SPECIAL SERVICE - 24.1.2025

  Рет қаралды 7,972

New Life TV KENYA

New Life TV KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 83
@rosematasa
@rosematasa 8 күн бұрын
Financial breakthrough,nijenge within are short period of time ,rejection out every alter bringing me down out I need my marriage back,my kid’s education i need good grades Lord I believe on you and on this alter
@rosematasa
@rosematasa 8 күн бұрын
Amen 🙏,Yesu nasubiri majibu yangu nijibu yesu katika siku hizi 12 nakuitaji ninapoenda madhabahuni yesu nikapokee majibu yangu 🙏🙏🙏
@Ruth-v7e
@Ruth-v7e 10 күн бұрын
Naomba mungu unibariki n nyota ya masomo, kazi na pia nikue among the one watakao andikwa mwezi wa Tatu paster niombee nikue among them, I dedicate my boyfriend kwa haya madhabao awache pombe n student third year pia tuweze kupendana paster na utupee nyota ya baraka
@StellaMkhodya
@StellaMkhodya 9 күн бұрын
Amen mchugaji kweri hakuna aliye mwema kama wewe mungu wangu naomba uniongeze katika Kila atua ya moyo wangu lolote linalokwamisha hatua zangu nakuzuuliwa mungu. Ingilia kakika madhabahu hii amina
@Elizabeth-u5k1k
@Elizabeth-u5k1k 9 күн бұрын
Ee mwenyezi mungu naomba unibariki na kazi ya mikono yangu unibariki na shamba na kujenga nyumba kupitia maombi ya haya madhabau ndoa yangu ipone in the name of jesus kristo
@corneliusombagi6054
@corneliusombagi6054 9 күн бұрын
Thank You Jesus let Your grace operating in my spiritual father of this Higher Altar of Yours My Lord Jesus be with me in day two the Crusade at Masaba Kuria Newlife prayer Center and Church ground on this day two of our countrywide crusades at the branches.Thank You Jesus . Miracles are happening at the ground right at the door steps of the people i witness yesterday Jesus Healing the sick instantly.Amen
@DavidOchieng-v9q
@DavidOchieng-v9q 9 күн бұрын
Mungu naomba shamba yangu iliyo nyanganyw irudie kangu ama wanirudishie pesa yangu maana nime tosheka sana ombi yangu iyo Amen
@fridahsamal8737
@fridahsamal8737 9 күн бұрын
Mungu naomba umrejeshe Mzee wangu kazi katika jina la yesu
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Mungu Huu mwaka ni wangu ya above only in Jesus name Ameeeeeen
@maximillabarasa6842
@maximillabarasa6842 10 күн бұрын
Bwana Yesu hata kama sikuhudhuria hii juu ya net work hapa kazini naomba hio neema inifuate ninunuliwe na boss wangu na kwa hii nyumba natoka nikirudi kenya na iwe hivo kwa jina la Yesu kwangu kupitia sacrifice yangu nipokee hii neema kesho tuende office nisign contract with asalary of 1200 in the name of Jesus Christ AMEN
@happyanti3652
@happyanti3652 10 күн бұрын
Asante mungu kwa siku ya leo naomba mungu umponye mama yangu majibu yakitoka asiwe na kansa Wala asifanyie operation naomba damu ya yesu itawale kwenye majibu yake pamoja na kwa madactar ufanyike muujiza wa kushangaza
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Mungu funika watoto wangu na damu ya yesu kila wakati na mume wangu na nyumba yangu
@fridahsamal8737
@fridahsamal8737 9 күн бұрын
Thank you God for the gift of life and good health in my family.
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Connecting myself and my family in the higher altar special service prayers with pastor Ezekiel connecting David brayo Dennis and Sarah in Jesus name Ameeeeeen
@puritymambih2988
@puritymambih2988 10 күн бұрын
Mungu amekuwa mwaminifu sana.Tuinue imani yetu zaidi
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Connecting my bosses to increase my salary in Jesus name Ameeeeeen
@catherineSidi
@catherineSidi 9 күн бұрын
Mungu wangu nahitaji kujenga nipe neema ya kujenga nisikwame nibariki na fedha nmechoka rent mungu wangu niheshimishe nipe kaz ya maana umasikini madeni kukataliwa kurudi nyuma kila ninaposimama mungu tenda kwangu nkushuhudie
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Mungu bariki uzao wa tumbo wangu brayo na Dennis wakuwa watoto wa baraka na mume wangu in Jesus name Ameeeeeen
@paulinekhabele8013
@paulinekhabele8013 10 күн бұрын
Nifaulu naulu nifike kanisani tarehe nne.from saudi arabia
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
God bless the work of my hands 🙌 niko Lebanon 🇱🇧
@LucyMbodze-t2z
@LucyMbodze-t2z 10 күн бұрын
Asnte kwa sku ya leo mungu.mungu mponye kakangu na wachawi wanaomroga mwaka huu wafee wenywe
@ZablonWesh-t7y
@ZablonWesh-t7y 4 күн бұрын
Mungu naomba star of education as l am going to sat for mid exam series
@ZaanZeen-j6d
@ZaanZeen-j6d 10 күн бұрын
Ameen Ameen mungu akubariki mutumishi wamungu mungu
@happyanti3652
@happyanti3652 10 күн бұрын
Mponye km yule mwanamke aliye tokwa na dam na mama yangu apate uponyaji,na kataa roho za majonjw katika familia yetu,mungu naomba pigana na wanao pigana na familia yangu pamoja na biashara yangu
@MaMas-y6g
@MaMas-y6g Күн бұрын
Asante yesu kwa kunikumbuka Asante
@Ruth-v7e
@Ruth-v7e 10 күн бұрын
I thank the almighty for all he has done for me, I pray that dear God may you forgive me for all I have that is not pleasing you,
@violetnelima4855
@violetnelima4855 9 күн бұрын
Naomba mungu umponye mtoto yangu I dedicate my kids kwa haya madhabao I believe God is going do it for me amen
@LucyMbodze-t2z
@LucyMbodze-t2z 10 күн бұрын
Kupitia madhabahu haya nakataa kila roho zinazoinuka usku.moyo kustka .nisafishe na damu yko mungu
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Ndoto mbaya Outuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Outuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na maroho chafu Outuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Outuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu in the name of Jesus Ameeeeeen
@violetnelima4855
@violetnelima4855 9 күн бұрын
Mungu bariki kazi ya mikono yangu
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba unitetee kwa mikono ya maadui zangu kwa jina la yesu kristo amen
@JaneMune
@JaneMune 10 күн бұрын
I connect my life with higher Alter
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita baba yangu apone mguu kwa jina la yesu kristo amen
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Nataka testimony kupita my higher altar
@NaomyBarasa-i1i
@NaomyBarasa-i1i 6 күн бұрын
Nnaomba mungu unifungulie pesa nimalizie kulipia shamba langu la sango,pia umurejeshe me wangu
@AnnastaciaJacob
@AnnastaciaJacob 10 күн бұрын
Yesu ni wewe tunakungoja
@hylessmmbone8272
@hylessmmbone8272 10 күн бұрын
urejesho WA ndoa yangu , pastor niombee niwache hasira na matusi, ponya watoto wangu
@OchiengBellah
@OchiengBellah 10 күн бұрын
Amenn,,Glory to Almighty God
@shizney.norry45
@shizney.norry45 10 күн бұрын
Asante yesu Kwa kuniponya ugonchwa WA mifupa nazukuru mungu ata Kwa ulinzi WA familia yangu 🙏
@RoselnyEstua-bj9ri
@RoselnyEstua-bj9ri 10 күн бұрын
Amen yesu nikumbuke kwa kasi visirani
@Elizabeth-u5k1k
@Elizabeth-u5k1k 9 күн бұрын
EE MWENYEZI MUNGU NAOMBA UPONYAJI WA FAMILY YETU NA NYOTA ZAO SINGAE IN THE NAME OF JESUS KRISTO
@gladysmukhwana4620
@gladysmukhwana4620 10 күн бұрын
Kwa mfungo huu yesu wa madhabahu haya nibariki na ndoa ya heshima na mashamba mengi in Jesus name amina
@egranyaega9699
@egranyaega9699 10 күн бұрын
Thank you God for your healing please continue fighting for us through this altar, wachawi wakufe in Jesus name
@FranciscahDavid
@FranciscahDavid 10 күн бұрын
Mungu naomba kutoka Kwa hii madhibau unitetee unibarikizaida
@fridahsamal8737
@fridahsamal8737 9 күн бұрын
Mungu uniletee wateja nipate pesa ya ya kusafiri kwa me,a ya bwana
@JaneMune
@JaneMune 10 күн бұрын
Pastor Ezekiel niombee siitaki vifoo kwetu
@FlorenceBernard-gl6ir
@FlorenceBernard-gl6ir 10 күн бұрын
Amen amen 🙏
@khairanaomar3149
@khairanaomar3149 10 күн бұрын
Thank you Jesus for everything you have done for me and my family
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Connecting myself niko Lebanon 🇱🇧
@shizney.norry45
@shizney.norry45 10 күн бұрын
Natamani kuomba yesu🙌🙌
@violetnelima4855
@violetnelima4855 9 күн бұрын
Naomba mungu amponye mtoto wangu
@JaneMune
@JaneMune 10 күн бұрын
God give me power wachawi wakufeee
@fridahsamal8737
@fridahsamal8737 9 күн бұрын
Mungu ponya mama wangu
@khairanaomar3149
@khairanaomar3149 10 күн бұрын
Ameen ameen ameen
@gladysdzidza2701
@gladysdzidza2701 10 күн бұрын
Naomba familia yangu ipone Na tupendane
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Ameeeeeen Ameeeeeen and Ameeeeeen
@shizney.norry45
@shizney.norry45 10 күн бұрын
Naomba uponyaji WA mama yangu upovu umwajirie kupitia mathapau Aya pia brother yangu Richard afunguliwe akomborewe kupitia mathapau Aya kwetu kupone ⭐⭐⭐🙏
@fridahsamal8737
@fridahsamal8737 9 күн бұрын
Natamani kwenda kwa meza ya bwana Niko na weeki pekee na sina pesa help me God duka iuzike
@jessicawandaa390
@jessicawandaa390 10 күн бұрын
AMEN
@Eunice-hq5cv
@Eunice-hq5cv 10 күн бұрын
THANK YOU ALL FOR ALL YOU HAVE DONE AM GRATEFUL AND IDONT TAKE IT FOR GRANTED
@LucyMbodze-t2z
@LucyMbodze-t2z 10 күн бұрын
Kila mchawi anayroga familia yangu mwaka huu wafe wenywe.kupitia madhabhu haya
@ireneapollo
@ireneapollo 10 күн бұрын
ASANTE YESU YMENIPIGANIA VITA VIKALI HATA NAOGA NTAKULIPA NANINI WAKATI VYOTE NIMALI YAKE YESU NIONDOLEE KIBURI.MAJIVUNO PLEASE GOD
@JudithNafula-w9s
@JudithNafula-w9s 10 күн бұрын
Hallelujah 🙏
@bandobandoo3568
@bandobandoo3568 10 күн бұрын
Nathamani kuwa kwako babs
@FauzyaWanga
@FauzyaWanga 10 күн бұрын
Usihau ahadi zako baba
@BrianKibet-gm2dh
@BrianKibet-gm2dh 5 күн бұрын
Connecting my bosses with the kids in the higher altar prayers connecting Alaa Linah Hassan and Ali
@JacklyneOuma-b5j
@JacklyneOuma-b5j 10 күн бұрын
Amen 🙏
@fridahsamal8737
@fridahsamal8737 9 күн бұрын
Komboa ndo yangu
@rozymesso7874
@rozymesso7874 10 күн бұрын
Natamani kuomba
@lizzasmart7908
@lizzasmart7908 10 күн бұрын
Amina yesu
@judithajuoga8900
@judithajuoga8900 10 күн бұрын
Amen
@MosesWangari-ll5bj
@MosesWangari-ll5bj 10 күн бұрын
Asatimungu
@JaneMune
@JaneMune 10 күн бұрын
Wachawi waganga wakufeee kama vifarangaa
@Ruth-v7e
@Ruth-v7e 10 күн бұрын
Naomba paster unibariki usiku huu roho ya kukataliwa itoweke nipendwe kama wengine, paster my boyfriend anderson roho ya pombe itoweke tafadhali paster na tupandane kama kitambo
@TinahTrphone
@TinahTrphone 10 күн бұрын
Natamani kujuwa kuomba Kama wimbo usemavo
@AnnastaciaJacob
@AnnastaciaJacob 10 күн бұрын
0:48
@JaneMune
@JaneMune 10 күн бұрын
Higher Alter niteteee ñipate pesa ufanisi
@ZablonWesh-t7y
@ZablonWesh-t7y 4 күн бұрын
Mungu naomba star of education as l am going to sat for mid exam series
@StevinDzuya
@StevinDzuya 10 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@fridahsamal8737
@fridahsamal8737 9 күн бұрын
Mungu ponya mama wangu
@Mamasamaki-l9e
@Mamasamaki-l9e 9 күн бұрын
Amen 🙏
@jacklinekatunge6599
@jacklinekatunge6599 10 күн бұрын
Amen
@paulinekhabele8013
@paulinekhabele8013 10 күн бұрын
Natamani kuomba
LIVE RECORDED SERVICE
New Life TV KENYA
Рет қаралды 1 М.
Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba
41:37
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 1,5 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
LUHYA SONGS MEDLEY  BY HENRY THE BAND.
16:18
Henry The Band
Рет қаралды 324 М.
The Prayer Atmosphere By Apostle Grace Lubega | Phaneroo
50:00
TheRoyalPriest
Рет қаралды 168 М.