Putin anajua kingereza vizuri sana ila sio mtumiaji sana wa kingereza kwa nini? WENZETU wanajali sana lugha zao
@zaexplore22 күн бұрын
putin anazungumza english german tena vizr sana maan ameish german maish mingi than kirud ndo lugha yake
@aishaalbalushaishabalush829122 күн бұрын
kwa sababu sio rimbukeni 😂😂😂
@FahadAbubakari22 күн бұрын
Wenzetu wanajali mnoo lugha zao ndo maana hata Leo uende ulaya nje ya uingereza kila mtu anaongea lugha yake kuongea lugha ya mwenzio ni utumwa sisi bado tu malimbukeni hatujipendi wala hatupendi vyakwetu na akili za ukaragosi ndo maana tunaganda vya kwetu
@FahadAbubakari22 күн бұрын
Sa we Leo bila aibu Kuna nchi kibao za kiafrika zinajisifu lugha zao za taifa ni kiingereza, kifaransa au kireno , angali Wanalugha zao za asili
@deniccgabriel615322 күн бұрын
Ukizungumza na Putin nisawa umeongea na walusi walioko urusi
@allykwaya22 күн бұрын
11:42 Dr Tulia kapata bahati sana kukaa meza 1 na Raisi halisi wa Dunia ya
@dullahabdallah-nu1py22 күн бұрын
Hakuna haki sawa
@PUTINN36522 күн бұрын
Ushakuwa shoga@@dullahabdallah-nu1py
@GraceMashinga-be9wb22 күн бұрын
Kabisa
@festohaule971622 күн бұрын
Asante na hongera sana...Spika wetu jifunze uzarendo.. na waulinze Russia bandari zao wamempa nani!!!! Russia wanalinda Rasilimali zao Kwa nguvu kubwa sana!!!!
@shijandobehe495322 күн бұрын
Point kabsa
@lovisfrederick362922 күн бұрын
Safi💪
@Vwanaman19 күн бұрын
Duh we ni master mind
@JuliusKiria-j7i22 күн бұрын
Hapo mnajitahidi kutuhabarisha kwa wakati mkifanya hvy mtapata wa fuasi wengi zaidii
@user-it7ih1it3m22 күн бұрын
Kweli maana taarifa ni ya jana
@worldhappiness118122 күн бұрын
Sio rahis kukaa meza moja na Putin, it needs a heart of lion to speak with. Hongera kwa Madamee
@sarahmuhammed687222 күн бұрын
Huyo put in,ni mchafuzi wa dunia,vita kila pande ,yeye na ISRAEL
@evaristmbuya622022 күн бұрын
Putin yupo makini sana 😊
@evaristmbuya622022 күн бұрын
Kwa vyovyote vile lazima Ukraine isalimu amri au iwe majivu
@issandule175022 күн бұрын
Nafasi yake ndiyo imempa hiyo nafas ya kukutana na wakuu wa dunia
@jumamayonga891422 күн бұрын
Tanzania oyeee✋✋
@dullahabdallah-nu1py22 күн бұрын
Tanzania wanazungumza lugha gani kabla ya oyee
@ImaiJuna22 күн бұрын
Oyee ya nini sasa
@atupelemwasambili447622 күн бұрын
Bravo madam speaker
@aboudasilver654122 күн бұрын
Mama Anacheo kikubwa sana Mainshaallah
@mohamedturanardan887122 күн бұрын
Ma Sha ALLAAH?
@cath-ef7wd22 күн бұрын
Our future presidee
@Maryc2G22 күн бұрын
Nashukuru sana Dr Tulia kwa kazi nzuri ya kudumisha Amani Duniani.👏🏽
@amourmbarouk156822 күн бұрын
Mheshimiwa Tulia, shukran kuwakilisha Tanzania na watanzania
@fidelfidel-jz4iw22 күн бұрын
Hongera sanaa maadam speaker una muhimu sanaa ktk hili .
@mlelwatv583122 күн бұрын
Utuletee huyu putin Serengeti tulia 🎉🎉❤
@user-sr8tc8ke6q22 күн бұрын
Tulia kwani kasomea wapi na mimi nimpeleke mwanangu,🔥🔥🔥
@user-ri5ks4zs4n22 күн бұрын
Waombee watoto wako kwa Mungu awabariki Mungu ndie uinua watu hallelujah
@user-wc3hn4kt1x22 күн бұрын
Yaani daa kila nikifikiria Combination safi ambayo ingekuwepo kati Tanzania na Urusi kama HAYATI Rais Magufuli angekuwepo daaa!!!!. Tanzania tungekuwa mbali sana. Mungu aendelee kumpa ujasiri Mheshimiwa Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA
@allykwaya22 күн бұрын
Nikweli kabisa.
@Hussein-gx4qu22 күн бұрын
Kasim majaliwa wa mama Samia mlea wezi kama mama Samia mwenyewe
@mejamiela743622 күн бұрын
Sana
@mejamiela743622 күн бұрын
@Hussein-gx4qu kweli kbs
@user-wc3hn4kt1x22 күн бұрын
@@Hussein-gx4qu wewe hauelewi. Akikamata watu nakuwafukuza kazi. Kesho yake wanarudishwa na Mkubwa. Unategemea nini?
@josephmwinyi22 күн бұрын
Hongera sana Madam speaker
@josephjohn114322 күн бұрын
Spiker Tulia, ni sehemu Product ya Magufuri , katika uongoizi ❤ Tanzania 🇹🇿
@KudraWanguvu-em1xw22 күн бұрын
Ni kiwete ndio alie mteuwa kwa mara ya kwanza tunajivunia chetu anawasilisha African na tz
@gosbertireneus555822 күн бұрын
kukaa meza moja na Putin wakati huu ni sawa na kuongea na dunia nzima...
@BrotherR922 күн бұрын
Mwamba vladmir Putin live long
@user-pd5hl9di2q22 күн бұрын
Hongera sana Dr Tulia
@faridmnyamike55622 күн бұрын
Very Articulated Hon. Dr. Tulia Akson, you really deserve the Presidency of IPU, am very proud of You Madam Speaker and President of IPU.
@HassanToboke17 күн бұрын
Thek you tulia akson
@hubman678022 күн бұрын
Hongera sana madam speaker.Naamini mama anatakiwa akutane na huyu mwamba
@kassimbayuu521722 күн бұрын
Kazi nzuri sna
@19ddr21 күн бұрын
Nafasi kubwa sn umeipata dada Tulia
@Machozihussen-er8cp22 күн бұрын
Congratulations, umeongea kiingereza kizuri na sauti nzuri( lafidhi) nimekuelewa mzalendo mwenzako
@aidanikasembe819122 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@abcelectricalsolutions700021 күн бұрын
Tulia ametulia kweli ni mwanamke makini sana. Nafurahi kuona mtanzania anakwenda kusuruhisha migogoro worldwide ni heshima kubwa kwa nchi yetu.
@rejobu972319 күн бұрын
Ukweli usemwa hapa tanzania 🇹🇿 imetumia akili kubwa sana hongera kwako madame spiker
@jevanallan80222 күн бұрын
Moja kati ya kazi yako ni kutafsiri kwa kiswahili bwana mwandishi
@allykwaya22 күн бұрын
Nashangaa anatupa kazi 2,
@papaamasauti197322 күн бұрын
WAKENYA mnasema hatujui kiengereza hapa Dr Tulia anaongea kiRussi
@kibwetere141822 күн бұрын
Huyu Tulia anaonekana ana kitu kikubwa ndani yake aungwe mkono
@onesmomwakasege521522 күн бұрын
Tanzania tumepiga atua Kubwa hongera Sana spika wa Dunia ingekuwa powa sana ungepiga kinyaqusa kidogo
@vladimirputn180922 күн бұрын
Sasa nimeanza kukupenda tulia 🌺🌺
@user-tb8gi3ut5z22 күн бұрын
Hongera sana spika wetu kwa kuongea na raisi wa dunia ambaye tunamwamini sana mtata wa dunia tunataka watu kama Vladimir Putin
@user-vi7ly9zh1q22 күн бұрын
Sasa kwann nayeye asiongee kiswahili 😂😂
@muddyso195322 күн бұрын
Kweli kabisa na nimekuelewa saana Mwenyezi Mungu atujalie tusimamie vyakwetu tujivunie kila kitu chetu maana hata lugha yetu ametujalia Mwenyezi Mungu kwanini tuikatae!
@LastdayJesu415322 күн бұрын
Yeye ni Rais hapo wa mabunge duniani awakilishi Bongo tu ..mnafeli
@davidanselmo404122 күн бұрын
@@LastdayJesu4153 Ndugu zetu wanadhani ni kiswahili tu 😂😁
@user-sr8tc8ke6q22 күн бұрын
Tulia ongea kidogo bwana mwenzio ana KIKAO NA MABOMU
@Abdillahjuma-u2q22 күн бұрын
wee vp imagine ww unakutana Mama samia tu unaongeaje kdg
@JohnDonard-u9h20 күн бұрын
😂😂😂
@user-ju4md1yq6o22 күн бұрын
Dr tulia ❤
@sharifahabsi500422 күн бұрын
Mashaallah 🎉
@AdamAmos-rr6fg22 күн бұрын
Nayeye angeongia kiswahili amefeli hapo
@Mumewangu22 күн бұрын
Sio lazima
@MendezyMendezy22 күн бұрын
Hpo kaenda kma mwenyekiti wa bunge kidunia
@emmanuelmtalis159022 күн бұрын
@@MendezyMendezykweli
@khlafanmwassa22 күн бұрын
Huu ndio upumbavu wa Waafrika, Mwafrika anaona akiongea kiingereza ndio ataonekana kasoma kumbe ni ufala
@rumdeesonsoa181122 күн бұрын
Huyo anaetafisri anajua Kiswahili?
@AFRICA_D66922 күн бұрын
Madam tulia tunakuomba utuwakilishe, iambie selikali ya cremlin ,Tanzania kuna vijana wengi tuna nia yakuja urusi kuipigania kwa maslahi ya mataifa mawili na dunia kwa ujumla ila hatuna muwakilishi tunakutegemea wewe kulingana na hyo atua uliyo ichukua 🙏
@allykwaya22 күн бұрын
Wazo zuri sana, Dunia ya Haki na Usawa
@AFRICA_D66922 күн бұрын
@@allykwaya haswaaaa
@rejobu972319 күн бұрын
Mwenzako anaisha utaifa wake wewe umeg'ang'ana na lughu zawatu piga kiswahili hapo 🎉🎉
@GraceMashinga-be9wb22 күн бұрын
This is to big big up tz
@aboudasilver654122 күн бұрын
Mainshaallah
@kelvinmboya584622 күн бұрын
Good work 👍,
@wamsifunimweta22 күн бұрын
Ingependeza Sana Tulia Ackson angeongea kiswahili nayeye kujivunia lugha yake
@emmanuelfari892422 күн бұрын
UBARIKIWE na kutunzwa sana dada Tulia YOHANA 14:14🙏🤝
@dullahabdallah-nu1py22 күн бұрын
Acha kuchanganya dini na serikali,amka
@nicksonmusa345722 күн бұрын
Dj sma najua utatufafanuliaa hii kitu naona kuna kitu hakipo sawaa
@dullahabdallah-nu1py22 күн бұрын
Utumwa maombolewo ndio unatumaliza,
@jumamasele579322 күн бұрын
Hata mm nimeona kuna kitu hakipo saw
@juliusdonard93322 күн бұрын
Congratulations our head of parliament , m nataman kukutana na putin ila sna uwezo
@zuwenarajab667522 күн бұрын
Natamani nchi zote za Afrika zijiunge Brics.
@kingsniper976922 күн бұрын
❤
@Mpapyrizy22 күн бұрын
I wish Angekuepo mzee 😢
@user-xp6xw8fy8o22 күн бұрын
We need logical things that will bring about change in Africa, not looking for a solution in Ukraine, Volrdimir Zelenky, the mayor of Ukraine, how he and his Americans are talking about our relationship with Russia.
@chusseboywcb280822 күн бұрын
🙏🙏🙏💪💪💪
@SalumSalim-ss5me22 күн бұрын
Mashallah
@JumanneissaK19 күн бұрын
🖐️🤚
@SamSamwel-p2z22 күн бұрын
Tanzania🎉🎉🎉
@ZainabuBakari-yb4vj22 күн бұрын
Sina shaka na spika wangu,luga ipo
@josephntungiye623222 күн бұрын
Lugha gani ushamba tuu! Kwani unazani putin hajui kingereza?
@LastdayJesu415322 күн бұрын
Hongera madam speaker hata mafuta yameshuka bei tunashukuru...bravo madam
@Josmedard22 күн бұрын
👏👏👏👏
@wasswapatrick106322 күн бұрын
Hii hatua nzur ya kujiunga bric's+
@shaabanramadhan677018 күн бұрын
Huu ndo utofauti kati ya mzungu namuafrika sisi bado tumebaba bendera ya kitumwa lkn pia nakupongeza dr tulia
@SamsonEzekiel-or9xc22 күн бұрын
Tulia na Duniani hatariiiiiii
@Brunotarimo1022 күн бұрын
Msisahau kuifuatilia crown media pendwa zaidi tz
@justinelukumay530822 күн бұрын
Kila la heri Dadaangu Tuliaackson katika ziara ya kujenga Tz na Dunia KWA Ujumla
@allykwaya22 күн бұрын
BRICKS. NEW CROSS AND POWERPOINT OF NEW WORLD.
@almasbakari535922 күн бұрын
Was a grate attempt to try to to advise Mr Putin in a good intentions but remember attained peace to him is still threatening. Fact to know that he is not ready to do that but he try to. Listening to you mam if you are also understand his situation,I’m not looking for violence just i just try to overlook indeep Pc
@NimClassic36022 күн бұрын
First
@thebmcblackmiccatcher394921 күн бұрын
Hii DJ SMA aitafsir vizuri, tumsikie Putin anamwambia nini shangazi yetu, shangaz tumemsikia kawakilisha VYEMA SAWA SAWIA 😂😂😂
@PUTINN36522 күн бұрын
Mama samia hapa nakukubali spika wetu nmekuelewa me ndo putin wa tanzania upo upande sahihi viva russia
@mohamedmzeemohammed373922 күн бұрын
❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@athumanikajembe458522 күн бұрын
Safi sana madam huyu Putin tumshike sana mzee wa kuamsha akili za wafrika pia ni muarubaini wa kukomeha ushoga na usagaji.Mwenyezi atuingize bricks AMIN
@chusseboywcb280822 күн бұрын
Putin na tulia niwatu nawakubali Sanaa kuliko 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@MustaphaManole22 күн бұрын
Bora tujiweke uku
@mvullamanase22 күн бұрын
Rasmi Tumeanza kuingia Duniani
@omarmohammed515722 күн бұрын
Kuna haja ya kiongiz wa bunge wajifunze kupitia urus jinsi wanavoongoza bunge, na mambo ya muungano jinsi inavofanyika sio ile mchanga na mchanga halaf tukapigwa za kichwa
@jumashedafa22 күн бұрын
Huyu ndiye mwenetu
@dullahabdallah-nu1py22 күн бұрын
Sio kwa kimombo, wakati yeye Ni mtanzania
@jumashedafa22 күн бұрын
@@dullahabdallah-nu1py si kumaanisha Tulia..Mie namaanisha Putin..Suala lugha lishaniumiza mno sasa nimechoka..Sisi tunathamin sana lugha za watu kulik kiswahili chetu huku tunajiita ndio waasisi na wapigania kiswahili kienee...Yan tunajiitwa tupo ktk harakati za kukuza kiswahili kienee hasa baran afrika na dunia kwa ujumla ukirud Tanzania..Shule, mahakama, mihadhara, midahalo na ktk baadhi ya sehem watu wanaongea kidhungu na wanaona ndio usomi..Hili lianze na Doktori Samia suluhu
@AjudeKaluwa-bp1zz22 күн бұрын
Sns ninaierewa saana kwa habari zao huwa hawakurupuki wakikaa kimya najua wanakuja na ukweri tusio taarifa za kudandia
@bakarmsangimsangi775722 күн бұрын
kujichoreshaa tuu wakati Africa tuna mengii yanatusumbuaa mmeshindwaa kuyatatua mnadilii na putin mtuu mzito tujadili yakwetu umeme tanesco wanakata kila siku nini tatizo maandamano #kenyas nini ufumbuzi #kongoo nini chakusaidiaa au tunakulana wenyeweee😢😢😢😢
@user-zh3cf5wk1k22 күн бұрын
Putin anaona anacheleweshewa muda 2...
@paschalsafari974722 күн бұрын
😂😂😂😂 true
@saidfhamad22 күн бұрын
😂😂😂😂 Muda wa nini au Vita 😂😂😂
@pacomezouzoua917522 күн бұрын
Hahahah Huyo nae anaongea na Putin nini hahahaha
@saadasalum603322 күн бұрын
nampongeza sana maadam spika wetu bi Tulia kwa uwakilishi, ila hapo naona kama katuangusha kidogo ilibid atumie lugha yetu ya kiswahili. Inabid tufike hatua tuanze kujivunia lugha yetu ili tuikuze na tuache kuendekeza lugha za wakoloni hasa pale tunapowakilisha nchi yetu na kwenye mambo yote ya msingi yanayohusu nchi yetu. hao warus kila sehem wakienda wanaongea lugha yao, wachina hivo hvo, wafaransa , wajerumani n,k na sisi Africa ni wakati sasa tuamke tusiendeleze ukoloni.
@MohamedyMsagati22 күн бұрын
Moja ya vitu vinanikera ni wakuu wetu wa nchi kuongea kiingereza wanapokutana na viongozi wakubwa duniani halafu wanabaki kutusisitiza sisi tukuze lugha yetu ya kiswahili wakati wao ndo wanatakiwa wawe wa kwanza maana wanapata nafasi kubwa dunia inawatazama Kama mh spika hapo hiyo ndo ilikuwa nafasi kuitangaza lugha yetu
@SamsonEzekiel-or9xc22 күн бұрын
Mhhhhhhhhhhh
@michaelchunser73419 күн бұрын
Lugha yetu pia ni vyema ikatumika kimataifa kwa kuitangaza sisi wenyewe kama wafanyavyo wengine
@African51122 күн бұрын
Afrika tunataka technologies kutoka kwa mrusi na siyo chakula na mambo mengine.
@allykwaya22 күн бұрын
Dj smaa. Vunja vunja hii.
@mrishojumbe457222 күн бұрын
Mbona hiyo meza ni tofauti na ile wanayo karibishiwa wengine swali kwa sns
@user-mt6nu5hs8q22 күн бұрын
Je maiki vp?
@user-tb8gi3ut5z22 күн бұрын
Natamani sana siku moja Africa tuwe na raisi mwenye msimamo na mwenye ubunifu mkubwa ktk nyanja zote sio kwenye vita tu bali Urusi imeendelea sana sana tujifunze kwake Vladimir Putin
@akidashekue16322 күн бұрын
BIDEN anamsikiliza ili andae vikwazo kwa nchi yenu
@joycelinelyimo-fenske874522 күн бұрын
Na yeye siku si nyingi atapigwa mkwala na Trump. Hakuna shida.
@hamudshabani780122 күн бұрын
Bado sijaona uzalendo wa tulia ikiwa hatekelezi utawala bora na utendaji haki ndani ya bunge
@kibokutiwanatanyika154022 күн бұрын
Dj smaa tafadhali naomba ufafanue kutizama videos ambazo zinaonesha matangazo ya pombe😢
@chikusangalala775922 күн бұрын
Hapo puti anamuogopa doctor Tulia body language yake inazungumza
@user-kg9fn1ph9d22 күн бұрын
Ila huyu mama eti wamezungumzia vita
@LucasRozi22 күн бұрын
Wewe ongea kiswaili izo endi endi atuzielewi
@Africaamkenitznawenuso22 күн бұрын
Labda viongozi wa tz mmeanza kujitambua hivi, ila msitetereke lazima msimame imara kama jpm magufuri mana hivi punde vikwazo vinakuja, manyang'au wanawasikiliza na wana waona. Uzuri rasia na china nikila kitu lkn watu hamjui tu.
@masungadutta382322 күн бұрын
Umetuangusha ungekitangaza kiswahili spika
@deomajuva243222 күн бұрын
Angeongea kiswahili tu kwan lazn aongee ma bailatro bailatro bwana
@Godfreyolekidongo22 күн бұрын
Mbona Kama tunataka kuhusishwa kwenye migogoro ya mataifa mengine? Tukiwa kama waafrika hatuegemei upande wowoteule ijulikane hivo tu.
@issalyanali411922 күн бұрын
Ruto yeye anasemaje? Kwa hili alilofanya speaker wa bunge TZ