Samahani mm nimedandia gari kwambere unanisaidiaje mama nimejifunza katikat
@JIFUNZEMUZIKI3 ай бұрын
Karibu sana
@AlwaysHeart-v1c5 күн бұрын
Nisaidieni
@AmosMajaliwa-dv8jd10 ай бұрын
Nakukubali xan mtumixh
@JIFUNZEMUZIKI10 ай бұрын
Amina
@emmanuelsamwel996110 ай бұрын
Safi sana mtumishi, nimesikiliza mara ya kwanza lakini naona kama nitaelewa hii milio. Nataman nipate no yako nikupigie
@JIFUNZEMUZIKI10 ай бұрын
0768144458
@kisaikamusicsound810 ай бұрын
Hongera sana,unapatika wapi
@JIFUNZEMUZIKI10 ай бұрын
Ninapatikana Mkoa wa Geita
@godloveorio80297 ай бұрын
Mwalimu mimi ni mpigaji wa sauti ya kwanza kwakusoma Noteni (tarumbeta) sipo vizuri sana katika kupiga nyimbo za kichwa nini nifanye ili niweze kukomaa katika nyimbo za kichwa bila kusoma kitabu ?
@JIFUNZEMUZIKI7 ай бұрын
Nyimbo za kichwa unamaanisha nini
@godloveorio80297 ай бұрын
Namaanisha nyimbo za kusifu
@geraldmaina5910 ай бұрын
Back ground music is disrupting
@JIFUNZEMUZIKI10 ай бұрын
Thanks for the tip I will adjust it
@IvonaChuwa3 ай бұрын
Kutunza milio ndo shidaaa, ila naamini kwako nitapona😂