SPECIAL SERVICE

  Рет қаралды 15,118

New Life TV KENYA

New Life TV KENYA

Күн бұрын

Пікірлер
@annastaciamuthama5936
@annastaciamuthama5936 4 сағат бұрын
May God bless my spiritual father pastor Ezekiel and spiritual mum pastor Sarah. Through this altar av been healed of brain tumor, I got back my eyesight and God has blessed me with business which I run it myself. Glory to God
@FestusMwakio
@FestusMwakio 7 сағат бұрын
Naomba kwa imani uliyo nayo pastor, Roho ya talaka imeniinukia kwa nyumba yangu hata mke amekua na vita kama shetani. Mungu wa Ezekieli nisaidie, in Jesus's name 🙏
@JaneRief-lv5gk
@JaneRief-lv5gk 2 сағат бұрын
I Connect my children, my husband and myself with this higher alter in Jesus name
@Kelvinmburu-f2o
@Kelvinmburu-f2o 3 сағат бұрын
Am ruth .nilipona cervix .Thank for praying for us .High blood pressure inashuka sasa after 7yrs struggling. Thank daddy.Naomba kazi mzuri
@zainaburuthzainaburuth3376
@zainaburuthzainaburuth3376 4 сағат бұрын
Kupitia kwa hii maombi,Eliud lunani afunguliwe kwa madawa,uchawi,uganga za family ya akina Sharon lando waliotoa uganga wakamufunga nazo zichomeke 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@francissenelwa2971
@francissenelwa2971 4 сағат бұрын
May the Lord be with you pastor Ezekiel,and give you strength and protect you from every evil of the enemy ijn.
@LuckyKey-gv3gr
@LuckyKey-gv3gr 10 сағат бұрын
Mungu naomba uniondolee udhaifu kwa maombi na kufunga
@egranyaega9699
@egranyaega9699 11 сағат бұрын
God through this altar protect my family from theft and robbery, the dream I heard at night thieves collecting properties from our house using my dad's pickup isambaratike kwa Jina la Yesu
@EstherWangui-gf6fk
@EstherWangui-gf6fk 3 сағат бұрын
Pray for my son to be healed,boils and severe headaches,pray that he may pass his grade 6 exams ,may he have the star of education
@henrymjomba6905
@henrymjomba6905 3 сағат бұрын
I pray for my visa to be out soon,,I connect my self with this altar n I have faith in God. Amen
@zawadicharo9740
@zawadicharo9740 6 сағат бұрын
Powerful teachings pastor Ezekiel
@phillipmutende4551
@phillipmutende4551 11 сағат бұрын
Prayer Request... I pass my Assesment test with an A grade .. may the Lord go before me on 14th of January to 16 th of January. May be admitted in the Army. May i pass all my medical test. Be with my Family and let them join me as we pursue our projects and our plans that we have presented to God. May the lord rebuke any kind of chronic diseases in our lives.
@EstherWangui-gf6fk
@EstherWangui-gf6fk 3 сағат бұрын
May almighty God protect you and your family ,am praying you pst Ezekiel, I had a vision about you and I know you are atrue man of God, it doesn't matter what others think , I know who you really serve, God be with you
@annastaciamuthama5936
@annastaciamuthama5936 4 сағат бұрын
Mungu naomba vijana wangu wawili wafunguliwe wapate kazi na msichana wangu Kwa masomo yake
@ruthmutsotso7211
@ruthmutsotso7211 6 сағат бұрын
Praying for journey mercies to all family members and friends traveling this week. Amen
@annastaciamuthama5936
@annastaciamuthama5936 4 сағат бұрын
Mungu kumbuka biashara yangu, iinuke niondolee roho ya madeni, aibu, stagnation, backwardnes and delay
@CvVv-l1n
@CvVv-l1n 6 сағат бұрын
Mungu wangu wapone wote na wakombolewe na wafanyike nyotaa nzuri ya baraka na heshima na ulinzi na wafanyike vichwa above only x5 in Jesus name x7Amen
@agnesmururu1264
@agnesmururu1264 4 сағат бұрын
Baba naomba uniponye uchungu ninaopitia, nipone kwa jina la yesu Kristu ameeeeeen
@CvVv-l1n
@CvVv-l1n 6 сағат бұрын
Naomba Amen x7 nipone na nipokeye nyotaa yangu ingahe kwa jina la yesu x7Amen
@StanleyThyaka
@StanleyThyaka 7 сағат бұрын
God let this altar give me a star in marriage and financial success
@ksempejohnson7948
@ksempejohnson7948 4 сағат бұрын
I connect my children to the higher alter naomba wafike salama Amen
@RoselnyEstua-bj9ri
@RoselnyEstua-bj9ri 10 сағат бұрын
Amen prayer request God help me to succeed the plan I plan this year
@CvVv-l1n
@CvVv-l1n 7 сағат бұрын
God through this altar protect my family and my children forever in Jesus name x7Amen
@FestusMwakio
@FestusMwakio 7 сағат бұрын
Naomba Amani ipitayo akili zote ipatikane nyumbani mwangu na kwa familia yangu in Jesus's name 🙏
@winnieondari7885
@winnieondari7885 7 сағат бұрын
Mungu nizaidie nimefika mwisho,Naomba ushuhuda wangu in Jesus mighty name Amen
@NaomiMbaka-w3f
@NaomiMbaka-w3f 3 сағат бұрын
Naomba mungu mama yangu case yake iishe Leo apewe vitu vyake kupitia ii madhabau ya new life church amen
@SERAHGikonyo
@SERAHGikonyo 9 сағат бұрын
Mm Na bwana yangu bdo tujapata kazi naomba kupokea Neema ya kazi n roho y utumishi Kwa watoto Wa Sunday school Amen
@LuckyKey-gv3gr
@LuckyKey-gv3gr 8 сағат бұрын
Mungu na amani,upendo na communication in my marriage give us spirit of marriage ijn Amen
@zawadicharo9740
@zawadicharo9740 6 сағат бұрын
Thankyou Abba father for this altar
@agnessraphael
@agnessraphael 12 сағат бұрын
Naomba Mwenyezi Mungu anitendee maisha yetu na watoto wangu tufanikiwe
@SMl-b7p
@SMl-b7p 11 сағат бұрын
Naomba mungu nitakapo maliza mwaka huu kila machungu,mgonjwa madharau n kila aina yyte ya mabya yabki kwa huu mwaka nilikiaz mwaka Anna nami bwan 😢😢🤲🤝🙏🙏🙏
@CvVv-l1n
@CvVv-l1n 7 сағат бұрын
iconect my self and my children and my family to this altar protect me with my family in Jesus name x7Amen
@mercysoita7333
@mercysoita7333 12 сағат бұрын
Naomba roho ya uponyaji,ndoa biashara..mungu nipee mume aliye wangu
@mirriamanusu4306
@mirriamanusu4306 11 сағат бұрын
niombeee mwk wapotee kwa ndoa yangu both side
@CvVv-l1n
@CvVv-l1n 7 сағат бұрын
Mahaduwi wangu wapikwe na Radhi za mungu in Jesus name x7Amen
@ShimitaShop
@ShimitaShop 2 сағат бұрын
God of God's remember me in the time of blessings
@JosphineAchieng-s3g
@JosphineAchieng-s3g 8 сағат бұрын
May God protect me and my children, husband, married job family in Jesus mighty name
@winnieondari7885
@winnieondari7885 7 сағат бұрын
Mungu nizaidie 2025 niziwe na madeni, umaskini kuangaika in Jesus mighty name Amen
@kennedynjoroge5409
@kennedynjoroge5409 4 сағат бұрын
God protect us through our journey to kitale and back to nairobi Amen
@WebNet-f9e
@WebNet-f9e 3 сағат бұрын
Kupitia haya madhabau magonjwq yote nipote Acidity ya kimapepo wishes milele in jesus name Amen
@CvVv-l1n
@CvVv-l1n 7 сағат бұрын
Mungu naomba nehema ya hii mathabau iwe sehemu ya maisha yangu na watoto wangu wapone wakombolewe na wafanyike nyotaa nzuri ya baraka Kwa jina la yesu x7Amen
@clarasada9941
@clarasada9941 9 сағат бұрын
God give me spiritual growth and strength in Jesus name
@annastaciamuthama5936
@annastaciamuthama5936 4 сағат бұрын
Mungu naomba waliokatalia Kwa mashamba ya babangu matuu waondoke.
@CvVv-l1n
@CvVv-l1n 7 сағат бұрын
Kupitiya kwa hii mathabau watezi wangu na watezi wa watoto wangu wapikwe na Radhi za mungu na wangolewe uhayi in Jesus name x7Amen
@JanetInyangala
@JanetInyangala 9 сағат бұрын
Pastor nipokee roho ya umbaji
@LuckyKey-gv3gr
@LuckyKey-gv3gr 8 сағат бұрын
Mungu naomba ubariki biashara yangu
@zipporahjepchirchir7937
@zipporahjepchirchir7937 7 сағат бұрын
Madui wangu wapigwe na radhi ya mungu,wameniwinda Hadi watoto,Wakufee kifoo cha uchungu
@VeronicahNyambura-il6vf
@VeronicahNyambura-il6vf 9 сағат бұрын
My pray request l :, veronicah kamau ,,,kibali changu cha kumtafuta mungu iirudi,,,uombaji,kuimbaji in JESUS NAME AMEN
@ruthnzioki3995
@ruthnzioki3995 7 сағат бұрын
Yesu niondolee roho ya kutolipwa nadeni yangu
@MoreenKarainto
@MoreenKarainto 7 сағат бұрын
GOD plz remember me let me not fall in temptation ,,, protect me from all evil dreams ,,, spiritual husband and wife .plz dad dont leave me alone devil will destroy my life.
@patriciapamela2191
@patriciapamela2191 9 сағат бұрын
God bless you pastor we are glued here to hear what God says
@emilypertet9874
@emilypertet9874 11 сағат бұрын
Father give me power to prayer and listen to your word.
@JanetInyangala
@JanetInyangala 9 сағат бұрын
Pastor thank you so much,you have enlightened my heart, my spirit.I wondered why I would fill tired after leading prayers in the church,kumbe I needed to back to the presence of God to be refilled again.God I thank you so much for your servant.
@MargaretSaha-x6r
@MargaretSaha-x6r 10 сағат бұрын
Naomba pastor uniombe kuna vitu vinatembea ndani ya mwili wangu
@winnieondari7885
@winnieondari7885 7 сағат бұрын
Mungu nifungulie milango in Jesus mighty name Amen
@اسماءاحمد-غ2ح2ث
@اسماءاحمد-غ2ح2ث 11 сағат бұрын
Mary m pastor ua teachings blessed me,God bless u
@franciscandeto545
@franciscandeto545 8 сағат бұрын
Bwana Yesu naomba uniondolee roho isiyo yako nauniondolee roho ya rejection naunipe tamanio la Moyo wangu kupitia Kwa hii sacrifice in Jesus mighty name ipray and believe Aaaaaamen
@MillicentChelangat-f4s
@MillicentChelangat-f4s 9 сағат бұрын
Naomba uponyaji kupitia haya maombi na appetite mungu usinipite nipone ulcers iyeyuke in the might name of Jesus
@ruthnzioki3995
@ruthnzioki3995 7 сағат бұрын
Gof remember my self n my family during this month of December
@SylviaItinot-k3c
@SylviaItinot-k3c 8 сағат бұрын
Naomba mungu nipe kibali ya kuomba na kufunga eehh Yesu nisaidie 🙏
@kimpeter9281
@kimpeter9281 11 сағат бұрын
Never to be too busy for your the LORD. Breakthrough in my farming and above only in job. Restoration of my marriage and to be the best partner. -Gods Mercy and favor in my family. Amen
@kaingudoris3959
@kaingudoris3959 4 сағат бұрын
Thanks Pastor God bless you
@bonifacenzyuko4857
@bonifacenzyuko4857 11 сағат бұрын
Mungu nikomboe kutokana na magongwa sugu na safari yangu iwe salama kesho in the naaame of Jesus Christ. Amina.
@annamariasilas8510
@annamariasilas8510 4 сағат бұрын
Yesu naomba neema ya kufunga na kuomba
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 7 сағат бұрын
Thro this my family ikombolewee
@judithodialo7139
@judithodialo7139 10 сағат бұрын
Kupitia madhabau haya mtoto wangu timothy aitwe kwa ile kazi alifanya interview.....apate kibali na apite interview ya kazi Amen Amen Amen Amen
@maryrevelian9084
@maryrevelian9084 4 сағат бұрын
Naomba uniombee hamu ya kusoma nenp la Mungu na kuomba
@lucymokeira4155
@lucymokeira4155 7 сағат бұрын
God protect pr EZEKIEL AND HIS FAMILY so that he can continue to help kenya spiritually. 😮
@samwelojwang3043
@samwelojwang3043 9 сағат бұрын
Naomba MUNGU nifungulie njia nifanyike wa msahada nipate kusaidia watu baba nifungulie milango kumbuka ndoa yangu MUNGU wangu
@RobinaAbusa
@RobinaAbusa 7 сағат бұрын
My father protect my family, parents, sisters, brothers, my husband, children, nod to mbaya ziniondokee
@PEREZMWOGAN
@PEREZMWOGAN 11 сағат бұрын
Naomba mungu arejeshe yale yaliliwa na nzige katika maisha yangu na familia yangu
@christineh990
@christineh990 10 сағат бұрын
May God protect my family children wherever they are in Jesus Christ name
@MoreenKarainto
@MoreenKarainto 7 сағат бұрын
Let me not give up on you dad ,, i need you in my life dad only you my redeemer ukinikataa nitaenda wapi dad?? I really need you father🙏🙏🙏🙏
@RobinaAbusa
@RobinaAbusa 7 сағат бұрын
Visirani kzn, nyumbani kwetu, kwangu, madhabahu ya giza ibomolewe kwa Damu ya Yesu
@franciscandeto545
@franciscandeto545 8 сағат бұрын
Bwana Yesu nikomboe nope roho ya tamanio la Moyo wangu nauniondolee roho ya kukataliwa na roho ya umaskini in Jesusighty name ipray and believe Aaaaaaamen
@franciscandeto545
@franciscandeto545 8 сағат бұрын
Nipe neema ya ujenzi nipe neema na roho ya biashara
@Ninahcaroh
@Ninahcaroh 11 сағат бұрын
I'm depending on you Lord, hear my prayers and wipe away my tears of pain
@christineh990
@christineh990 10 сағат бұрын
Blood of jesus in my family and my children life in Jesus Christ name amen
@jescahmoraa-x5n
@jescahmoraa-x5n 11 сағат бұрын
Dear God I don't ask for much remember my family Kila mmoja apokee ukombozi na milango zetu zifunguliwe kupitia madhabahu ya new life church
@MarySamuel-et1er
@MarySamuel-et1er 11 сағат бұрын
My prayer is unipee nyota ya ndoa ,nyota ya biashara, mamangu pia ndoa yake ipone,mume wangu apandishwe cheo ....nyota yangu pastor
@MillicentChelangat-f4s
@MillicentChelangat-f4s 9 сағат бұрын
Mungu magonjwa yote yayeyuke na nipate nguvu
@mirriamanusu4306
@mirriamanusu4306 11 сағат бұрын
niombeeee ukombozi kwa ndoa yangu na roho ya ufanisiitue juu yangu katika jina l yesu
@Ninahcaroh
@Ninahcaroh 11 сағат бұрын
Lord father I pray that you heal me from tumar in my cheek and you give me the spirit of business and star of success in my life, open the doors of money today in JESUS NAME
@ednagesare4888
@ednagesare4888 10 сағат бұрын
God, nikomboe, nibariki nifungue. Tumia ofisi yako kama altar ya kubariki, kuponya na kushukihisha Shida za watu wako. Nitumie kama chombo chako Yesu. Via my sacrifice God, make your instrument
@ShillaMbone
@ShillaMbone 12 сағат бұрын
Naomba mungu anipee mume aliye wangu. Urejeshp katika biashara yangu naomba urejesho katika maombi so shall it be in Jesus name
@judithodialo7139
@judithodialo7139 10 сағат бұрын
Mungu kumbuka familia yangu,watoto wangu,kuanzia leo hadi mwaka mpya tukuone
@judithodialo7139
@judithodialo7139 9 сағат бұрын
2025 mungu wangu usinisahau pamoja na familia na watoto wangu,mafanikio tele,machozi,kusononeka,mahangaiko,talaka zote zing'olewe
@priscahdama4355
@priscahdama4355 11 сағат бұрын
Naomba roho ya ufanisi Kwa familia yetu na masomo yangu kupitia madhabahu haya
@Rebecca-iq3uc
@Rebecca-iq3uc 10 сағат бұрын
Naomba mungu unipe pesa nifungue biashara
@PeterMutua-yw7he
@PeterMutua-yw7he 11 сағат бұрын
Natamani yesu anitangulie nina hama nipate nyumba nzuri
@Rebecca-iq3uc
@Rebecca-iq3uc 10 сағат бұрын
Mungu ondoa mpango wa kando Kwa ndoa yangu
@franciscandeto545
@franciscandeto545 12 сағат бұрын
Bwana Yesu nimejiunganisha na hii special service mchana ya Leo nipate roho ya biashara wateja wakuje Kwa wingi wanunue nipate pesa yakukutolea sacrifice na tiith in Jesus mighty name ipray and believe Aaaaaaaaaamen
@mirriamanusu4306
@mirriamanusu4306 10 сағат бұрын
naomba ufanis kwa kazi yangu in Jesus name
@RobinaAbusa
@RobinaAbusa 8 сағат бұрын
2025,nibarikiwe, ninunue shamba yangu, nijenge nami nifutwe machozi, roho wa Mungu anirudie , nimwimbie ktk roho na kweli
@carolinenancyowino3222
@carolinenancyowino3222 11 сағат бұрын
Mungu wa babangu Ev.Ezekiel nitendee usinipite🤚🤚🤚🤚Niko hapa Bwana..
@WinnieGift-y1k
@WinnieGift-y1k 10 сағат бұрын
I RECEIVE IT IN JESUS NAME AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ElizabethMuia-ro9yh
@ElizabethMuia-ro9yh 11 сағат бұрын
My prayer request, to My Son who went to apply driving license, itoke kwa wakati na apate kazi smart
@luciamaweu462
@luciamaweu462 11 сағат бұрын
Baba niombee ni rudi kwa ndoa yangu ya kwaza
@RobinaAbusa
@RobinaAbusa 8 сағат бұрын
Watoto wangu wapokee yota ya afya, huai, masomo, nawatenganisha na madhabahu ya uko
@NaomiMbaka-w3f
@NaomiMbaka-w3f 3 сағат бұрын
Kupitia ii madhabau naomba familia yetu tupokee nyota zetu
@winnieondari7885
@winnieondari7885 8 сағат бұрын
Pastor,niombee madeni Niko na deni kubwa,nimekozeswa Amani na madeni,Mungu wa madhabau haya nizaidie nimefika mwisho
@carolinenancyowino3222
@carolinenancyowino3222 11 сағат бұрын
Naomba nyota ya kimataifa na aibu katika ndoa ya kukosa watoto iniondokee Ee Yesu nikumbuke unayefanya miugiza ktk madhabahu haya
LIVE RECORDED SERVICE
3:15:26
New Life TV KENYA
Рет қаралды 5 М.
LIVE RECORDED SERVICE.
New Life TV KENYA
Рет қаралды 1,1 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
HOLY COMMUNION SERVICE -8.7.2022.
3:46:57
New Life TV KENYA
Рет қаралды 99 М.
THE SEEING EYES - (ACCESSING THE GIFT OF SIGHT) WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN
2:58:38
MID-NIGHT PRAYER SERVICE - 8.12.2024
3:20:31
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 6 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:23