SLAY - New African Movie | 2024 Swahili Movie (Subtitled in English) Adam Leo Bongo Movie

  Рет қаралды 346,561

Adam Leo Studios

Adam Leo Studios

Күн бұрын

Пікірлер: 1 100
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Kwa filamu nyingine nzuri kutoka Adam Leo Studios, bonyeza hapa👇👇 kzbin.info/www/bejne/Z5TPn5dnbKl2fs0si=BvO7AJPGPTLNlFFP
@sophiaabdallah5814
@sophiaabdallah5814 Жыл бұрын
Instagram unatumia jina gani Adam??
@arnoldkweka4673
@arnoldkweka4673 Жыл бұрын
Nomaaa Sana
@haluwahavla9740
@haluwahavla9740 Жыл бұрын
Thanks broo unaweza xna movie zko ziko saw xnaa❤❤
@zuhuraommary-ld2dn
@zuhuraommary-ld2dn Жыл бұрын
Adam nataka kuigiza na wewe
@mcchilo13
@mcchilo13 Жыл бұрын
Stor nzuri kiukweli. Haichoshi kutazama
@gseh9277
@gseh9277 Жыл бұрын
Nyieeeee kumekucha hukuuuu mambo motrooooo tulokuwa tunasubiri hii kitu tujuane❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Wengiii, asante jamani! Tunasubiri maoni yako ukimaliza kuitazama yote.
@NeemaHashim-c2p
@NeemaHashim-c2p Жыл бұрын
Hii ya moto xna ❤❤ ila tujitahid like kwa wingiiiii Jaman 😢😢😢
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani kwa kweli
@irenengata6631
@irenengata6631 Жыл бұрын
Jamani muvi tamu sana yenye mafunzo ❤❤❤ part 2 iko wapi
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Жыл бұрын
Hongera hajj yaani wewe uko vizuri mno kuigiza Mungu akubariki kipaji chako 🙏nakupenda sana kakangu❤hili ni funzo kwa kila mwanamke n mwanamume😢
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana🙏🙏
@Officialrealqute254
@Officialrealqute254 Жыл бұрын
you kill it broo,wadada tujifunzen jaman ndoa n majaliwa ujaliwa iheshimu na umpe nafas mumeo ajivunie na kujiona wa thaman ya kukupata wew,Big up sana kwa MAMA ametisha sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani mno kwa maoni yako.🙏🙏🙏
@TimeMasoud-n1k
@TimeMasoud-n1k Жыл бұрын
Mama yuko vizur mashsllah
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 11 ай бұрын
Safi kabisa tunaendelea kufuatilia movies zako, kiukweli nilikuwa nimechelewa kuangalia movies zako. Hii ndio ya pili, nitahakikisha nimeona zote!
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@ManashaDzuya
@ManashaDzuya Жыл бұрын
Nyie yote tisa Adam n mzuri bwana❤🥳 nampenda yeye na movie zake
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana jama.
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
😅😅😅We kiboko
@monalisajohn3029
@monalisajohn3029 9 ай бұрын
Ni kweli he is so handsome ❤ na sauti yake sasa wah😊
@AminaYazidu
@AminaYazidu 5 ай бұрын
Uko handsome saan Adam❤ na mov zako ni za mafunzo mno safi saaan❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Shukrani
@jeffnyakundi9131
@jeffnyakundi9131 6 ай бұрын
Adam Una kipaji cha kuigiza kweli mungu azidi kukupa maarifa, kutoka Kenya nafuatilia wewe ❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Ameen
@HappyKibure-iz9xk
@HappyKibure-iz9xk Жыл бұрын
Yaani navwomfatilia kwa sasa uyuu kaka kama amenloga❤️❤️❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Hahaha jamani nashukuru.
@Tynamnyilis9824
@Tynamnyilis9824 Ай бұрын
Movie zake nzuri sana mm Tv yangu ni kudownload tu movie zake nimeshasahau kulipia king'amuzi
@Jackymomanyi
@Jackymomanyi 11 ай бұрын
Weu si Adam wewe ni mcute sana😂😂😂 ubaya niko Kenya ningekutafuta unioe mimi😂😂😂😂❤❤❤❤❤napenda sana movie zenyu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sna shukrani
@rajabjuma1450
@rajabjuma1450 Жыл бұрын
Kaka Adam m/mungu akujaalie Sana na azid kukupa Afya akuweke miaka 1000 uendelee kuelimisha upo vizur Sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana🙏🙏
@sir.kalo.
@sir.kalo. 11 ай бұрын
Thank you for adding subtitles. Please do this with all your movies. I know it’s extra work but it’s very much appreciated for us that are beginners learning Swahili . Happy holidays 🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks a lot🙏🏻🙏🏻 we will!
@JohnSamini
@JohnSamini 11 ай бұрын
Hii movie imenifnza k2 bro...na c hii pekee.Bro God bless you!
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks a lot
@sentsent1484
@sentsent1484 Жыл бұрын
Nipeni likes za mamake Adam na Adam mwenyewe kapata mchumba aki mbavu zangu leo nimecheka mno, ongereni nawapenda bure.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukraniii jamani tunakupenda pia..
@MwanatumuOmar-y7r
@MwanatumuOmar-y7r Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉nimechekaaa mpa basi
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Thanks sns
@ZalhaMustapha-yj4os
@ZalhaMustapha-yj4os 4 ай бұрын
Najikuta hata na mawazo yanakata jins nilivokuwa bsy na kufatilia move zako❤️❤️❤️.....Najifunza na kuenjoy snaaa kwa kwel
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 4 ай бұрын
Shukrani sana❤️❤️❤️
@masumbukomoussa977
@masumbukomoussa977 Жыл бұрын
Duuh movie hii kama vile nimesemwaa mimi jamani 🇧🇮🇧🇮🇧🇮Am so proud of you guyz
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot
@ZawadicharlesCharles-oc8po
@ZawadicharlesCharles-oc8po Жыл бұрын
Kvp
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri Жыл бұрын
Nimepitwaa huyu kaka napendaga kazi zake 😍😍💕hendsam boi🤣
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani jamani🙏🙏🙏
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Slay kama Slay😂😂😂😂 kavunja nyumba kwa mokono yake mwenyewe. Unajua kaka ❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana🙏🙏
@papa_arieno
@papa_arieno Жыл бұрын
Asante sana. Na hongera Adam kwa bonge la show hii nzuri. Iko na tension kibao, inatumbuiza na muhimu zaidi, kufunza vizuri. Hapa Kenya tunakupenda kengele tumebonyeza ukiangusha tunaipata. Mungu akubariki kila siku.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Ameen, nawapenda Kenya🙏🙏🙏
@Balvine-302
@Balvine-302 9 ай бұрын
Mashallah Kaz nzuri san kak Ang 🎉🎉🎉 like tano tu ❤❤❤❤😅
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Asante
@imanimulumbilwa6056
@imanimulumbilwa6056 5 ай бұрын
Vizuri,ongereni kwa kazi nzuri. Ndivyo walivyo wa dada wanao jiita eti wao niwa mjini wamezaliwa mjini.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Umeona eh
@Jali-et8py
@Jali-et8py Жыл бұрын
So sweet, proud of you Adam 👏 much love from Uganda 🇺🇬 ❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana UG nawapenda🙏🙏
@Jali-et8py
@Jali-et8py Жыл бұрын
@@AdamLeoStudios tunakupenda zaidi
@jeanclaudekamanzi9678
@jeanclaudekamanzi9678 Жыл бұрын
Unatisha Adamleo hiii kitu nifundisho tosha kwa vijana wa leo ambao wanajiandaaa kuingia kwenye ndoa. Wahenga wanasema kungulu hafugiki . Safi sana aiseee!!! Unatisha @Adamleo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana sana.
@BaithaSolomon-ne5nk
@BaithaSolomon-ne5nk Жыл бұрын
Mama nimejifunzaaa kituuuu Adam mama anaona mbaliiiii🥰🥰🥰
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Kabisa yaani
@pendoisaya9363
@pendoisaya9363 5 ай бұрын
Talented :100 Creative :100 Educative :100 ❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Thanks
@chimammymohaa
@chimammymohaa Жыл бұрын
Kma umejifunza kitu kutoka kwa team Adam tupatane kwa likes 💞💞🔥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Enjoy sisy
@CarenCarenbryton-jf5jn
@CarenCarenbryton-jf5jn Жыл бұрын
Najivunia ww kaka Adamu Unajua unajua tena ❤❤❤❤mm napenda Adamu kuanzia mwonekano kazi kwenye sauti sasa aiiiii kaka una kiti chako mbinguni❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Amen
@EmJesho
@EmJesho Жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka Adam ujawai kosea tunajifuza mengi kwenye move nyimbo na memo maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ Naiwakilisha Tanzanian kutoka Oman 🇴🇲
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana aisee.🙏🙏🙏
@sampachino5184
@sampachino5184 10 ай бұрын
ADAM bro nakukubali sana from London big up movie zako nzuri sana sana M Mungu akuzidishie nguvu ufike mbali zaidi ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Ameen
@LovelyTz
@LovelyTz Жыл бұрын
Huyu mama nimemkubali Sana sio poa anajua Sana mama hongera yako
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Yaani anajua mnoo
@InukaUangaze-s3y
@InukaUangaze-s3y Ай бұрын
Hatatu chai rangi kupikia mama hakuna looo toba hapo hakuna mke kabsa much❤❤❤❤❤❤❤❤❤Adam 🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Shukrani
@tiemahajimuindi8017
@tiemahajimuindi8017 11 ай бұрын
Adam is a gifted actor...keep it up kaka
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks a lot🙏🏻🙏🏻
@Kingora-f7u
@Kingora-f7u 3 ай бұрын
Adam ikiwa elimu were nice mwalimu muzurir sana namushukuru Sana mama aliye kukuza Asante sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 ай бұрын
Asante mno
@BOSSLADY3656
@BOSSLADY3656 Жыл бұрын
Waaa Adam ameingiza atu box haraka bila kuchelewa😂😂mapema ndio best😋..halafu mm hupenda sana atu akiwa pamoja na Adam.. pia wapo vizuri kwa kuingia hakika nime enjoy him movie sana❤❤❤❤keep going brother Adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot🙏
@ARCENIADAMIÃODAMIÃO
@ARCENIADAMIÃODAMIÃO Ай бұрын
Adam yaani unaweza kuigiza🎉 sema tu Niko mbali nakukubali nisipo angalia movie yako najisikia vibaya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Shukrani
@Kurusumu-s1l
@Kurusumu-s1l 11 ай бұрын
Una baya kwanza uko vzl kimuonekano sauti ya mahaba na kazi zako mzuli sana jaman
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukwani
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 5 ай бұрын
Daaah hii ni funzo kubwaa sana adamu ukuje chuga tukuone live bwna kaz zako nzuriiiiiiiiii mnooooo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante sana jamani🙏🙏🙏
@catherinekazeze167
@catherinekazeze167 11 ай бұрын
Napenda unavyo ongea hasa ukisema angaliaa❤️❤️❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante jamanii🙏🏻
@AlfredSokoni-j2y
@AlfredSokoni-j2y Жыл бұрын
Adamu Kama Sanaa yako nikutokana nakipaji,mungu apewe sifa,unayo fundisha ndiyo tunayo yapitia katika maisha yetu,ubarikiwe
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Ameen
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Ameen
@Igweezysirleem
@Igweezysirleem Жыл бұрын
Movie Kali sana Adam,sound track💯, picture💯,kila kitu on point 👌👌big fan from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot man, I really apreciate.🙏
@mwanamisirama1836
@mwanamisirama1836 Жыл бұрын
Wallahy hii movie ina mafunzo ila adam niambie jina la hyo nyimbo bila kusahau😊
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Tutaziweka kwenye channel utaziona.🙏🙏
@ancillarneema
@ancillarneema Жыл бұрын
Weee slay kweli😂😂😂❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Hahaha
@SbahHiai
@SbahHiai Жыл бұрын
Hongreni filamu nzur sna❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana sana
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA Жыл бұрын
Asante kwa movi mzuri endelea kuhelimisha jamii na kutufunza kitu nimefurahi sana nakufuatilia toka marekani ...hongera sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana
@farajyassir9822
@farajyassir9822 Жыл бұрын
To be honest , I got alot of lessons from this film as a bachelor big up sana the whole team involved..Nice work 🎉🎉🎉.... Oe Adamu nakutambua too much love from 254..muko TOP👊🙏👍❤️💯💥💥💥💥💥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana sana.
@MtataSlim
@MtataSlim Жыл бұрын
Kila nnapo angalia movie zko Adam najifunza kitu hongera sana kwa hilo❤🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana kwa kweli.🙏🙏🙏
@puritykalasinga371
@puritykalasinga371 Жыл бұрын
Congratulations mum ❤️❤️❤️ mother you are the best very interesting movie 🔥🔥🔥🔥Atu such respected givl 👏Adam keep up the good work ❤️❤️❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks for watching
@Aisha-l3u8r
@Aisha-l3u8r 5 ай бұрын
Asante sana adam kwa movie nzuri unajuwa kuigiza🎉🎉 kilasiku natazama movie zako kama tatu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@RehemaNeema-sn6kd
@RehemaNeema-sn6kd Жыл бұрын
Mashaallh filamu nzuri sana nimeipenda
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana
@FaridaMahami-zw1mv
@FaridaMahami-zw1mv 5 ай бұрын
Movie nzuriiii saaanaaa😊🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@RehemaPhabian
@RehemaPhabian 9 ай бұрын
Hatar sana. Unajua mpaka unajua tena
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Shukrani sana
@LidiaTerry
@LidiaTerry 10 ай бұрын
Tamthilia tamu yenye mafunzo nimejifunza hongera
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante
@sonniehIrungu
@sonniehIrungu 7 ай бұрын
Safi sana Adam tunakupenda kutoka Kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante nawapenda pia
@SINKOLONGOISAAC-kz5jk
@SINKOLONGOISAAC-kz5jk Жыл бұрын
Nimejifunza mengisana kwaadam mungu akujie wepesi wakaziyako 💞💞💞💞
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana
@اريناارينا-ق3ط
@اريناارينا-ق3ط 5 ай бұрын
Weee Adam kapata mwanamke🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Jamaniii🙏🙏
@VincentMokua-f9g
@VincentMokua-f9g 5 ай бұрын
I like watching your videos from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Thanks
@hipolitomarianosaide5378
@hipolitomarianosaide5378 Жыл бұрын
Mwamba nimekubali hii ya moto 🔥🔥 Msumbiji apa 🇲🇿
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana Msumbiji.
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db 6 ай бұрын
Hatareeee❤❤❤ kiukwel nainjoy sana kaka Adam nakupenda
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Nakupenda pia
@halimakatana3873
@halimakatana3873 11 ай бұрын
Much love adam from kenya 🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks a lot
@waheedsaid225
@waheedsaid225 Жыл бұрын
Jmn hii movie kama isiishe wallah 😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana sana.
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 Жыл бұрын
Masha Allah nani kama mama ❤❤❤❤🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Mama ni mama❤❤❤
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Asante sana, move nzuri sana. 09.11.23.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani kweli kweli.
@VincentMokua-f9g
@VincentMokua-f9g 5 ай бұрын
Movie mzuri Sana bro adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Shukrani
@zaitunimwandetele4400
@zaitunimwandetele4400 5 ай бұрын
Hakuna unakofeli kakaangu kilanikitazama move zako ziko powa sana🎉🎉🎉❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@morinenangila5480
@morinenangila5480 5 ай бұрын
Hongera nice movie much love from Kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Shukrani
@mbarderonly5874
@mbarderonly5874 Жыл бұрын
Mwanzo mwisho umecheza ndani tu location Kali kama ulizoahidi hatujaziona ila nilichogundua movie zako ambazo ukiwa wew tu ukiacha wale wana wako zinakuaga na stor ya kuvutia kama HAMU,X KARUDI NA HII SLAY ukiwa wew tu unakuwaga mnyama zaidi hongera kazi nzuri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana mkuu.
@leahwanjiku5466
@leahwanjiku5466 Жыл бұрын
Am madly addicted to your movie's 🥰 tuned in from Kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Enjoy sisy.🙏🙏
@saum9697
@saum9697 Жыл бұрын
Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwamikono yake mwenyewe. So anastahiq malipo ayo nzur sana naendelea kujifunza hongereni sanaaa 🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana kwa kujifunza
@Eunicenyabola
@Eunicenyabola Жыл бұрын
Good lesson learned from. This movie❤❤❤all thanks to Adam ❤❤❤❤❤great job, much love from Kenya ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Glad you enjoyed it
@erickponda8706
@erickponda8706 Жыл бұрын
Uko vizuri sana Adam 👌 hii movie umeipatia kwa kweli, hongera👏
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana sana.
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Mama yuko sahihi Adam ata regret
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Kabisaa yaani
@MoscahLineTv
@MoscahLineTv 8 ай бұрын
🎉🎉 hongereni wahusika wote. Mafunzo maridhawa aisee
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 ай бұрын
Shukrani sana
@erastopascal
@erastopascal Жыл бұрын
NIMECHELEWA SAANA KUIJUA HII CHANNEL... NI YA MOTOO🔥🔥🔥🔥🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Hakikisha una SUBSCRIBE ili mpya zisikupite sasa.🙏🙏
@Jacklinemwikali773
@Jacklinemwikali773 Жыл бұрын
Soo sweet na mafundisho mengi kwa maslay quen ❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sanaa
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 Жыл бұрын
Next plz ina mafunzo wou so amazing 🎉❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot🙏🙏🙏
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Adam umejua kutukomesha mzee mbaba lakn hatimaye duuu mzigo mzito umetua hongera Sana Kaka.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani mnooo🙏🙏🙏
@ChakapuTz-nj4wv
@ChakapuTz-nj4wv Жыл бұрын
Good job brother
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thank you so much 🙏🙏
@فاطمه-ج6ن7س
@فاطمه-ج6ن7س Жыл бұрын
Yani adam asante sana kaka angu mungu akuzidishie yani round hii achatu daah halafu mama adam jaman apewe wauwa yke🎉🎉🎉❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana jamani, asanteni kwa upendo huu.
@MargaretPendo-t7w
@MargaretPendo-t7w Жыл бұрын
Much love ❤ from kenya 🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@josephpaul4522
@josephpaul4522 Жыл бұрын
Adam leo wewe unajua hongera sana kaka good job
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Thanks a lot🙏🙏🙏
@theresebuhendwa6415
@theresebuhendwa6415 Жыл бұрын
Hugo mamma anamatatizo sana,maana nikama mchawi tu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Jamaniii
@Almarsprince254
@Almarsprince254 Жыл бұрын
daaaah hili bonge la filam wanangu... Adam 👌👌👌
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani🙏
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez Жыл бұрын
Mmmmm. 😂😂😂Adam mama alisema 👎. Asie sikia la mkuu huvunjika mguu😊😊nabado😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Kwelii asieee mpaka niseme😪
@IsmailMaulidi
@IsmailMaulidi Жыл бұрын
Mpe hongera zake bi mkubwa yupo njema sana I appreciate you broo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Zimefika umeziona
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Congratulations 👏👏👏👏 Mr Adam leo mungu akubariki sana tumejifunza kitu barikiwa sana Jabali wetu King 👑
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani mno🙏🙏🙏
@SamouOman
@SamouOman 5 ай бұрын
napenda sana move zako jaman we kaka nakupenda sana ❤❤❤😇
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante sana
@haluwahavla9740
@haluwahavla9740 Жыл бұрын
Hongera xnaa adamu kwa movie zko zenye mafunzo mazuri kwa kweli nme jifunza ktu leo big xna❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana.
@sarahsesa8851
@sarahsesa8851 Жыл бұрын
Huyo Naomi akapimwe hakili kwanza sio mzima mtu mwenyewe anaenda birthday kavaa hereni moja kichaa huyu Adam naomba party 2 mim bado nataka kuendelea kuangalia hii movie please
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Hahah umeonaa eehh...
@mariamhamad5500
@mariamhamad5500 Жыл бұрын
Hongera Adam kazi mzuri sana tunajifunza kupitia wewe kwakweli
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana.
@lynettesau7600
@lynettesau7600 Жыл бұрын
I really don't watch bongo movie's I didn't know how I ended up here bt hii movie iko juuu 2sana ❤adam his very cute gentle handsome n mrefu kiasi chake last Last n msafi sana n mtana shati
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana jamani, shukranii🙏🙏🙏
@lynettesau7600
@lynettesau7600 Жыл бұрын
@@AdamLeoStudios I'm continuing watching pezi la haki and nimekoma
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi Жыл бұрын
Kazi mnzuri mashaailah ongera kakaadamu ubarikiwe.kwa mafunzo.yamo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asantee
@lalylaabdi2572
@lalylaabdi2572 Жыл бұрын
Mke anastahili aeshimu nyumba yake na mume wake marafiki ni wanafiki achunge kazi safy kaka ❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana.🙏
@haluarahma3071
@haluarahma3071 11 ай бұрын
Adam Huwa napenda movie zko Zina mafunzo kweli hongera bro.....
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@JoaCastor
@JoaCastor 5 ай бұрын
Duuuuh hatar sanaaaa 😢😢😢😢Adam huyo Naomi sio mwanamke wa kuoa ,msikilize mama
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@AgellicaPeter
@AgellicaPeter Жыл бұрын
Hii movie ni tamu sana Alf igekuwa zaidi mgeiedeleza
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Sauwaaa🙏🙏🙏
@batalingayachristopher-ry5lv
@batalingayachristopher-ry5lv Жыл бұрын
Adam leo😂 Kutoka Mwanza❤ Nina kukubali sana.Ina fundisha Sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante mno.
@muddyhamza9606
@muddyhamza9606 Жыл бұрын
Ndo Nakujua Leo lakini nimependa sanaa hii movie🎉 Hongera Sanaa Adam kwa Kazi Nzuri naomba ikikupendeza uniambia jina la huo wimbo wa mwanzo wa movie😂na huo wa slay nimezipenda
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana, zote utazipata hapa hapa kwenye channel yetu
@muddyhamza9606
@muddyhamza9606 Жыл бұрын
@@AdamLeoStudios utazi upload lini aisee ni kalii Sanaaa 🙌🔥
@AishaBinti-k1m
@AishaBinti-k1m Жыл бұрын
Movie nzuri sana ina mafunzo keep it up Adam, halafu nauliza nan kaimba hino nyimbo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Msanii mmoja hv nitawapa accoun yake ya insta.
@AishaBinti-k1m
@AishaBinti-k1m Жыл бұрын
@@AdamLeoStudios sawa sasawa
@beatriceboniface
@beatriceboniface Жыл бұрын
Movie Kali Sana nmejinza mengi kupitia hii movie
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana sana🙏🙏
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana sana🙏🙏
@JescaMuyabi-ix8ly
@JescaMuyabi-ix8ly Жыл бұрын
Jamani hongeteni sn kazi nzuri heshima kwake mama amejuakukuelekeza mwanae kwa vitendo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Asante sana kwa kweli.
@AnitaNestory
@AnitaNestory Жыл бұрын
Noma sana naomi umetisha sana hongera yako naomi na kupenda toka kwenye saladini unajua sema watu awajajua kipaji chako lkn usikate tamaa mmetisha sana ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Жыл бұрын
Shukrani sana.
PENZI LA KIDENTI |  Bongo Movie 2024 Full Movie
50:37
Adam Leo Studios
Рет қаралды 22 М.
NOT TO LOVE - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
1:37:20
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 25 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 11 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 53 МЛН
KIMADA | Full Movie | Love story❤️😘
1:22:46
Adam Leo Studios
Рет қаралды 99 М.
2024's Most LIFE-CHANGING Swahili Movies Revealed!
1:35:53
TaitaDaily Movies
Рет қаралды 190 М.
KOSA LA MAMA || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
2:00:01
kapaayathegreat films
Рет қаралды 4,5 МЛН
MWALI  KIGEGO PART 01 💞 Love Story | DONTA TV
30:04
Donta Plus
Рет қаралды 284 М.
Jennifer Mgendi; Chai Moto (Official Bongo Movie)
1:14:09
Africha Movies
Рет қаралды 1,1 МЛН
SABI - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
49:32
HEAVEN SENT Part 1 Official Bongo Movie
1:25:20
SANGA FILM
Рет қаралды 273 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 25 МЛН