Hongera doctor nashauri zile TV pale hospitali hasa muhimbili sehemu ya kusubiri huduma,ziwe zinaonyesha vipindi hivi mara kwa mara kuelimisha jamii
@joshuakimambo276516 күн бұрын
Nashauri LATRA Waelekeze wenye mabasi watuwekee hizi podcast tuwapo safarini.
@JacksonJoseph-v7w6 күн бұрын
Sahihi kabisa 🤝
@makkamadinnah95865 күн бұрын
Umenena vema sana
@UpendoEliya-i7l27 күн бұрын
VISABABISHI VYA UGONJWA WA FIGO: 1. High Blood Pressure 2. Kusukari - Kutokunywa maji ya kutosha, - Chumvi nyingi 3. Dawa za kupunguza maumivu 4. Pombe nyingi 5. Maziezi yaliyopitiluza, 6. Dawa za kulevya, 7. Vyakula vyenye sukari, 8. Sigara 9. Kutopata usingizi wa kutosha 10. Ulaji nyama nyekundu kwa wingi.
@hadijaismail361925 күн бұрын
Excellent✔️💯
@vanessadhenge43196 күн бұрын
Very important information Doc
@OscerShop7 ай бұрын
Mh. Rais uyu Prof. Janab anatakiwa ikikupendeza awe Waziri wa Afya atatusaidia Sana kwakua anauwezo mkubwa.
@josephmasanja85847 ай бұрын
Una hakika gani kuwa elimu hiyo inatoka kwake? Maana yawezekana anatafsiri toka mitandaoni tuu???
@josephmasanja85847 ай бұрын
Una hakika gani kuwa elimu hiyo inatoka kwake? Maana yawezekana anatafsiri toka mitandaoni tuu??? Na uwaziri sio maelezo tuu, ni utendaji kazi hasa, sio blaablaa za kina Riziwani!!!
@upendoeliya93297 ай бұрын
@@josephmasanja8584😂😂😂
@rayisadesigns26467 ай бұрын
@@josephmasanja8584 chuki itakuuwa wewe. Huyo sio dokta wako Ndodi wa tiba za asili anayegoogle au mpiga ramli na manyanga wa pale kijijini kwenu, huyo ni profesa wa afya ya mwanadamu. Ni daktari bingwa na ameshahudumu kama daktari binafsi wa raisi. Kwa sasa ndiye anayesimamia uangalizi wa afya za watanzania wote kama mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa ya Muhimbili. afya za watanzania zipo chini yake... uprofesa wake sio wa kupachikwa, kakaa darasani akasoma, bwege wewe!!
@awatifalghanim11067 ай бұрын
@@josephmasanja8584Madaktari wote Duniani kama yeye ndio wanasema hayo hayo hata Madaktari wa China, India na Wazungu kwa jumla na hata wa Africa 😂😂😂 lakini nyiye wa Bongo lazima muwaponde Viongozi wenu wote. Sababu ya upungufu wa Elimu. Mambo ya ajabu kweli.
@osmundmtavangu8 ай бұрын
Kazi nzuri Prof ,acha kuwasikiliza akina Msukuma wasiojua hata kuchora picha ya moyo.
@margarethsaumu560220 күн бұрын
Asante sana Dr Janabi kwa kutuelimisha. Binafsi nitazingatia ushauri wako, kwani kinga ni bora kuliko tiba.
@zamilmohammed22974 күн бұрын
Asante doctor
@najatakajumulo929210 күн бұрын
Asante sana Dk. Mi huwa nakuelewa sana, Mungu akubariki.
@eleonorashirima160411 күн бұрын
Asante dr mungu akupe maisha mareeeeeef
@HanifaOman-oo4pl7 ай бұрын
Subuhanallah. Mtihani haya maladhi
@Anithasinga7 ай бұрын
Nimeanza kunywa maji kwa wingi. Thanks doctor
@awatifalghanim11067 ай бұрын
👍 Maji ni muhimu kwenye kila kitu kilichokuwa hai.
@lusajomwaipopo5042Ай бұрын
Lakini ukizidisha kuliko mahitaji ya mwili wako italeta shida pia
@annaniasamuelmgawe1698Ай бұрын
Elimu unayoitoa Dr. Janabi ni ya muhimu kwa umma kwa sababu itapunguza cases za haya magonjwa. Mungu akulinde akupe maisha marefu professor wetu.
@paulbahinda886722 күн бұрын
Dd😊😊&
@Mapenzi26357 ай бұрын
Asante sana, Prof. Janabi.
@KoleYasini7 ай бұрын
Kweli kabisa akiwa waziri atapoteza ufanisi wake.
@hosseinmaina24447 ай бұрын
Prof Mungu akusaidie uishi miaka mingi unatuelimisha sana
@mariamagdalena-bulegi4630Ай бұрын
Asante sana Dr.M/Mungu akupe maisha marefu,endelea kuelimisha watu kwa karama uliyojaliwa na Mungu.
@AminaMkumba-u3z26 күн бұрын
Asante Upendo Kwa kumsaidia Dr kupanga maneno haliyopanga❤❤
@ramseyngwejela4997 ай бұрын
Magonjwa mengi kwa binadamu karibu asilimia 80 hutokana na mfumo wa vyakula. Kwa maana hii 1. Kula vyakula au vitu ambavyo havifai ktk mwili. 2. Kula vitu ambavyo si vyakula au vinywaji halisi. m.f. soda na juice bandia. 3. Tabia mbaya ya kula chakula wakati hauna njaa, yaani kula kwa kufuata saa. Kula chakula wakati mwili hauhitaji kula. Huu mfumo wa tabia hii ndio vyanzo vya magonjwa mengi ktk mwili wa mwanadamu.
@julianadaudi85417 ай бұрын
Asante kwa Somo zuri
@salumissa32007 ай бұрын
allah bless you prof. Janabi
@gulistanepanjetani273629 күн бұрын
Thank you. Dr. We appreciate your lectures❤
@CarolineLyimo23 күн бұрын
Nafurahia sana kwa wewe Mungu akulinde Dr
@yohanambilinyi585628 күн бұрын
Ubarikiwe doctor. Tunakuombea utendaji mwema na uliotukuka.
@JudyUrio-zy7ri7 ай бұрын
Asante professor
@ChristinaDaud-g5t22 күн бұрын
Congrats md
@AminaMkumba-u3z26 күн бұрын
Asante sana Dr Janab❤❤🪴🙏🙏👆🏂
@remidusmwanandenje-yy5gs23 күн бұрын
🤚🙏🙏 doctor kazi nzuli🇹🇿💚 mhexhimiwa Rais wangu mama ninaombi kwako kama mxaada naomba mxaada wako mama unipige kampani niezeke 2 pagala langu na mungu atakubaliki🙇🤚🙏🙏
@zara.smithwick17 күн бұрын
Very well expounded. I'd love to be a his student in medical field
@BaigonMacha26 күн бұрын
Mungu akulinde professor
@ChristerKoku7 ай бұрын
Wslevi wanted pombe na vilivi vyote ni wabishi mno.Tumsikilize sana Pr.Nyanabi.elimu anayoitoa tukiifuata ni uponyaji
@pettermollel2531Ай бұрын
Crear lesson doctor.., thanks 🙏
@fredyjhosephkapesula7267Ай бұрын
Nashkuru sana Dr,janabi
@FestoTall24 күн бұрын
Niliteseka sana na huu ugonjwa nimekunywa dawa hizi nyingi hazikunisaidia gharama nyingi. Ila nashukuru nilipata tiba sahihi nimepona 🙏
@veronicakhalid23 күн бұрын
MUNGU mwema.
@FestoTall23 күн бұрын
Amn
@stahairathabibu352223 күн бұрын
@@FestoTall tiba ipi hiyo
@Wami-Sababisho21 күн бұрын
Tuambiane hiyo tiba mkuu
@FestoTall21 күн бұрын
@stahairathabibu3522 mm nlitumia dawa za asl kutoka kwa doctor wa tiba mbadalla
@HamisMghuna-fj3vz7 ай бұрын
Mashaaalah,janabi
@BashirubakariSalala-b1gАй бұрын
Doctor 💊💊 upo vizuri sana
@veronicaroden300415 күн бұрын
Asante
@patrinraura1397Ай бұрын
Dr Janabi Heri na Christmass na Mwaka mpya. Tunashukuru sana kwa hii Elimu kwa Umma ni nadra kuipata na unaokoa watu wengi Tunaomba uendelee kutoa Elimu "Kuzuia ni Bora kuliko tiba MUNGU akubariki"❤
@bahatimwakalukwa5445Ай бұрын
Asante sana
@husseinyusuph53337 күн бұрын
Good huyu mzee unaweza muelewa vizuri kwa vitendo maana hata mwili wake unaonyesha anayafanyia kazi asemayo ila niliwahi kutana na mtu anauza dawa za kutoa kitambi lakini yeye anafurushi la tumbo nikasema hakuna dawa hapa😂😂
@hawahamza10852 күн бұрын
😂😂😂😂😂❤
@MonicaBenitomwalongo7 ай бұрын
Mungu akulaliki
@agnesspaul1866Ай бұрын
❤❤❤Muñgu akubariki nakula Sana udongo nifanyaje ili niache
@justicebridgeАй бұрын
Thanks Dr.
@salumntulo158925 күн бұрын
Mungu akutunze sanda baba muddy
@JoyceHaule-o8cАй бұрын
Ahsante sana
@gracekagoma32317 ай бұрын
ALIPWE MSHAHARA MZURI 🎉❤
@SuleymanSaid-ch1yh7 ай бұрын
Nakuba
@medisonburianraismakufurip7591Ай бұрын
mungu akujarie
@aminaomary55677 ай бұрын
Kazi nzuri Dr. Kwa elimu❤❤❤🎉🎉
@MaryFrancis-h1d16 күн бұрын
Dr umsema kuwa unatakiwa kunywa maji lita 3 naje. Mbona unakojoa marakwa mara je. Cyo mbaya?
@lovenessnguma872515 күн бұрын
Unapo kunywa maji mengi kwanza hauruhusu magonjwa kama UTI kuwepo naunapo kunywa maji ni tofauti na pombe pia figo ndio linalochuja taka mwili uwomkojo, maji ni muhimu sana itasaidia figo yako kuwa salama zaidi
@AlfredIbrahim-h9f22 күн бұрын
Huyu doctor namuelewa sanaaa
@ModestussMashalloh10 күн бұрын
Apo kweny pombe kali hz konyagi mbna zitatuwa dodoma kila duka kuna mpimo duu namim sasa 😊
@lucasmsemwa190924 күн бұрын
Tafadhali janabi usijihusishe na siasa watu wasiolitakia mema taifa hili watakupoteza.....tunakuhitaji sana doctor
@hosseinmaina244426 күн бұрын
Profesa Janabi Mwenyezimungu akupe Afya njema na maisha marefu kwani elimu inayotoa haijawahi kutolewa na Dr.yeyote
@gracekagoma32317 ай бұрын
❤
@clvestartanzania202424 күн бұрын
Apo kwenye mazoezi nimekuelewa Dr.janabi tuko pa1 mzee wangu
Mazoezi kidogo tu..kajasho kakitoka kidogo,inatosha
@mgongolwajoseph690110 күн бұрын
Tokanilivo kuona unakula nyama arusha sikyamini mm tena
@shamsahaji62027 ай бұрын
Dokta sema unywaji wa pombe haufai kabisa waambie kweli iwe kidog owe nyingi .anaetaka achukue asietaka aendelee kunywa tu atakuona mbele huko alichokitafuta..
@nasirmohamed15897 ай бұрын
Hahaha kweli kabisa mkojo wa ibilisi haufai uwe mdogo uwe mwingi
@annaniasamuelmgawe1698Ай бұрын
Ni kweli kabisa pombe haifai, naona professor kaogopa kuharibu biashara za watu.
@AllySarumbo25 күн бұрын
We usinywe pombe kafanye mazoezi sana ukipate
@anithasemwano827623 күн бұрын
Mimi situmii pombe lakini Prof. haya mambo hayafundishi kidini anafundisha kisayansi ,anajua umuhimu wa pomne ikitumiwa vyema
@estakapufi75827 ай бұрын
Ilitakiwa achaguliwe ndio awe waziri wa afya atatusaidia sana.
@nathanmalangalila97917 ай бұрын
Uwaziri ni nafasi ya kiutwala,yy anafaa kuwa kwenye uwanja wa mapambano kama hivi anavyofanya.
@masakamgalla927326 күн бұрын
Kule atasukumwa na siasa
@fainesKigahe25 күн бұрын
Kwakweli pia tukumbuke mambo ya siasa ni hobi ya mtu
@ChristerKoku7 ай бұрын
Msukuma anafikiri kila kitu ni siasa.pia .Tuliotayari kusikiliza tufuate maelekezo
@Bonifacemagus20 күн бұрын
Yaaan kilasababu inayotajwa, najikuta 😅
@ramadhanimtetu365618 күн бұрын
HAPO KWENYE MAJI NDIO KIPENGELE MIMI LITA MOJA KUNYWA NI SHIDA
@KiagoBakari7 ай бұрын
Prof wakupe tu wizara ya afya iliudhibiti vizuri eneolote la afya
@kheriakida33097 ай бұрын
Hapa ndipo wabongo tunapokosea, hawa ma professor, hawatakiwi kuwa wanasiasa wabaki kuwa wataalamu na washauri, bahati mbaya sana hatuwatumii kwa sababu tunadhani watakwamisha deal zetu, ukimpeleka kwenye siasa huyu utamchukia hawezi sema kitaalamu tena, wako ma professor wengi wameangamia baada kupewa uwaziri
@awatifalghanim11067 ай бұрын
@@kheriakida3309Lakini kuna wana wa Siasa ni Wachochezi wa BAYA.
@DaudFatakiАй бұрын
Unaijua hii nnchi wewe akiamua raisi kuvunja balaza anakuwa waziri wamifugo au tamadun
@RoseShauri7 ай бұрын
Nimekuelewa msomo Mungu akubariki sana bila nyie tuta kwama
@awatifalghanim11067 ай бұрын
Asante kwa kumsupport Doctor wenu. Dr. Anakutakiyeni afya nzuri.
@spsammy27319 күн бұрын
Na sisi tunaokunywa maji mengi afu kila mda tunakimbia kukojoa kla mda tunafanyadehydration
@farajanmwambasi4164Ай бұрын
Hapo namba 4 changamoto😅
@hadijaismail361925 күн бұрын
Hamna hata changamoto ni kuamua tuu ndugu kinga ni bora kuliko tiba dialysis x 1ni shs 150,000 kwa wk ufanye x 3, shs 450,000 kwa maisha gani tuliyonayo?
@chrismassawe2939Ай бұрын
Nyama ndo tunakula mpaka mbichi na maisha yanaendelea
@Abuu-gs1yiАй бұрын
Endelea
@justinemathias987125 күн бұрын
Iyu muongo tunywe pombe ndugu zangu
@khamiskhamis213123 күн бұрын
Kunywa kwa faida yako yeye ameshauri tyu hajakataza
@AsiaAa-w5mАй бұрын
Tunatakiwa ile kipande cha nyama kwa week maramoja
@lovenessnguma872515 күн бұрын
Naisiwe nyamachoma
@TharcissCiza26 күн бұрын
Mimi nashauri tupime TB watanzania wote,sielewe hayo mengine...
@kibasamohamedi80297 ай бұрын
Dah somo zuri, ili niweze kuepukana na matatizo! Hapo kwenye maji mimi inaweza pita hata wiki sijanywa maji
@josephmasanja85847 ай бұрын
Kunywa pombe sio dhambi, dhambi ni matendo yako baada ya kunywa pombe, sio wote wana matendo mabaya baada ya kunywa pombe
@josephmasanja85847 ай бұрын
Kunywa pombe sio dhambi, dhambi ni matendo yako baada ya kunywa pombe, sio wote wana matendo mabaya baada ya kunywa pombe
@josephmasanja85847 ай бұрын
Kunywa pombe sio dhambi, dhambi ni matendo yako baada ya kunywa pombe, sio wote wana matendo mabaya baada ya kunywa pombe
@HanifaOman-oo4pl7 ай бұрын
Zambi. Kunywa pombe@@josephmasanja8584
@BonnyMwajombe-iu7hb4 ай бұрын
Hunwick maji wee inaonyesha ni hammada chapombe
@nzegeatv635523 күн бұрын
Apo penye nyama janab utuache
@lovenessnguma872515 күн бұрын
Usipo tumia chakula kama dawa utakuja kutumia dawa kama chakula ni vyema kuchukua hatua mapema.
@VeronicaMalongo7 ай бұрын
I wish to understand if alcohol consumption is inherently likely to lead to kidney failure or if it's the resultant dehydration that leads to kidney disease? If the latter is the case, can we consume alcohol safely by consuming water too?
@DavidMutiba-hr3vo7 ай бұрын
Why not leave alcohol altogether, it's not food but a drug.If it risks your kidinies then it is poisonous and worth avoiding .
@IdrisaTuppaАй бұрын
Na Wale Wanaokunywa Cret Zima La Bia Itakuwaje Sasa😱
@NYANGHWALETV7 ай бұрын
YAANI ANAFAA SANA, WATU WANAFANIKIWA SANA KUPITIA VIDEO HIZI KAMA MAONI YA WATU WENGINE ANATAKIWA APEWE KIPINDI MAALUM KILA WIKI KWENYE CHANNEL ZOTE TZ KWA MUDA TOFAUTI ITASAIDIA SANA...
@josephmatinde505128 күн бұрын
Mbna hizi sifa zote jamaa angu anazo
@hadijaismail361925 күн бұрын
Mwana kulitafuta mwana kulipata subiri mwisho wa picha utaona
@ACLESSJABRINEАй бұрын
Ulaji wa nyama kupitiliza ni kilo ngapi kwa siku
@abuumuhammad7133Ай бұрын
Ndio Mjue.Rais wetu anaakii nyingi na ana shaurika na washauri wake amempa nafasi yakuwa mshauti wake wa Afya Nchini na pia anampeleka kugombania nafasi ya Ukurugenzi wa.WHO Africa
@benedictokaniki211513 күн бұрын
Profesa hakika unautendea haki usomi wako acha wanaopuuza haya waje muhimbili watoboe mifuko yao ya fedha
Cc tunafaidika nae,,wewe kama humuelew achana nae ,nendeni kwa madokta wenu uchwara
@deusswai33107 ай бұрын
Kwa ma saa 24 mtu anatakiwa alale ma saa ma ngapi
@BonnyMwajombe-iu7hb4 ай бұрын
Masaa 8
@lovenessnguma872515 күн бұрын
Yasiyo pungua masaa nane
@OthnoShezume7 ай бұрын
Kusafisha figa ni kias ndugu
@azizlife8674Ай бұрын
900k per week kaka Kwa mwezi ni mil 3.6
@hadijaismail361925 күн бұрын
@azizlife867😔😔😔 kinga ni bora kuliko tiba hakuna kinachoshindikana hata km mtu ni mlevi mbwa akiamua kuacha inawezekana
@emmanuelmwambiaji851526 күн бұрын
Mfano mtu anakunywa maji kiasi lakini anakojoa mkojo mweupe tu, Na anafanya mazoezi kiasi na kutoka jasho lenye chumvi chumvi kwa mbali au wakati mwingine jasho halina ile hali ya chumvi chumvi hapo kuna shida yoyote.?.? Kwako Professor....
@lovenessnguma872515 күн бұрын
Ongera kama kweli kwakua umejiepusha na magonjwa yasiyo yakuambukiza
@emmanuelmwambiaji851513 күн бұрын
Amina sana Tuzidi Kijiepusha na mazingira hatarishi ambayo yatatuweka kwenye hatari ya haya magonjwa@@lovenessnguma8725
@EstermsuyaMsuyaАй бұрын
❤
@NYANGHWALETV7 ай бұрын
YAANI ANAFAA SANA, WATU WANAFANIKIWA SANA KUPITIA VIDEO HIZI KAMA MAONI YA WATU WENGINE ANATAKIWA APEWE KIPINDI MAALUM KILA WIKI KWENYE CHANNEL ZOTE TZ KWA MUDA TOFAUTI ITASAIDIA SANA...