youtube.com/@jifunzemuziki?si=foahdKlKosexgTwP Bofya hii link itakupeleka kwenye masomo yote. Barikiwa
@JIFUNZEMUZIKI3 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/bIa1eZSjeJxjrbM Somo la tatu hili hapa
@JonsonJohn-km8tmАй бұрын
Nakuelewa kaka
@JIFUNZEMUZIKI24 күн бұрын
Karibu sana
@HabsonKaboma3 ай бұрын
SoMo mzur sana
@JIFUNZEMUZIKI2 ай бұрын
Karibu sana
@mosesMoluАй бұрын
Nice one following you
@JIFUNZEMUZIKIАй бұрын
Appreciated
@mutukumutulili92564 ай бұрын
❤haya masomo yananisaidia sana kwa kuwa mimi napenda muziki kuptia nota 🎼🎵🎶
@JIFUNZEMUZIKI4 ай бұрын
Amina
@IvonaChuwaАй бұрын
❤ nimekuelewa sana Asante
@JIFUNZEMUZIKI24 күн бұрын
Karibu sana
@Joycee-bk9cg20 күн бұрын
Kipindi kinaanza saangap ndugu kipichako nikizur tunapenda tujifunze
@JIFUNZEMUZIKI19 күн бұрын
Karibu sana
@JustinErnest-jq2feАй бұрын
Safi
@JIFUNZEMUZIKI24 күн бұрын
Karibu sana
@mwendwapatrick-Silahasita6 ай бұрын
I have liked, subscibed
@JIFUNZEMUZIKI6 ай бұрын
Thank you and you are warmly welcome
@deuserenestmirambo7 ай бұрын
Amina sana kaka nakipata kwa uzur sana
@JIFUNZEMUZIKI7 ай бұрын
Amina sana. Endelea kujifunza na wasaidie wengine pia
@FrancoSimba4 ай бұрын
Nimependa sana kaka ikiwezekana tuambie kipindi kinaanza saa ngapi
@JIFUNZEMUZIKI4 ай бұрын
Karibu sana kuna masomo 16 mpka sasa
@FloraNdabali8 ай бұрын
Asante .naomba namba tuwasiliane nipateje mafunzo hayo kwa muda
@JIFUNZEMUZIKI8 ай бұрын
0688159096 Ya WhatsApp 0768144458
@christopherernest23168 ай бұрын
Mwalimu hongera kwa somo zuri la mziki je,,! Unapatikana wapi maana tunatamani kujifunza tukiwa darasani kabisa,,,,!
@Filbert-pe2xm3 ай бұрын
Msaada mwalimu namna ya kuimba nota ya wimbo wa afrika mashariki
@hellenmarcel92622 ай бұрын
Naomba nifundishe na mimi napenda muziki na kujifunza nota
@JIFUNZEMUZIKI2 ай бұрын
Karibu sana masomo yote yapo
@MaikoMsokwa5 ай бұрын
Mbona Kuna nota Moja siiioni mikia mitatu
@JIFUNZEMUZIKI5 ай бұрын
Hiyo mara nyingi hatuitumii katika muziki wa kawaida. Na mara nyingi inaweza kupigwa na vifaa kama simu au komputa hata kama utaisoma najua haitokua rahisi kuitumia kokote na ndio maana sijaijumuisha
@MaikoMsokwa5 ай бұрын
@@JIFUNZEMUZIKI oka but nimeona imetumika kwenye nyimbo mwalimu