Wewe ni nabii wa kweli duniani umeyabariki maisha yangu Gilbert kutoka Kenya
@davidmaheke3383 Жыл бұрын
Greetings major prophet, I am blessed with your teaching, from now on , I will start to practice your teaching, I am pastor, I live in south Africa, I have the same heart to help people, sometimes it's hard to help when you don't have enough for yourself,but God will help us . Thank you for your words of wisdom. May God continue to use you mightly
@dailantz40732 ай бұрын
Mungu hazidi kubariki uduma yako bb 🤴❤❤❤❤❤
@mollel5011 Жыл бұрын
Ameni baba na mimi ninaomba niwe na roho kama wewe baba nakuomba ufunguo kama wa kwako baba nakupenda sana baba hakika hakuna linaloweza kushindikana kwako baba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@damarisnjerunjeru399 Жыл бұрын
Thank you Jesus
@wemalusweti70572 жыл бұрын
Mtumishi WA Mungu Umekuwa wa Baraka zaidi kwa maisha yangu Wema lusweti from Kenya but Sai niko saudi Arabia kazi
@dailantz4073 Жыл бұрын
Dunia inajiuliza nabii mkuu hamekua ni wamijiza kila siku kuwadumia watu kiro nauwapa mitaji magali namazuli.mengi nanimijiza kila wakati wakati dunia na wengi kutafuta hata wanenewe baraka na mafanikio.kuna. wanafiki hapendi nabii mkuu hana vosaidia watu ote wana umia sana kwa chukizao lakini mungu hanazidi kubariki bb NABII MKUU
@shakukawele99592 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Nabii Mkuu Geordevi mafundisho yako yamenigusa sana wewe ni baba mwenye Roho ya upendo wa mungu 🙏🏽🙏🏽Bless youw🙏🏽🙏🏽😭😭
@anjelinakasembe8452 жыл бұрын
Nalia kwa maneno ya Nabii🙏🙏🙏🙏🙏
@pascalhwago28812 жыл бұрын
Baba Ñabii mkuu Ta zania ubarikiwe sana kwa mafundisho yako mazuri
@elizambise85042 жыл бұрын
Baba shkamoo.naomba niombee nimeteswa sana nawachawi,ninavifungo vingi sana nimekimbia nchi Bado .sema neno Moja kwangu naomba juu ya uyu mama mtesi wangu
Mungu akubariki sana maneno yako yamenijenga kweli nipo USA Kentucky Louisville Amen
@jenniferandmwakikono49602 жыл бұрын
Shalom baba ukweli nayaishi yote mafundisho uliyonifundisha.nipo mtwara ck moja Mungu anipe kibali nifike madhabahu itoayo moto na ngurumo
@renathamgeni3869 Жыл бұрын
Asante. Baba. Kwa. Mafundisho. Nimepokea. Mungu Anisaidie.sana.niyaishi.
@leonardmisana90612 жыл бұрын
Fundisho zuri sana ,limenibariki mno,barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Nabii mkuu Dr Geodavie
@LivingKiwelu Жыл бұрын
Baba unazidi kunibariki asante baba
@kenyanewsalert53372 жыл бұрын
Napenda sana Mafundisho Yako Baba
@neemanziku54032 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi miaka 1000 yote kwako🙏
@maryann62412 жыл бұрын
This is my day thank Jesus
@adelshawa74172 жыл бұрын
This is the details 👌
@aronabed39882 жыл бұрын
Yaan umenifanya nijue kwann mungu alinionyesha nikitembea naww hatua nyingi na ukanipa sir ambayo had sasa sijapata kuilewa najua ipo siku nitafika ngurumo ya upako na utanipa kile ulicho nipa katika ulimwengu wa roho
@tsoundonlinetv2 жыл бұрын
Amen My Dad
@ezekielyohana68262 жыл бұрын
Poweful massage.
@shukuruelijoseph70762 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana baba
@DAZIZUbeàutysalon2 жыл бұрын
Ameni baba Mungu akuinue zaidi na zaidi
@NeemaMinga-pl8ty Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana, tamaa yangu nije nikanyage hapo nikuone tu! Ntafunguliwa kupitia ww baba.
@neemadickson39752 жыл бұрын
Haleyuya nakupata baba, nabarikiwa Mungu anipe uzima nije niguse tu kiachu chako,
@EmmanuelSanare-bc7si Жыл бұрын
Amen🤝
@damasjoseph762 жыл бұрын
Ubarikiwe
@deusmallya69322 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@abdumsuya92662 жыл бұрын
Amen mtumishi
@janetkaingu70382 жыл бұрын
Eeeeeeemen,shida zangu Zote zimefutwa zote aamina asante Babà Nabii Mkuu
@kknlghfblblanakere59462 жыл бұрын
Amen mungu akubariki pia nami nmebarikiwa thanks mtumishi
@magrethlwaga9552 жыл бұрын
Asante kwamaneno yako
@josephkiondo49342 жыл бұрын
Kwa mar ya kwanz nimeelew Yes alivyosem mtawatambua kwa matund yao bab nabi Leo nimeujuw moy wak usemach ndich ufanyacho Ulindwe na Mungu Baba
@nashnguyaine14572 жыл бұрын
So sweet ur voice dad
@magrethchiwango6442 жыл бұрын
Nami napita katika moyo huo baba nisaidie watu baki ,,mungu nisaidie ,mungu nipe nguvu kupitia madhabahu hi nikafanikiwe niweze saidia wengine
@lwitikoasa68992 жыл бұрын
Thanks Prophet for good sms
@marympemba21372 жыл бұрын
Amina baba 🙏🙏
@lissajosey10892 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah,,sijutii wewe kua baba yangu Bali ni faida tupu,,nasema ni faidaaaa Kila hatua love you ma dadyyy,,eeeh moyo wangu tunza hekima kuu hii ya baba
@saidimakula13632 жыл бұрын
Amina
@amosabdu25332 жыл бұрын
Amina
@seciliantwenya7462 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu, na ueendeleee kuwasaidia watu hivyo
@emmanuelemmanuel30472 жыл бұрын
kweli baba
@manirambonaemeryhasta37392 жыл бұрын
AMEN TENA AMEN DR GEODAVIE NABII MKUU😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bjcjdghj1172 жыл бұрын
asante sana baba kwamaneno mazuri kama Mungu azidi kukuongezeya nguvu . ni ISSA wa RDC
@bjcjdghj1172 жыл бұрын
Tumejengwa vema kabisa. Amen amen ameeeeen
@siphaeljoseph21562 жыл бұрын
AMENIII
@ufufuowarohoni53302 жыл бұрын
Penda sana daddy kichwa cha manabii
@waziritz52732 жыл бұрын
Amen
@timothybilato39602 жыл бұрын
Emeee Baba nimepokea NATAMANI nifike
@mteulefaini Жыл бұрын
Kwa mafundisho Yako yausuyp uchumi na mafanikio ubalikiwe.NAPENDA KUKUFAHAMISHA MAONO KUTOKA KWA MUNGU NA SIRI JINSI MBINGU ZINAVYOKWENDA KUKAMATA UCHUMI WOTE WA DUNIANI.Jina langu ni MTEULE.:Amani kwako.
@lwitikoasa68992 жыл бұрын
Nabii mkuu nabii mtoto nimeona wazungu wengi wengi wanakujia uwaudumie vikundi vywa wazungu wanakujia
@janestephen85112 жыл бұрын
Nabii tuna ujenzi wa kanisa tunaomba ufadhili wako baba mch
@timothybilato39602 жыл бұрын
ipo siku TU tafika ulipo
@anglephiripo2 жыл бұрын
Baba matamko yako yana nguvu uishi miaka mingi
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Baba Nabii hata baadhi yandugu ukiwasaidia badowataakuumiza
@abdumsuya92662 жыл бұрын
Maneno Yako yananipa funzo
@jumaalex39422 жыл бұрын
Yani unajitambua kupita kawaida lakini kunamtuamevunja watumoyo kusema mtuanaepandambegu bilalakiasije kwako kunamtu anambegu ya lakikunamwingine uwezo wake nikumi hivyo ubaguzi haufai wewe nimtumwenyeupendo wa MUNGU
@jumaalex39422 жыл бұрын
Akika wewe ni mtu wa MUNGU nakuongeakwako akunamuubiri afrca mwenyebusara
@annehaysanday92142 жыл бұрын
Ameeen
@dorysomangiza4122 Жыл бұрын
Sharom mtumishi baba mpendwa Nime barikiwa na mahubiri ya monika mungu am barikiwa sana kama kanihubiria mm saaizi nisaa nane Usiku sijalala nafuatia mahubiri Nalia tu😭 nikizani yesu Ameni acha ila monika mahubiri yake Ameni ngusa sana ila najua ikosiku nitfika tu yesu nisaidi🙏🙏