Sophia ajibu mapigo, amfungulia mashtaka Davido kuzuia kumchukua mtoto wao, aanika madudu yake

  Рет қаралды 7,199

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 3 ай бұрын
ATM mashine haiwezi kuondoka lazima ipambaniwe nan anautaka ufukara wakat chanzo cha mapato iko apo
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 3 ай бұрын
😂😂😂🎉🎉🎉uwii.
@wangagirl3508
@wangagirl3508 3 ай бұрын
Jealous Is real😂😂😂😂😂😂😂😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
Hiyo sio jealous ni tamaa ya mali
@wangagirl3508
@wangagirl3508 3 ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 😀😀😀davido hangeoa hata huyu Sophia hangesumbua 😀😀😀😀😀 ni wivu tooo
@wangagirl3508
@wangagirl3508 3 ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 hiyo harusi ndio imemchoma sana
@Divinelinna
@Divinelinna 3 ай бұрын
Kaona mwanamke mwenzake kaolewa kaumia 🤣🤣siku zote alikuwa wapi khaa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 ай бұрын
Ni wivu tu!
@anneedward3673
@anneedward3673 3 ай бұрын
Hawa wanawake wanakuwaga na wivu tu hawana lote hivi mtu anakupa kila kitu kwa ajili ya mtoto lakini huridhiki
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 ай бұрын
@@anneedward3673 yan non sense... Ndio Mana jamaa aliona Bora aweke ndani chioma tu... Kavumilia mengi
@winfridapeter9455
@winfridapeter9455 3 ай бұрын
Hii kesi ipo muda kabla ya ndoa ya hawa wawili, ni huyu msemaji wetu ndo alichelewa kutuhabarisha hili tukio
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 ай бұрын
@@winfridapeter9455 Ila win kwani ndoa huwa inakuwaga ya Ghafla? Alikuwa anajua kuanzia maandalizi ya ndoa yana Anza? May be kama alishtaki miezi minne nyuma.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
Sio wivu ni tamaa za mali
@happymrema7487
@happymrema7487 3 ай бұрын
Yan ni mpuuz inskataa kununuliwa nyumba je devid akifa gafla utachuma wap
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 3 ай бұрын
Acha tuhuone move
@sund2553
@sund2553 3 ай бұрын
Penz likiisha mnageuka kuwa maadui ila huyu mam nae anatak asifanye kaz aishi kupitia mtoto
@farahali6041
@farahali6041 3 ай бұрын
Kweli
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 3 ай бұрын
kwa kweli si razima
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 3 ай бұрын
😂😂😂
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 ай бұрын
Wivu uyo
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 3 ай бұрын
Kumchimba mtt tu Jamani na kumtia nuksi
@YumnaBurhan-q6h
@YumnaBurhan-q6h 3 ай бұрын
Kuachana sio vita leeni tu mtoto kwa pamoja
@farahali6041
@farahali6041 3 ай бұрын
yani unataka mtoto mfanye kama kitega uchumi kaa huna haya ww😊
@wangagirl3508
@wangagirl3508 3 ай бұрын
😂😂😂😂fear women
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
Hao ndio wanawake
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 3 ай бұрын
Ila watoto wanahitaj matunzo meng Ni gharama jamn usiombe yakukute
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
@@teddygabriel5662 Hizo gharama zinatakiwa ziwe shared sio baba pekee yake ndio atoe.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
BabaJoan
Рет қаралды 153 М.
TANZIA: DIDA SHAIBU wa Wasafi FM afariki dunia
2:01
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 5 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 106 МЛН
best naso ndani ya HERITAGE FULL
27:41
EVELINE CHADORA
Рет қаралды 7 М.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA STEVE KIMEMLAMBA NDARO
8:00
Steve Mweusi
Рет қаралды 798 М.