"SITAKI KUBISHANA NA WEWE" - OLE SENDEKA AMWAMBIA SPIKA TULIA BILA KUPEPESA, MVUTANO MKALI WATOKEA..

  Рет қаралды 163,221

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 132
@PrivaAgust
@PrivaAgust 9 ай бұрын
Ole Sendeka hongera umeonyesha unajitambua vizur kwann upo bungen.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 9 ай бұрын
Spika unamzungusha sana ole sendeka ili kumtoa kwenye reli! Spika upo kwa ajili ya kutetea serikali na siyo wananchi! Inasikitisha sana likini wakati wa Mungu ukifika mtajibu! Mnajali sana hifadhi na wawindaji kuliko wananchi! Hovyo sana!
@MangiKivuyo
@MangiKivuyo 5 ай бұрын
Wewe mama mungu anakusikia
@saitotikesoi6753
@saitotikesoi6753 2 жыл бұрын
Ole Sendeka unacho sema ni kweli kabisa mkuu wangu
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 9 ай бұрын
Mafie-emu kazi ni kupigs makofi tu bila kujali wananchi! Mtalaaaniwa! na Mungu!
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 9 ай бұрын
Ongera sana ole sendeka kwa hoja yako wachana na uyo waziri asiejali utuwetu watanganyika
@JoshuaKiboya-x6o
@JoshuaKiboya-x6o 8 күн бұрын
Papana.mbungu.wetu.❤❤
@japhetlaizer3919
@japhetlaizer3919 2 жыл бұрын
Yaani mnathamini mapori kuliko watu afu wabunge wengine mnampigia makofi anayeongea upuuzi kuliko anayetetea watu wake yaani mungu anawaona
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 9 ай бұрын
Vibaraka wa wawekezaji hawajali wananchi wanapinga kila kitu! Unambana mbunge ole sendeka huku ukijua ukweli ni upi! Hebu endelea kuwatesa wamasai mnawafanya watumwa kwenye nchi yao! Wakati wa Mungu ukifika mtajuta!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Mungu wangu waonee huruma wamasai wananyanyasika ndani ya nchi yao tunaomba amani tu Tanzania
@OmbenLaizer
@OmbenLaizer 10 ай бұрын
Pole sana baba
@asteriashios1852
@asteriashios1852 10 ай бұрын
Dah kwanini spika anabishana na mbunge anazunguka mbuyu ila sendeka anasema ukweli ila spika anapindisha
@gideonsapunyumunei5815
@gideonsapunyumunei5815 2 жыл бұрын
kbz usipokeee ole sendeka good MP
@maxesh5135
@maxesh5135 2 жыл бұрын
Mbunge yupo sahihi sana
@ghwandumiacademy
@ghwandumiacademy 2 жыл бұрын
Huu mnyonyo wa spika ni noma sanaa 🤣🤣🤣🤣
@OmbenLaizer
@OmbenLaizer 10 ай бұрын
Usipoke kbs
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Halafu unamchagua MBUNGE ambae haelewi KIINGEREZA. UTAJUTA😟😟😟😟😟😟
@isaacksongo9374
@isaacksongo9374 2 жыл бұрын
Kachemka haha mama Mh Tulia yupo vizur
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 2 жыл бұрын
Huyu mama huyu kweli wanawake wanaweza,alifaa Tundu lissu awepo bungeni tungeshuhudia mtifuano mkali wa Sheria.
@meedyshow8807
@meedyshow8807 2 жыл бұрын
Mhhh sio wote
@kizambohermaton3514
@kizambohermaton3514 2 жыл бұрын
Ukweli waonekana. May na will ni kiingereza. Sheria yanishangaza Sana. Elimu ya dunia ina upotofu kiasi. Naomba mnikosowe.
@stamalamkulungwa8708
@stamalamkulungwa8708 Жыл бұрын
Huyu spika wa bunge nimemkubali sana
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Serikali inakuwa kama wanachukia wamasai ili wawachie wawekezaji. Yaani mnanyanyasa watu kuliko wawekezaji. Kwanini wakina mama mnakuwa wabaya hivyo? Ati mnajali sana wawekezaji. Waziri amesema wazi kuwa kuna wawekezaji tayari.
@furahamwajeka7463
@furahamwajeka7463 2 жыл бұрын
Mmmh mbona Mimi namwelewa olesendeka maelezo yake au ikoje kwa nn spika hamwelewiii
@ghanaq2040
@ghanaq2040 Жыл бұрын
Naomba wazili uje wilaya ya mkulanga mm kila siku nazulumiwa mashamba ya baba yangu nakuwekwa ndani polisi naomba msada wako wazili liziwani kikwete
@charleskidongososi8643
@charleskidongososi8643 2 жыл бұрын
mungu atusaidie
@safielkabonda295
@safielkabonda295 2 жыл бұрын
Spika asijigambe sana kwa kujua sheria. Iko wazi ni mbobezi wa sheria so no need to say. Alimuumbua Waitara kwa kusema yeye anajua sheria zaidi yake, hii sio poa. Ukijua unajua tu wala huna haja ya kujigamba unajua
@craywille6059
@craywille6059 2 жыл бұрын
Spika anatumika vibaya. Huwezi kumbana mbunge kwenye angle ya sheria. Hatendi haki afu ma asheria yamo humu hayamsaidii Sendeka, yanapiga makofi tu.
@peterdoisso2414
@peterdoisso2414 Жыл бұрын
Kwani hiyo sheria kwa lugha ya kiswahili Haifai kuandika?
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 2 жыл бұрын
Viongozi wawakilishi tunao Ila katiba imekaa vibaya ,naibu mwogope mungu je hao wanainchi mnaowahamisha wawapi ?
@sirajikiluvia4575
@sirajikiluvia4575 2 жыл бұрын
Hizo sheria kingereza kinawasumbua,kaziandikeni kwa kiswahili
@paradisefelix1218
@paradisefelix1218 2 жыл бұрын
Wamasai sio ngombe ni binadamu km hawamo wananchi haya Vita ya nini km hayana wananchi na kwanini wamishwe km hayana wananchi
@simasima8084
@simasima8084 2 жыл бұрын
Uyu spika sio kabisa...c umsikilize mtu amalize hoja yake ata Kama anakosea bas utamkosoa kwa kifungu Cha sheria Ila Kama kaz yenu kubishana bungen hamfai Sasa,
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 2 жыл бұрын
sima usimlaum spika kiustaarabu tizama huyo mzee kasumbua Sana yaa zipo video nyingi anabishi tu hataki kuskia mbishi mbona kasarenda kakubali yeye si bingwa maneno hayo naiubishi na usumbufu
@jameslusambo895
@jameslusambo895 2 жыл бұрын
Kama ingewezekana shelia ya aldhi ibadilishwe na itemise kwa kilimo kwa sabab
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 2 жыл бұрын
Kumbe mnachotaka ni wawekezaji ndio wenye uzito kwenu nilijua tu kumbeeeeeeeeeeee
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
magufuli uko wapi
@emanuellyamuya6635
@emanuellyamuya6635 2 жыл бұрын
Linapokuja suala la Kitaifa sidhani kama mbunge anastahili kusema wapiga kura wangu...au ardhi ya wazaramo au wamasai anatutafsiria nini zaidi ya ubaguzi
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 2 жыл бұрын
Huu mgogoro wa Ngorongoro hauna Wanasheria wanaojua kulitatua tatizo hili ?.. Waziri na wizara inayohusika watatue tatizo hili.
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 2 жыл бұрын
Sheria ya umiliki wa aridhi abidilishwe iwe ya wananchi màana serikali inakadamiza watu sana
@wilsonmsenga6447
@wilsonmsenga6447 2 жыл бұрын
Nyie ni mabingwa wa kutengeneza tatizo alafu mnakuja kujifanya mnatusaidia wananchi. Huu mchezo acheni.
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 2 жыл бұрын
Kwel kbs
@piusmdoe8094
@piusmdoe8094 2 жыл бұрын
Si kila mbunge anatakiwa kuwa mwanasheria.Inainekana hapo spika amembana mbunge kwa ajili ya ubobevu wa kutafsiri,lakini yawezekana mbunge akawa sahihi.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Pius, kama MBUNGE si mwanasheria,hilo halihusiani na hoja hapo. Mzee SENDEKA kapewa kusoma na kushawishi alichokisoma tu na kashindwa .
@safielkabonda295
@safielkabonda295 2 жыл бұрын
Kweli mzee, mbuge anawezekana yuko sahihi ila sasa mambo ya kutafsiri sheria naona spika anajizolea umaarufu. Alimpiga hamis kigwangala akampiga mwita waitara sasa naona ishakua ndo kamchezo kake. Anawamwaga kwa kushindwa kujua kanuni na kutafsiri sheria
@walterngowi5835
@walterngowi5835 2 жыл бұрын
Huyu Spika alitakiwa akutane na vichwa vya sheria kama Tundu lissu sio hawa mafelia
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Wabunge wa zazibar mmewasikia wenzenu wanovopambana kutoka bara
@ChaSam-fr3pg
@ChaSam-fr3pg 2 жыл бұрын
Hayo wangejadili kwenye chama
@marrymenas
@marrymenas Жыл бұрын
Hivi hizi sheria tuliandikiwa na Wazungu?! Kwani zingeandikwa kwa Kiswahili tungekufa?
@charleschoma4216
@charleschoma4216 2 жыл бұрын
Tulia spika maili sana anajua sheria
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 2 жыл бұрын
Si Mwalimu wa Sheria chuo kikuu.
@yayanews6870
@yayanews6870 2 жыл бұрын
Mnahamisha nini kama hakuna wanainchii?
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 жыл бұрын
Hapo kuna shida jamani hili bunge hawa ni wawakilishi wa wawekezaji au wananchi ? Mimi sielewi kwa nini? Mnatusumbua kushinda vituoni kupiga kula? Waiteni hao wawekezaji wawapigie kula msitusumbue
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 2 жыл бұрын
ira kumbe bado tunako kwendà panaitaji utatuzi wawazi ira nimeamini sipika Yuko vizuri
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 2 жыл бұрын
Muheshimiwa spika sipokei
@prosperthomas8864
@prosperthomas8864 9 ай бұрын
aibu kwa viongozi wa nchii hii kuwaandama wafugaji wa kimasai ila Dunia tunapita Kila mtu atavuna alichopanda isiwe tabu
@meedyshow8807
@meedyshow8807 2 жыл бұрын
Wakati anapata nafasi hii ya usoika nilidhani tumepigwa ...hana mapepe hana hasira ...ana ijua sheria vyeema .ana kupjga kwa vifungu tu sio ubabe ..ni msikivu...ana usawa ...dah ...hasante tulia ...
@yahayachambi4456
@yahayachambi4456 Жыл бұрын
Mapori
@alexprotas40
@alexprotas40 2 жыл бұрын
Sipika anabisbana sana na wa bunge kwa nn
@kicherewerema2499
@kicherewerema2499 2 жыл бұрын
Wizara haina wanasheria? Ila hela inanguvu
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
aslm dadaa hiyoo kaulii yakusema ni yett maaneyanatumika vibaya orrr kauli chafu hyooo
@michealmasai3080
@michealmasai3080 2 жыл бұрын
I don't like the argument that he should write in English because it confuses the members of parliament in Tanzania
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 10 ай бұрын
Wabunge wanajipendekeza kwa raisi ili warabu wapate kupeleka wanyama. Kwahiyo wawekezaji waweze kusafirisha wanyama uwarabuni. Hatuna ardhi ila ardhi ni ya wawekezaji tu. Kwahiyo wanyama ndiyo wana ardhi.
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Wah pia waache kumiliki watu " wapiga kura wangu" wakati wapo na ambao hawakuwachagua.
@likimaro6
@likimaro6 2 жыл бұрын
Sasa hayo yanapiga makofi ya nn
@yusufmathias8049
@yusufmathias8049 Жыл бұрын
Hivi n kweli hii nchi tulipata uhuru ama tulipatwa uhuru maana bado sheria za nchi hii bado zipo kwa lugha ya waliotutawala na hao wananchi wanaonyanyasika asilimia 99% hawajui lugha tajwa
@sokwerecords
@sokwerecords Жыл бұрын
Sipati picha hapo ndugu yetu BABU TALE atachangia nini maana sina uhakika kama anaijua lugha
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 2 жыл бұрын
Hivi kama sheria ilipitishwa kwa makosa ni lazima kuifuata ,kwa wapitishaji wenyewe
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
o pori ni pori forest nitafauti but germpark sememu ya vijisijviji
@SaidJuma-kc6hq
@SaidJuma-kc6hq 9 ай бұрын
Tumechoka na utapeli wa viongozi
@samndengo6374
@samndengo6374 9 ай бұрын
Hao wanaopiga saaana makofi mengiii wamefurahishwa na nini?
@hadasaisraeli2971
@hadasaisraeli2971 2 жыл бұрын
Watu wazima wako bungeni wanapotosha wananchi wao, lakini teknolojia itawaumbua siku moja, na hasa mh Tulia ambaye hajifunzi kutoka kwa mtangulizi wake ndugai jinsi alivyoanguka baada ya kujifanya mbabe, muda utaongea na kila anachopanda mtu atavuna
@malackedson7706
@malackedson7706 5 ай бұрын
Sipick sura ya shetani
@craywille6059
@craywille6059 2 жыл бұрын
Spika anabishana na mbunge. Aisee!
@stephensapp8375
@stephensapp8375 2 жыл бұрын
Tetea Wananchi Mkuu Mbona Mambo Mengi We Dadangu.
@PrivaAgust
@PrivaAgust 9 ай бұрын
Kwan we spika ni wazir? mwachie Naib Wazir ajibu.Ww ni reva tu,sjawai kuona spika wa namna hii!
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 Жыл бұрын
Yaani maeneo hayana wananchi lakini yana wawekezaji, na sio ya wananchi, hivi kuna maeneo ya Tanzania yasiyokuwa na watu? Wanawanyang’anya wananchi ardhi yao.
@muhammedomer9256
@muhammedomer9256 2 жыл бұрын
Wawekezaji kutoka Italy
@elipidtesha5466
@elipidtesha5466 2 жыл бұрын
Hii ,kwa nini mbishane sijafahamu lengo ni kujenga kama wamekubal kuhama acha wahame nchi ipate maendeleo
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Spika wa viwango.
@hadasaisraeli2971
@hadasaisraeli2971 2 жыл бұрын
Tulia Hana hata adabu kujifanya mwalimu kwa mtu mzima kama sendeka, tabia ya kujifanya anajua sheria kuliko watu wote, na huku anajua kuwa hayuko Sawa, shame on you Tulia
@eliahiluka830
@eliahiluka830 2 жыл бұрын
Ulichaguliwa na nani?
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Dwu. Huyu tulia ni kichwa sana na anajua kuwatuliza
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 2 жыл бұрын
Baba watoto wanakuona unaumbuka...
@lispamagu5810
@lispamagu5810 2 жыл бұрын
Tulia mbona kama unaegemea upande wa serikali
@stevenibrahimu326
@stevenibrahimu326 2 жыл бұрын
unamtishia mbunge kuleta ushahidi speaker hujitambui
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
Wakili akikuhoji unapaswa kuwa makini
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Uzuri Wabunge mnakumbuka waliowachagua.
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 2 жыл бұрын
Sheri anayotumia spika Dada yetu ndio anayo itumia kuwalinda wabunge 19 mjengoni
@mathayondeso6905
@mathayondeso6905 2 жыл бұрын
Manguvlmachischi
@mathayondeso6905
@mathayondeso6905 2 жыл бұрын
B Mazhichi
@mathayondeso6905
@mathayondeso6905 2 жыл бұрын
Mashishiyamanguvuli
@mathayondeso6905
@mathayondeso6905 2 жыл бұрын
Marehemu,manguvli,wa,tazaniya
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Huyu mbunge ni mbumbumbu sana
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 2 жыл бұрын
Spika Tulia Ackson .Tuambie i Watanzania kuwa katika Maeneo hayo ya PORI TENGEVU WAWEKEZAJI NA WANANCHI yaani WAMASAI NANI? ALITANGULIA AU Wananchi wanaondolewa kwa MASILAHI YA WAWEKEZAJI. (WAARABU. ) JE? MKATABA UMEZINGATIA MASILAHI YA NANI? TAIFA AU MASILAHI BINAFSI YA WAHUSIKA WA MKATABA.
@lucysimosa9187
@lucysimosa9187 2 жыл бұрын
Sjaelewa hivi wamasai wamefanya Nini
@charleschoma4216
@charleschoma4216 2 жыл бұрын
Waziri Yuko makini sendeka mbinafsi
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 жыл бұрын
Wana Nchi tunaongezeka,Maeneo yanazidi kupunguzwa,tutaishi wapi Watanzania.
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 жыл бұрын
Wakati wa kampeni muende mkawahubiri siasa hao wanyama wenu nawawapigie kura,maana mnawathamini wanyama kuliko watu.
@Abounaumaan224
@Abounaumaan224 2 жыл бұрын
Maeneo ya kuishi si tunaambiwa yapo huko Handeni jamani tena kwa gharama za serikali... unapewa nyumba ina umeme na mengimeyo
@kayangismaili9946
@kayangismaili9946 2 жыл бұрын
Spika unamchanganya mbunge mbaka anashindwa kujenga hoja yake ya msingi
@yohanamlowe704
@yohanamlowe704 Жыл бұрын
Duuu huyu spika wa safari hii kiboko
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 2 жыл бұрын
Kwa hiyo we mbunge hayo maeneo hayo Kama cyo yetu ni ya Nan?
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 2 жыл бұрын
jamani huyu Mzee mbona haeleweki anapinga anapinga mbona wamasai wameridhika na Kwa furaha baada yakufika makao Yao mapya wapo happy Sana tena Sana wamepata haki zote ambazo Kila mwanadam anazihitaji nini unaishi mzee
@georgeosmund727
@georgeosmund727 2 жыл бұрын
Tutorship
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 жыл бұрын
Huyu spika alitakiwa akutane na wabunge wasomi akina lisu na mnyika na wengine wote wa upinzni, Maana wao wanaongea kitu wanacho kijua na kwa uhakika, Sasa mbunge wa ccmu na sheria wapi na wapi? Kazi wa wabunge wa ccm ni kukubaliana na mawaziri wao! Habari za kupinga, Hawajui kabisa! Ona huyu kiazi anavyo chemka! Hadi anatia huruma! Hajui kitu chochote afu anaongea!
@jafarimurutu3076
@jafarimurutu3076 2 жыл бұрын
Wabunge wasomi Kama wewe hapo😂😂😂😂
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Kwa hiyo wabunge wako wasomi ndio wenye Haki ya kubadili SHERIA???? Angalizo..... si kila msomi ni mjuzi sana. Na Usisahau kwamba Waalim wa TUNDU LISSU na MNYIKA bado wapo hai.....
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@patrickmafwimbo3207
@patrickmafwimbo3207 2 жыл бұрын
bunge la mchongo,spika wa mchongo kutwa kucha kuisifia serikali anaweza tetea wananchi kweli huyu?
@joelkiyiapi6256
@joelkiyiapi6256 2 жыл бұрын
Spika spewed Ole Sandika nafasi kanuni
@nkengimasanja1899
@nkengimasanja1899 2 жыл бұрын
Tanzania ukoroni bado unatutesa
@pulasingu1707
@pulasingu1707 Жыл бұрын
Mupila
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
Kwa style hii wabunge wataogopa kuwasilisha kero za wananchi
@robertlinuma6051
@robertlinuma6051 2 жыл бұрын
Waje na vitu vya ukweli.
@sabatoelia312
@sabatoelia312 2 жыл бұрын
Sasa kamaArdhi ni ya umma sisi tunalipishwa Codi za nini Umma sindo sisi
@michealmasai3080
@michealmasai3080 2 жыл бұрын
The government hates the Maasai because they have not studied Ngorongoro, they have been evicted and even Simanjiro are also starting to evict them
@ellytech9757
@ellytech9757 Жыл бұрын
Nobody hates anybody. In case you don't have mirrors show me one place ambapo Maasai wamewahi kukaa sehemu bila chokochoko. Finally, nionyeshe Masai unayemjua ambaye siyo mbishi, na mnafiki.
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 2 жыл бұрын
Sendeka kabanwa na Spika wa bunge Tulia Ackson hana ukweli wowote na ukisikia upotoshaji utokana na viongozi wa CCM ndio hao uleta uleta migogoro nchi hoyu hawa ukweli wala usibitisho ni hatali kwa Taifa
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Mohammed, uko SAHIHI. Hatari zaidi ni Pale WAMASAI wanapo amini kwamba ARDHI ni yao na WATANZANIA wengine hawana, kwa kisingizio waliishi hapo tangu enzi za MABABU . Na si kweli kwa sababu,HISTORIA inasema kila KABILA lilihama kutoka sehemu moja hadi nyingine. Je haya mabaki ya binaadam yaliopatikana OLDIVAI GORGE yalikuwa ya watu wanaoishi eneo hilo hivi sasa ?????
@graysontogo4251
@graysontogo4251 2 жыл бұрын
Kiongozi umeandika vitu havieleweki
@olabenne5519
@olabenne5519 2 жыл бұрын
Wote chenga
Dakika 25 za hoja ya Mbunge Ole Sendeka, Mawaziri waingia 18 za Spika Tulia
25:57
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
GWAJIMA 'AWASHA MOTO' BUNGENI, OLE SENDEKA ASIMAMA NA 'KUMLIPUA'
10:53
Ole Naiswaku at Naikarra
13:38
Ole Nkapu Ent’
Рет қаралды 41 М.