Lazima ujue Gamondi kaanza na timu kabla ya league,, kaenda nao pre season mwezi na nusu,,, Nabi aliingia km huyu Ramovic na miezi yake ya kwanza alitaabika na Simba ikawa bingwa ila mwaka uliofatia ndio alikuwa na timu tangu pre season ndipo tulipo ona mpira wake mzuri na makombe, huyu ramovic kweli kaja ligi ikiwa mbichi anao mda wa kugombania logi ila champions league uwezi kucheza ukijifunza , itakuwa ngumu kwake ila chance bado ipo,, mchawi hapo ni kushinda mechi 3 zote zilizobaki ndio unakuwa na uhakika wa robo Fainali 13:13 ""
@OsireMakambo2 күн бұрын
nipo Namibia Nawa fuata vzr❤
@yonamwakyusa-rr8fyКүн бұрын
Sina uhakika kama yanga tuna nafasi ya kutosha kusaini namba 9 au 10 wa kigeni, zaidi ya namba 6 na na beki wa kati
@saeedmagoda9651Күн бұрын
Namba tisa ni muhimu sana
@vualemakame13622 күн бұрын
Halafu sisi hatuwezi kusajili beki mwengine wa kulia
@DerickDanford2 күн бұрын
nahs kachanganya majina huyu ni beki 2 halaf kuna mwingine naye doucoure ni straika
@KhamisSeseko2 күн бұрын
🎉
@peteremmanuel1188Күн бұрын
Mh wapo waiwili au mbona sisi tunamfahamu defender na sio striker
@rajabubwakila19772 күн бұрын
Kazi ipo
@johannesishengoma12322 күн бұрын
Acheni porojo, mnaomgea kama vile mko katika kamati ya usajili ya Yanga.
@JohnMbogo-c1n2 күн бұрын
Mzize huo ni umri wake sahihi acheni tuhuma za kipumbavu......Mbeya watu miili ni majumba. Usimchafue mtu kisa humpendi ama unamuonea wivu kutoka dereva wa bodaboda hadi kuvuta mkwanja anaoweza kukufanya ukawa shamba boy wake kenge wewe
@janerouhassanjanerou79332 күн бұрын
Ata kama atakua hana miaka 20 lakini Bado hajafika 30 mzize labda 25
@damianmcba952523 сағат бұрын
We mruguru ushazoea vijeba vyenzako km kina kibwana shomari hao,, uwezi Amini kuna mijitu ina urefu na miili mikubwa tangu ikiwa mitoto midogo
@JosephDaudi-n5lКүн бұрын
Kumanna unakwema siulisema hafai mnafiki
@MiseyekipassangeyOseitay2 күн бұрын
Wananchi wamewaka 😂😂
@MoajGraphicsКүн бұрын
MZIZE FANYA UZIFUNGULIE KESI HIZI MBUZI
@FrankFanuel-r3k2 күн бұрын
Hans wewe ni bendera fuata upepo, ndio maana kituo chenu crown wote ni wafuasi wa mikia kama bosi wenu kiba
@hatibushabani615Күн бұрын
Mechi za bongo bahasa zina tola sana ndy maan Ana shinda tofauti na zakimataifa hakuna bahasha
@borratmteketa3950Күн бұрын
nakacrika na miziki yenu hiyo aaagh
@EvaNdayishimiye-n5o2 күн бұрын
Ulisema hafiki chrismas tulia tena utulie nilikuwa na kukubali bro ila kwasasa huna jipia
@wilsonmalosha3337Күн бұрын
Kwa Mutale kutajwa umri wa miaka 22 mnaona ni sahihi wakati hata sura yake inaonekana bayana siyo kweli lakini kwa Mzize mnaona kadanganya umri!. Basi pangeni nyie umri wake kama ninyi ni Wazazi wake!. Age is just a number, make Mzize 40 yrs old ili mfurahi.
@EvaNdayishimiye-n5oКүн бұрын
Imagine mtanzania wa kwao apondewe hivyo je sisi amboa hatupo watanzania tumuponde vip ?
@charlespatrick69892 күн бұрын
Uyo Ni Bekii wa Kuliaa acheniii poronoo hamfatilii
@lucymsheshi58712 күн бұрын
Hiki kijamaa kimelipwa hela kuiongelea yanga ovyo nawqkati hakijui chochote kwnye mpira. Kafundishe basi hiyo Tim wewe
@HamisiAlly-c4pКүн бұрын
Lucy
@majaliwabwitonde6900Күн бұрын
Utaamsha presha lucy 😂😂😂
@sallumabeid1162Күн бұрын
Kwahiyo wewe ndio unajiona unajua?
@Misemo_ubunifuКүн бұрын
Ww jee kijamaa
@damianmcba952523 сағат бұрын
Kinaishi kikifata upepo hicho, kinajifanya kichambuzi cha maana kumbe kitapeli cha kihaya tu
@EliyaJelemiya2 күн бұрын
Tunaomba punguza huu muziki auondoakabisa
@FrankMoshi-c8gКүн бұрын
Mi nadhani tunakoelekea insbidi tusajili hata wachambuzI sio mtu anaamka tu anakuwa mchambuzi
@richardpembe606Күн бұрын
Hans hampendagi kabisa Dube.
@michaelluhende44122 күн бұрын
Mbona hakuna mchezaji huyo nikifanya searching?
@EvaNdayishimiye-n5o2 күн бұрын
Mimi nikiwa mrundi kama mzize unamsema hivyo je sisi tumuseme anamyaka ngapi du wanafki nyie