SOKA KIJIWENI 09/10/2023 | Mabishano makali, Simba na Yanga nani mkali kimataifa

  Рет қаралды 87,135

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 267
@fredymachaba223
@fredymachaba223 11 ай бұрын
Nimeipenda sana hii ukimuangalia Kisugu anajitambua sana anaongea kwa logic bila shaka ni one of my favourite spectator when comes yo matters of footabl. Anaiongelea Simba vizuri
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Huyo mwalimu hayo makaratasi kayatoa website gani?
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma Жыл бұрын
Love simbaaaaaa ❤️❤️❤️❤️❤️
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ kwa mashabiki wa yanga kwa ubishi Kwan hata huku mikoani wanatusumbua kwa ubishi
@DicksonMsenga-sh2kb
@DicksonMsenga-sh2kb Жыл бұрын
Watu wayanga kelele tu Amna fact milaj big up
@jumakisanda454
@jumakisanda454 Жыл бұрын
Tz raha sana
@abelimaganga417
@abelimaganga417 Жыл бұрын
Simba ball wanalijua siyo utani yanga ni kelele tu hawajuiball one love miraji na kisugu
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 Жыл бұрын
kikubwa nashukuru washabiki wa simba asilimia wote mpira wana jua siyo hao utopolo wapiga kelele kisugu baba lao I love you simba
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 Жыл бұрын
Huo mpira wameusomea chuo gan we kenge?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@erickmisilakuba6426NA WEWE UMEUSOMEA WAPI KENGE WEWE 😂😂😂😂😂
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 Жыл бұрын
@@salimmalaka256 ww na hao madunduka wenzio mnao jiona bora ati mnaujua mpira , huo mpira mmeujulia wap?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@erickmisilakuba6426 TOPOLOOOOOOO 😄 🤣 VINJUNGAAAAAA 😂 😆 UTAUFYATA TU 😄 🤣 😂
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 Жыл бұрын
@@salimmalaka256 nyie madunduka makoroma hamna jipya kazi ni kujipa ukubwa ambao hamna nyie washiriki wa mashudi abiora
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 6 ай бұрын
Simba raha sana aisee mashabiki wanajua sana
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m Жыл бұрын
Lov you simbaaaa❤❤❤❤
@peteradioyona5919
@peteradioyona5919 Жыл бұрын
Miraji ni fundi Sana Ila mkutanishe na jimy kindoki fundi mwenzie lkn hao wengine mnatuonea yanga
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 Жыл бұрын
Kisugu shikamooooooooooo kaka miraji fundi hahahahahahaahha
@BonusNdagala-xx4mh
@BonusNdagala-xx4mh Жыл бұрын
SIMBA 👏👏👏👏👏👏💪
@mtalimaaloyce7860
@mtalimaaloyce7860 Жыл бұрын
Sema mwendeshaji kipindi ndio bado Hana lile vibes la mpira. Ila kipindi kizur Shida Mzee Hana swags
@gwijitv
@gwijitv Жыл бұрын
Kweli kapooza sana
@StephanoCharles-nq8tf
@StephanoCharles-nq8tf Жыл бұрын
....mwl ...kimiya
@ChristopherMoshi
@ChristopherMoshi Жыл бұрын
Miraji hawamwezi hao
@Nganatv
@Nganatv Жыл бұрын
Kweli kubishana kisugu inaitajika ujipangee aseee kisugu nomaaa 👏👏👏👏
@UR.CRISTIANO.FANSBASE
@UR.CRISTIANO.FANSBASE Жыл бұрын
Dodi fanya muendelezo kuwakutanisha hao watu. Nimeipenda sanaa kuwapambanisha hao watu😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 Жыл бұрын
Huyu mwalim wa ,wa mamonter ,,😂😂😂😂😂 wanafunzi hawato elewa kabisaa😢😢😢😢😮😮😮😅😅😅😅
@jofreymhagule7505
@jofreymhagule7505 Жыл бұрын
Kisugu jeshi
@jonahmathayo5156
@jonahmathayo5156 Жыл бұрын
Huyu mwalimu wa yanga anaropoka sanaa. Huyu Hana ethics za ualimu
@0656033716
@0656033716 Жыл бұрын
Hakika
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
MWALIMU WA USENGE NA USHOGA 😂😂😂😂😂😂😂
@Sherrymwinyi
@Sherrymwinyi 7 ай бұрын
simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa💪
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Mwendelezo uko wapi???
@omanbarka1588
@omanbarka1588 Жыл бұрын
😂😂😂mashabiki wa yanga kelele nying hawana facti
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Miraji unamshindanisha na watu wanaobishana ata na hewa mnamkosea maana hilo lijamaa halijui kitu kabisa
@bihemogodwin8213
@bihemogodwin8213 Жыл бұрын
miraji naye muongo..anajua.mpira ila hana data..uyo ridondo anatoka madrid 1998 anaenda AC Milan..Peres kaja 2001 anamchukua Figo ..na.huyo kisuku.uzaramo tu..Yanga ndio timu iliyochangia point nyingi kwa muda mfupi..imechangia point 20
@abdallahrashid43
@abdallahrashid43 Жыл бұрын
Huyo anayejiita mwalimu ni zuzu kumbe ndio mana watoto wanafeli mwalimu hajielewi anapiga kelele hovyo hapo
@bone102
@bone102 Жыл бұрын
Nmefuatilia mashabiki weng wa Yanga hawawez kuongea bila kelele na huwa wanapewa nafasi waongee ila akipewa shabiki wa Simba kuongea wanaingilia kat
@ShabanMsanifu-ov2kg
@ShabanMsanifu-ov2kg Жыл бұрын
Ww muongo makoro hamnahoja
@bone102
@bone102 9 ай бұрын
@@ShabanMsanifu-ov2kg umeona hata ulicho andika haya tuongee kwa hoja tuone nan muongo
@rlee2555
@rlee2555 Жыл бұрын
Akooo kajamaa ka yangaaa kanaonekanaa njaaaa kaliii maana kanaropokaaa mpaka kanatiaaa hurumaaa
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 Жыл бұрын
Yanga Kweli makopo
@omanbarka1588
@omanbarka1588 Жыл бұрын
Yanga mkopo mtupu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@omanbarka1588SIO MKOPO KWANI HUJAIONA MTANGA COMEDY BAMBO ANAPITA MITAANI ANANUNUWA MAKOPO NA YANGA MBOVU??? 😂😂😂😂😂
@lazaroaloyce6517
@lazaroaloyce6517 Жыл бұрын
Bro miraji na kisugu acheni hizo vikao vya kipumbavu na washabiki wa yanga make hao hawazungumzii mpira ni kelele tu wanawashusha hadhi yenu,kama kahawa kunyweni na mkae Kimya ss washabiki wa simba tunawaona mbali nyie..
@HAMDUHamad-v8m
@HAMDUHamad-v8m Жыл бұрын
Yanga hawana ability kelelee tuuuu
@AlexanderMakanjila-rg8st
@AlexanderMakanjila-rg8st Жыл бұрын
Mwalimu anajifanya kuandika ashabananika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 Жыл бұрын
Yanga woyoooooo😂💚💪🤸🤸
@adolphthomas5496
@adolphthomas5496 Жыл бұрын
Nimeipenda hii Tanzania nzuri hu ndo utan wa jadi raa jmn
@elgringogringo5238
@elgringogringo5238 Жыл бұрын
😂😂kikao hiki ! Noma sana😂😂
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m Жыл бұрын
Ao utopolo walizowea makelele kweli
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 ай бұрын
Sasa kuongea mpaka misuri ya shingo maana yaje bini daah ni shida 😂😂😂😂
@ErnestKashunja-ns8vs
@ErnestKashunja-ns8vs Жыл бұрын
Hatujazoea kijiwe hiki kubishana kwa kelele, bali tunachokijua kijiwe hiki hupeana muda wa kuongea kila mmoja na kujibu kwa hoja
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 ай бұрын
Uongeaji huu asiwe na tumbo la kuarisha anaweza kujinyie 😅😅
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Жыл бұрын
Napenda kijiwe cenu mnanikumbusha kwetu byz
@mwlhalimoja.ekingunza1819
@mwlhalimoja.ekingunza1819 Жыл бұрын
Huyu anayejiita mwalimu anatutia sana aibu sisi walimu kweli kweli. Naomba nijue anafundisha somo gani na shule ipi ili tuangalie ufaulu wa wanafunzi wake. Maana inaonekana Yuko very hopeless kabisa anaropoka tu as if hakwenda shule na kusoma hata ile Classroom management. Inshort ni Mropokaji asiye na hoja zenye mantiki.
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 Жыл бұрын
Hata VICOBA wanaojua kushinda wengine wanaitwa walimu! 😂😂😂 kwa hiyo ondoa shaka! Ni mwl Wa VICOBA
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Kumbe kweli yanga wanaongea sana ila ila Hamna kitu siasa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
HALAFU MICHAFU HAIOGI HAPO IMETOKA KUPANDA DALA DALA NA INANUKA IKIRUDI ITAPANDA DALA DALA YAMECHOOOOKA 😂😂😂😂😂😂😂😂
@lourykibudu
@lourykibudu Жыл бұрын
Dodi ushaanza kuharibu kipindi maswali yako yana egemea upande upo kwenye ushindani unamfosi vipi mtu awapongeze mbona huyo mwalimu hujamfosi awapongeze simba kwa kucheza super ligi umekaa kishabiki sana other wise mpe mtu anaeweza kucontrol temple umekaa kishabiki sana mzee cotent ni nzuri ila hukua na maswali yanayo endana na kipindi mzee kama hujui azam ni media kubwa sana jiangalie ushabiki utakunyoa
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 Жыл бұрын
😂😂😂😂akina makame wanajadiliana cha kwenda kuzungumzaaaaa😅😅😅
@mwanajumaraso4637
@mwanajumaraso4637 Жыл бұрын
Ume waona eee ata uyo makame likua hatak kuja
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
WOTE PUNGA LA MBEYA HAO 😂😂😂😂😂 MATOPOLOOOOO 😂😂😂😂
@SaidChande-yl3wq
@SaidChande-yl3wq Жыл бұрын
Good to present documents in public unfortunate the documents are not certified correct by FIFA or CAF Stamp...😊
@OswardMwambete-en5uk
@OswardMwambete-en5uk 2 ай бұрын
Hivi hiki kijiwe Mpaka walipoti kwanza ndio wande kazini?
@HajiSeifu
@HajiSeifu Жыл бұрын
Yanga wengi awana akili😅😅😅
@DevidMsokwa
@DevidMsokwa Жыл бұрын
Wemwalimu wayanga ndomana Simba inacheza trh 20,10,2023 /24 na aliahal jifuze hapo
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 4 ай бұрын
Mimi nathani kahawa ya bongo inachanganywa na gongo nini ?
@iddybakar1946
@iddybakar1946 Жыл бұрын
soka.kijiweni tandika kuna ijiwe kikubwa sna njoo pale karibu na stend ya tabata njoo asubuh sa1 asubuh au sa2
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 Жыл бұрын
mwalimu yanga💚💚💚💚💚💚
@emanuelmiyonjo4484
@emanuelmiyonjo4484 Жыл бұрын
Makolo wanapenda kujipa ukubwa Ambao awana
@jumaamrani3295
@jumaamrani3295 Жыл бұрын
nilichokion ni kwamb mashabiki wa simba wanazungumza facts za mpira lkn yanga wanazungumza zaid ushabiki, maan kumuon mshabiki wa simba anaipongez yang ni nadra san ila nmelishuhudia hili kwa kisugu, pongez kwake.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
Sasa mbona wanapewa mda sanaa utoporo 😂😂😂
@JosephLadislaus-l3n
@JosephLadislaus-l3n Жыл бұрын
Simba fans hawajawahi kuniangusha kwenye debate
@jotolasiasa6767
@jotolasiasa6767 Жыл бұрын
Team zote mbili GOR mahia imezihadhibu kiutoto 🤣🤣mwasemaje sasa GOR MAHIA ndo mababa wa mpira wa Africa mashariki
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 Жыл бұрын
Yanga mikelele mingi hadi kipindi kinaboa, Dodi wewe uza kahawa achana nao.
@omanbarka1588
@omanbarka1588 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 minacheka tu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
HAYA HIYO KAHAWA NA KASHATA TU JE WANGEKUNYWA NA TENDE AU HALUWA INGEKUWAJE 😂😂😂😂😂😂😂
@AbuubakarLinus-sr5ox
@AbuubakarLinus-sr5ox Жыл бұрын
Mashabiki wengi wa utopolo kelele tu .
@issaselemani491
@issaselemani491 Жыл бұрын
Mara ya mwisho Simba kucheza angalao nusu fainali ya shirikisho ni lini?Kama siyo zaidi ya miaka thelathini.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@issaselemani491SHUKURU MWAKA HUU MMETOKA EDA YA MIAKA 26 😂😂😂😂😂😂
@mbarakhinawy5981
@mbarakhinawy5981 Жыл бұрын
Miraji. Umedanganya. Mchezaji wa kwanza aliyesaini ni Luiz Figo. La pili, ni mwaka wa pili 2001-02 alipochukuwa champions league. Alichaguliwa 2000 baada wa kumshinda Lorenzo Sanz Mwaka wa kwanza alibeba la liga pekee yake 2000-01.
@aminnoour4788
@aminnoour4788 Жыл бұрын
Wew hujaelewa figo alikuja pamoja na berkam na wakina zidane . Ridondo alikua mule muda mrefu wakina solari . Wakina mana mani . Final inacheza Really madride na yuventic figo yuko barcelona .
@mbarakhinawy5981
@mbarakhinawy5981 Жыл бұрын
Luiz Figo kenda Real 2000. Zidane 2001 Beckham 2003. Walimkuta Luiz Figo Real Madrid.
@saidimgina8299
@saidimgina8299 Жыл бұрын
Mwalimuuuuuuuuuuuuu✊
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Жыл бұрын
Mashabiki wa utopolo hawajielewi wamekalishwa na Kisugu
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Usitegemee kukusifia kama unajitabua kama kolo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@marcokaroje8980WEWE TOPOLOOOOOOO 😂😂😂😂 VINJUNGAAAAAA 😂😂😂😂😂
@JumaSaideAbdala
@JumaSaideAbdala Жыл бұрын
Ila Yanga hawajui mpira.
@reonardchatanda6371
@reonardchatanda6371 11 ай бұрын
Hongera wewe unaenua mpira. Sasa unasubiri Nini apo ulipo? Unataabika na maisha.kwanini kujua kwako mpira kusikusaidie kupunguza ugumu wa maisha? Wanaojua mpira wote wanafaidi matunda kwakua maprofesheno wa mpira.
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Жыл бұрын
Manala Alisha Sema kuwa yang wenye akili ni wawli tu
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm Жыл бұрын
We mwenyewe huna akili Yani hii Vaise veser ukimuona mwenzako Hana akili ujue hata ww Kuna watu watakuambia huna akili sasa jiulize huyo huyo aliyesema yanga hawana akili Yuko wapi mbona alienda huko huko Kwa hawana akili kwahiyo nayy Hana akili umeona sasa
@Tumain-Kulubone
@Tumain-Kulubone Жыл бұрын
Kikwete na baba ake ty😅
@khalidjamadi6016
@khalidjamadi6016 Жыл бұрын
Hana adabu walimu anajiaibisha. Atakuwa amelewa. Ndiyo maana Watoto wetu wanafeli!
@omanbarka1588
@omanbarka1588 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mwalim kalewa kahawa
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 Жыл бұрын
we huna akili mwanao akili atoe wap umtegemee mwalimu akufaulishie mwanao?
@SwaumShafii-ql2ui
@SwaumShafii-ql2ui Жыл бұрын
Apo nikisugu kawachemsha ivo miraji ajaongeaaa
@kunojengo
@kunojengo Жыл бұрын
Kisugu hajui kusoma kiingereza 😂😂😂😂😂😂 mdomo mwingi kumbe mbumbumbu. Yanga the Champions.
@mbarakhinawy5981
@mbarakhinawy5981 Жыл бұрын
Unajuwa Perez aliwahidi nini Real kama akichaguliwa? Atamleta Luiz Figo kutoka Barcelona. Ni mwaka 2000. Kumbuka Real ya Sanz walikuwa back to back UCL champions na Perez akamshinda kwenye uchaguzi.
@RamadhaniKiblunge-ym4of
@RamadhaniKiblunge-ym4of 7 ай бұрын
Jasho lamtoka mwalim jaman
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 11 ай бұрын
Ushauli wangu kipindikiwe na muendelezo kizur sana
@juliusbrush3202
@juliusbrush3202 Жыл бұрын
Huyu mwalimu sijui km anataaluma, Hana utaratbu mpk kipnd hakipendezi.. Ata mwenyekitu nae anazdiwa hawez kumudu Sasa. 😮😮😮
@ndulalutanile
@ndulalutanile Жыл бұрын
Kwan anakukela?😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@ndulalutanileKUKELA NDIO NINI?? 😂😂😂😂 VINJUNGAAAAAA 😂😂😂😂TOPOLOOOOOOO 😂😂😂😂
@EmmanuelMandela-f7k
@EmmanuelMandela-f7k Жыл бұрын
Hpo anafaida nimuuza kahawa mabishano Yao hamna kitu kupotezeana muda
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 8 ай бұрын
AKA meaning “Also Known As”
@DicksonMsenga-sh2kb
@DicksonMsenga-sh2kb Жыл бұрын
Nan aliesikia mwalimu anajiaibisha amelewa😂😂😂😂
@juliusbrush3202
@juliusbrush3202 Жыл бұрын
Huyu mwalimu jau
@sabatoelia312
@sabatoelia312 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@timothybanda3219
@timothybanda3219 Жыл бұрын
Huyo mtoto muongo,anasema perez kachukua timu haichezi makundi. Huyu dogo chizi sana
@anraneamisse9243
@anraneamisse9243 Жыл бұрын
Daa 😅😅
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Жыл бұрын
Kisugu unatema madini adiyekuelewa atakua na u punguf wa akili
@hastatz
@hastatz Жыл бұрын
Try again sio rais wa Simba ni mwenyekiti wa board
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 11 ай бұрын
Nipo drc congo.ila Tanzania 🇹🇿 inaraha yakejani 😄😄😄😄❤️❤️
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Mashabiki wa utopolo kelele nyingi logic hawana 😂😂😂😂😂
@Ommylayzah_tz
@Ommylayzah_tz Жыл бұрын
Umekosea 'Waliofuzu kwa tabu mechi laini' 😂😂
@iddybakar1946
@iddybakar1946 Жыл бұрын
makolo wameanza kurudi nyuma baada yakuja good na mwalimu naona wanadifensi wamerudi nyuma awafanyi mashambuliz tena upande wa yanga wanadifensi
@abuusadick9891
@abuusadick9891 Жыл бұрын
Uchawi to yanga ndio wao
@semgombatv3082
@semgombatv3082 Жыл бұрын
Nilicho kigundua nikwamba yanga hawana hoja ni wapiga kelele hii kweri clab ya wapiga debe
@happysanga6846
@happysanga6846 Жыл бұрын
Miaka 4 Bora zaidi injinia baba💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💛💚💛💛
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 7 ай бұрын
Miraji hana ufundi akaye kimya ajibiwe
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 Жыл бұрын
Mwalimu Una boa sana, mishipa ya shingo inakutoka bila sababu, hapo mnatengeneza kipindi sio ugomvi na makelele
@omanbarka1588
@omanbarka1588 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
PALE KESHA JINYEA TAYARI 😂😂😂😂😂😂😂
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 Жыл бұрын
Huyu mwalimu anatatizo la afya ya akili
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Жыл бұрын
Tena eperekwe mirembe
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
WASISAHAU KUMPIMA NDOGO 😂😂😂😂
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm Жыл бұрын
We mwenyewe huna akili
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@EliaMkumbo-wn7bm UTATOWA NDOGO??? 😂 😆 😂 😆
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Mimi naona wewe ndo una tatizo hilo
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu Жыл бұрын
Kwani ni mwalimu kweli??
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
MWALIMU WA USENGE NA USHOGA 😂😂😂😂😂😂😂😂
@sirackmusonda8191
@sirackmusonda8191 6 ай бұрын
Yanga keleletu
@masubukopita7201
@masubukopita7201 Жыл бұрын
Mnashndwa kutfta Ela mnakaa mnasfia watu duuh😇😇😇😇
@MorisMbughi
@MorisMbughi Жыл бұрын
Mashabiki wa makolo hawajielewi kelele tu😅
@davidathanasio
@davidathanasio Жыл бұрын
Kama ni Mwalimu ninamashaka sana na performance za wanafunzi wake.
@EdsonMagreth
@EdsonMagreth 6 ай бұрын
😂we miraji muongo sana kwanza makumanamane hakucheza naridondo muongo mkubwa uyo
@farajambaza
@farajambaza Жыл бұрын
Kwahiyo walimu wote wanajua maswala ya soka? Kazi kweli kweli
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Hawa mashoga wa yanga walevi na pia mikundu imewavimba kwaajili ya kufirwa na ihefu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
MATUNDU YAO YA MIKUNDU HAYOOOOOOOOOOO HAYOOOOOOOOOOO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WAMEPASULIWA PWIIIIII PWIIIIII 😂😂😂😂😂
@sirackmusonda8191
@sirackmusonda8191 6 ай бұрын
Kaka kisugu wapasuakicwa wabishikanini
@shanmlawa
@shanmlawa Жыл бұрын
Milaji kaa kimya anakusanya data tuuu
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 Жыл бұрын
Mwalimu na makame live kisugu ovyo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
UTANIPA ILE KITU NAMESA MWENSAKE??? 😂😂😂😂 SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nurdinjullu
@nurdinjullu 6 ай бұрын
Hamnakitu wanachoongea mashabiki wasimba mwalimu amezungumzia champion ligi kisugu anazungumzia ligi yamuungano wapi nawapi caf wanazungumzia muungano kisugu nihaibuhiyo
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 26 МЛН
WAKUSOMA OG SHABIKI WA SIMBA KALOWA
6:01
Comrade Ally Maftah TV
Рет қаралды 873
Azam TV - SOKA KIJIWENI: Hassan Dilunga
29:36
Azam TV
Рет қаралды 316 М.