SOMA KOZI HIZI KUPATA AJIRA 2024/2025

  Рет қаралды 28,283

jackthedev

jackthedev

Күн бұрын

Je wewe ni Mhitimu wa kidato cha sita? Au unatarajia kujiunga na elimu ya chuo kikuu Katika video hii nimekuletea uchambuzi kuhusu kozi za kusoma zenye uhitaji wa wataalamu
Tazama video hii ili ufahamu ya kozi kumi bora za kusoma zenye soko zaidi kwa mwaka 2024/2025 #ajira #kazi #course #degree #university # education

Пікірлер: 37
@FaustineGeorge-jx4id
@FaustineGeorge-jx4id 3 ай бұрын
Samahan nimemaliza mwaka Jana nina physics d chemistry c bio c mathe d je naweza soma koz ya ordinary diploma in road and railway transport
@GeneralNdembo-rf9mp
@GeneralNdembo-rf9mp Ай бұрын
Yap ila lazima uwanze certificate mwaka mmoja
@JacquelineMushi-d5b
@JacquelineMushi-d5b Ай бұрын
Hi
@GeneralNdembo-rf9mp
@GeneralNdembo-rf9mp Ай бұрын
Hello kwema​@@JacquelineMushi-d5b
@JacquelineMushi-d5b
@JacquelineMushi-d5b Ай бұрын
Hy
@NicolausTito
@NicolausTito 6 ай бұрын
Da unyama sana❤❤❤
@NillanationsTV
@NillanationsTV 11 ай бұрын
NAKUBALI SANA
@vicentrogers9465
@vicentrogers9465 3 ай бұрын
Uko njema kk
@comfort-rjtv3291
@comfort-rjtv3291 Ай бұрын
Marketing and business studies uongo
@WHITEWHITE-fn5ey
@WHITEWHITE-fn5ey 6 күн бұрын
sure katupiga na kitu kizito labda kujiajiri alfu Agriculture haikupaswa kuwa na 9 iko vzri sana
@EZEKIELBINZI
@EZEKIELBINZI 10 күн бұрын
Kuna dg lang kapangiwa bachelor of science in economics, population and development hi vp nay naombeni wakuu majibu mapema maana kama co nzr nmebadilishie
@user-db4qo8hg6s
@user-db4qo8hg6s Ай бұрын
Kuna dogo langu wamempangia Land and mine surveing hii Vp market yake ?
@NajmahJirdah
@NajmahJirdah Ай бұрын
Samahn ety coz ya shipping and port logistics management unapata mkopo wa ngazi ya diploma 1:30
@JosephMgaya-i4r
@JosephMgaya-i4r 5 ай бұрын
Vipi kuhusu IT
@NisaKitumbo
@NisaKitumbo Ай бұрын
Oya kak na mdg ang anauliza unaweza pata mkopo ngaz ya certificate coz community development
@SuzanKunambi-bu5jw
@SuzanKunambi-bu5jw 19 күн бұрын
Samahani nimemaliza mwaka Jana Nina kiswahili c na bios d naweza kusomea nini
@user-se6fs4sl1t
@user-se6fs4sl1t 15 күн бұрын
Kasome sheria
@KhadijaSaid-lv9rw
@KhadijaSaid-lv9rw 3 ай бұрын
Samahani mm naitaji namba yk unishauri vzr Nina mwanang
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 3 ай бұрын
Vp kuhus procurement and supply
@SalimAly-x8b
@SalimAly-x8b Ай бұрын
Sorry 😞 vp kuhusu hii public health market yak
@FadhilishabaniSudi
@FadhilishabaniSudi 2 ай бұрын
Vp kuhusu HR
@SPORTCODETV
@SPORTCODETV Жыл бұрын
vipi kuhusu computer engineering ??
@jackthedev21
@jackthedev21 Жыл бұрын
Hii ina ingiia kwenye computer science/ engineering
@rachelmwaluko8054
@rachelmwaluko8054 20 күн бұрын
Ada kiasi gani ​@@jackthedev21
@JoyceGabrielMwita
@JoyceGabrielMwita Ай бұрын
Naomba namba kwajili ya ushauri Zaid plz
@jackthedev21
@jackthedev21 Ай бұрын
0788924402
@AmaidaOmary
@AmaidaOmary 3 ай бұрын
Nomba namba zenu please
@estermgoma7451
@estermgoma7451 11 ай бұрын
Kwaio uhakika
@user-gu5vj9of7k
@user-gu5vj9of7k 2 ай бұрын
😅
@EsterMajura
@EsterMajura 2 ай бұрын
Nataka nisome law lkn o level nlipta D ya english
@GeneralNdembo-rf9mp
@GeneralNdembo-rf9mp Ай бұрын
Unasoma ila baadhi ya vyuo kama udsm bachelor yake watakusumbua
@JoyceNgela
@JoyceNgela 3 ай бұрын
Watu wanakatisha taama huku🤣 pharmacy kwel haina ajira
@jackthedev21
@jackthedev21 3 ай бұрын
pharmacy ni kozi nzuri sanaa
@JoyceNgela
@JoyceNgela 3 ай бұрын
But si mpka uwe na ela ufunge mwenyewe
@JacquelineMushi-d5b
@JacquelineMushi-d5b Ай бұрын
Jmn never give up
@MariaWankyo
@MariaWankyo 21 күн бұрын
Me Nina F ya physics na mathematics ety nikisoma famasi nimebiwa bila physics nitakuwa najisumbua tu sitaajiriwa na serikali Wala kusajiliwa kwenye Baraza la famasia nitakuwa sitambuliki
@jackthedev21
@jackthedev21 21 күн бұрын
@@MariaWankyohapana maria maneno ni mengi sana mtaani...ukipata chuo soma pharmacy
Ukisomea taaluma hizi, lazima upate ajira serikalini
5:38
Azam TV
Рет қаралды 38 М.
If You Know These 15 Words, Your English is EXCELLENT!
7:39
Brian Wiles
Рет қаралды 2 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 54 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 47 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
FANYA HAYA KABLA HUJACHAGUA KOZI YA KUSOMA CHUO KIKUU
3:25
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023- kozi 10 zenye ajira tanzania engineering courses 2023/24
8:23
𝐓𝐞𝐚𝐜𝐡𝐞𝐫 𝐃
Рет қаралды 10 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 549 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 57 М.
KAMA UNALENGA KUAJIRIWA HARAKA. USISOME KOZI HIZI 10.
4:19
Teacher SHARAK
Рет қаралды 8 М.