Ukisomea taaluma hizi, lazima upate ajira serikalini

  Рет қаралды 38,090

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Serikali kupitia Naibu Waziri Ofsisi ya Waziri Mkuu Anthony Mavunde imetaja masomo na taaluma ambazo zina fursa kubwa ya ajira serikalini.
Mavunde alikuwa akijibu swali la Mbunge Viti Maalum Mosi Raymond aliyetaka kujua pia takwimu za wahitimu wa vyuo mbalimbali ambao hukosa ajira.
Katika majibu yake Mavunde ameeleza mikakati ya serikali ya kupunguza tatizo la ajira kwa wahitimu wa vyuo.

Пікірлер: 17
@elizabethmvumu1881
@elizabethmvumu1881 Жыл бұрын
Ajira zenyewe zakupeana kindugu, kirafiki, Serikali inashndwa kuajiri kwakuangalia watu waliohitimu miaka ya nyuma na badala yake watu wanawekana tu, tusio na watu juu, vyeti vyetu tutakuja kuwapa watoto wetu wachezee tu coz havitakua na maana tena.
@suedissa7500
@suedissa7500 6 жыл бұрын
😁😁😊☺☺ daamn ha ha ha ha
@mrtembakiboboy6145
@mrtembakiboboy6145 2 жыл бұрын
Unajua mnachekesha viongoz ata ualm Na afya mnaajiri Kwa kubpu ,acheni utani bwana ala
@suedissa7500
@suedissa7500 6 жыл бұрын
😀😀☺☺☺☺ ajira million moja?
@jamesmpeter8710
@jamesmpeter8710 6 жыл бұрын
umejibu kwa mkato mkato hata hatujakuelewa
@suedissa7500
@suedissa7500 6 жыл бұрын
James Peter ha ha bora hata na we umeona asee
@nabo_0249
@nabo_0249 6 жыл бұрын
kumbe kuna ubaguzi
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 жыл бұрын
Asante
@obbikosianga7432
@obbikosianga7432 6 жыл бұрын
Muwe mnafikiria kutudanganya hivyo sidhani kama ni busara na niaibu kutoa takwimu feki.ajira milioni 1.5 tangulini serekali mmeajiri kiasi hicho
@nelsonphinias3309
@nelsonphinias3309 4 жыл бұрын
Hapo sasa 😂😂
@waidaamon457
@waidaamon457 3 жыл бұрын
Records management 2016 cjui nikasome kozi gani tenaa maana nachokaa tuu
@johnotiger6517
@johnotiger6517 3 жыл бұрын
Sawa
@suedissa7500
@suedissa7500 6 жыл бұрын
2014? It's 2018,ufundi upiii?
@GeneralNdembo-rf9mp
@GeneralNdembo-rf9mp Ай бұрын
Ufundi sanifu wa maabara
@JoctanValence
@JoctanValence Ай бұрын
Jaman nifanye mini I'll niwe Dakar nasoma pcb
@janemduwile1520
@janemduwile1520 4 жыл бұрын
Tupo
@yunus_Mbaruku
@yunus_Mbaruku 3 жыл бұрын
Fake point
MCHAKATO WA AJIRA KIDIGITALI, MAHOJIANO - AZAM TV
20:41
AJIRA TV
Рет қаралды 1,4 М.
LEMA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA HOTUBA YA RAIS KWENYE MIAKA 60 YA POLISI
21:28
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 125 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,3 МЛН
KOZI 5 BORA ZA AFYA ZENYE AJIRA NCHINI TANZANIA NA EAST AFRICA
7:10
MCHAKATO WA AJIRA KIDIGITALI, MAHOJIANO - CLOUDS TV
58:35
AJIRA TV
Рет қаралды 1 М.
ZIJUE POINT ZA UFAULU NA VIWANGO VYA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU
43:03
INFORMATIVE TV
Рет қаралды 17 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26