Rest in Peace Bishop Ephrahim Mwansasu, tulidhani utarudi tena Moshi, tutaonana baadaye Mbinguni.
@jaminussanga30312 жыл бұрын
Ubarikiwe bishop
@el-shadaikwayafpctmajengom54172 жыл бұрын
Amina
@hyasintkisika88482 жыл бұрын
Namuona Abiud hapo mbele, Msalimieni sana
@el-shadaikwayafpctmajengom54172 жыл бұрын
Amen
@evamwinga9212 жыл бұрын
Katika jina la Yesu nafuta mihuli yao/alama zao
@el-shadaikwayafpctmajengom54172 жыл бұрын
Amen
@lindakimeu73903 жыл бұрын
hi kindly add the full sermon/teaching thanks! ujumbe huu unatubariki na kutufungua!
@el-shadaikwayafpctmajengom54173 жыл бұрын
Amen
@prophetmunuo93172 жыл бұрын
Mmm dunia na Tanzania ameondoka mtu muhimu kwenye kazi ya MUNGU aliye hai, kuzimu ilipambana naye kweli kweli daah lkn Mungu yupo na atabaki kuwa Mungu tu