Asante bwana yesu kwa kunifia musalabani iliniokolewe na kukombolewa amen 🙏🏿
@JacklineMapesa-j5d26 күн бұрын
Mungu nifanyie manbo maguu kwa maisha yangu nakataa maroho za wivu katika jina la yesu
@JustineSifa-y3g20 күн бұрын
Barikiwa sana nabii hii mix imengusa sana moyo wangu mungu akulinde mahali popote mungu nimuweza wa yote🙏🙏🙏Amen
@Flah2024KinaАй бұрын
Kama si yesu mm ningekuaje kweli ameniongoa sana
@EmilyBaraza-vn4obАй бұрын
Ameeeeen,,,,,najua Bwana atatenda ata kama itachukua mda
@RobinsonKasamwa2 ай бұрын
Hakika unasitahili kuabdiwa, kama si ww kuwa pamoja nami Israel na aseme Sasa👏👏
@winbentnyongesa9794 ай бұрын
Be blessed man of God nyimbo zako sinanibariki sana
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen❤❤❤
@ZuwainaG4 ай бұрын
Amina sanaa. Yesu naomba shuka uone machozi yangu🎉❤❤🙏🏻🙏🏻
@NelsonLazaro-s8f2 ай бұрын
Ameeeeen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nyimbo ni nzuri sana❤❤❤❤❤
@BilliahAlukhaba2 ай бұрын
AMEN 🙏🙏🙏 aki mungu n mwaminifu ukimtumikia kwa haki na ukweli mimi nimepitia ,,,,vita vimekuwa mingi,,,but mungu amenishindania
@SaidiMwero-r4p2 ай бұрын
Yesu nikumbuke uniinue unilinde na mahadui nijenge nyumba yangu
@BrendaNtinyari-z2s3 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏 mungu moyo wangu waumia nitumie msaada Baba yangu🎉🎉🎉🎉
@danielsifuna73773 ай бұрын
Aaamen❤❤
@CarolineKisengiАй бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu akika tunabarikiwa sana
@celestinenatulukucheto-gg7ti2 ай бұрын
Nkisikiza hizi nyimbo waalai mungu ni mtamu sana kushinda Kila kitu mungu niokoe pamoja na kizazi changi❤🙏🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@beatricejudith2 ай бұрын
Amen 🙏🙏 asante kwa kututia moyo wenye tumefika mwisho na kututia nguvu kupitia nyimbo hizi ubarikiwe mtushi wa mungu
@denniskambi36474 ай бұрын
Barikiwa sana Nabii Sifuna.Huu wimbo umeniguza roho sana ukanikumbusha jinzi yesu alitukufia msalabani tuweze kupata uokovu.
@catherinemutindi5031Ай бұрын
Moyo wangu waumia ntumie msaada Yesu .❤nyimbo zako
@wycliffekusimba42093 ай бұрын
Amen mtumishi nimebarikiwa mungu akubariki maradufu this worship is so powerfull simchezo
@ShalomgladysGladys4 ай бұрын
Yesu nlindie wtoo wangu mamangu babangu hata na mandungu zangu mahali walipo asangu mungu🙏🙏🙏
@celestinenatulukucheto-gg7ti4 ай бұрын
Maumivu ya mwili wangu baba ww wajua niponye mungu isiniaje
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen❤❤❤
@evalynekibutit62674 ай бұрын
Amen.Tumaini langu ni kwa Mungu Baba na Yesu mwokozi wa ulimwengu.
@jacklinaluoche91093 ай бұрын
Mtumishi nimekwa nikipitia mambo magumu sana,mume wangu alitoka nyumba sai miezi tano,watu wakwao wote wananipiga vita,niliwachwa na mtoto wa mwaka moja,kuna wakati nilitami kujiuwa na mtoto kwa nyumba,nilifika mwisho,lakini nilipoañza kuskiza nyimbo zako,sai nimejipata niko na nguvu na tumaini kila kitu kitakwa sawa.ukweli mungu ni muweza wa yote,vita ni vyake milele❤❤❤may God bless man of God
@RICHARDSOKANYA3 ай бұрын
Amen sister
@PAMELAOLUBUYI3 ай бұрын
My sister, you have a God in heaven wachana nayeye your life is very important keep praying and in you, you are capable. What can you do as a person? What talent do you have ? Find something that you can do that can bring you money and joy time will tell. Let him go my dear move on
@Tecysony3 ай бұрын
Amen 🙏🙏 dear what God can no one can do continue praying and even fasting like from 6am to 6pm and God will release his favour to you 🙏🙏🙏
@irenkutai2363 ай бұрын
It's all about you God
@JoelAngango3 ай бұрын
God has a good plans with you my sister
@MusyokiMweu-v3f2 ай бұрын
Amen nmebarikiwa sana kuabudu mungu
@jacquie3293 ай бұрын
Hallelujah. Uliona Niko peke yangu ukamwambia Yesu shuka.❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Emmah-ss5vk2 ай бұрын
Thank you pastor for the good songs zinanipa moyo kwa sababu napitia mengi magonjwa na kifamilia
@elijahwanyonyi0014 ай бұрын
Actually Mungu akupe miaka mingi katika uimbaji wako kwa kweli nyimbo zako hunibariki sana ningelipenda siku moja nikuone life hata nikashiriki nawe kanisa liko wapi❤❤❤❤❤
@danielsifuna73774 ай бұрын
Amen amen amen❤❤❤
@MildredMusee-jo5lr3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu maana wimbo huu unanibariki sana
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen❤❤❤
@JacklineMapesa-j5d26 күн бұрын
Amen be blessed man of God
@Eglay-u5z4 ай бұрын
Amen🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼 ❤❤ baba yetu wewe ni mwaminifu siku zote ndio maana unatushindia yaliyo magumu😢
@danielsifuna73774 ай бұрын
Amen❤❤❤❤
@صفيهيحيى-ج1رАй бұрын
Baba shuka unipiganie maisha yenye naishi c yangu nimekueleza BABA
@MoreenGeorge-hi5ybАй бұрын
Mungu akubariki very powerful song glory to God 🙏
@asminmakoha68892 ай бұрын
Ameeeeen Hallelujah MUNGU akubariki mtumishi wa YESU KRISTO wanazareth
@sanitawasi-kb1ci4 ай бұрын
Mungu shuku nisaidie mm mwanao nimefika mwisho nisaide yesu niponye huu mko wangu yesu
@ivylau56044 ай бұрын
Yesu shuka kwa familiar yetu na utende maajabu ondoa aibu na utupee heshima ili jina lako ijulikane
@danielsifuna73774 ай бұрын
@@ivylau5604 amen ❤️♥️♥️🙏🙏
@MeshackwambuaMusyoka-u1z27 күн бұрын
❤❤❤nyimbo zàko uburiki sana ,na kwa nema ya mungu humtanjaye jina lake atasikia sauti yako huwa za ninguza rohoni mwangu meshack wambua ❤❤
@faithe40634 ай бұрын
Hallelujah hallelujah Asante kweli kwa worship nzuri kama hii ata malaika wa Mungu ushangilia kweli
@dominicmuoki3 ай бұрын
Aki nikisikiza huu wimbo unanibariki sana sana..hadi naona malaika wakinishukia Jesus!..mungu niponye moyo wangu nimeteseka vya kutosha..mungu atasikia kilio cha kila mmoja anayesikiza huu wimbo na uzidi kubariki huyu mtumishi. Amina .
@JackieMajuma4 ай бұрын
Wow wow kwa YESU KRISTO kuna Raha ya ajabu sana asante YESU kuyakomboa maisha yangu
@danielsifuna73774 ай бұрын
Aaamen
@RedemptaKatheu3 ай бұрын
Amina barikiwa sana
@maureengombe75473 ай бұрын
Nmetoka mbali this album blesses mi much.zidi kunipigania yesu shuka na usiniache
@danielsifuna73773 ай бұрын
Aaaaaamen ❤❤
@Roze-so4he3 ай бұрын
Yesu shuka ni kualezee ninayo pitia mimi😢😢
@ezekielmapunda27512 ай бұрын
Yesu anajua na anaona kila kitu,,,,uwe mvumilivu mpaka mwisho usitoke kwa Yesu.
@JudyNgeno2 ай бұрын
Glory be to GOD, nmetoka mbali na wewe usiniache peke yangu🙏👏 i will praise you forever lord😭
@AliceMarius3 ай бұрын
Yesu shuka Umrudishe baba wafamilia James arudi nyumbani kwafamilia yake.Chochote kilichomshikilia kimwachie kwajina la Yesu
@NancyKerubo-o6d3 ай бұрын
Amen, Amen 🙏🙏🙏 aki nyimbo zako sinanibariki sana
@MildredOmbura2 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 hizi nyimbo zinaniweka karibu n mungu sana.....napata baraka thanks God for blessing 🙏 🙏 🙏
@ruth533812 күн бұрын
Nyimbo zako mutumishi wa mungu, hakika zinanijenga na kunipanguza machozi.
@HenryWambui-g1y2 ай бұрын
Waaah, sikua nimekutana na hii, si nikali,pilipili haitoshi, God bless you much more Dan.
@lebaokinda60094 ай бұрын
Asante Mungu, kwa umbali uliko nitoa, sio kwa nguvu zangu wala sikwa uwezo wangu, ila nikwa uwezo wako na nguvu zako, ndio maana nimefika hapa nilipo. Nami sitaacha kukushukuru. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, nyimbo zako zina nitia nguvu
@danielsifuna73774 ай бұрын
Aaaaaamen 🙏🙏🙏❤️
@FaithWafula-e4cАй бұрын
Mahali ulipo ubarikiwe thro ur songs nilifunguliwa na nikaona uwepo wa Mungu ukinishukia may God expand
@Agnesnaswa3 ай бұрын
barikiwa sana mtumishi nyimbo zako zinanitia nguvu sana na kuniondolea fikra mingi na strees, thank you be blessed
@danielsifuna73773 ай бұрын
Aaamen ❤❤❤
@ronaldmotari11284 ай бұрын
Kweri tu mungu wetu ni mwaminivu kuliko binadamu yeye alisema ndio nikapona glory to God
@jacquie3294 ай бұрын
Hallelujah. He is the Lord our Healer
@CynthiaMasai-lh2tf4 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏,, neema zaidi ikutoshe ndugu,,, Baba tumana Msaada kwa ye yote apitiaye Magumu🙌🙌🙌mwaminifu Yesu atakutendea makuuu🙏🙏🙏🙏
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen❤❤❤❤
@lazaruskaleli5320Күн бұрын
God i need your guidance.. Shetani anajaribu juu chini kutumia udhaifu wangu kuniteka but i rebuke him in Mighty Name Of Our Savior Jesus Christ 🙏🙏
@DivinahNyambeki4 ай бұрын
Yesu shuka unipiganie vita mimi pekee yangu sitaweza 😢😢 Amen 🙏
@danielsifuna73774 ай бұрын
Aamen ♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏
@MussaLukumay-j2dАй бұрын
Haleluyaaa Mungu azidi kukupa mafunuo ya nyimbo zenye mafundisho zaidi ya hii watu wafunguliwe hatimaye utukufu arudishiwe Mungu Peke yake
@Millicent-vy4tjАй бұрын
Amen 🙏 iyo wimbo imenitia ngufu sana
@mildredsakali22434 ай бұрын
Najua Bwana atatenda hata kama itachukua mda, naamini atatenda ❤
@danielsifuna73774 ай бұрын
Aaaamen ❤️🙏
@PhiliceWafula-d2sАй бұрын
Real ur chosen one,be blessed man of God, 🙏🙏,hangika nyimbo zako huubiri,hufundisha huponya,hufungua ,hukomboa,husamehe , bora Imani tu ndio mambo yote🙏🙏🙏
@tabithalsutaisuta62854 ай бұрын
Amen yesu shuka hakika bila wewe sitaweza be blessed
@danielsifuna73774 ай бұрын
Aamen
@Micah-q7f3 ай бұрын
Still available in Jesus name@@danielsifuna7377
@DavidKasima2 ай бұрын
Ewe ninakuitaji mashani mwangu
@CollinsOuna3 ай бұрын
Yesu shuka ukumbuke ndoa yangu na ufungue uzao wangu, natamani pia kuitwa mama kama wenzangu nimechoka kusemwa, futa machozi yangu nianze ukurasa mpya wa furaha katika maisha yangu🙏🙏🙏
@JoelAngango3 ай бұрын
Mungu akuondolee kila aina ya aibu na akutetee
@christinemwongela51933 ай бұрын
Wah,mutumishi yesu ashuke anitete ile mapitio ninayopitia
@AgnesKamanthe3 ай бұрын
Shuka yesu unitetee
@serahmatenge31523 ай бұрын
May you be blessed in Jesus name, a day like this next year you be holding your baby boy in Jesus name 🙏🙏💕💕 b blessed
@DorrycusNaliaka3 ай бұрын
Wacha mungu akakupe mtoto katika jina l yesu
@CatherineMachuma-n6c2 ай бұрын
Bila yesu Mimi siwesi kabisaaaa
@jacquie3293 ай бұрын
Thank you Lord for your abundance Grace and Favor unto us. ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PhennyNgoli4 ай бұрын
Glory to God, be blessed servant of God. Uwepo wa Mungu washuka
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen❤❤❤❤
@tabithalsutaisuta62854 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu hakika nyimbo zako nizanijenga kiroho Mungu azidi kukupa kibali unapoenda kuimba pia tukumbuke kwa maombi maadui ni wengi
@danielsifuna73774 ай бұрын
Amen amen amen. Nitawakumbuka🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@RachaelRahelly2 ай бұрын
Barikwa mtumishi wa mungu
@DaughterofZion-r5g4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu...when am trouble l used to listen to these music l feel like am in heaven ❤
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen❤❤❤❤
@kimorigeff5 күн бұрын
Najua bwana atatenda. Hata kama nimechelewa kuoa hadi watu wa home wanasema nimerogwa, kuna Mungu mbinguni. I am supposed to have my second testicular surgery for the second time within just 2 years but I feel encouraged by these songs. They have given me hope
@davleenobwora20564 ай бұрын
God bless u richly for blessing others at the time of their dark moments😢😢
@danielsifuna73774 ай бұрын
Amen❤❤❤❤
@RosemaryBarasa-o1k3 ай бұрын
I need you lord nipanguze chozi la moyo wangu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@JOYNaswa4 ай бұрын
Mungu nitumie msaada
@AliceNyambu-t5p2 ай бұрын
Amen! Huwa naskia kuwa Karibu na Mungu, nahi..si uwepo wake Karibu na Mimi na maisha yangu. Mtumishi wa mungu ,Mungu akubariki, akuongezee Neema YA uimbaji
@PierreBukasa-fu3yx4 ай бұрын
Nabalikiwa Sana ninaposikiliza nyimbo hizi mtumishi danieli, nikiwa safarini drc, barikiwa Sana ndugu wote mnaofuatilia nyimbo hizi, aamen,
@danielsifuna73773 ай бұрын
Aaaaaaamen ❤❤❤❤❤❤❤❤
@nancysamaria4 ай бұрын
Nitaenda Kwa Nani bwana kama siyo kwako😢😢😢😢😢 am so touched and blessed with the worship 🙏🙏
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen Amen ❤❤❤❤
@millicentambuso31634 ай бұрын
Yesu shuka unipinganie unishindanie kwa kila jambo amblo liko mbele yangu,,shuka unilindie watoto wangu vijana wangu na ndoa yangu pia mikononi mwako 🙏🙏🙏🙏🙏 wazazi ndugu na dada zangu na rafiki wote na madui pia mikononi mwako 🙏🙏 nami apa Saud Arabia shuka unilinde in Jesus name 🙏🙏🙏
@danielsifuna73774 ай бұрын
Aaamen Mungu awe nawe siz❤❤❤
@millicentambuso31634 ай бұрын
@@danielsifuna7377 amen 🙏🙏🙏
@MartoMurithi4 ай бұрын
AMEN Amen Amen @@danielsifuna7377
@maureenwanjala67744 ай бұрын
Nice song be blessed
@jacquie3294 ай бұрын
Hallelujah. He is the Lord of Impossibilities
@NzanzuMachiroАй бұрын
Mungu hana deni ya mutu, hata iwe muda murefu atatenda, amen mtumishi wa Mungu
@DinaNekesa-m8b2 ай бұрын
Kama si yesu mm ningekuaje ameniongoa huyu bwana, nampenda kweli 🙏🙏
@Gladys-zn2nn12 күн бұрын
Naomimachimbo
@UesterKibwasiАй бұрын
Surely mtumishi 😢😢siku y Leo hii nilitaka tuu nijifanyie kitu kibaya but wakati nimesikiza hizi nyimbo nimesikia tuu nikiwa n AMANI ndani y mwoyo wangu mungu akubariki sana pst
@MinooKamutiАй бұрын
Jitie moyo,namlilie Mungu
@alfredmulu29814 ай бұрын
Kupitia hizi nyimbo zako huwa nabarikiwa sana .....naamini mungu yuko endapo nitashindwa mungu atanitumia msaidizi in Jesus....God bless you mtumishi
@danielsifuna73774 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DorineOcholla3 ай бұрын
Amen 🙏 man of God...Mungu awe nawe siku zote
@reniceagira32323 ай бұрын
Kweli nimetoka mbali na yesu. Naomba usiniache. Nimebarikiwa sana nahizi worship songs. Keep it up mutumishi wa mungu
@danielsifuna73773 ай бұрын
Aaaamen 🙏🙏🙏❤️
@JospineSyomweuАй бұрын
Hii wimbo imenituliza Moyo Wangu ambao ulikuwa umevujika nilikuwa nimefika mwisho wa Dunia natamani kujiua but Mungu ameingililia katikati😢😢😢😢😢😢❤❤
@stanleyopungu868216 күн бұрын
Amen
@EverlyneJuma-b4m4 ай бұрын
Najipa imani na matumaini kua utashuka kwa ajili ya ndoa yangu yesu, japo yanaumiza moyo lakini yesu shuka nikuone ukitenda ili utukufu ukurudie wewe mungu,
@danielsifuna73773 ай бұрын
Aaaaamen ❤❤❤
@LomayaniMolleli2 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@gabrielmasitiniwafula96793 ай бұрын
Hallelujah,for real these songs brings me closer to the almighty. Be blessed Brother
@allanmwema4 ай бұрын
Ni wewe ni wewe bwana ujuae maisha yangu hakika😭😭😭😭😭God bless you man of God
@danielsifuna73774 ай бұрын
@@allanmwema aaaaaamen 🙏❤️❤️❤️❤️❤️
@yunispatrick86134 ай бұрын
Wastahili kuabudiwa, hakuna mwingine kama wewe,Pokea sifa na Utukufu ee Mungu wangu,maana ni wewe tu 🙏🙏 Glory be to God 🙏
@jacquie3294 ай бұрын
AMEN
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen❤❤❤❤
@FridahNyakowa2 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 hixii worship zinanitia nguvu umbali mungu alinitoa sijui niseme nini mtumishi w mungu ubariikiwe sana na kizazi chsko mungu abariki kazazi chako pia
@TeresiahMugure-c5iАй бұрын
Ubarikiwa kaka na mungu akumbuke familia yko
@danielsifuna7377Ай бұрын
Aamen
@agnesnyaboke-ex6lx3 ай бұрын
Ameen ameen yesu shuka kwa kazi ya mikono yesu unaitahili bwana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏
@AmosNdambuki-x2fАй бұрын
Your worship is powerful and really encourage someone to take heart in troubles,may God bless you Man of God
@danielsifuna7377Ай бұрын
Amen Amen amen 🙏🙏🙏🙏
@mercychepkorir86314 ай бұрын
Kweli mungu atande,ata kama itajukua mda najua mungu atande
@JaredNyakundi-h2y4 ай бұрын
very powerful song and a blessed one thank u bro
@AnnaFwamba3 ай бұрын
Asante ndungu kwa nyimbo za kunitia moyo katika magumu napitia
@bwirahenry22364 ай бұрын
Nice nonstop, bigup yuhself bredda Daniel
@danielsifuna73774 ай бұрын
Amen amen my brother ❤❤❤❤
@maryyohana45864 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi kwa nyimbo zilizo jaa Upako wa Roho Mtakatifu ni maombi tosha Mungu atusaidie sana katika dunia uwanja wa fujo,vita Mungu tutumie Msaada.
@danielsifuna73774 ай бұрын
KUNA TUMAINI KUTOKA KWA MUNGU KWA YEYOTE ANAYESIKIZA NYIMBO HIZI. USIKATE TAMAA KWA YOTE UNAYOPITIA LEO HII. YAWEZAKUWA NI MAZITO KWAKO LAKINI KWA MUNGU YANAWEZEKANA. JIPE MOYO TU NA UMWOMBE MUNGU. Kwa yule ambaye Hana kazi, naomba Mungu akuongoze Kila mahali unapoenda kutafuta ajira upate kibali. Roho ya kukataliwa ishindwe katika Jila la YESU. Wewe ambaye unafanya kazi na huoni mapato yako, Kila unapopata mshahara kunatokea janga Fulani pesa inapotelea huko., Mungu akuonekania na akumbuke maono Yako. Kuna nguvu za Mungu KATIKA NYIMBO HIZI. Ziimbe Kwa imani na umlilie Mungu. Kuna jambo Mungu atatenda ambalo wewe mwenyewe hutaamini. MUNGU AWABARIKI. Kwa shukrani/ support Yako MPESA 0746298853 Mungu AWABARIKI..❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@millicentambuso31634 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@danielsifuna73774 ай бұрын
@@millicentambuso3163amen amen❤❤❤
@mildredsakali22434 ай бұрын
Amen 🙏
@danielsifuna73774 ай бұрын
@@mildredsakali2243 ❤️❤️🙏
@MinaelHiza4 ай бұрын
🎉 nimebarikiwe xana mtumishi wa MUNGU nakupenda sana ktk BWANA YESU KRSTO
@lydiagesare62553 ай бұрын
Shuka kwa ndoa yangu Yesu 😭😭😭😭😭 nimedharauliwa sana wewe ndiye unajua maumivu y moyo wangu l believe it unaweza nitendee 😭😭😭😭
@bensonkiriago4964Ай бұрын
Mjungaji mungu ni mweza....mama watoto ni mgojwa lakini ninaamini mkono wake uko na uponyaji....need your prayers,by His touch we are healed
@MichaelNdambuki-ut2it3 ай бұрын
Eee mungu nibariki nikae nawe mahali umenitoa ni mbali .pewa sifa baba ameni
@MichaelNdambuki-ut2it3 ай бұрын
❤❤
@BendarisMuseke2 ай бұрын
I love the song❤
@AmaniEliyasi3 ай бұрын
Ukimuamini mungu Akawa kalibu na maisha yako lazma ufanikiwe kila kitu kinakuw chepesi kwako❤
@danielsifuna73773 ай бұрын
Amen❤❤❤❤
@AshylianaАй бұрын
Mungu akubariki sana umenitia nguvu mtumishi WA mungu na usinisahau Kwa maombi
@JenniferMwatu-u2iАй бұрын
Kama si yesu mimi ningekua wapi jamani napenda huyu mungu siku zote❤❤mama yangu aliniacha nikiwa mdogo na mungu akaona nikiwa peke yangu sitaweza akau Tuma msahada sijui naeza lipa mungu nini pokea utukufu ukiwa katika kiti chako cha henzi