Songa feat. Double-HISIA ZA MOYONI(Official Video)

  Рет қаралды 328,459

Songa

Songa

Күн бұрын

Shukrani kwa Mungu kwa uwepo wa hiki kifanyikacho duniani japo kwenye maisha kuna mambo mengi yanayohusisha watu wengi ndani yake ila kuna muda unaweza ukajihisi mpweke katikati ya kundi la watu,Hisia Za Moyoni ni wimbo unaolezea mengi. Tazama , comment, share na bilakusahau subscribe account yangu kuendelea kufuatilia mengi kutoka kwangu.
Asante.
Download link: www.mdundo.com/a/972
Facebook : Songa (official page)
Twitter : @NiiteSonga (Official page)
Instagram : @NiiteSonga (Official page)

Пікірлер: 259
@dottombilinyi5979
@dottombilinyi5979 16 күн бұрын
kama bado unasikiliza 2024 chapa like bas🎉
@harunskawa230
@harunskawa230 Жыл бұрын
Kila nikaa wiki moja au mbili lazima nirudi kuisikiliza hapa❤
@richardselaka1621
@richardselaka1621 Ай бұрын
+ waite polisi
@husnahassan2199
@husnahassan2199 5 ай бұрын
🎉🎉aah mm ntacoment tu nna sbb kibao z kuipenda hii ngoma❤
@dariusmsagha
@dariusmsagha 7 ай бұрын
Undoubtedly my best and most played song by a Tanzanian artist.
@WilliamZablon
@WilliamZablon 3 ай бұрын
Nyie mko slow san me per day lazima nisain hapa... Ety
@gloriadesdery9705
@gloriadesdery9705 3 ай бұрын
Imani ni Bora kuliko dini👊👊
@Joekwid960
@Joekwid960 Жыл бұрын
Nasikitika kuona vijana wanakufa kwa madawa na ukimwi. S.O.N.G.A your the best😢
@catherinfabiani5265
@catherinfabiani5265 4 жыл бұрын
Katka wanahrkat wa hop songa namuelewa sana kama naww unaelewa anachofanya gongs like
@mlwanikamchizi3507
@mlwanikamchizi3507 2 жыл бұрын
Unaweza ukawa bora hata kama usipo Win... - Mandonga mtu kazi ni mfano wa huo mstari
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 Жыл бұрын
😂😂
@AlhajiSefu
@AlhajiSefu 6 жыл бұрын
Duh cichoki kuitzama hii ngoma songa nakubl sana bro pale ninapokua mnyonge nyimbo yako inanifariji
@evaristmunaku5526
@evaristmunaku5526 8 жыл бұрын
niamini kaka Kwenye hii Dunia CRITICAL THINKERS kama wewe mnahesabika..I respect kazi zako kaka.big up
@husnahassan2199
@husnahassan2199 Жыл бұрын
Nmejskia kucoment mara nyinyinying ila hii y mwisho"maisha sio shida tu...
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 9 күн бұрын
My Favorite Track Of ALL TIME...Haiwezi Pita Siku3 Sija Play Huu Wimbo Aisee! Nipo Humu 2024🔥✊🏾
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 7 ай бұрын
Best song,I almost play everyday!
@xadygenious414
@xadygenious414 3 ай бұрын
Hisia za moyoni
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 4 жыл бұрын
Kina Nash Mc, kina Songa, kina Bonta, kina nani... kina One the incredible kina nani....nyie ni watu makini sijawahi ona. 💥💥💥💥💣💣💣
@isayamlawa410
@isayamlawa410 7 ай бұрын
Duuu Songaa hii ni nomaa@Songa n nchi ya flow no flag
@abdillahkitwana5974
@abdillahkitwana5974 2 жыл бұрын
yani mpk leo namckiliza uyu mchizi na lazima awepo kwny playlist yngu...Respect Songa
@astongllo725
@astongllo725 3 жыл бұрын
Ata wakikutupa Kenya uta run +254 wamuulize OG😀😀🤣
@rasibuga5428
@rasibuga5428 3 жыл бұрын
Respect tamaduni bob
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 5 жыл бұрын
nikapate upepo kisiwa cha Zanzibar ahsante Songa kwa kutawakilisha utalii wetu zanzibar karibu Zanzibar
@amanimoses121
@amanimoses121 4 жыл бұрын
Jamaa nakubar uandish wako, sichok kisikiliz nyimbo za huyu jumaa
@calvinmshanga9077
@calvinmshanga9077 Жыл бұрын
Mzaliwa 2000✝️lakin naelewa sana nyimbo za mwamba
@happymbwamboo8873
@happymbwamboo8873 3 жыл бұрын
S.O.N.G.A...........Ipo cku watanzania wataelewa unafanya nn......Safi sana
@omarykomba4302
@omarykomba4302 4 жыл бұрын
2020 hapa kimara duh we ni mkariiìi IMANI ni bora kuliko Dini
@sebachaz6483
@sebachaz6483 5 жыл бұрын
duniani hakufai ndo maana ukizaliwa tu unalia ngoma gonga like twende sawa
@mjtv4966
@mjtv4966 3 жыл бұрын
Usiulize nipo chimbo kama mlipuko WA TALIBAN👍👍
@Joekwid960
@Joekwid960 Жыл бұрын
Songa ni NCHI YA FLOW BRO NO HUG 💥🥘🔥🔥🔥
@daudikipelo8761
@daudikipelo8761 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana Sana an nimejaza mangoma yakoo
@ki2maestro24
@ki2maestro24 8 жыл бұрын
nachotaka kuona ni furaha inapatikana SUDANI YA KUSINI ..(FACT: HIP HOP LIVES)
@issankoweboy803
@issankoweboy803 4 жыл бұрын
Hii ngoma duuh kali sanaa
@phwasound4448
@phwasound4448 5 жыл бұрын
goood song pamoja brother
@emmamikate4741
@emmamikate4741 Жыл бұрын
DUNIANI HAKUDAI NDO MAANA UKIZALIWA TU UNALIA
@pmall8867
@pmall8867 3 жыл бұрын
Ila songa wewe Ni Kipaji.... #HisiaZaMoyoni
@African2TheWorld
@African2TheWorld 7 жыл бұрын
"kama kazi yako dhambi,unadhani malipo nini"
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Huu mdundo tumchapie Kali mzeee😂😂
@georgedeo3726
@georgedeo3726 11 ай бұрын
Nimekuelewa zaidi 2023
@mohdyussah825
@mohdyussah825 6 жыл бұрын
From UAE +971 Dah Duniani hakufai ndio maana ukizaliwa tu unalia Songa big up man
@davidmpulumba4039
@davidmpulumba4039 Жыл бұрын
Huyu 😂mwana kanikumbusha mbali sana nakumbuka enzi zire nipo home msosi wa shikamoo na shinda beach ila right now nimeoa nipo Germany one love to tanzania one love t😂 songa kilingeni
@dorothymchatta3560
@dorothymchatta3560 8 жыл бұрын
Respect my man
@user-kv6ik2sr9x
@user-kv6ik2sr9x 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤songaaaaaaaaaaaaaaaaa
@jeremayageremy9882
@jeremayageremy9882 2 жыл бұрын
Sijawahi choka sikiliza hii nyimbo bro... na nikiisiliza after sometimes naona nilimisi kitu kikubwa mno BIG UP SONGA ✌
@georgezabron2891
@georgezabron2891 5 жыл бұрын
Ilipotea simu yangu nikaipoteza hii hip hop, bonge la songe
@MgombaJunior
@MgombaJunior 4 ай бұрын
songa
@abubakaralimohammed3388
@abubakaralimohammed3388 3 жыл бұрын
Ati songa utaflow wapi muulize dem wako nishafanya show gapi.....HISIA ZA MOYONI
@Mtznajua
@Mtznajua 7 жыл бұрын
Imani ni bora kuliko dini 👌🏽👌🏽👌🏽well thought 💭
@rashatz7759
@rashatz7759 7 ай бұрын
2024 still here🎉
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 2 ай бұрын
Duuuh..mura.inanikumbusha.tarime nyamongo 2023...nikiwa nakula k2 Cha 250..v2.500😂😂😂😂😂😂😂
@INVISIBLE761
@INVISIBLE761 3 ай бұрын
Yeees
@michaelkisingi8650
@michaelkisingi8650 8 жыл бұрын
bonge la mdundo kiukweli umeongea vtu vkali sana aisee wasanii inatakiwa wawe dzain hii . big up broo songa
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 Ай бұрын
Unaweza ukawa Bora hata usipowin
@JeremiaDimo
@JeremiaDimo 20 күн бұрын
Daaah nakubali
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 3 ай бұрын
Naipenda sana tena sana ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@chibamzembe6188
@chibamzembe6188 3 жыл бұрын
Duuuuuh pa1kaka nakubal
@dicksonokanda9091
@dicksonokanda9091 8 жыл бұрын
"anayenifanya nisimame ndiye anayenifaa.,,,," ngoma kali san mwana. naikubali sana tamaduni music
@andrewfullington9777
@andrewfullington9777 3 жыл бұрын
How does this have not pass 50M views its amazing
@chiyughajr.9968
@chiyughajr.9968 8 жыл бұрын
Ninapoitazama top ten ya nyimbo bora kwangu kwa mwaka @2015, hii moja ya nyimbo kali sana na huwezi kuitoa ndani ya top five, Respect kwako @niitesonga, shoutout kwake @Double
@ntawurusigajaphet813
@ntawurusigajaphet813 5 жыл бұрын
Songa nnakukubali, 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 huku tunakupata
@kelvinchuhila3780
@kelvinchuhila3780 Жыл бұрын
Imani ni Bora kuliko dini
@mashaurimasolwa2601
@mashaurimasolwa2601 2 ай бұрын
2024 tukutane hapa👉🏿
@legsmediatz
@legsmediatz 3 ай бұрын
Kali bila ukali vikal. Cjui nmesema nn
@ridhiwanially6609
@ridhiwanially6609 4 жыл бұрын
Umeangushwa na production bro,wasanii wa hip hop wengi bongo mnakwamishwa na production mbovu ndomana ngoma hazifiki mbali jifunzeni kwakina khaligraph kenya
@stevemelodiaz7574
@stevemelodiaz7574 2 жыл бұрын
Nn kibaya hapo?
@ianmwaliko9834
@ianmwaliko9834 5 жыл бұрын
Man me sikujui nimeskia tu song yako Y254 n nikaipenda sana. Great song. Straight to the heart.
@yuzzomanboy
@yuzzomanboy 8 ай бұрын
Keep going 2024
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 2 жыл бұрын
Umefanya mziki uonekane kitu rahisi sana# Big up
@HamisKhalfan-df5kk
@HamisKhalfan-df5kk 3 ай бұрын
Respect bloo
@georgekarundabenard2739
@georgekarundabenard2739 2 жыл бұрын
Respect broo!
@abdalahsambala6667
@abdalahsambala6667 8 жыл бұрын
Mara zote wewe uko vizur makuamin
@heavenonearthchannel3748
@heavenonearthchannel3748 7 жыл бұрын
niite songaa. naskiliza siku nzma ngoma atariii..big up ..
@dennogods_pick1166
@dennogods_pick1166 7 жыл бұрын
waah this song ina songesha; milima na Daa talanta kubwa kwa pande zote production on point pia LOVE FROM NAIROBI
@abdulrahmankanduka1977
@abdulrahmankanduka1977 4 жыл бұрын
Hii ngoma imetulia kinyama
@ontrending2554
@ontrending2554 20 күн бұрын
All time best hip hop song to ever dropped 🔥🔥🔥
@samstive665
@samstive665 Жыл бұрын
Daaaaah 😢namkumb manzi angu😢😢😢
@samwelsamwel2692
@samwelsamwel2692 4 жыл бұрын
Songa unafikiria sana una mistari yenye logic ila the way unarap bado inabidi ubadilike
@joramkitime1101
@joramkitime1101 4 жыл бұрын
No ma bro song a ulifikili sana kuandika hiyo ngoma
@mcdadedady7777
@mcdadedady7777 6 жыл бұрын
duniani hakufai ndio maana ukizaliwa tu unaliaaaaaaaaaa
@mukakathejoker6504
@mukakathejoker6504 8 ай бұрын
Hisia za moyoni Wanapagawa naamini......napata huzuni kuona vijana wanapagawa na mihadarati, unga na ukimwi
@costantinejoseph4907
@costantinejoseph4907 5 жыл бұрын
ni wachache tunaoujua mzik mzr hata kama unastrace zote zinakwesha ni mwendo wa kutikisa kichwa tu
@barakasosopi4656
@barakasosopi4656 4 жыл бұрын
Much respect brother,sichoki kusikiliza na kutizama wimbo huu siku zote za maisha yangu
@allendeusdedith8482
@allendeusdedith8482 7 жыл бұрын
nipe shavu nirushe kofi kwa ruksa pasipo mwinyi
@clemenceolivery9427
@clemenceolivery9427 8 жыл бұрын
big up bro Songa,nakuombea umri mrefu,HIPHOP ifike songe mbali zaidi
@Simulizitulivuu
@Simulizitulivuu 6 күн бұрын
Songaaaaa
@khaledeponera6070
@khaledeponera6070 2 жыл бұрын
Aisee this Songa guy is dope....
@bakarifundi4351
@bakarifundi4351 4 жыл бұрын
Gud song songa songa mbele
@saleh9997
@saleh9997 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana 2016-2022
@lancela7370
@lancela7370 2 жыл бұрын
Only those who know about music lyrical king are here🤟🏾👊🏾
@hermankassanga4645
@hermankassanga4645 6 жыл бұрын
Kama hjui huez muelewa jamaa hii siyo singeli..the best song ever👊
@Elfuego257
@Elfuego257 Жыл бұрын
December 07 2022, kichwa imejaa mawazo sana...najikumbusha umuhimu wa kupambana na Songa👊🏿
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 3 жыл бұрын
Bado nakusikiliza
@speaklifeafrica
@speaklifeafrica 5 жыл бұрын
Penda sana
@Godlovemmanuel
@Godlovemmanuel 8 жыл бұрын
✊ Kazi Nzuri Bro
@songa619
@songa619 8 жыл бұрын
Shukrani 🙏
@aboubakarkamikaze-vr9gk
@aboubakarkamikaze-vr9gk Жыл бұрын
SONGA ni rapper
@novatusrichard9375
@novatusrichard9375 5 жыл бұрын
still nipo pamoja na hii mitindo ,,much respect Songa
@silentmaxbln7227
@silentmaxbln7227 8 жыл бұрын
Nice work Songa
@charlesduncanm196
@charlesduncanm196 3 жыл бұрын
Hi nyimbo yangu
@charlesduncanm196
@charlesduncanm196 3 жыл бұрын
Silaha ni ulimi
@hello-qv8md
@hello-qv8md 7 жыл бұрын
Hahaaa demu wako nung'unung'u dunian hakufai ndo maana ukizaliwa tu unalia
@user-qu8wj1dm9r
@user-qu8wj1dm9r Жыл бұрын
Maixha hayati uoga
@ashirafuabdallamhed-ez1hj
@ashirafuabdallamhed-ez1hj 2 ай бұрын
Mziki Unaongea
@joshualeonard6239
@joshualeonard6239 5 жыл бұрын
Daah! Nime view ngoma kiss kukomenti
Songa - USIKU
3:45
Songa
Рет қаралды 129 М.
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 38 МЛН
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 725 М.
Stereo Singasinga   Nitabaki juu Official Music Video
4:06
Stereo Singasinga
Рет қаралды 9 М.
Fid Q ft Christian Bella - ROHO ( Official Video )
3:28
Fid Q
Рет қаралды 1,7 МЛН
The Incredible (feat. Izzo Bizness, Chidi Beenz, Stereo Singasinga) (Remix)
5:17
One The Incredible - Topic
Рет қаралды 72 М.
Kikosi Kazi - SALA (Official Music Video)
7:38
Kikosi Kazi Kazini
Рет қаралды 233 М.
B O B Micharazo - Kazi Kwanza (Official Video)
5:19
Nyandu Tozzy
Рет қаралды 36 М.
Songa - Yule Jamaa (Official Music Video)
2:54
Songa
Рет қаралды 85 М.
Nash Mc - Maneno (Official Audio Music)
5:45
Mtikiso Channel
Рет қаралды 100 М.
One, Nikki Mbishi, Stereo Feat Fid Q - Classic
4:42
zwwasost
Рет қаралды 199 М.
Nash Mc - Mitihani
5:27
MICHAEL
Рет қаралды 38 М.
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН