Рет қаралды 6,504
Je, unajua kuwa Qur'an Tukufu inahifadhi surah, ayah na dua maalum za kukuwezesha kubadilisha yako yoyote? Leo tunakuletea siri hiyo! Kwa kutumia Dua hii, utaweza kuvuka changamoto zako na kufanikisha malengo yako maishani. Hii ni siri ambayo wengi hawajui, lakini walioitumia wameona matokeo ya ajabu. Je, uko tayari kuijua? Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe kwa mafunzo zaidi kama haya ya Qur'an na siri za mafanikio! Safari ya kila mmoja wetu ni ya kipekee. Siri hii inaweza kuwa msaada unaohitaji kwa hatua yako inayofuata!
----------------------------------------------------------------------------------------
Maelezo yake:
Surah:
Ayah:
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Tia nia yako yoyote.
Tenga wakati mwafaka kwa ajili ya faida hii.
Swali rakaa mbili za haja.
Soma visomo vifuatavyo mara 10:
(اللَّهُمَّ أَنْتَ أَنْتَ، انْقَطَعَ الرَّجَاءُ إِلَّا مِنْكَ، وَخَابَتْ الآمَالُ إِلَّا فِيْكَ، صَلِّ عَلى مُحَمَّدٍ وَعَلى آلِ مُحَمَّدٍ، وَلَا تَقْطَعِ اللَّهُمَّ مِنْكَ رَجَائِي، وَلَا رَجَاءَ مَنْ يَرْجُوْكَ فِي شَرْقِ الْأَرْضِ وَغَرْبِهَا، يَا قَرِيْبًا غَيْرَ بَعِيْدٍ، وَيَا شَاهِدًا لَا يَغِيْبُ، وَيَا غَالِبًا غَيْرَ مَغْلُوْبٍ، اجْعَلْ لِي مِنْ أَمْرِيْ فَرَجًا وَمَخْرَجًا، وَارْزُقْنِيْ رِزْقًا وَاسِعًا مِنْ حَيْثُ لَا أَحْتَسِبُ، إِنَّكَ عَلى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيْرٌ).
Fanya faida hii mara 1, 2, 3, na kadhalika. Nafasi yako!
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
----------------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
**********************************************************************
Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
**********************************************************************