No video

WAITARA ASUSIA KIKAO CHA BUNGE, AANGUA KILIO, ADAI TARIME WAMEMJUA ADUI YAO.

  Рет қаралды 60,920

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Жыл бұрын

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our KZbin Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg

Пікірлер: 134
@user-bt4wl6ni5x
@user-bt4wl6ni5x Жыл бұрын
pole sana waitara mbunge shupavu binafsi nakupongeza sana ume watete wananchi wako bila uwoga mbunge wa kwanza nchi hii kufanya kitu kama hichi
@user-go3er5th5v
@user-go3er5th5v Жыл бұрын
Hukujuwa kumtegemea mwanadamu nitatizo ulimtegemea magufuli ungemtegemea mungu ungekuwa unapeta
@josephmahando493
@josephmahando493 Жыл бұрын
Mh, unatuwakirisha vizuri sana, mitano tenaaa, hata kama majibu hayajapatiwa ufumbuzi, lakini kwa ishara hiyo Kuna tafakari kubwa umewaachia.. good Waitara
@yusufulimo5737
@yusufulimo5737 Жыл бұрын
Pole Sana mh!unapitia kwenye wakati mgum Sana.
@hansmosses9422
@hansmosses9422 Жыл бұрын
Asante sana kwa kutuwakilisha ....hii ndo maana ya ubunge ....ila hakikisha tunapata haki zetu bila ivo ubunge 2025 neiiiii
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 Жыл бұрын
Hamna kitu hapo! Vituko tu! Michezo ya kisiasa! Movie ya kihindi hii!
@mkundukunuks
@mkundukunuks Жыл бұрын
@@j.c.maxima816 Kuma wewe
@mkundukunuks
@mkundukunuks Жыл бұрын
@@j.c.maxima816 baba yako pia anayo Kuma wewe nitakufira
@mkundukunuks
@mkundukunuks Жыл бұрын
@@j.c.maxima816 Mimi nataka kumfira marehemu Bibi yako nije nimfufue
@HusseinHaule-pr5ov
@HusseinHaule-pr5ov Күн бұрын
Ipo siku Mungu atatulinda na ufisad wa nchi hii Acha tu vitu vipande bei kila kukicha lakin hakimu wa haki yupo anatusubili huko sisi tutabaki kama watazamaji wa mahakama za mwanzo usijali mbenge wetu kula tutakupa tu ukakiwashe tena kwa ajili yetu
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 Жыл бұрын
Nakukubali 100%
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 Жыл бұрын
Mungu akusimamie kaks
@leticiaboniface2949
@leticiaboniface2949 Жыл бұрын
Yes
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 Жыл бұрын
Km ambavyo kipindi Cha mapambano ya uhuru mwalimu Nyerere alivyosema, tutawaomba wazungu watupe uhuru wetu wakikataa tutawashitaki Kwa Mwenyezi Mungu. Watu wa Tarime endeleeni kudai haki yenu, ikishindikana muishitaki serikali ya Tanzania na Chama Cha CCM Kwa Mwenyezi Mungu hakika hatowaacha, atalipa, na ipo siku na watawala wataangua vilio Kwa wananchi wao tena wa chini kbs. Mwenyezi Mungu atupe uhai tuu.
@StaniMponzi-kx6ok
@StaniMponzi-kx6ok Жыл бұрын
Tunapenda wabunge Kama Hawa sio kutetea chama jimbon hovyo
@rithaurassa
@rithaurassa 5 күн бұрын
Mh. Uko vizur ila hutawaweza hawa mtumbo mbele. Kama una hof ya MUNGU HUWEZI KUKAA BUNGENI NI BUNGE LA KUNYANYASA WATU BILA UOGA.
@ChachaPastory-hg8ld
@ChachaPastory-hg8ld Жыл бұрын
Na bado sana
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy 11 ай бұрын
Safi mheshimiwa
@gatimakonge8678
@gatimakonge8678 Жыл бұрын
Hiyo ndiyo CCM weitara weito Pole Sana Tata,, chama Cha mapinduzi hakitetei jamii ya Nyamongo,, Barbara ni ziro miaka 60 ya Uhuru,, maji hamna,, vipigo mauaji shida ni nyingi Sana pole Sana
@fednandnews2240
@fednandnews2240 Жыл бұрын
Serikali ya kipuuzi sana hii bro upo sahihi
@chazdizzo680
@chazdizzo680 Жыл бұрын
Safi sana mbunge wetu kwa kutupambania
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 10 ай бұрын
Dhambi inakutafuna
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Жыл бұрын
Waitara ameumia mnoooo😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@joashandhoga4019
@joashandhoga4019 Жыл бұрын
Umesema kweli sana
@evaristjoseph1453
@evaristjoseph1453 Жыл бұрын
SEEN.
@yohanagagaga7539
@yohanagagaga7539 Жыл бұрын
Baba hii ndo Tanzania kama ulikua hujui du pole Sana mbunge
@NyabaBoy
@NyabaBoy Жыл бұрын
Duh hatar
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Siku ikizuka civil wars kuisha cjuiiiiiiiiiiiii..Mungu tuepushe
@4hestatecompany20
@4hestatecompany20 Жыл бұрын
Daaah nch hii cjui tuna shd gan wallahi
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Ай бұрын
Huyu mwamba anaweza sana ila akirudi upinzani atawatikisa sana ila ccm wanalambana viatu
@MohamedKabua-lf7cu
@MohamedKabua-lf7cu Жыл бұрын
Chama chenu hakina kawaida yakutoka bungeni vipi we unatoka bungeni....?
@juniorwilliam6338
@juniorwilliam6338 Жыл бұрын
Waitara big up
@raheemkhatibu7339
@raheemkhatibu7339 Жыл бұрын
Bora ANDAZI
@user-wc5re5mv6t
@user-wc5re5mv6t Жыл бұрын
Unaongea kweli baba
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu Жыл бұрын
Jman huyu waitara sialikuwaga Naibu waziri.
@jumamwita8180
@jumamwita8180 Жыл бұрын
Ukome,
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 Жыл бұрын
Rudi chadema
@allyshafi4391
@allyshafi4391 Жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 Nchi yng
@shau78
@shau78 Жыл бұрын
ulinunuliwa na sasa utauzwa🤣
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 Жыл бұрын
Kumbe ulikuwa haujaelewa ? Ulishaambiwa siku nyingi tokea ulipokuwa Jimbo la Ukonga,ya kwamba utakutana na vitu km hivyo
@SleepyAlpineVillage-yp2sz
@SleepyAlpineVillage-yp2sz 3 ай бұрын
Hiyo ndiyo ccm
@zachariathomas9980
@zachariathomas9980 9 ай бұрын
Kwakweli hii ni Noma
@user-lucas47
@user-lucas47 29 күн бұрын
Duuuh mbungee wetuu
@husseinallysuleiman4657
@husseinallysuleiman4657 Жыл бұрын
Kwani akuna hoja nzuri utakayotoa bungeni zaidi ya hiyo mkuu iyo ungeipotezea kama aisikilizwi
@annashaoo-cs3wg
@annashaoo-cs3wg Жыл бұрын
Kama wameshindwq kusikiliza hiyo na kuifanyia kazi hiyo nyingine ndo itasikilizwa?
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
Hapo umeonyesha u Chadema,, Mbaya tu usaliti wako unazunguka nao,, Ila elewa hiyo ndio ccm bana.
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 Жыл бұрын
Duu Changamoto kweli
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Жыл бұрын
Nchi ya wapiga dili
@stephenndeji6523
@stephenndeji6523 Жыл бұрын
Hiyo si haki kabisa. Viongozi wanakaa kikao bila mwakilishi wa watu. Yupo na anaondolewa? Is that fair?
@aaroneu07
@aaroneu07 Жыл бұрын
Jamani ... mbona unafuta kamasi kwa tai ...!!??
@jumamwita8180
@jumamwita8180 Жыл бұрын
Katiba
@SleepyAlpineVillage-yp2sz
@SleepyAlpineVillage-yp2sz 3 ай бұрын
Haki itasimama tu😂
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b 11 ай бұрын
Wewe umeikumbatia ccm na ungepewa asali usingesema kitu, nyie ndo walewale chawa.
@selemanibilali8405
@selemanibilali8405 Жыл бұрын
Subiri msalitii ww muda utaongeaa
@rashidramadhan6570
@rashidramadhan6570 Жыл бұрын
Naipenda Tanzania
@hassanikuhyele2008
@hassanikuhyele2008 Жыл бұрын
Ukiona Mtu mzima Analia Ujue Kuna Jambo,Dah 🤔 Inaumiza Kwakweli panapo Hitajika ukweli Usimame kama ukweli jamani. H!! Maswala H!! Baadae Huletaga Noma.!!
@duakyando791
@duakyando791 Жыл бұрын
Alaf na nyie maswali yenu ya kiwaki et kwa hyo Leo bungeni haurudi Tena😬
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
😂😂wachonganishi wahandishi wa habari wa tz
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 10 ай бұрын
Ndio ccm hoooyeeeeeee pesaa mbereeee
@elishapaul9423
@elishapaul9423 Жыл бұрын
Kwani s uliwahi kuwa naibu wazr vp ww ulitoka salama kwl?ww ulivyoutafta ubunge ujuwe na changamoto
@emanuelmniko8153
@emanuelmniko8153 Жыл бұрын
Pale hamna Tegesha bhana Nyamichele na Murwambe tathimini ilifanyika baada ya hesabu kuwa juu mgodi hautaki kulipa
@mrgardendesignerluta4667
@mrgardendesignerluta4667 Жыл бұрын
Umeenda kinyume na ccm ,hufai kuwa mbunge wa ccm
@samymahuchani4562
@samymahuchani4562 Жыл бұрын
Ila kweli serikali haijatoa majibu ya haki Kutamka kwamba hawatalipa na mgodi umekubali unalipa ndo shida imeanzia hapo
@justinwangi4912
@justinwangi4912 Жыл бұрын
Tunakuamini mh waitara tupo pamoja na wewe sisi vijana wa kegonga
@pastorthadey6101
@pastorthadey6101 Жыл бұрын
Huyu mbunge anahaki ya kutetea watu wake,mkuu wa mkoa huyo anashida achunguzwe
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 4 ай бұрын
Achunguzwe na nani hujui ni kauli ya raisi wewe hamjui mifumo ya utawala wenu
@jimmydizonga1335
@jimmydizonga1335 Жыл бұрын
Hiyo ndo CCM. Ww si ulianga juudi analalamika nn. Mm na Roma tutachagua andaz
@user-hv8ok2ul9q
@user-hv8ok2ul9q Жыл бұрын
L
@bongo39
@bongo39 Жыл бұрын
Kauze mayai sasa
@jumamwita8180
@jumamwita8180 Жыл бұрын
Mlipata madaraka kwa kumwaga dam MUNGU anahi kujibu mno!!!
@malugufabian4368
@malugufabian4368 Жыл бұрын
Uyu hatetei madaraka yake anatetea wananchi wake au wewe unaelewa nini, uyu analipwa pesa nyingi angekua anajiangalia yeye ange nyamaza
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 4 ай бұрын
Waitala uliambiwa huwezi kuishi na ccm wewe ulisharishwa kiapo cha kuwatetea wananchi ujionee mwenyewe huwezi sikilizwa hao wanataka kujinufaisha umefunga ndoa nao fanyauliyo patana nao haya ndio uliyataka wapate wananchi wako njo huku tuandamane chadema kumenoga
@ntegrity277
@ntegrity277 Жыл бұрын
DHAMBI YA USALITI HAITAKUACHA SALAMA! UNAPATA HASIRA BURE! BUNGE NI SEHEMU SAHIHI UNAPOTOKA NJE YA BUNGE UNACHEMKA! WEWE SIO MWAKILISHI SAHIHI MUNGU NDO ANAFANYA HAYO! JIUZURU ACHIA NGAZI KAA PEMBENI MAANA ULISALITI WANAINCHI TANGU UKONGA UCHUNGU HUO NDO WENGINE WALIKUWA WANASIKIA
@ChachaPastory-hg8ld
@ChachaPastory-hg8ld Жыл бұрын
Ningekuwa mm humo bungen waziri angekula kipgo
@festoloweza9868
@festoloweza9868 Жыл бұрын
Sasa mko wenyewe huko kwenye ukweli uongo hujificha Huyu mbunge ni mkweli vinavyo endelea bungeni na kwenye vyombo vya habari vingi havina ukweli
@gatimakonge8678
@gatimakonge8678 Жыл бұрын
Bahasha zinatuumiza mhe Rais Samia suluhu jitahidi ufanye suluhu Tarime Mama Yetu tafadhali tunakuomba,,, tegesha maana yake Nini
@saidimohamedimgotomgoto979
@saidimohamedimgotomgoto979 Жыл бұрын
Walikununua sasa wanakuuza sema shilingi gapi kuna chama nahazisha
@eliasmtui
@eliasmtui 11 ай бұрын
Waitara wscha uongo sera ya chama tawala inasemaje?
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 Жыл бұрын
DHAMBI YA USALITI 😄😄
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Жыл бұрын
Angekuwa mpinzani sasa, mtoeni nje, mtoeni, mtoeni askari mko wapi au ni raia nyie? Dhambi ilaa, Mungu tusamehe, hatujui tulitendalo Baba.
@fredyshirima8594
@fredyshirima8594 Жыл бұрын
Na kwa kuongezea angekua ni mpinzani ungesikia anafuatiliwa na watu wasiojulikana......
@Ishickahroggohitttler
@Ishickahroggohitttler Жыл бұрын
HECHE ANARUDI JIMBONI
@seifumkima5986
@seifumkima5986 Жыл бұрын
Njookwetu
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
Hii.ndio.ccm.nenda.kashitaki.chato.yudaaaaaa
@MtaboraPaul-jz7st
@MtaboraPaul-jz7st Жыл бұрын
Laana inakutafuna ulidhan magufuli ataishi milele sindio?
@Happyson-yx6gb
@Happyson-yx6gb Жыл бұрын
Mhs tuliza munkari kumbuka maneno yako kipindi cha utawala awamu ya 5
@pastorthadey6101
@pastorthadey6101 Жыл бұрын
Rais wetu Samia mlinga mkuu wa mkoa Kuna mpango viche
@isackmichael-pd2is
@isackmichael-pd2is 9 күн бұрын
100&
@philipwilliam6586
@philipwilliam6586 Жыл бұрын
Chadema walipokuwa wanalalamika SI ulipuuza
@Happyson-yx6gb
@Happyson-yx6gb Жыл бұрын
Nenda tuu taratibu
@martinigabriel702
@martinigabriel702 Жыл бұрын
Jitahidi tuu usilie mkuu maana unapenda!!!
@felickelisha3321
@felickelisha3321 Жыл бұрын
Huyo mbungembona amechaluka mtulizeni
@justinwangi4912
@justinwangi4912 Жыл бұрын
Tatizo hawa viongozi wa serikali hawajui shida wanayoipata polisi kwa wananchi wao wanatoa matamko afu wanaondoka afu ugomvi unabaki kwa raia na polisi ndio maana kituo cha polisi kegonga kimejaa matobo ya mishale
@moseskyaman9323
@moseskyaman9323 Жыл бұрын
Atujakutuma utuwakilishe mliujumu democracy wewe na mwenda zake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@silaskojwando2450
@silaskojwando2450 Жыл бұрын
Kwanini ulirudi ccm mh Waitara?
@Mzena4343
@Mzena4343 Жыл бұрын
Usipo kuwa raisi niite mbwa
@lupakisyomwaisunga9027
@lupakisyomwaisunga9027 5 ай бұрын
Woote wangekuwa kama wewe tngefulahe san
@pastorndunguru4870
@pastorndunguru4870 Жыл бұрын
Kumbe bado tuna wabunge
@simonkayondo4719
@simonkayondo4719 Жыл бұрын
Utakula mawe bado gharama ya usaliti
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 Жыл бұрын
Heche anamtesa Waitara.
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy 11 ай бұрын
Anamtesa kwa lip acha uxhapiki
@jumamwita8180
@jumamwita8180 Жыл бұрын
Laana inakutafna
@malugufabian4368
@malugufabian4368 Жыл бұрын
Mlitaka anyamaze asiwatetee watu wa talime?
@user-go3er5th5v
@user-go3er5th5v Жыл бұрын
Raana ya chadema inakutafuna
@AdelinaKigomba-kd5tg
@AdelinaKigomba-kd5tg Жыл бұрын
Pole so kweli
@PauloSaid-jf5lj
@PauloSaid-jf5lj Жыл бұрын
Waitala.yukosahihi.hiyo.ndo.selekale.yenu.yaccm.jipangeni.
@TimbiloSaid-qc5bs
@TimbiloSaid-qc5bs Жыл бұрын
Kiukwel tuendako kiza kimetanda
@athumanially8641
@athumanially8641 Жыл бұрын
Mbunge unalia unataka hoja yako nani aiteteee na kukusaidia
@user-dz3df3og9m
@user-dz3df3og9m Жыл бұрын
Shid ilianzia kweny usaliti ungebaki na wenzako ili muendeleze mapambano
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 Жыл бұрын
Acha ushamba hayo hayahusiwni
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Жыл бұрын
Mwita anapenda kulia huyuuuu😂😂😂😂
@lilianalfrd9194
@lilianalfrd9194 Жыл бұрын
Au ni last born?😂
@stemarcely7493
@stemarcely7493 Жыл бұрын
@@lilianalfrd9194 ...Wakulia lia...ni mziwanda huyo
@jumamwita8180
@jumamwita8180 Жыл бұрын
Cc oyeeeeee!!
@OmaryBabere
@OmaryBabere 3 ай бұрын
Wew n jembe
@joelponyongo4691
@joelponyongo4691 Жыл бұрын
Roho ya usaliti inaendelea kufanya kazi
@philipoamos5596
@philipoamos5596 Жыл бұрын
Ni uelewa wako tu mdogo,,,,ndg hakuna mtu alizaliwa na chama hata viongozi cdm wengi wao ni ccm na walisomeshwa huko,,,,hivyo mtu kuhama chama mbona kawaida tu
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,1 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
SPIKA ATAJA MAKOSA MAKUBWA ALIYOYAFANYA WAITARA BUNGENI / AMUONYA
5:28
Gangana Info Channel
Рет қаралды 68 М.
"Mnachoma moto nyumba na watu bado mnawafunga? "- John Heche
10:36
Millard Ayo
Рет қаралды 191 М.