tanzania Dancers Association. #Mama ni mama,
Пікірлер: 57
@magdalenepaul6733 жыл бұрын
Mbeya my papaa and Mamaa land 😘😘 Safwa girl nani anajiploud n kabira lake kama mimi😍😍
@StainGondwe-bq1cg Жыл бұрын
Nice song mama ni mama
@vumiliabugali4663 жыл бұрын
Aaaaaaaa!!!hakika jamani nimebarikiwa Sana na kumtambua thamani ya Mama, asanteee
@lazarojassely41786 жыл бұрын
shabhiii yaani inanikumbusha Mbeyaaa , alige umayiiii, wapepee, ego amashento ata ushetani anzehunyileeee, safi sana Duka ,Sister Das
@RasuliKunguru-wg8pw Жыл бұрын
Kaka kaza buti kuieshimisha nchi kimataofa
@shebathutajirishohalisihal24585 жыл бұрын
Safwa King
@hamiskanama19454 жыл бұрын
Nawakubali sana haswa wimbo huu wa mama najikuta nawapa cheo kikubwa cha IGP nisikukute unamkwaza mamangu hata uweje utanisifu
@richardkivali18385 жыл бұрын
hongera zao!!!wanatisha sana
@BetinaMaiko6 ай бұрын
wap wasafwa weeee
@paulinambokela63483 жыл бұрын
Nawapenda sana kwanyimbo hizo jmn mko vzur wasafwa wetu
@bensonsanga34715 жыл бұрын
Kali sana hii brother
@dionestermwinuka75204 жыл бұрын
Nimeupenda wimbo japo vingine sijaelewa
@MwigaKatumpula-mi3zt Жыл бұрын
Kila mkoa inao wimbo wao pendwa mfano tabora wa Hits song yao inaitwa sensema malunde 👏👏👏😃😃🔥🔥🔥
@angelmuebrania12876 жыл бұрын
Nawapenda jamani nimejikuta Niko Mbeya
@jothamekisouke81993 жыл бұрын
I love my sweet mom,R.I.P nakukumbka sana,unajuwa hata nafsi yako inaniangalia hapa
@gladnessmlelwa64745 жыл бұрын
Watu wa kwetu Ndaga jomon
@shariphdedee59816 жыл бұрын
nyimbo nzuri sanaaa aiseee kwanza saut tyu inavutia nyimbo za wasafwa nzuri sanaaaa
@godfreyjohn46765 жыл бұрын
Asante kaka
@makasiniwidege5675 жыл бұрын
nyimbo safiiiiiii
@vumiliabugali4663 жыл бұрын
Yaani sauti tuuuuu,inamtoa natoka pangoni
@jothamekisouke81993 жыл бұрын
Nasbu na Mwamwiduka mumembeba vzuri Sister Das
@mwawainvestment39076 жыл бұрын
Wa mwiduka uki akhinza sana munsi wani.. Shinisho she ugombaje.
@shedrackmwaipopo94273 жыл бұрын
R.I.P mama angu mungu akupumnzishe kwaaman
@simonmagila72594 жыл бұрын
Pamoja mwinduka
@devybernardlaizer77134 жыл бұрын
Oyoooo mama ni mama hushile weee
@elizampole43666 жыл бұрын
najikuta nalia tu, ! nikiwa na mawazo mengi huwa nakuja huku !! nafika kwetu kabisa.
jamani Kama kuna mtu yuko vizuri kifedha hawezi kupoteza. pesa yake kama atamdhamini WA mwiduka kijana anajua kuimba niko mwanza lakini nikisikia huu wimbo Kama niko mbeyaaaaaaa
@nessmwambogolo25455 жыл бұрын
Mama ni mama vizuri Sana safwa tribe
@suzythomson-kt8gp Жыл бұрын
Huyo dogo namkubalii Sana huwa ananifariji kwakweli
@norascombedule10575 жыл бұрын
Safii
@laqushfaki30806 жыл бұрын
mwiduka unawezaa
@sikudhaniamani5996 жыл бұрын
Nawaelewa sana watu wangu wa home
@devybernardlaizer77134 жыл бұрын
Wimbo mzurii sana jamani mweeee
@wilsonmcs33695 жыл бұрын
Happy day
@MussaBahati-xf7iy Жыл бұрын
Oassnanaa
@stelamwaha77793 жыл бұрын
Good song
@simonmagila72594 жыл бұрын
Safi sana mwinduka
@elizampole43666 жыл бұрын
gunelela yoh. nakupenda HP tu
@elizampole43666 жыл бұрын
@daniely ngailo. mbona wamwiduka yupo juu saiv .
@hawahawa69153 жыл бұрын
saf wapendwa
@ibrahfredy9006 Жыл бұрын
Nice
@doyjack95jack396 жыл бұрын
Kaz mzurrii saana
@emilysaimon32613 жыл бұрын
Imbagine sana amama vondii
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@yusuphpopo53003 жыл бұрын
Jaman hakuna kama mama
@zumbeshauri81143 жыл бұрын
Dogo anajua hakika na anasauti nzuri
@ameenaalebri29525 жыл бұрын
Ni kabila gan jmn
@juliassanga40994 жыл бұрын
Kabira LA kisafwa mbeya
@vumiliabugali4663 жыл бұрын
Safwa tribe hyoooo
@idrisasaidi70424 жыл бұрын
tt
@mwawainvestment39076 жыл бұрын
Wa mwiduka uki akhinza sana munsi wani.. Shinisho she ugombaje.