SPIKA NDUGAI AWAADHIBU GWAJIMA na SILAA "WASIKANYAGE BUNGENI, HII ADHABU ni NDOGO"

  Рет қаралды 83,493

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 538
@danielimeshack3712
@danielimeshack3712 3 жыл бұрын
Ambae anaamini ya kwamba Team gwajiboy hatuwezi kumsaliti like zenu
@ustadhsalimonlinetv.1807
@ustadhsalimonlinetv.1807 3 жыл бұрын
Ndugai Allah akulipe hapa hapa duniani ndani ya kupindi chako cha uspika ili kila mtanzania ashuhudie jinsi utakavyo aibika na kudhalilika,
@dpaul...m.4476
@dpaul...m.4476 3 жыл бұрын
🙏
@mararegiononline3457
@mararegiononline3457 3 жыл бұрын
Amina na mm naomba niwepo ili nishuhudie anguko lake
@abdibilali4186
@abdibilali4186 3 жыл бұрын
Aamiiiiin
@chrislandan6288
@chrislandan6288 3 жыл бұрын
Mungu tandika watu kama hawa akinandugai
@swala2170
@swala2170 3 жыл бұрын
Bwana Speaker Yesu hakuwa na mke! Mungu akupe adhabu kwa hilo!
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 3 жыл бұрын
Kweli
@umojawawatanzania3813
@umojawawatanzania3813 3 жыл бұрын
Mwambie na GWAJIMA aombe Kama ww mjanja.
@swala2170
@swala2170 3 жыл бұрын
@@umojawawatanzania3813 😀😀
@HappynessJose
@HappynessJose 3 жыл бұрын
Eti mjaja hello hello jaman ukwel I unauma mungu wangu kumbe
@HappynessJose
@HappynessJose 3 жыл бұрын
Mbona mumemngeuka mangufur alipo fariki Zaman chajo ilieda wap baada ya miez 7 nyuma
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 жыл бұрын
Uyu ndo ndugai wa enzi za magufuli kweli? Wallah mungu atawaonyeshe apa apa duniani💪🇹🇿.
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 3 жыл бұрын
Ndugai alikuwa mzee wa kanisa la ki Anglican Yesu alipooa mke 😭😭😭😭😏 Ndipo mjuwe madhara ya Chanjo aina ya JJ.🤷‍♂️🤷‍♂️
@joycehope1883
@joycehope1883 3 жыл бұрын
Hahaha
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤮🤮🤮
@malolemaloledaud3866
@malolemaloledaud3866 3 жыл бұрын
Dah aliyeskia yesu na mke wake agonge like hapa
@madaha_moses
@madaha_moses 3 жыл бұрын
Yesu alitembea na mke wake mpaka nazareti😂😂😂😂👋🏾👋🏾👋🏾 Mungu anakuona spika
@jsjs7085
@jsjs7085 3 жыл бұрын
Na ameshamuona yesu hakuoa
@dserikushoka3024
@dserikushoka3024 3 жыл бұрын
Gwajima baba wewe ndo mtetez wetu
@evandagidion3594
@evandagidion3594 3 жыл бұрын
Mungu awasaidie siku moja muumbuke maana amufai ata katika uwongozi unacho fanya leo kitakukuta kesho
@mdeekababa1074
@mdeekababa1074 3 жыл бұрын
Baba hapo umechemka sijasoma biblia nikaona neno linalosema YESU alitembea na mke Wake pole sana
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 3 жыл бұрын
Ndungai mwisho wako ni mbaya Mungu yupo na anakuona. Jerry Silaa ana hasira sana watu waovu
@btsanime6138
@btsanime6138 3 жыл бұрын
Josephat Gwajima yuko sahihi kwa alichokiongea tunakubari sana Wazungu sisi w' Africa kuliko kujukubari ila mtakuja kuona badae baada ya miaka ya mbele.
@ramadhanimbulu6716
@ramadhanimbulu6716 3 жыл бұрын
Bunge ni Dhaifu" CAG mstaafu Mr Assad.!!
@samnyanza7642
@samnyanza7642 3 жыл бұрын
Acha kudanganya Ndugai usiseme uwongo Yesu hajaoa muogope Mungu spika muongo gani wewe acha uzushi wa kisiasa unaabudu wapi wewe unaridhalilisha kanisa na Bunge polee sana
@bernadethashiduki6936
@bernadethashiduki6936 3 жыл бұрын
Ndo mzee wa kanisa haaaaa
@davidpeter8743
@davidpeter8743 3 жыл бұрын
Mungu akuchukue mapema unadanganya watu yesu alitembeaa na mke
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 жыл бұрын
😃😃😃
@devothamrope4657
@devothamrope4657 3 жыл бұрын
Hata maneno yake anapoanza kuongea anaonekana anamzungumzia yusuph ni ulimi Tu uliteleza ,maana nazungumzia pia kuzaliwa Kwa Yesu
@devothamrope4657
@devothamrope4657 3 жыл бұрын
Kwan MTU ulimi ukiteleza ndio maana yake afe ? Wewe ndio hujawahi kuteleza ? Mbona upo mpk Leo ? Tuwe wastaarabu angekuwa babako ungemuombea kifo?
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 3 жыл бұрын
Yesu alitembea na mke mpaka wakakosa sehemu ya kulala bibilia ipi ndugu yetu?Yesu alioa lini?hebu tunaomba hilo andiko labda sisi hatukuona Yesu tuhurumie sana na utusehe Ameen
@righton19
@righton19 3 жыл бұрын
Ni yusuph bn alichangangany huyu mbwa
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Hahahaha
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Kweli alikuwa mzee wa kanisaa , hahahaha
@lastenkessy74
@lastenkessy74 3 жыл бұрын
Nyinyi siyo wa bunge wa kutetea wananchi ni wabunge wa kutetea matumbo yenu na Familia zenu nyinyi ndiyo wasaliti wa kubwa wa Tanzania
@ibrahimkh7288
@ibrahimkh7288 3 жыл бұрын
Kuna mtu nilimsikia akisema ( ukijali waTanzania utakufa masikini.)
@mbelwapaschal6320
@mbelwapaschal6320 3 жыл бұрын
Hongera Jerry Slaa Never Give Up my brother And Gwajiboy big Up worry out
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema wacha atende ndugai mungu anakuona kwa haya unayo yafanya siasa ndo imetengenezwa kuwa angamiza Wana nchi sio sawa mungu yupo katb mpya inatakiwa
@princepiuskamugisha5626
@princepiuskamugisha5626 3 жыл бұрын
Mzee wa kanisa, tuambie mke wa Yesu alikua anaitwa nani tumjue ww unaeijua dini,,,😂😂😂
@zakariamwantembe8486
@zakariamwantembe8486 3 жыл бұрын
Nyie wabunge Mungu awasaidie, mshaurini mama atuondelee maumivu. Tozo! Umeme, mafuta. Wanainchi sisi walewale uchumi uleule mnatukamuaaaaaaaaa
@saimonmeda3155
@saimonmeda3155 3 жыл бұрын
💪💪
@abdallahantony9524
@abdallahantony9524 3 жыл бұрын
Iposiku hainajina MUNGU atatutetea mwenyewe
@happynessanga5353
@happynessanga5353 3 жыл бұрын
Madhara ya chanjo tunayaona mdogomdogo Yesu alikuwa na mke
@anoldjose7793
@anoldjose7793 3 жыл бұрын
😁😁😁 me naona cha kufanya tusiishiwe bundle..coz tutaona mengi mwaka huu
@princehancesam9892
@princehancesam9892 3 жыл бұрын
Umejua kunichekesha 😂
@cejomatv1572
@cejomatv1572 3 жыл бұрын
Hahahahahaaaa
@magrethgeorge9253
@magrethgeorge9253 3 жыл бұрын
😬😬😬😬umetisha nakweli
@mariagorethkalumbilo1665
@mariagorethkalumbilo1665 3 жыл бұрын
Gwajima kaza uzi , watu wanakufa baada ya kupata chanjo. Huyo spika anaongea pumba. Nchi nyingine wamepiga marufuku chanjo lakini Tz ndo wanashashia ngoja mtaona kitakachotokea mbele, mtamkumbuka Gwajima.
@bayekefarijala5042
@bayekefarijala5042 3 жыл бұрын
Siyo Yesu, Yusufu. Halafu kama unajua Capernaum na Galilaya, haikufanyi umjue Mungu. Hata ukiwa Mzee wa Kanisa na kufuatana na mwakasege. we simamia Sheria za Bunge ndo unachokijua Mambo ya rohoni achana nayo maana huna unachokijua
@lucypaul6890
@lucypaul6890 3 жыл бұрын
Yaani biblia haijui kabisa yeye asimame namambo ya bunge tu
@rosesanford73
@rosesanford73 3 жыл бұрын
Haswaaaa
@lucypaul6890
@lucypaul6890 3 жыл бұрын
Mungu atawaumbua yeye ndiye mwenye hii dunia na vyote vilivyomo, yale nayasomaga ktk Daniel yatatimia Tanzania
@agnessjohn1222
@agnessjohn1222 3 жыл бұрын
Mungu yupo atawaumbua
@franciscakambuga4065
@franciscakambuga4065 3 жыл бұрын
Mungu anawaona kwa ayo mnayofanya
@leinaamos
@leinaamos 3 жыл бұрын
Samahani Mhe Yesu alikuwa na Mke aliitwa nani?
@franciscakambuga4065
@franciscakambuga4065 3 жыл бұрын
@@leinaamos Yesu hakuwahi kuwa na mke kabsa alikuja mtakatifu na aliondoka na utakatifu wake
@ibrahimkh7288
@ibrahimkh7288 3 жыл бұрын
Mungu kawaumbua kweli mpaka mzee wa kanisa anasema yesu alitembea na mkewe wakakosa pakulala halaf munasema yesu mungu
@tumahamza8972
@tumahamza8972 3 жыл бұрын
Kweli binadamu hapendi kuambiwa ukweli. Kazi kwelikweli🤣🤣.
@witingela6283
@witingela6283 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣kwl dini unaijua baba mke wa yesu cjui alikuwa anaitwa nani😂😂😂😂😂🤩
@witingela6283
@witingela6283 3 жыл бұрын
Nawabunge walikaa kimya kidogo wanamtafakar mke wa yesu Tz raha sanaa😂😂
@ibrahimkh7288
@ibrahimkh7288 3 жыл бұрын
Kumbe yesu alikua na mke ajabu hii yaani mungu alikua na mama akawa na mke pia apo wakristo mumevurugikiwa tayari
@michaelpasipanofu5920
@michaelpasipanofu5920 3 жыл бұрын
Ndugai Yesu hakutembea na mke wake fafanua imeandikwa. Wapi yesu kuwa na mke?
@barnaba3037
@barnaba3037 3 жыл бұрын
Yesu hakuwa na mke, Shindwa kwa jina la Yesu
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 3 жыл бұрын
Analopoka tu....
@Silay1034
@Silay1034 3 жыл бұрын
Mwehu kabisa wewe nawenzako
@joycejohn325
@joycejohn325 3 жыл бұрын
Hajitambui
@ednambata9503
@ednambata9503 3 жыл бұрын
Mheshimike nyie akina nan? Nyie mmekua miungo mtu. Ww libaba kumbe mnapenda kuheshimiwa tunamheshim mungu
@rehemanassor352
@rehemanassor352 3 жыл бұрын
Kwakweli tena ashindwe na Mungu adili na kinywa chake. Hana hata aibu anaongea uongo mkubwa namna hii
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 3 жыл бұрын
Mzimu wa Magufuri tunatamani hiwageuke nyote yani mnakela saaaaana
@zainabuyakubu9711
@zainabuyakubu9711 3 жыл бұрын
We acha ndugu yangu. Tuwe na subira TU. TUVUMILIE MZIM WATAUJUA 2025. WATU TUNA HASIRA SANA.
@frolencefrugence3192
@frolencefrugence3192 3 жыл бұрын
Tunaishi kwa Nehema ya Mungu mwamanisha kwamba Mungu mwampa nafasi ya pili baada ya kumpa nafasi ya kwanza mwadanganywa na nani Mungu awasameheee bule beleeeeee
@deliverencenoelkiondo8092
@deliverencenoelkiondo8092 3 жыл бұрын
Mungu atawaadhib spika na wabunge wako mmeshapotoka pia kingine hukuwepo enz za yesu
@shaffisumaida8800
@shaffisumaida8800 3 жыл бұрын
Am a Tanzanian , Educated and a civics teacher for 3 years now.. Kutumia jin au cheo kuwaambia watu ni miss use of power??!!??
@mwaminimwakyaka3299
@mwaminimwakyaka3299 3 жыл бұрын
Uzuri tu ni kwamba kila nafsi itaonja mauti udhurumiwe,udhulumu ,ujifanye mmbabe mwisho wa siku ni chakula Cha funza tu.Mungu tupe mwisho mwema,walikuwepo leo wako wapi???
@mariacharles8906
@mariacharles8906 3 жыл бұрын
We mtu wp yesu alikuwa na mke mungu wangu kweli dunia simama nishuke
@zachariaboniphace2964
@zachariaboniphace2964 3 жыл бұрын
Mungu ulie iumba dunia na mbingu nakuomba baba muweke wazi Ndugai ili ayibike kam yuda alivoaibik angali hai
@venitarugemalila3971
@venitarugemalila3971 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 3 жыл бұрын
Spika Ndugai Yesu na mke wake...lini Yesu alikuwa na mke? Tutamhoji kila anayemsingizia Bwana YESU KRISTO..
@alfaniomary2506
@alfaniomary2506 3 жыл бұрын
Heshima akuheshimu mkeo na wanao unataka heshima kwa watanzania
@johnsalvatory4372
@johnsalvatory4372 3 жыл бұрын
Huyu jamaa haongei vtu vya uhalisia Mtu anajinyonga 🤣🤣🤣🤣🤣
@ligobertwile6590
@ligobertwile6590 3 жыл бұрын
Yesu alitembea na mke wake. 🤣🤣🤣 Kweli dini mnaijua!
@hbdina
@hbdina 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Watu weusi hatutaki critical mind za Uzalendo ndio maana tuna umasikini wa kutupwa licha ya maliasili tulizonazo madini, bandari n.k.Nyinyi chanjeni,Gwajima alichosema hatuchanjwi🔥🔥🔥💪
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 3 жыл бұрын
We dugai jifanye nchi yako utakufa umesimama kbs mtu anaongelea kuhus tozo kuwa nanyie mkatwe mnampa adhabu Mungu simama na Tanzania
@mariagorethkalumbilo1665
@mariagorethkalumbilo1665 3 жыл бұрын
Yaani huyu apigwe kwa jina la yesu
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 3 жыл бұрын
@@mariagorethkalumbilo1665 atapigwa kwel Mungu anasikiliza kilio chetuuu
@farajsabbih2617
@farajsabbih2617 3 жыл бұрын
We ndugai na wabunge wenzako munaoshadadia ya kina gwajima mujijue atuwachagui tena mtajuta jifanyeni Tanzanian yenu
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 3 жыл бұрын
Kasahau alikuwa na tuhuma ya kumpiga mtu na fimbo wakati wa kampeni mwaka 2015
@danielmbwile6136
@danielmbwile6136 3 жыл бұрын
Uyu spika aisei yesu alikuwa mke mungu wangu
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Mnapenda heshima zenu kuliko heshima za mungu
@ustadhsalimonlinetv.1807
@ustadhsalimonlinetv.1807 3 жыл бұрын
Ndugai nitakutumia HAMZA hapo bungeni.
@eliasjillanga3158
@eliasjillanga3158 3 жыл бұрын
👍🏻
@ApostleFredProphecy
@ApostleFredProphecy 3 жыл бұрын
Eti Yesu alitembea na mke wake... Aibu kubwa Kwa huyu spika
@rehemanassor352
@rehemanassor352 3 жыл бұрын
Inaonyesha hasomagi biblia huyu. Hovyo kabisa
@olympiapaul7320
@olympiapaul7320 3 жыл бұрын
Jiheshimu spika Yesu hakuwa na mke tongue kauli na uombe msamaha kwa Mungu
@hezronpeterhongoli9060
@hezronpeterhongoli9060 3 жыл бұрын
Ndugaye hana Dini ndo maana hana hofu ya Mungu, Yesu Kristo alioa wapi? Adai yeye ni Mzee wa kanisa kweli achaa uwongo umekosa fadhira, kweli kweli bunge la upande mmoja madhara yake ni haya mtihani kweli, ukweeli unauma😀😀
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 3 жыл бұрын
Yani huyu speaker wetu chenga Sana et Yesu alitembea na mke wake
@bokechibinwa4129
@bokechibinwa4129 3 жыл бұрын
Speaker ,Mungu haziakiwi.Hili la kwako ni ngumu na azabu yake ni mbaya zaidi, Yesu hakuowa kabisa,na wewe njoo mbele ya ulimwengu ufute hiyo kauli yako,usisikiye ahibu .
@uledyzedi2757
@uledyzedi2757 3 жыл бұрын
Watanzania walivo hawana akili na wepesi wa kusahau, 2025 watapga kura za kishindo kuwarudisha hawa madarakani..😭😭😭😭
@militonaxson6505
@militonaxson6505 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 wacha tuisome number tu maana watanzania ni kichwa cha mwendawazimu
@chakitv1241
@chakitv1241 3 жыл бұрын
Mkisha wa bagua chadema basi ujue ipo siku mta enda anza kuwabagua ccm wezenu pia🤣🤣🤣💀💀💀💀
@kasimually5137
@kasimually5137 3 жыл бұрын
Mh bila polis hawapiti hawa
@claramhina9605
@claramhina9605 3 жыл бұрын
Hivi spika amesoma Bible au ana Bible ilyotengenezwa Duniani Yesu alikuwa na Mke? Jamani kuna aibu inawapata a ila mnalaximisha ila hatuchanji tupo na Askofu
@danielkamese6370
@danielkamese6370 3 жыл бұрын
Ya kwake
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 жыл бұрын
😃😃😃
@meekman654
@meekman654 3 жыл бұрын
Hapo amechapia tu. Bila shaka ametaka kusema Yusufu
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 3 жыл бұрын
Pumbavu ww
@adamkawili6913
@adamkawili6913 3 жыл бұрын
Kwani wanalipa Kodi hao?kweri
@petrombangala1902
@petrombangala1902 3 жыл бұрын
Ndugai acha uzandiki na unafiki Mwogope Mungu.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 3 жыл бұрын
Unafiki wake uko wapi
@BIBCTv-pm9qp
@BIBCTv-pm9qp 3 жыл бұрын
Yesu hakuwa na mke
@jumamkubani7954
@jumamkubani7954 3 жыл бұрын
Hongera spika na bunge
@divinelovilingly9781
@divinelovilingly9781 3 жыл бұрын
Hamn chochote mungu atawafundisheni tu
@FadyFs
@FadyFs 3 жыл бұрын
Kwani uwongo.... Ndio ni kweli hamlipi
@elias-op3mx
@elias-op3mx 3 жыл бұрын
Huyumzee muongo sana yesu alioa lini hawandio watoa kesi zaugaidi wanao mkpigia makofi niwautopolo wale wa naunga mkono
@deokessy6596
@deokessy6596 3 жыл бұрын
Ndugai Mungu yupo halali
@masungamashauri4070
@masungamashauri4070 3 жыл бұрын
Bunge la Ndugai ni hovyo sana , Mbunge anasema hela ya mafuta ya mbunge isikatwe kodi halafu hela ya mboga kwa bibi zetu vijijini ipigwe TOZO
@maliamwamtobemwamtobe1051
@maliamwamtobemwamtobe1051 3 жыл бұрын
Kweli ndugai mnlipa kodi ?ww ni Mungu baba tu capita njia"
@tommykonga5767
@tommykonga5767 3 жыл бұрын
Umekuwa mungu ndugai mshenzi tu
@henrymgolezela3811
@henrymgolezela3811 3 жыл бұрын
Mzee Ndugai ukijiheshimu na wenzio watakuheshimu, wewe unathubutu kusema Askofu Gwajima ni kichwa ngumu? huo msemo siyo sahihi kwa mtumishi wa Mungu, kwa kuzingatia anasimamia makanisa zaidi ya mia nne Duniani, fahamu hii kazi ya kusimamia makanisa si yake bali ni ya Mungu, hivyo unastahili kutumia msemo wa heshima,
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza umenifurahisha Ndugai...Mungu akulinde.
@jonsongibesh8137
@jonsongibesh8137 3 жыл бұрын
Ukweli unawauma
@charleslukoa9661
@charleslukoa9661 3 жыл бұрын
Embu tutajie ilo jina na mke wa Yesu
@namungolubala1788
@namungolubala1788 3 жыл бұрын
Mutapigwa fimbo kutoka Kwa Mungu Hamja mshimamisha kwenye njia ya Mbinguni Anawafunguwa maskio hamutaki kusikia Hizobunge zenyu hamutaenda nazombinguni
@masoudsospeter3244
@masoudsospeter3244 3 жыл бұрын
Yesu hakuwa na mke acha kudanganya uma ww gwaji boy yuko sawa kabisa
@dollarz6822
@dollarz6822 3 жыл бұрын
Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth mmmh cjaelewa baba... Yesu alikua na mke.. !
@veronicasamson7121
@veronicasamson7121 3 жыл бұрын
Apo Spika ndobtunapokupeeeeeeeendaaaa😍😍😍😍🥰🥰🥰🥰Aombe radhi public. Akijarib kubisha tu, mrudishen kijijini
@joycejohn325
@joycejohn325 3 жыл бұрын
Ana shida na kurudi kijijini sasa? Watu mnaogopa kuambiwa ukweli hahaaa
@danieljs4285
@danieljs4285 3 жыл бұрын
🤣🤣 kmbe wajinga bado wapo xaana
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 3 жыл бұрын
Veronica hujitambui kapike mandazi huko hata akifukuzwa utachukua nafasi yake hana hata ya kuzaliwa?mhhhh
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 3 жыл бұрын
Yani huyu ningekua natoa roho, hapo hapo angekakamaa! Kwan c ndio ukweli hamlipi kodi.Toeni salary slip hata mfano wa mbunge mmoja tu tuone Kodi mnayotoa.Mnataka heshima tu bila kuwajibika.
@kataninyido962
@kataninyido962 3 жыл бұрын
Mungu atawahukumu kifo kibaya sana mnajifanya miungu watu? Ukweli unauma, Mungu yupo
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 3 жыл бұрын
Gwajima anawazidi mbali Sanaa ninyi mko kama mzigo si raisi na wengine wote vinyago tu
@martinafredrick199
@martinafredrick199 3 жыл бұрын
Ndugai upigweeeee kwa jina la yesu nakufuta kwenye ulimwengu wa siasa kwa jina la yesu' nakukausha kwa jina la yesu: na ninakutabilia kifo kuanzia sasa kwa jina la yesu: huna lolote ongea yenyewe una madhaifu tena makubwa mwanaume mzima unasimama na kusema upuuzi na ww una tabia mbaya
@eliasjillanga3158
@eliasjillanga3158 3 жыл бұрын
Yesu Alioa wap dah Bunge dhaifu
@rosesanford73
@rosesanford73 3 жыл бұрын
Bunge dhaifu mpaka linataka kuwafundisha watu kuwa yesu alioa ongea udhaifu wa bunge si kitabu cha Mungu acha kabisaaaaa
@bulaasiywez7014
@bulaasiywez7014 3 жыл бұрын
Unatumia kiti chako vibaya,,Mungu akusamehe tu,,
@anoldjose7793
@anoldjose7793 3 жыл бұрын
Si tulikubaliana yesu hakuw na mke au!?😂😂😂 ndugai umeupiga mwingi isee😂😂 Wanangu ee tusiishiwe bundle tutayaona mengi this time around😀😀
@yonahguya2037
@yonahguya2037 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@anoldjose7793
@anoldjose7793 3 жыл бұрын
@@fadhilaongezaongeza226 kwakwel😂😂😂
@alexkamba5264
@alexkamba5264 3 жыл бұрын
Ee Mungu ona haya
@aunisaminja2442
@aunisaminja2442 3 жыл бұрын
Yesu toka lini akawa na mke?umetembea nchi nyingi unavodai lkn hujui historia ya Yesu.Mungu na akuhukumu kwa ulichotamka kwa ulimi wako
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 3 жыл бұрын
Hivi ni kweli ndungai unahisi Gwajima anakosea? Leo mama kakuumbua,kamwita Gwajima boy haaa mama anamuelewa
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 3 жыл бұрын
I stand with gwaji boy
@abdibilali4186
@abdibilali4186 3 жыл бұрын
Njaa mbaya sana
@emmanueldottofimbo9422
@emmanueldottofimbo9422 3 жыл бұрын
Kuambiwa hamlipi kodi mmevunjiwa heshima. Duh ndio maana kweli yesu alitembeaa na mkewake kweli. Kumbe waandishi wa bible kuna vipengele walisahau kuviweka
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Spkia wananchi wanakuchukia Huna hata jema moja soma comment ujionee
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 3 жыл бұрын
Askofu anayeshauriwa na ww ni kichaa wala hamjui Mungu anafanya biashara kupitia jina la Yesu. Dini ni upagani wala Mungu hajui kitu kinachoitwa dini.
@kiliboykilimanjaro377
@kiliboykilimanjaro377 3 жыл бұрын
Jitahidini kusoma maoni yawananch mnapoteza mvuto kabisa hao mnawapinga niwawilitu lakini Wana watu wengi Wana wasapoti
@eliabumagwata1841
@eliabumagwata1841 3 жыл бұрын
Mbunge wangu 2025 huna Kura yangu na nitafanya kampeni woote mlio hapo mjengoni tuwapige chini icpokuwa gwajima na jery sl
@nasrakibonye3242
@nasrakibonye3242 3 жыл бұрын
SLAA ni mbunge na ana salary slip,Kwann aseme hivyo?weken salary hewan tuibabadue
@Gsimon923
@Gsimon923 3 жыл бұрын
Kwani uongo? Kwani mkiambiwa ukweli nyie ni kuvunjiwa heshima? Kwamba hamlipi kodi ni kuvunjiwa heshima?
@yohanaleopoldleopold2572
@yohanaleopoldleopold2572 3 жыл бұрын
Acha usenge yesu Ajawa namke tena umetukela umezid uwongo
@ellymichael6771
@ellymichael6771 3 жыл бұрын
Umeon ee nilisenge
@denismtoma1827
@denismtoma1827 3 жыл бұрын
Kyamanywagowai
@samnyanza7642
@samnyanza7642 3 жыл бұрын
Polepole mbona yeye hajahojiwaa?
@wilsonmsenga6447
@wilsonmsenga6447 3 жыл бұрын
Kwani SILA si mbunge? Iweje aseme hamlipi kodi? Kwahiyo yeye hailewi kama mnalipa kodi? Basi hapa kuna kitu.
@joycejohn325
@joycejohn325 3 жыл бұрын
Wanatetea matumbo yao, huyu spika ni shida mwee
@wilsonmsenga6447
@wilsonmsenga6447 3 жыл бұрын
@@joycejohn325 yani mm hapa naumwa na kichwa, sijapata jibu kumbe tunapitishiwaga Tozo watu wa hali ya chini tu. Duuuuh.
@venancesimoni3354
@venancesimoni3354 3 жыл бұрын
Hatuwezi kufika mbali kwa hali hii jmn
@wilsonmsenga6447
@wilsonmsenga6447 3 жыл бұрын
@@venancesimoni3354 umeona, hii ni shida.
@mariagorethkalumbilo1665
@mariagorethkalumbilo1665 3 жыл бұрын
Yaani wanaolipa kodi ni watu wa hari ya chini wabunge hawalipi kodi sasa siri zimetoka. Ndo selikari ya sasa ukiwa mtetezi wa wanyonge wanakufunga mdomo lakini hawatafunga kila mtu wengine wataibuka tu.
@emmanuelelam555
@emmanuelelam555 3 жыл бұрын
Meza zinagongwa mungu ibariki tz
@oswardkabasa8476
@oswardkabasa8476 3 жыл бұрын
Spika unaongea kwa unyenyekevu sana kiasi kwamba watu wakuamin na bunge lako la chama kimoja acheni ugandamizi wa hovyo namna hiyo watanzani wa miaka hii sio wale wa miaka ile achezi hizo Mungu atawalipa hapa hapa duniani
@emmanuelmsofe4981
@emmanuelmsofe4981 3 жыл бұрын
Mzee hamjui yesu
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 3 жыл бұрын
Ndugai ww ni nyoka mwenye sumu kari sana mbunge wa Tanzania wa awamu ya6wamekuwa km miungu wanataka heshima ya kulazimishana
@jackynassary6165
@jackynassary6165 3 жыл бұрын
ukweli unauma
@vicentelias491
@vicentelias491 3 жыл бұрын
Yesu alikua na mke kumbe ....hakika Mungu ameamua kukuangamiza
@josephcharles1198
@josephcharles1198 3 жыл бұрын
Mwambie huyo,YESU kristo hakuwahi kuwa na mke tafadhar
@israelhamiskiobya903
@israelhamiskiobya903 3 жыл бұрын
Mbona sijaona Akina Gwajima wakijieleza kijibu hoja za wabunge.
@chaguramnari5731
@chaguramnari5731 3 жыл бұрын
Naona unataka watu wakuabudu Mh Job Ndugai,Kwa hiyo wabunge wote lazima wapige magoti mbele zako ili waweze kufanya kazi zao za ubunge.Kazi tunayo kwenye hili bunge lenu.
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 3 жыл бұрын
Lkn kila lenye mwanzo lina mwisho ww siyo spika wa kwanza usitishe watu
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
MBUNGE SILAA ALIVYOONDOLEWA BUNGENI NA ULINZI MKALI..
3:41
Global TV Online
Рет қаралды 6 М.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН