Siku moja mavuno yatasha kabisa,naisikia nguvu kama nimara ya kwanza kuisia,ameeee!
@mercynina628810 ай бұрын
nani anatazama huu wimbo 2024. nakuusikia kama ni wamwaka jana?
@yohanalokoyo46482 жыл бұрын
Mungu nisaidie kuuridhi ufalme wako pamoja na wewe
@NicholasKamadi Жыл бұрын
God of marcy to you brother Solomon you make me strong everyday.mungu akubariki wewe na family yako.
@ianmomanyi42194 ай бұрын
Still listening and watching 2024. Be blessed man of God.
@michaelnjiru54312 ай бұрын
Tuchungeni tabia zetu zisitupeleke kuzimu siku Ile jua litazimika.Tuombeaneni Sana watu wa Mungu
@peterwafula Жыл бұрын
I'm really blessed with you man of God, indeed you are a blessing to many nation's, is my desire that I may worship God in truth and spirit. John 4:24❤❤❤
@athanawanjala3075 Жыл бұрын
Kila mara nikisikiliza wimbo huu natafakari saana juu ya maisha yangu. Mungu akubariki ndungu Solomon mkubwa.🇰🇪
@elikananielia80643 жыл бұрын
Ni kiu yangu kuurithi uzima wa milele, Ee Mungu nisaidie
@nicholaskamadi77742 жыл бұрын
Mwisho wangu wa dunia ni Baba yangu mungu wa viote alieumba mbingu na viote dunian.
@edwintalu41702 жыл бұрын
Hii nyimbo imenifanya nikadondokwa na chozi,mungu akubariki
@davidpaulmungai51312 жыл бұрын
Hii ndiyo imani ya kweli inayowatazamisha watu kukumbuka kuwa Kuna maisha mengine baada ya dunia.tukaze mwendo ili kuifikia hiyo mede ya thawabu
@praiseemmanuel8303 Жыл бұрын
Balikiwa Sana mtumishi
@NicholasKamadi Жыл бұрын
Amen ma bro
@HenryAgaba-vx2ez2 ай бұрын
Mzge of da day
@dismascheyewa6211 Жыл бұрын
Nimeparikiwa na nyimbo zake kweli
@wannaproducts3 жыл бұрын
Rafiki utakuwa wapi siku hiyo?
@marykariuki27308 ай бұрын
So powerful,,,i listen every time
@HadassaBahati6 ай бұрын
Tunadjuliza😢
@mcnamai5927 жыл бұрын
I am blessed by ur song
@davidpaulmungai51312 жыл бұрын
Maisha aliyoyachagua mtu kuyaishi wkt akiwa bado yupo hapa ulimwenguni ndiyo yatakayoamua ni wapi atakapokua baada ya kuondoka hapa ulimwenguni.maana Kuna jehanam na Kuna Peponi
@ezekielwere5314 Жыл бұрын
God bless you man of God may you exell and Florish in your ministry
@ezekielwere5314 Жыл бұрын
May the almighty lead your spirit in eternal life amen