Kwa mahitaji ya T-shirt au Product za Kikosi Kazi piga namba +255 622 037 937 asante kwa sapoti yenu (for Kikosi Kazi Hoodies, Tshirts Caps call us +255 622 037 937 thank you for the love) #KikosiKaziKazini
@husayn9084 жыл бұрын
Mm ambaye niko kenya ntazipataje?
@justineonline65564 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@luqmanmohamedy38604 жыл бұрын
Price
@mdedsm55224 жыл бұрын
Nagundua weeewee ni upendo unapenda watu🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 mstari wangu wa rohoni
@aronnasloyaljr79454 жыл бұрын
Kikosi Kazi Kazini KK BEST EVER
@khalifasultan26774 жыл бұрын
Hii Inaonyesha Kitu Kikubwa Sana,Hatujabagua Nyumba Ya Ibada Kwa Imani Zetu Tofauti Tulizonazo Ila Wote Tumechana Tukiwa Sehemu Moja!!🔥🔥🔥🔥🔥💪🏽🔥💪🏽
@jaxink17574 жыл бұрын
Dingi wewe ni muslim unae elewa situation...kunwengine wanlopokaga big up xana bro
@edsonmpili14214 жыл бұрын
Kikosikazi nawakubali sana kila mtu amenyoka vizuri nyimbo haichoshi ✌
@أبوفيصل-د3ش4 жыл бұрын
khalifa nenda ukasome Dini yako.achana Na Habar za Dini Mseto.Mungu haimbiwi mziki,Hataniwi,hashirikishwi,hafanani na chochote.Mziki ni saut ya shetan.Allah atuongoze
@jumaduad32494 жыл бұрын
@@أبوفيصل-د3ش fact
@G-meJames4 жыл бұрын
@@أبوفيصل-د3ش Hapa we umekuja kufanya nini!?
@johnizoboy4 жыл бұрын
Jamaa wametishaaa
@cowboygeorge98274 жыл бұрын
Kikosi kazi (kazi kweli mnajua broo
@venancejohn804 жыл бұрын
P-Mawenge flow is classic, yupo calm sana na anaenda na beat vizur sana. The most underrated in that crew
@jumazahoro3537 Жыл бұрын
Ila mawenge ndo kaflow poa
@Amobizzy_OG4 жыл бұрын
Naona KIKOSi KAZi mmeamua kutubu KWA MUNGU kutokana nakile mlicho wafanya WEHU SI SISI Nimeipenda IYOO😘
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Asante baba hujaniacha nipotee njia//Fungu saba sijaleta nisamehe pia. #azma. Noma sana. Wote mmeua hatari.
@kikosikazikazini26424 жыл бұрын
Naam💪💪
@georgeburchard48724 жыл бұрын
Verse ya azma iko deep Sana! Inagusa Sana!
@stevenkiyagi4604 жыл бұрын
This is real hip hope... Tunahitaji madini mengi zaidi sio vijana Mchele Mchele azma, underground King na Azma Salute Kwenu
@kikosikazikazini26424 жыл бұрын
💪💪💪
@patrickKitambo4 жыл бұрын
ni jambo kubwa sana kuona wasanii wanaimba nyimbo za kusifu na kumshukuru Mungu, hivo tujue ni wakati muafaka kuacha matendo yetu mabaya na kumcha Mungu na ukaka katika kweli yake na kushika amri zake maana yote ni ubatili lakin neno la Mungu litadumu milele.
@herbethlukogela76574 жыл бұрын
Big big big murshup........ M alwayz huwaga nawish moto huu uendelee then mziki mzur utawale✊✊✊✊✊✊
@kikosikazikazini26424 жыл бұрын
more to come 🔥
@thejelycho50874 жыл бұрын
Blessed brothers mmefanya nijitafakari upya nothing without God
@rashidally52444 жыл бұрын
kubwa Sana hii mmefanya unyamaaaaa mwingi sana yes god first nimeipenda hii ✅✅✅
@thefuturestarsgang91474 жыл бұрын
Nakubal San kikosi kaza
@MR_NONAME_TZ4 жыл бұрын
Azma ametisha sanaaaassaas
@ghosttalkvibe4 жыл бұрын
Stoo ya Hip Hop inazidi kusheheni kila msosi tunaohitaji. Kazi Kazi #KikosiKazi Respect
@bennyngoye87074 жыл бұрын
Yeah men,kazi nzuri sana like hiphop is back.
@hellyally43954 жыл бұрын
Kikosi kazi tunawakubali kinoma axee nmesikiliza kwanza ndo nkacomment mmetisha sana
@husayn9084 жыл бұрын
Once again P amechinja kabisa...Bonge la ngoma muko vizuri mabaharia 🙌🏼💯🔥
@wideetheoneboy10114 жыл бұрын
Kikosi kaZi mbele kwa mbele support kama kawaida mungu awape nguvu nakubali sana #
@sangotelleming74444 жыл бұрын
Komaen wanangu naona kitu kipya mambo mapya beat Kali ngoma Kali sterio singasinga mansulii mbish one azima respect wanangu p the mc zaidii
Amen mmenitia moyo kwa Mungu wangu Kikosi Kazi . Amen
@yahyahussein86954 жыл бұрын
👍👍👍
@riphatmuhene96154 жыл бұрын
Ata wote wakiwakataa mm ntabaki kua mshabiki wenu wa maisha tamaduni music kikos kazi.Real Hip Hop. No nudes. No taboo. Good wordplay. Lyrics. Omg hongereni
@rasmbegu4 жыл бұрын
Heshima kwenu wafalme zangu siku zote nipo nyuma yenu najifunza kitu from bujumbura apa
@classicvisiononline83344 жыл бұрын
Kwa huu muungano tumepata Hip hop best gang....Utamaduni music best Tz hip hop Id.
@neemafrank71284 жыл бұрын
Ukitoa Verse ya Mme wangu Nimeielewa Verse ya Mansu Li Stereo na Azma.. God Keep Holding U Strong #KK All the Great Come Ur way Guys...
@yohanidimoso37114 жыл бұрын
Mme wako nan?
@jimmyx84124 жыл бұрын
Je Ni The incredible au kimbaombao ama Nikki mbishi okay sawa nadhani Ni p the mc
@georgekaduga29184 жыл бұрын
Mmeo p mawenge???
@Tanzaniaunforgetable1961Ай бұрын
+😃😃😃 mume wako!
@severinembembati53474 жыл бұрын
UNJU GANG. NAWAKUBALIIIII KIKOSI KAZIIIIII
@bonifacemeela52474 жыл бұрын
Tupo vizuri KIKOSI KAZI bonge moja la JOINT
@kikosikazikazini26424 жыл бұрын
asante kwa sapoti share na wengine ngoma ifike mbali
@nellytz88234 жыл бұрын
Kwel hawa ni kikosi kaz ngoma ni kali kinoma big up brothers
@tygondeliga18964 жыл бұрын
Kaz nzuri San,BOB sterio Tisha sana,Uno Tisha sana Nik Mbish Makin sana rhyez zenu ni nyundo from Nondop
@richmontanna79344 жыл бұрын
Hii inateka wana kama sisi tunao hustle daily thanks more love from +254🙏🙏🙏
@eliasmagumba88354 жыл бұрын
Mungu awalinde KIKOSI KAZI kazi nzuri sana 👏👏
@mohamedchambuli19334 жыл бұрын
Kazi nzuri.. kikubwa zaidi kumkumbuka Muumba wa mbingu na ardhi maana dunia njia
@johnizoboy4 жыл бұрын
Beat kali sana, verses kalis sana, flow kali sana, very concious
@tekashiixine-to3nw4 жыл бұрын
P mawenge shkamoo🙏🙏🙏
@valeriabomphe9014 жыл бұрын
itoshe tu kusema mbarikiwe sanaaaaa, mmeifanya nafsi yangu ifanye connection na Mungu wangu kila bars
@jacksmartsheyo28104 жыл бұрын
dah... wakuu wa hip hop...... mungu awabariki MA, GREATEST's oF hIp-HoP
@abdulmohd68804 жыл бұрын
Mamae ngoma kali sn alafu nd n ujumbe, nimeona wapinzani wametoa juzi kati km iyi ila c kali km iyi, wakali wng ktk iyi ngoma n Mawenge na Uno🙏
@jastinmsigwa5414 жыл бұрын
Hip hop inajijaza taratib katikadira. Sante kwaujumbe wenyemashiko.
@solozukc-14 жыл бұрын
P mawenge, mwingi wa habari
@ismailkatala47924 жыл бұрын
Nomaa 😀
@solozukc-14 жыл бұрын
Fundiii
@lazaromwaikenda41644 жыл бұрын
hakika amefanya vizuri
@solozukc-14 жыл бұрын
Kweli kweli Tuanze support kazi zao kwa nia
@jastinisengasu20464 жыл бұрын
mnajuaaaa...kikosi kazi weka mbali na watoto
@alexmdumba21674 жыл бұрын
Eee Mungu nijalieee eeeee Amen!
@Mboya1204 жыл бұрын
Honestly P Mawenge, May GOD Proceed to Bless you and Keeping you ALIVE.As days goes on WOTE wanaokuchukulia Poa Your Proving them Wrong.UMEUA hatari nkahisi may Be Nyimbo ilikua yako Kisha mkaigeuza ya Kundi, kwenye arrangements KIKOSI Technically mmefanya Good Move kwa kumuweka P aanze amedraw attention kubwa doe the viewers.P Usilewe sifa ukaishia kuwa wa kawaida kama wengine ambao currently nkiskia wametoa nyimbo hata si shtuki.GOD Bless you all KK na ntavimba mtaa with your Clothing lines
@UU_ONLINETV4 жыл бұрын
the best mcees represents real hiphop from tanzania big sana kikosi kazi nakubali amuangushagi🔥🔥🔥🔥🇹🇿
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Ngoma Kali sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@chrisostomehaule21524 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, nimeiskiliza mara ya kwanza kwa headphones, nikatoa nikarestart kwenye spika, majirani wamesogea kuja kusikiliza na kueleza hisia zao na niwazee... hii siku ishabarikiwa tayari
@timolivier4114 жыл бұрын
🤣🤣🤣👏👏 hawa wajama Noma sana
@hkmeme54374 жыл бұрын
Au sio
@finemichael24353 жыл бұрын
😂😂😂
@freemanmwakingili49714 жыл бұрын
Bonge ya ngoma aseee thumb up...
@djunction41274 жыл бұрын
Kazi nzuri KIKOSI KAZI Hik ndo kzaz kpya xyo kle knacho endekeza mitepexho.
@robertmwakyusatztv97954 жыл бұрын
Hawa jamaa hatari nimependa style yenu wakubwa hot hip up GOD MAY BLESS YOU
@emmanuelelius43874 жыл бұрын
Izi kaz iwe muendelezo aisee,i like this
@amosmkungile3184 жыл бұрын
Kikosi kazi best hip-hop en rap group of all time... request kwenu tunaomba muachie ngoma mingi kama group tupo kusupport guys. Gonga like kama unaamin hakuna kama kikosi kazi bongo
@gaitanemmanuel83404 жыл бұрын
Daaaaah hii kali dr unjuu...some time nakua saveg mpk siamini....sio kwa chanjo za billget ndo mtapona.... Shukran kwa wote kikos kaz #pmawenge #nikkmbish #mansulii #zaiid #onetheincledible #sterio #azma #songa
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
MAMBO VP NDUGU
@kikosikazikazini26424 жыл бұрын
💪💪💪
@gaitanemmanuel83404 жыл бұрын
@@smgfamilygroup2414 poa niambie
@emanueljoseph88474 жыл бұрын
Asante Mungu!! Corona imetuweka karibu na wewe, Kazi nzuri.
@sabasshayo84144 жыл бұрын
Mawenge ametisha sana humu ndani 🙌
@mahmoudaziz47174 жыл бұрын
Duuuh kikosi kazi🙌🙌🙌🍗🍔🍲🍛🍛🥣💎💎💎💎 bonge la ngoma 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
@rockerz5044 жыл бұрын
Dah, i wish i was featured kwenye hii song. I just appreciate these guys! #KikosiKazi
@boscosamwel72894 жыл бұрын
The real hip hop is back..eeh mungu awajalie Amen
@jumakaswelele31434 жыл бұрын
Hiingoma. Wanangu kk niwaambie kitu mmewapa maswali mengi Sana weusi,, yaani Waisikilizapo watakuwa wakiirudia nakujiuliza ninyie kweliii au mmetungiwa na uwongozi waili kanisa mlio shutia hiividio ili mfikishe ujumbe kwanjia ya muzic,,, kiukweli mmejipanga saan kwa hii song
@humphreyh79214 жыл бұрын
Kikosi kazi iwekwe kwenye mtaala wa elimu, watoto wakiwa shuleni wafundishwe kuhusu kikosi kazi
@yujumichano56684 жыл бұрын
#shout out to you kikosi kazi,, mmeua Sana @pmawenge @azma @mansulii Verse zenu kalisana @
@kikosikazikazini26424 жыл бұрын
💪💪💪
@mohamedsuleiman57074 жыл бұрын
kundi langu bora la hip hop ndani ya bongo yni wu tang clan hawa hapa big up wanangu sana embu fanya mpango wa kusema kias gni tishert za kk hood ili twende sawa
@godfraygeorge19944 жыл бұрын
Mmeuwaaa kikosi kazi for every body.! Amen
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
MAMBO VP NDUGU SAMAHANI KWA USUMBUFU NISAIDIE KU SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MI FUNDI FANICHA NISAIDIE
@abdallazakaria69534 жыл бұрын
Yaani wote wameuwa.... nashindwa hata kurank nani kafunika....you guys are dope 👊
@wideetheoneboy10114 жыл бұрын
P mawenge fireeeee
@valentinetesha79154 жыл бұрын
Nomaaaaa Sanaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lenjeevara34074 жыл бұрын
Pwaaaaaaaaaa bonge LA dudeeeeeeeee
@stevesanke87674 жыл бұрын
flow za hatari .... kikosi kazi kipo kazini ...
@charliechaplin33594 жыл бұрын
Naaam roho yangu kwatu maana nimepata kirizisho cha nafsi kikosi kazi asanten sana kwa kazi nzuri
@rungulayesu18954 жыл бұрын
"Mimi ni Dhaifu but shetani anitishi" Powerful Doctrine +Zaidi
@samuelmwangi6433 жыл бұрын
Real G's know GOD..best group in east and west🇰🇪
@lucianakennedy80704 жыл бұрын
Inatia Moyo kuona wahuni wanamkumbuka Sir God,, verse ya Kwanza Makin sanaa ,,🙏Ameen
@derickrozy32134 жыл бұрын
P-MAWENGE umeua sana #1 on this one . Flow, lyrics, ujumbe vyote on point
@emmanuelshashi98054 жыл бұрын
Hip hop ni mziki mzuri
@uwezoamani22364 жыл бұрын
Aise hongelen sana ngoma kubwa sana kikosi kazi muunganiko wawatu bola bongo ukiwa unajitambuwa hupewi nafas ova
@fubanjenjele5214 жыл бұрын
Tunataka vigongo ka hivi, sio mipasho km wanawake, bonge LA wimbo
@nickjeremia29814 жыл бұрын
Mansulii💥💥💥💥💥💥💥
@adamkiende86744 жыл бұрын
Azma got this....sijafika popot na ninakesha macho.....real talk
@patrickkessy39124 жыл бұрын
#kikosikazikazi💣 sijawahi kuwa na mashaka nao..
@kikosikazikazini26424 жыл бұрын
asante kwa sapoti share na wengine ngoma ifike mbali
@mikewambati47734 жыл бұрын
Mob love 😍 from Kenya 254 guys mtindo na miondoko imeweza ndugu zangu💪🔥
@freemansaria22594 жыл бұрын
Amen ...kikosi kaz look like Wu tang clan respect..
@curtiusmsigalla50554 жыл бұрын
Aliyeirudia hii ngoma kuitazama zaidi ya Mara tano tujuane hapa..#kk_kazini
@braintease1o64 жыл бұрын
Hakika "Sala"... Kazi nzuri sana hii, leteni nyingi zaidi nina imani Hip Hop itauza zaidi
@farijalimussa25924 жыл бұрын
"Na neno langu kubwa alihamdulilah nashukuru kwa kila neema till i die" @mansulii....Keeping the gud music alive
@ernestndauka93014 жыл бұрын
Naona Getho Gospel imeanza ku heat!! Let's do our shukrani kwa God!! Nime ipenda hii!!
@rickiusrockius79804 жыл бұрын
Kazi nzuri sana that's hip hop hamjawahi niangusha, big up
@aishaallyrished43474 жыл бұрын
Ngoma kali sanaaaa
@rubenmanfred18384 жыл бұрын
Kikosi kazi kazini juuuu kama una kubari like Kam zote
Nilichlewa wap kusikiliza ngoma kali hivi ....umatisha ...Mbakie na Moja huhu... Amen
@yusuphmbelwa82464 жыл бұрын
Staili ya humu ni mpya kwa kikosi kazi chote.... Kazi kaliiiii💥💥💥
@lifemediatz36384 жыл бұрын
Our God is a God of order..i am so excited to c a boyz froom da hood both of you bend/kneel down for the praise
@samueltungaraza32424 жыл бұрын
Ila P mawenge aisee 🙌🙌🙌🤦♂️🤦♂️🤦♂️🔥🔥🔥
@nichoojr.67474 жыл бұрын
Duuh me nilikua nawapinga kinoma Nyi watu Ila nimeona Mnao kitu asee hii nyimbo nzuri kinomaaaa saloote brothers
@calvinloveambroce8424 жыл бұрын
This talented boys ni hatari kwakweli yaani kama wamarekani Niki mbishi ni bonge la rapper ata kwakina jayz anafit,,hongereni Sana tunahitaji vitu km hivi
@johnyty4984 жыл бұрын
This is what i wanted, mbishi kawa mtam ghafla
@dennisharrison79294 жыл бұрын
Daaaaaaaaaah, this Track is next level mazee mme Hit Climax ya kichwa changu this is hiphop we missed for a long time. KK iz a lit
@johnfrank69654 жыл бұрын
Dah nouma sana
@tradingtips67534 жыл бұрын
naamn mziki wangu unakua tunaomba msiache kuendelea kutufulahisha mashabiki zenu gonga like kama upo pamoja nami