Still it's 2025 and I find that this song is still fresh like it was realised yesterday a blessing song to my life ❤❤❤
@christian.saviour3 ай бұрын
Here in 2024 is a clear proof that gospel song never gets old... Same inspiring taste
@washingtonlijondo63682 ай бұрын
Kabisa
@AnnaGibson-f6bАй бұрын
Amen mm naona kama ameuimba jana unanigusa kwa namna ya kipekee na naachilia na kua na amani ya Kristo ndani yangu
@queenafyshebah96986 жыл бұрын
Nimewasamehe wote,pia na Mimi naomba wote niliowakosea wanisamehe.
@MathaMasakhwe-qd4xb3 ай бұрын
Huu wimbo umeniguza sana😢 tuwe watu wakusamehe 😢katika msamaha kuna baraka 🙏🏿🙏🏿🙏🏿sisi wote tu wapitaji tu oooh yesu nisaidie niwe mwepesi wakuachilia walio nikosea🙌🙌🙌
@diananadia95282 жыл бұрын
Nimewasamehea wote walio nitendea mbaya
@luckpopulargoodluck50257 жыл бұрын
kusamehe ni ngumu MUNGU anisaidie. hongera kaka Kwa kunywa damu ya YESU
@PeterAnyika-k8w2 ай бұрын
Wapendwa uwasamehe wote waliokukosea,ndio mungu akubariki,hata mm nilikuwa mguu kuwa samehe ,nilikuwa mtu wa visasi chungu mzima,lakini tangu nilipojua siri ya baraka,ni kuwa samehe,mpaka waleo mungu anatumika na mm🎉🎉🎉❤
@hsinvasion94657 жыл бұрын
wimbo huyu hua sipendi kuusikia sio kwa nia mbaya,bali hua unaniliza sana,ubarikiwe solomon mukubwa.
@happylupogo30097 жыл бұрын
Xf Flame usikilize sasa ili upone
@eunicekiilu7485 Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka mungu akuzidishie kipaji na umri umuabudu
@AnnaGibson-f6bАй бұрын
Amen🙏🙏🙏nimewasamehe wote kwa neema ya Kristo Yesu
@ndaizeyeespoir85266 жыл бұрын
huu ni wimbo ambao hautavutikaka kichwani mwangu. Wanao nifahamu wanajuwa naongea nini. Mungu akubariki salomon.
@winnieshinga80356 жыл бұрын
Nimewasamehe Wote walio nikosea....Bwana naomba unitumie, nitume nami nitakwenda. Naskia Niko huru katika jina la Yesu
@benignendayizigiye2245 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubariki mtumishi wa Mungu. Kwanzia leo najisikia kuwasamehe watu wote walio nikosea....Mungua aendelee kukubariki salomoni. Nakupenda sana. Nyimbo zako zinanibariki sana na huaga najikuta nazisikiliza nikiwa kwenye kipindi kigumu ambacho nahitaji kufarijika....na Mungu hua ananifariji kupitia nyimbo zako. Ubarikiwe sana
@elizabethkiula72007 жыл бұрын
nilishindwa kbx kusamehe kw kilichtokea ktk maish yng kiliniumz san lkn nnamshukuru mungu nmemsahehe na nimewasameh waliosababsh jeraha katika maisha yng...kwakwel nimeachilia moyo wang...frgv and 4get...ingawaj n vgumu na inachukua muda ila nimewasamehe na kuachilia moyo wang
@christineamuku12542 жыл бұрын
Huu wimbo umenifanya nikavunjika moyo wangu hakika kila ninaposikiza l feel released each and every day
@angekalonda625810 жыл бұрын
Asante Mungu kutufunza msamaa, iyi wimbo inatufunza mingi ubarikiwe Salomon, atatukiwa na moyo mgumu kufatana nanyimboiyi tunasamehe waadui wetu
@mamaishimwejoshua58186 жыл бұрын
Mungu wangu nitawasamehe aje? It's too much na ni wengi sana.Solomon,Salomon as-tu écrit un livre sur comment tu as perdu ton bras et comment tu es venu leur pardonner? J'aimerais que vous le fassiez, je le lirais, j'ai eu du mal à pardonner et même maintenant que j'écris ceci, j'ai une prière dans mon cœur que Jésus m'aiderait à leur pardonner. Vous dites que le cœur n'est pas une prison. ... libérez-les libérez-les ... Oh mon Dieu, aidez-moi ... c'est si dur
@esterntemi12009 жыл бұрын
Nimewasamehe nakuwaachilia wote kutoka moyoni mwangu na wao naomba wanisame!
@bernardkoseso50084 ай бұрын
September 17-2024 let's gather here🙏🙏
@jorambranchofmud62994 ай бұрын
❤❤❤
@masumbukomagumba5989 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo nazani nimejifunza mengi sana kuusu namna ya kusamehe I love Solomon mkubwa
@hamidakassam55439 жыл бұрын
uuuuwiii nikusamehe tu na kuachilia,Mungu analipa kwa kadri ya matendo yako, asante bro solo ni funzo kwangu
@chloerugendo28406 жыл бұрын
Nimewasamehe wote waliohusika kuniangusha,sina kinyongo nanyi tena,
@bettysifuna24885 жыл бұрын
Charles jaloka nimekusamehe pamoja na mamako for what you made me go through. how i wish my deceased dota could be around to forgive you too. rip toto and please forgive your father for everything. AMEN.
@paulodiwuor83996 жыл бұрын
nilifanya kazi siaya miaka 7 saba iliopita katika shirika moja la SMEP DTM,lakini katika ufanyakazi wangu bora katika hilo shirika baadaya ya kuwaingizia zaida kubwa ya mamilioni ya pesa walinifungulia mashtaka kortini kwa uwezo wa mungu hakukuwa na ushaidi wowote nikaachiliwa huru ,huu wimbo ulinitia moyo sana nikaachilia yote yaliokuwa moyoni mwangu ijapokuwa nilipitia machungu sana na familia yangu
@diananadia95282 жыл бұрын
Amen
@estherbenedictekitenge97387 жыл бұрын
Musamaha inafungua, Kutokusamehe ni kujifunga mwenyewe, Samehe ili Mungu naye akusamehe kwani sisi sote tuna koseya na kukusewa. Asante kwa ujumbe.
@diananadia95282 жыл бұрын
I feel released when I listen this song
@rosechristian50866 жыл бұрын
Umenibarki na Nyimbo hii leo Katika Tamasha Twende zetu Arusha, ,,Hakika Mungu ni mwema tusahau ili baraka zetu Zitujilie
@annnduku770919 күн бұрын
Nmewasamehe wote walionikosea kupitai huu wimbo❤
@saidakasamani17566 жыл бұрын
Ihave kept pple in my heart but iwill try to forgive hata mimi mkono wangu God will heal me one day hii wimbo napenda sana
@rhodaayuma2406 жыл бұрын
Hakuna mwanadamu aliye mkamili hapa duniani....Nmewasame wote walio nikosea,,ntazidi kuwasamehe siku zote za maisha yangu(nawaombea heri na fanaka kwa kila jambo wanalofanya)
@elisabeth32.349 жыл бұрын
Hujambo Solomon, napenda nyimbo zako, kwa message zinazo, zina hudumia maisha yangu.. Asante kwa kunibariki pia kwa Big Testimony truth fm, Mungu akuzidishie neema na Utukufu wake uthihirike katika maisha yako na familia.. Barikiwa!
@scholahkio16169 жыл бұрын
it is not easy Solomon, but av forgiven them. ..from deep of my heart ,for Wat they did. ..jesus is my rock. ...b blessed brethren Solomon
@hellenkibutu88632 жыл бұрын
Jesus is Lord, I have forgiven all those have Wronged me, God bless you, man of God
@AliM-di8dz7 жыл бұрын
Inatakiwa kusamehe kutoka moyoni ili nawe usamehewe na mungu Wako sababu hayupo aliekamilika
@zipporahsimiyu65419 жыл бұрын
kweli wimbo huu ulinisaidia sanaa kwa kuwasamehe wote kutoka moyoni mwangu am new now.God bless u Solomon na akutumie zaidi na zaidi
@lazaromkwalakwala59178 жыл бұрын
wimbo huu umenijenga
@MrsJeanette3 ай бұрын
Beautiful song💔😪 May God rest papa Sarah soul until we meet again in heaven 😍🥰🥰🥰
@christineamuku12542 ай бұрын
November 3-2024 gather here 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@Qriztein15169 жыл бұрын
I've 4given them all, God 4give me too, thanx Solo for the touching song.
@emmanuelwafula98595 ай бұрын
Thank you God because this song never go old amen❤❤❤
@toshafidele58816 жыл бұрын
Nimewasamee wote walionivika taji la miba. Nimewasamee bure.😭
@fadhilimorris23807 жыл бұрын
Wooooou umenigusa sana,,,,,,
@maureenlucinde5489 жыл бұрын
ubarikiwe ndugu!! kila tym nikiskiza hii song nafeel ka nimebarikiwa, inanipa nguvu ya kufanya kazi kwa hii country ya waarabu!! thanks tu sana
@brianokombo69263 ай бұрын
October 2024 Nani yupo? I needed to listen to this sooo badly
@jayrabut43046 жыл бұрын
For 5yrs have not been talking to my own blood brother...had hold that grudge nd swear not to forgive him,but when i heard this song frequently i feel released and forgive him....thank you mtumishi for this song...it blessed me daily🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@raphaelraphael93092 жыл бұрын
TT
@tabbymuigai74842 жыл бұрын
Amen. Jesus is Lord he enables us to forgive🙏
@janetsada251410 ай бұрын
thx kwa hii nyimbo even was too hard bt nmesamehe mungu azidi kunitumia nione baraka
@_SANNYB9 жыл бұрын
It is a Touching song Brother @Solomon,usife Moyo MOLA yu pamoja nawe.
@lizzah00joseph208 жыл бұрын
Nimewasamehe wote.God bless u Solomon I can't control my tears .all the way from abroad
@apolinanunda16038 жыл бұрын
nikweli iyo... dunia iyi iko na mambo mengi, nyimbo iyi INA nigusa sana.......nikuwasamehe tu..
@absonemlumbe52472 жыл бұрын
Mungu akulinde uishi mipaka mingi solomoni nimesameha
@MWALIMUDENNISOFFICIAL6 жыл бұрын
Nitawasamehe wote.ili uwe ushuhuda
@sonnieprecious19718 жыл бұрын
I couldn't help it. .. I cried my heart out after watching this song. Lord I forgive all of them. Thanks Solomon the song has really touched my heart. God bless you.
@anastanciaakinyi48366 жыл бұрын
God help me to forgive my enemies. Nimewasehe wote in jesus name b blessed Solomon
@brendahjeptoo798525 күн бұрын
31/12/2024 -mungu nisaidie niwasamehe wote nivuke mwaka salama,naomba kuwachilia wote
@ventojose6 жыл бұрын
For real you are man of God, hii nyimbo imenigusa nami nmewasamehe wote walio Nipa uchungu moyon
@dennisojuma96066 жыл бұрын
nimewasamehe wote asante yesu
@mueninzioka11872 жыл бұрын
Thank you for this message or forgiveness. Its very difficult and heavy..but I release them to you God in forgiveness. There is a God in heaven.
@mamaaminasalim6277 жыл бұрын
This song needs million views its touching
@evarlynkavaya16049 жыл бұрын
nyimbo za solomon zinanitia roho kabisa
@hellensakwa88072 ай бұрын
But in most cases, it's hard to forgive them, especially somebody you're living with, he/she does sama offences, uta do? God's grace is sufficient. It's powerful bro' Solomon
@mamaishimwejoshua58186 жыл бұрын
S'il te plaît, parle-nous de ton voyage. Salomon, regarde tous ces commentaires ... chaque fois que j'écoute ta chanson, je pleure et quand je rencontre la plupart de ceux qui m'ont fait du tort, je ne dis même jamais bonjour. Mon coeur est une prison et je veux que Dieu m'aide à leur pardonner. Comment les affrontez-vous? quand vous les rencontrez, vous ne ressentez pas la colère et la douleur, je veux que Dieu me donne cette grâce extraordinaire ...
@janetschubert1662 жыл бұрын
God loves u so much. Forgiving is one of the most important thing. After Forgiving ,there is peace,healing,joyness in your heart. May God help u to Forgive and forget
@rosechristian50866 жыл бұрын
Mungu ni Mwema Azidi kukutunza katkat Mikon yake Salam, ,
@ميعادالسبيعي-ذ9ض8 жыл бұрын
Minnisor Naomi be blessed brother Solomon this song nimewasamehe imanibadilisha nilikuwa na kisasi lkn sai nimetubilia mbalia praise God
@fidelicechepngetich55495 жыл бұрын
Their is power in forgiveness..Today i forgive all those who have wronged me oh God help me forgive each one of them and forgive me too.Amen.Great song it is to God be the glory and honour now and forever more.Amen.Amen
@tantinechiza34419 жыл бұрын
Mungu akubari akupemaisha marefu
@stephengatonga8443 ай бұрын
Matthew 6:14-15 For if you forgive other people when they sin against you, your heavenly Father will also forgive you. But if you do not forgive others their sins, your Father will not forgive your sins.
@violetbruno92687 жыл бұрын
mungu akutangulie songa mbele baba yangu
@lindaakinyi65718 жыл бұрын
Nimewasamehe wote walionikosea.
@edathmugisha49376 жыл бұрын
good massage bro l 4give all
@ndatabayechimanuka61226 жыл бұрын
Amen MUNGU akubariki na akuogezeye miaka
@belindamercy31478 жыл бұрын
#nimewasamehe wote... this song is a dope 😘
@Christine-js3tj Жыл бұрын
Nimewasamehe wote understand watu just life ppl r ppl
@davidkaraini31877 жыл бұрын
Nimewasamehe wote kutoka moyoni mwangu!
@munjalwinking6 жыл бұрын
Listening to this song for the first time today . I forgive all who wronged me because JESUS CHRIST forgave me . God bless you man of GOD Evangelist Solomon Mukubwa plus your family and ministry in Jesus name Amen. Glory to GOD.
@naomimbiya18986 жыл бұрын
Asante Yesu
@queenafyshebah96986 жыл бұрын
Huu wimbo unanifanya nisamehe ata kama ni ngumu aje,asante Solomon 2019 nime wachilia wote power in the music
@jaqueeen18 жыл бұрын
nimewasamehe Mungu nisamehe mimi pia,,,,,,,, nimeumia sana lakini nimesamehe kupitia wimba wako na niawaachilia wote kutoka moyoni mwangu.
@biattakafisho13785 жыл бұрын
Usijiwekee vikwazo maisha ni mafupi
@maureenatemba59477 жыл бұрын
Haki av been so gud to pple but thy pay me other way round but through ths song av forgiven thm all coz i really fear God and av been asking myself if God can forgive,who am i not to forgive. Av realised them frm my heart but, brother solo i find it hard to start to talk to them plz help
@eliyajd86492 жыл бұрын
Everything about this song it’s all about my life 😔😭
@stephenotiti69335 жыл бұрын
Kweli it's torching
@millicentminayo14127 жыл бұрын
Much in pain this song has encouraged me l Will forgive
@LandryKubuya2 ай бұрын
Mungu ni mwema
@angelineasiri41567 жыл бұрын
Niko Uhuru,asante kwa nyimbo hii
@carolinebaringo67576 жыл бұрын
Let God guide you through bro
@rmshiko49276 жыл бұрын
Nimewasamehe wote walionikosea in Jesus nane
@juliussingano28069 жыл бұрын
ubarikiwe kaka
@bettyangano63398 жыл бұрын
Nices song na sikiza nikiwa Lebanon be blessed Solomon
@samsonsoinkei82348 жыл бұрын
Naipenda xana hiyo wimbo, inanikumbusha mbali, Solomon Mungu akuzidishie miaka uendeleze injili
@jamesevarist30458 жыл бұрын
Nilikuwa na hasira na mtu na niliapa kutokumsamehe,ila nyimbi hii imenisafisha na nimempigia sim na kumwambia tusahau yaliyo pita. Tabze upya
@AfrichaEntertainment8 жыл бұрын
+james evarist Mungu wetu apewe sifa kwa kuhudumia kwa njia kubwa hivyo
@albinawanga96758 жыл бұрын
james evarist #
@marymendrad44106 жыл бұрын
mungu akutie nguvu
@rmshiko49276 жыл бұрын
james evarist safi sana huo ndio ukristo
@mollyneoketch86 жыл бұрын
The song made me do the same and trust me I am relieved feeling free... Glory be to God
@katanakahindi72929 жыл бұрын
GOD BLESS YOU SOLOMON MUKUBWA, YOU HELP ME TO MOVE ON
@nelsonsande57659 жыл бұрын
wimbo wa kubariki ndugu.am blessed alot
@joankinyua6843 Жыл бұрын
Ooh very true 2days ago I talked to my friend ❤️❤️❤️❤️ whom have not talked to for the last 10 years...I just forgave her I realized life is very short to keep grudges.
@mtafutajihachoki59376 жыл бұрын
Nimewasamehe bure Wote Walionikosea Leo Nahata siku Zingne Nitazid kuwasamehe
@aishahermis454810 жыл бұрын
Ahsante Mungu weweni Mungu wa maajabu
@geofreykinotimajira46035 жыл бұрын
Lord of Lords I'm very thankful because of this great men of God who are touching my life.amen
@MaureenMagoma3 ай бұрын
Good work
@rosecherono32726 жыл бұрын
Wow,Amen,can't get enough of this Song,,,thanks Solomon,strong word of forgiveness...
@godfreyngaita94216 жыл бұрын
Hakuna amani ya moyo bila kusamehe
@evalyneacheing-ow2ew13 күн бұрын
2025 viewers
@Olemainyas7 жыл бұрын
a very nice song, forgiveness is so nice
@mangerajunior55558 жыл бұрын
I am touched with this song may u always work hard Solomon so as to make more people come back to christ Lord Amen