PUTIN aionya MAREKANI na wenzie! Adai atatoa silaha kwa nchi zingine ziwashambulie, kutumia NYUKLIA

  Рет қаралды 74,138

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 388
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 Ай бұрын
Najua nchi ya urus haikupenda kuchukua watumwa inapenda sana haki kwahiyo natto wanachezea shilingi kwenye tundu la choo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Mbona kwa sasa watu wanakufa wakienda ulaya.Hadi sasa tuko utumwani tena tungekuwa tuko chini ya hao wazungu tungekuwa mbali sana kuliko kutawaliwa na hawa wakoloni weusi.
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Ай бұрын
NA UGANDA NAO WAPEWE HIZO SILAHA😂😂😂 MANA MZEE MUSEVEN NAE HATAKI UPUMBAVU😂😂😂.
@heridunia
@heridunia 28 күн бұрын
mapema sana tunaomba mana kenya wanajifanya wao wanawapenda wamagharibi
@louangesid
@louangesid 22 күн бұрын
😅😅😂😂
@pilotmadata5791
@pilotmadata5791 Ай бұрын
Alie sikia mbwa akibweka na mtoto akilia, gonga like hapa, ...
@RamadanPaul
@RamadanPaul Ай бұрын
😅😅 nilikuwa natafuta hii comment 😅😅
@DjMswati
@DjMswati 28 күн бұрын
@@RamadanPaul kaka unazingua😂😂
@afandechanel1507
@afandechanel1507 28 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Hii ni mbaya Sana ...mungu ajalie Kila la heri..hii hali sio nzuri kabisa ...mwenyezimungu tusaidie Kwa hili
@johnmwangi9231
@johnmwangi9231 Ай бұрын
Mungu awasaidie kwa gani? ni SAWA atoe hizo silaha,juu Putin Ako na shida na makafiri Hao wazungu dio wanafanya binadamu kumkufuru Muuba,nani analazimisha ushoga Gender equality Wizi wa mali ya wengine Mauaji ya watu bira hatia!
@mariaalenge2106
@mariaalenge2106 Ай бұрын
Swali kwako ndugu Putin ni mwehusi ahu macho yenu aya honi?mimi najuwa ni wao kwa wao akuna mzuri kati yao wote maana wote wana huwa watu wasiyo na atia ingekuwa wana malizana Marausi kwa Maraisi inge kuwa vizuri lakini wanao kufa ni rahiya Putin na wenzake wote vichwa maji tu
@Hassanbaoma
@Hassanbaoma Ай бұрын
M/mungu mlinde putin
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
HAWEZI HATA MUOMBE DUNIA ZIMA 🤣
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Kweli Mungu amlinde putin maan amekaribia kufa.
@philemonyesaya4353
@philemonyesaya4353 Ай бұрын
Hii sio wala ya kushabikia nani ampige mwenzake, kwa sasa sisi tunaongea tu kua wazichape lakin tuombe mung sana haya yasije yakatokea maana kama kweli wakipgana basi hata sisi tutaifeel ile ladha halisi ya vita ya wakubwa, cha msingi ni kuomba mungu huu mgogoro uishe salama ili maisha mengine yaendelee...
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Ай бұрын
Piga hao mashoga marekani ni washenz,dunia bila marekan ni amani mungu awaondoe marekani wanaitesa dunia
@itsdvoice.
@itsdvoice. Ай бұрын
😂😂😂😂 kweli Akili una 😅
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 Ай бұрын
Ww dvoice na ww shoga au
@Jgjgjggjaieifhfv
@Jgjgjggjaieifhfv Ай бұрын
D pambana n'a muziki achana n'a siasa marekani ni ovyio Sisi wa Congo 🇨🇩 tuna juwa match Zao n'a Rwanda
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
​@@Jgjgjggjaieifhfvpoleni ila muda utasema mungu yupo
@lakasid3860
@lakasid3860 Ай бұрын
Hii KZbin ni ya hao Marekani saa wakiondoka sijui utatumia mtandao gani kutukana 😂😂
@user-cf6qo9rs4f
@user-cf6qo9rs4f Ай бұрын
Nakupenda sna dj smaa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Ай бұрын
Apeleke silaha palestine na yemen
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 Ай бұрын
Huyu jamaa anahisabu rahisi sanaa
@user-xl9so6jg1e
@user-xl9so6jg1e 23 күн бұрын
Ni pumbav sema hamjui tu mpaka Leo wazungu washamuona Kama urusi ni dhaifu na Kama wangemsaidia Ukraine moja kwa moja bac Leo hii tungekuwa tunazungumza mengne
@issalyanali4119
@issalyanali4119 22 күн бұрын
Sip kweli,,,,,siaha zaNATO zimechakazwa Sana uwanja was vita😂
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 20 күн бұрын
​@@user-xl9so6jg1embona hawamsadii sasa huyo jamaa anawashirika wengi China, Korea kaskazini, Iran, Vietnam ni washirika wa Urusi huyo jamaa anatumia akili sana huyo hakurupuki kurupuki
@issalyanali4119
@issalyanali4119 8 сағат бұрын
@@hafidhyakoub8369 silaha za NATO zimechakazwa mpaka zikapelekwa urusi wananchi wakapiga nazo selfie,,,wewe ulikuwa umelala Nini na usingizi,,,ahhh kumbe mwafrika Bado western civilization inakusumbua ikiwepo ushoga,,,,urusi kapigana vita nyingi ,,,,halafu,,,watu waliojaribu kugombana na Russia hawajawahi kuwa salama mfano Napoleon Bonaparte,,, Adolf Hitler,,,,sasa USA Ataweza wapi,,,kuhusu teknolojia ya vifaa vya kivita marekani mchumba TU ,,we ndo unamtukuza,,,,china ,,urusi,,,north Korea,,,wanaona america taifa la kawaida TU ,,SI kama wewe mwaafrikaaa😄😄
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Ай бұрын
Time wii tell
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo Ай бұрын
Sauti ya dhahabu shukrani mtangazaji
@josephelias7364
@josephelias7364 Ай бұрын
Hii sasa ndo inaitwa COLD WAR
@AbdiBendera
@AbdiBendera Ай бұрын
Nilisubira sana uchambuz wenu juu ya taarifa hii
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb Ай бұрын
Sana tu
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Ай бұрын
Absolutely 💯 💯 💯
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Kuna jambo? Nahisi sio kuzuri hata kidogo. Maana najua nuclear sio kitu cha mchezo. Hii silaha mbaya kwelikweli inatisha vibaya!! Usiombe!!
@Khalid-oi9qb
@Khalid-oi9qb Ай бұрын
Awape tu
@josephfrank4446
@josephfrank4446 19 күн бұрын
Safi sana😂😂putin nakukubar mkuu
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Mwamba Putin namkubali sana
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Urus wamechoka, vitisho tu.
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 Ай бұрын
​@@melkizedckhivi wewe upo kwenye dunia hii au ndio umeanza kurumia smartphone leo inamaana huoni anavyo itembezea kichapo dunia mpaka wanalia kilio cha kuku😅
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
@@stevenlugojeremia2323 watamkoma mwamba
@user-km4kb3xj3y
@user-km4kb3xj3y Ай бұрын
Safiii wape
@noel3290
@noel3290 Ай бұрын
Hii ni shida kweli, we unasherehekea vita unathani hutaathirika? Fikiria tena
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Mbona hamfikirii kuhusu Gaza
@festokasongi4537
@festokasongi4537 Ай бұрын
gaza acha wafe mbona auwazi kongo
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn Ай бұрын
Safiiiiiiiii
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Hii ni mbaya Sana ...mungu ajalie Kila la heri..hii hali sio nzuri kabisa ...mwenyezimungu tusaidie Kwa hili vita isitokee kwamana sio powa ujuwe
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Kule gaza mnongea au ni Ukraine tuu
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 Ай бұрын
Huyu ndie kiboko wa marekani
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
🙄🙄🙄
@YusuphLiyanga
@YusuphLiyanga Ай бұрын
Sns mnatisha kwa habar
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Wape na cuba wawanyoshe marekani pale ndo karibu
@soudmoshmnyika5813
@soudmoshmnyika5813 Ай бұрын
Ndio maana hakusema Tampa nani ila nchi nyingi zitakuwa za kiarabu
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
​@@soudmoshmnyika5813 Cuba pia ina asilimia kubwa tu
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 22 күн бұрын
Tayali
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht Ай бұрын
UYU MWAMBAA PUTIN HUWA NAMKUBALI SANA HAPA DUNIANI KUSHINDA RAIS YEYOTE YAANI
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Msimpe kichwa vita haina macho uwa inageuka ni kuomba amani tu maisha ya hendere
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@MajutoElliasi USIMFUMBUE MACHO MJINGA 🤣🤣🤣ANAMKUBALI? AU MSHABIKI MAANDAZI TU
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
@@atutweve4160 hii dunia wote ni wapitaji tu kushangiria vita sio vizuri ni amanitu na upendo watu wanashingiria kwasababu ayako kwetu yagekuwa ni kwetu asige shagiria mutu
@minicooper9642
@minicooper9642 Ай бұрын
Wewe ndio mjinga Kama bado kaka sasahivi hujajua unwell wa Marekani kua ndio anaesababisha vita Finish basi wewe utakua mjinga.
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@minicooper9642 udini unasababisha vita sio mmarekani 🙄
@user-ju4md1yq6o
@user-ju4md1yq6o Ай бұрын
Safi sana wachambuzi... Putin ana experience ya vita hakuna wa kumtisha apeleke silaha jule parestina tuongee mengine
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 Ай бұрын
Mwenye uzoefu anaogopa silaha za masafa
@sharifuahmed8340
@sharifuahmed8340 Ай бұрын
BABA WAPELEKEW HAMAS, HEZBOLLAH MIFUMO YA ULINZ NA SIRAHA KALI NA MAELEMENT NA BULLET PROOF, NA VIFARU ALAFU TUONE KUMANYOKA HAO MASHOGA WANAOJIITA TAIFA LA MUNG YAAN BABA UKIWAPA SIRAH KM WAO WANAVYOWAPA UKRAINE NAKWAMBIA VIBARAK WA MAREKAN WENG MAJI WATAITA MMA KUMANYOKO ZAO
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw Ай бұрын
Yaan ata urusi mwenyewe hathubutu kuanzisha vita ya moja kwa moja na israel maana wale wana uwezo na akili ambayo sio ya kawaida
@abdullahhilalabdullahalmug3168
@abdullahhilalabdullahalmug3168 Ай бұрын
Putin yupo Sahihi kabisa
@koudrashabani1912
@koudrashabani1912 Ай бұрын
Ndio Na inshallah Atafanye vizuri Huu Akishindwa Ulimwengu inaharibika Sana Sana Sisi wa Afrique Na Asie Tutakuwa watumwa wa kwanza
@yuvencepatrice792
@yuvencepatrice792 15 күн бұрын
Si awashe 🔥 tu! Kwann anasem iv na kutokutekeleza
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm Ай бұрын
Mtakatifu Putin wamemwaga mboga,we mwaga ugali.Kama mbwa Wacha iwe mbwa kiumane mpaka kieleweke tata.Bhita ni bhita ntakutemego.Ulabhugabhwi.Marekani ni mrisha TU.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
,swedy swedy kama mbwayi na iwe mbwayi 😅😅😅😅😅😅
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Ай бұрын
Mtakatifu tena????
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw Ай бұрын
Nafurah sana mwislam unavyomsifia mkristo
@fahadabdalla8194
@fahadabdalla8194 21 күн бұрын
​@@Maxpaul-oi8pw Hamna ajabu kumsifu mkristo kwani ajabu ikiwa utafanya wema basi utasifiwa ili mradi humkashifu mungu au ushawahi kumsikia putini akasema ushoga,freemanson, au shetani ndio mungu wake tulia kijana soma usitafute chokochoko
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 20 күн бұрын
​@@melanialeonard4031mtakatifu kwasababu hajawahi sapoti ushoga kama wale wengine
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb Ай бұрын
Bro sky tupe gps ya hii topic 🙏
@user-gh4mg2wn8y
@user-gh4mg2wn8y Ай бұрын
Faza watandike hao mashoga wa magharibi
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 Ай бұрын
Na hawa mashoga wa kwetu vipi kule mafia
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
The situation is getting worse than ever...
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Ай бұрын
so raia wa urusi ni bora kuliko raia wa Ukraine
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Uliza Zelensky kwanini anatumiwa ili kuiandama urusi ,hata kama nini niweke siraha mlangoni kwako utafanyaje.
@yusuphmashallah3732
@yusuphmashallah3732 Ай бұрын
Yeah uko sahihi urusi ni bora zaid ukihitaji shule mm n mwalim
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
@@yusuphmashallah3732 sihitaji shule yeyote kwako unae ona mrusi hana haki ya kujilinda dhidi ya wanao taka kuweka missile mlangoni kwake,pili huwezi kua mwalimu wangu labda uniambie baada ya mapinduzi 2014 ukraine kwa nini iliua maelfu ya warusi walioko Donbas na mariupol .
@salimwanga
@salimwanga Ай бұрын
Good hope for Africa.❤🎉🎉
@newtonmwewa6220
@newtonmwewa6220 Ай бұрын
The greatest of all time
@SalickSuleiman
@SalickSuleiman Ай бұрын
Im warning USA
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 Ай бұрын
Mwnangu putin usisahau nami kunipa hata bomu moja la nyuklia
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Athumani kakaangu unalipeka wapi au g......
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
@@MiriamAbdallah😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Ай бұрын
Tena kalipue israhell mamae
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Ай бұрын
wapewe au wahipige wingereza napia waige marekani napenda iyo
@MnyongeMuganza
@MnyongeMuganza 10 күн бұрын
💯
@adamfungamwango4640
@adamfungamwango4640 17 күн бұрын
Hivi hii vita haijaisha tu!! Kila siku jamaa anaonya tu!!!
@YustaMfugale
@YustaMfugale Ай бұрын
Putin anatumia sana akili,,, tuombe mungu tu putin amekataa vita kuanzia mda sana wanamtaka ,,ila mungu is with you
@user-rq8zq1mf7u
@user-rq8zq1mf7u Ай бұрын
Maneno mengi vitendo ziro hakuna wakumshinda us
@academicsite8524
@academicsite8524 Ай бұрын
US alishamchunguza Putin na hakuna nchi inapigana kwa akili na tafiti kama USA
@meckmussa1840
@meckmussa1840 Ай бұрын
Kabisa aisee
@fredymushy9674
@fredymushy9674 Ай бұрын
Marekani kubwa sana akuna wakuwasumbua
@MauaLucas-st6be
@MauaLucas-st6be Ай бұрын
Kwahiyo urus ni ndogo
@meckmussa1840
@meckmussa1840 Ай бұрын
Kabisa
@Dr.O-md1hy
@Dr.O-md1hy Ай бұрын
Tunaomba na makala kuhusiana na silaha maaana tunaziskia tu Lakini tunawakubali sana
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Vita uwanjani imeshindana inakua tena zenlekys kushambulia urusi 😂😂😂😂
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Ай бұрын
wakati unaanza kuipiga Ukraine ulizan Dunia itakaa kimya
@yuvencepatrice792
@yuvencepatrice792 15 күн бұрын
Ila sidhan Kam Ukraine anauwez w kishambulia
@jackhans7708
@jackhans7708 Ай бұрын
Kiufupi mmarekani safari hii ameyakanyaga
@magigesabai8674
@magigesabai8674 24 күн бұрын
kivipi na uku raia wake wako salama
@AshaDany
@AshaDany Ай бұрын
Vita ya dunia inakuja
@hamishatibu699
@hamishatibu699 Ай бұрын
MWAMBA XNA PUTIN Namkubali xna VIVA RUSIA
@democritenzoisaba9117
@democritenzoisaba9117 Ай бұрын
Apewe hizo siraha kwanza Iran Cuba na Syria
@hijazhija316
@hijazhija316 Ай бұрын
Hisabati
@user-xo9we4yx1c
@user-xo9we4yx1c Ай бұрын
Poga hao wafe manyangau
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 Ай бұрын
Putin 🎉🎉🎉
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 Ай бұрын
Awape silaha yemeni na houth uone watakavyo choma dunia
@almasbakari5359
@almasbakari5359 Ай бұрын
Fredrick bundala🔥🔥🔥
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Kuna wapumbavu wakati vita vinaanza walaizani urusi atashindwa hawajui kua marekani hana silaha za kuizidi Urusi bali ana maneno na porojo nakutishia vitaifa vidogo
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
Weeeee tusubir tuone 🤣
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Sasa kwani urusi kashinda?unaota nini ww
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Urusi bado hajashinda na wenzake washamweka kwenye tageti na akijichanganya tu wanammaliza.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Urusi hana uwezo wa kupambana na NATO hata kidogo
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz hata hivo 😉
@elvira9325
@elvira9325 Ай бұрын
Sauti ya sns inanikosha unajua kusimulia hadi kero, msukuma watu piga kaz
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Ай бұрын
Kiduku km namuona anavosubiri kifurushi chake cha gawio
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z Ай бұрын
Putin ni mtu asiyekiwa na masihara
@magigesabai8674
@magigesabai8674 24 күн бұрын
Amefanya nini toka vita ianze mbona ni maneno tu
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
🇹🇿❣️🇷🇺
@aziza9093
@aziza9093 Ай бұрын
Pige mashoga hao
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Ай бұрын
Hii vita si urusi na NATO bali INA athiri usalama wa ulimwengu mzima kwa hiyo tuombe visi sambae
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Ай бұрын
Asichelewe sasa maña ulaya tyr washampa ukrein na yy asichelewe
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Ай бұрын
😂😂😂
@amantuyininahaze7794
@amantuyininahaze7794 28 күн бұрын
Sawa tunaelewa, na huyo mbwa anaebweka, je??? 😐
@HansChuma
@HansChuma Ай бұрын
Toa baba we are already Tired with America marekan niwashenz navibaraka wake
@magigesabai8674
@magigesabai8674 24 күн бұрын
Maneno tu amna kitu hapo huyu urusi hii vita awezi kushinda
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Boya uyo
@abdullahnassor9433
@abdullahnassor9433 25 күн бұрын
ili kumfahamisha tu mchambuzi kuwa, silaha zote zikiwemo vifaru vya Abrahams wamepewa ukraine lakini wanajeshi wa Ukraine wanakiri kuwa vifaru hivyo vilitengenezwa kwa ajili ya kupigana na watu wenye silaha ndogo ndogo vifaru hivi kwa kweli havina maana nyingi sasa hivi vinawasilishwa moscow kwa ajili ya watu.
@MankoWeitala-pe7mi
@MankoWeitala-pe7mi Ай бұрын
Putini❤❤❤
@user-xo9we4yx1c
@user-xo9we4yx1c Ай бұрын
Mungu mlinde puttin
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Ай бұрын
Hili swali la mwamba Lina zaidi ya utata.
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Ай бұрын
Fanya hivyo urusi dawa ya moto ni moto
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x Ай бұрын
Smaa mwongo yani leo unsema hamas ni wa iran si ulitudanganya ni wa izlael
@babumrisha
@babumrisha Ай бұрын
Inatakiwa awape Alqaeda au Al shababu hizo zilaha, tuuone huo mtanange...
@assateke7199
@assateke7199 Ай бұрын
Ila Putin ni kichwa sn...😂 Western na hela zao na silaha zao na Kila kitu chao lkn huyu jamaa amewazidi...😂😂😂
@GregoryModaha
@GregoryModaha 18 күн бұрын
Naanzaje kumpinga kuhusu Hilo nawakati anawashuulikia mashoga yaan kwa Vladimir Putin watakunywa maji kwenye karai, namtegemea sana uyu mwamba kwa usalama wa vizazi vyetu
@khamisomar889
@khamisomar889 Ай бұрын
Hapa kwa smaaa ndo nakubali, habari inachangamka
@Jgjgjggjaieifhfv
@Jgjgjggjaieifhfv Ай бұрын
Congo 🇨🇩 ❤️atupe sisi hata sasa ivi tuh sisi na Rwanda tu malizane mara moja
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Piga USA na EU wanauza minerals zenu na ma campun ya Apple,Tesla na Microsoft
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Resources zenu zinauzwa Eu na USA
@Jgjgjggjaieifhfv
@Jgjgjggjaieifhfv Ай бұрын
Ndiyo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 22 күн бұрын
Piga nuklia mzee time Time befor
@akbarkisamo8392
@akbarkisamo8392 Ай бұрын
Uyo mbwa vipi😂😂 nae anajambo lake asikilizwe
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@abdulhalimomar5329
@abdulhalimomar5329 Ай бұрын
Oya huyu jamaa kwanni tusimpe uraisi wa mataifa yote huyu jamaa anajuwa hesabu
@user-jp9tf5nw9l
@user-jp9tf5nw9l Ай бұрын
Yani awape hamas
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz Ай бұрын
Acha uruss iwatandike hao maboyo
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Ай бұрын
Nakubal putin
@ErickMwashambo
@ErickMwashambo Ай бұрын
Alie skia mbwa akibwe weka comment
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 Ай бұрын
Nani kasikia mbwa
@colmanlesulie250
@colmanlesulie250 Ай бұрын
Hivi ni Vita so Ukraine naye anahaki ya kushambulia, Why Putin anatumia Silaa kutoka China, North Korea, Iran sasa na yeye akae mkao wa kula.
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Acha waliuee
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd Ай бұрын
Nani ss mbona usomeki
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Ай бұрын
.. "pumba tupu!..." Hahaaa
@ALIMANIZIGIYIMANA-yd7jc
@ALIMANIZIGIYIMANA-yd7jc 23 күн бұрын
Putin yaipe silaha nzito Burundi kama izo iwape somo mabeberu
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d Ай бұрын
Mashoga huwa wanaunga mkono mashoga wenzao pasina haya
@elikundangoye7633
@elikundangoye7633 23 күн бұрын
Mwamba huyuuu.lazima NATO wakaee
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 Ай бұрын
🤒
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
😂😂😂😂😂amna kila kitu si afanye kama anajikubali
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Ай бұрын
Anatoa tahadhari ,, msije kusema hajaonya
@computerjoshua96
@computerjoshua96 Ай бұрын
Sasa ashambulie yeye kwanini awape wengine
@heridunia
@heridunia 28 күн бұрын
popote pale litakapoonekana chembe ya silaa ya USA bas iyo ni vita tu akuna kulud nyuma
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um Ай бұрын
vita ya tatu ipo
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
BALAA: HEZBOLLAH waiteketeza IRON DOME ya ISRAEL, vita kamili vyanukia?
6:39
Efficiency is key 🔑 - 🎥: @engineer_constructions  #asphaltpaving #asphaltpavement #construction
0:12
PavePro Asphalt Solvent and Release Agent
Рет қаралды 4,8 МЛН
СТОЯНОЧНЫЙ ТОРМОЗ на Газель.
0:51
КОПАЛОВО
Рет қаралды 881 М.