The one n only mzee wa DATA! Never biased in his analysis! Safi sana
@AlmachNestory4 сағат бұрын
Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa, mema zaidi yako mbele yanakuja. Shukrani nyingi kwako mchambuzi wangu bora wakati wote Ramadhani Mbwanuke.
@SaidMlemeta5 сағат бұрын
Engineer wa takwimu nakubali sana bro kazi yako nzur
@YUSUPHNGONDO2 сағат бұрын
Pamoja sanaaa Mbwaduke
@cassianmkeko15142 сағат бұрын
Dube anamikimbio mizuri akiwa na mpira inatulipa sisi wananchiii DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 🔰🔰🔰🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤳💪
@JosephkNtiga-ww8uz13 сағат бұрын
Kawaida ya mchezaj yeyote hapo lazima age fanya hvyo
@StewardBuhunga-pu6iw14 сағат бұрын
Ila mzee we noma
@richardnganya2311Сағат бұрын
Jambo la muhimu hapa ni kwamba matokeo yaliyoingia kwenye rekodi ni Dodoma FC 0 na Yanga 4 .
@JAMESALPHONCE-b8p5 сағат бұрын
Ilikua siyo panert
@festonayingo2135Сағат бұрын
Kulingana na sheria, no 11 Dube alikuwa Ofside na penalty ya mchongo
@johnvedastus307919 минут бұрын
Refa alikuwepo au? Hiyo ni penalty haina ubishi au basi tufute Hilo bao 😂 Yanga bingwa, hivi penalty ya mechi ya simba na jkt vipi? Dube hakuwa offside ila tunaheshimu maoni yako, sasa basi match zichezeshwe na nani 😮
@Tchidymbanga12 сағат бұрын
Dube hakuwa offside 😅😅😅, Kuna beki alikuwa golini.
@femmachroots20416 сағат бұрын
Mwananchi Offiside ilikua kabla ya hio move ya goli, Cha muhimu timu yetu inaanza kua compact
@AllyRamadhani-f2p6 сағат бұрын
Hakuwa offside kwa sababu kipa aliucheza kwanza
@hemelodyking5 сағат бұрын
mpira aliugusa golikipa sawa but mudathir alikua sahihi angeunganisha yeye lakn hakna namna @@AllyRamadhani-f2p
@AbdalaShekigenda5 сағат бұрын
Mnaangalia kiushbiki ndo maana
@khalifasaidi70016 сағат бұрын
KIUKWELI ALIGONGWA MGUU WA KULIA BOSS MGWADUKE
@salomekadendula28783 сағат бұрын
Umeona kama mimi
@AishaSaeed-i6k59 минут бұрын
Hivi mtu imebaki pekeako na mpira ujiangushe huyu mbwaduke nae fala
@errydeo886559 минут бұрын
Basi we kipofu! Mimi YANGA,hakuguswa! There was not even minimal contact! Hiyo tunaita DIVING! KWA WENZETU UNAWEZA KUPATA HATA YELLOW CARD KWA KUMUHADAA REFA! tungekua VAR ,lisingekua goli! Kwa macho ya kawaida,kile NI kitendo cha sekunde,huwezi kuona! Strikers wengi hutumia kila ujanja kufunga! Diving ilikua imekithiri kwenye maligi makubwaa, ndo maana ikawekwa KANUNI, mchezaji akijiangusha kwa Nia ya kupata penalty,unapewa yellow card! So, lile halikua goli! Sema Tu, still Yang ingeshinda!
@errydeo886520 минут бұрын
@@AishaSaeed-i6k usimtukane! Hujui mpira! Kupata penalty lazima ufanyiwe MADHAMBI,mpinzani uunawe mpira au kipa mfanyie madhambi mpinzani ndani ya 18! Alichokifanya DUBE kinaaitwa DIVING kwenye LUGHA za kimpira! Na Hilo ni kosa,kwa wenye mpira wao ,angeweza hata KUPEWA YELLOW CARD! huu NI ujanja wachezaji wengi hasa washambuliaji hutumia KUMUHADAA REFA! Huu ujanja ulipitiliza kwenye ligi kubwa duniani,ndo maana wakaamua kuweka KANUNI ,uki dive kwa NIA YA KUMUHADAA REFA ILI UPATE PENALTY,UNAPEWA KADI YA NJANO! Dube hakuguswa,so it was not a foul ( hakufanyiwa madhambi) pale Dube alijua kapoteza ule mpira alipo lose balance,na alimuona kipa alivyokuja,kwa uzoefu wake, akajiangusha! Mimi NI YANGA,Lkn SIO shabiki maandazi! Na tuwe wastaarab,huna haja ye kumtukana mzee WA data! Kajifuze Sheria za mpira ,siku Nyingine utaelew! Kwa kuwa REFA aliamua NI penalty,Mimi ntashangilia kama mwana YANGA,Lakini HAIKUA PENALTY
@philipomkirya6845 сағат бұрын
Amegongwa na mgono kwenye paja la kulia angalia vizuri bos
@HamzaAlly-g4sСағат бұрын
Naomba angalia mkono wa kipa
@festonayingo2135Сағат бұрын
Gari linawakia kwenye mteremko halipigi stata bado, jiangalieno
@AbduRaheem-k8u6 сағат бұрын
😂😂😂sindano zinaanza kaziwalikuwa wametulia Kwa dozi imeanza tena
@NadyaSamson5 сағат бұрын
Nyoooo wivu utakuua
@MwanaBaloz-ij6es3 сағат бұрын
Nawewe choma panya we
@AbduRaheem-k8u34 минут бұрын
Kama imewauma kasegeni chupa mumeze🤣🤣🤣
@TheHistoryLocastion-ox9qw5 сағат бұрын
Ingekuwa Simba Isingekuwa Offside, Pia Ingekuwa Penalty Halali
@MbwadukeStats3 сағат бұрын
Duh!
@IvanChrisantus-hz4cv3 сағат бұрын
@@MbwadukeStats Kuwa offside sio kosa ila kucheza mpira ukiwa offside au ukitokea eneo la offside ndo kosa , dube hakucheza mpira Kwa namna yoyote akiwa katika eneo la offside , Kwa maana wachezaji wa Dodoma waliclear offside , na dube akafunga , na ndomaana ata mchezaji wa Dodoma aliekuwa golini hakulalamika , sio kwamba yeye hajui mpira au kilaza .
@Jakeop-ke6peСағат бұрын
Simba wanabebwa na marefa hadi nawachambuzi hahaha
@GentleGiant-pj2rk4 сағат бұрын
Dube hakuwa offside
@MwanaBaloz-ij6es3 сағат бұрын
Huu ndio ubaya ubwela si ndo mnasemaga hivi sasa tulien nyie mnapata penat za mchongo watu kimnyaa hahaa 😂😂😂😂
@AbdalaShekigenda5 сағат бұрын
Acheni kumsema mwaduke kiushbiki wenu yo te ni kweli yanayosemwa mpira mmeutazama au pia mmeangalia kiyanga kubalini ukweli
@upendoomary19212 сағат бұрын
Ww saa nyingine hunateleza
@MbwadukeStatsСағат бұрын
Hilo wala lisikuvuruge Upendo. Alichoeleza Mzee wa Data ni maoni yake. Nawe unao uhuru wa kutoa maoni yako kuliungana na ulivyoshuhudia maana mpira wa miguu ni mchezo wa wazi. Isitoshe, uwe unakumbuka vilevile kuwa naye ni binadamu hivyo anaweza pia kukosea sana tu! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@helenwailly15585 сағат бұрын
Aliguswa bwana na Dube hakuwa offside
@MtemiMsonjela-h5n6 сағат бұрын
Na yule beki wa kwenye golii alikuwa goli kipa kumbe
@KenethMichael-ic6yl5 сағат бұрын
sawa kipa si alishaucheza na alitoka golini
@philipomkirya6845 сағат бұрын
Hakuna offiside hapo kulikuwa na beki golini ni kweli dube mwanzoni ikionekana kama offiside lkn kabla hajapewa mpira kuna beki alikwenda golini kabla hata dube hajapigiwa mpira , hugo othumani naye ,huwa anachemka sana tu wala yeye ,asiwe anajiona eti ndo anajua zaidi ya wengine
@marialumbanga13 минут бұрын
Msameheni na yye pia binadamu SD i unajua wachambuz wa siku hiz
@lucymsheshi58717 сағат бұрын
Leo umechemkw nilikueepo upande dube alipofunga usawa ule hakukuwa na offside
@makamelila6 сағат бұрын
Nahili pigeni kelele mana kwasimba mmesema sana mbona hikinmmekaa kimya
@devotabashome10907 сағат бұрын
Basi chukueni hizo 2 bado watabakiwa na 2 😂
@nelsonntenga33415 сағат бұрын
Mtasema sanaaaa Ingekuwa simba usingesema hivyo
@MbwadukeStats3 сағат бұрын
Duh!
@nelsonntenga33415 сағат бұрын
Kwanza kipa aliucheza na akaenda beki kuzuia hiyo offside inatokea wapi?
@chiefnumborecords48198 сағат бұрын
Mbona Kuna beki Alisha tangulia golini Tena alikuwa nyuma ya kipaa jamani chambueni na game za simba mbona atusikii penarti za simba zikichambuliwa
@mrsab3039 сағат бұрын
You see Yanga!!!about simba???😂😂😂😂😂😂😂
@BarakaMboyi11 сағат бұрын
We umesaidiwa kubaini kwa kuitumia picha za marejeo ungekuwa ujaangalio hizo picha za marejeo acheni unambi mtaumia Sana na kisununu chenu
@Mlewa20205 сағат бұрын
Siku zote nawaambia huyu uchambuzi wake huwa anaibeba sana simba, wakati anaichambua mechi ya simba aliiyongelea penati aliyopewa simba ila makosa mengine alifunika, ila leo kachambua makosa yote ya yanga.... Nahisi hapo kaumia yanga kushinda sema tu hana jinsi nilazima achambue😂😂😂
@WilfredChomo4 сағат бұрын
Ninyi wachambuzi acheni mwamuzi afanye kazi yake.Ninyi mmekuwa chanzo cha mfarakano baina ya marefa na watazamaji.Mwenye macho haambiwi tazama.
Kapitie tena sheria namba 12 boss...pamoja na namba 14 kuhusu penalti. Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono!
@mitinjemaziku3 сағат бұрын
@MbwadukeStats sawa ngoja nisome upya lakini mi naona contact kweli haikuwepo lakini kipa ukitazama dhamira yake ni kumzuia asifunge maana tayari mpira alishaukosa
@KenethMichael-ic6yl5 сағат бұрын
ila kwenye off side mlitupiga na kitu kizito
@MbwadukeStats3 сағат бұрын
Duh!
@WestonMbuba-ff4jk7 сағат бұрын
Ninaona jezi nyeupe golini wakati Dube anafunga
@chiefnumborecords48198 сағат бұрын
Ila mpira Wa kibongo jamani kaaaaah Dube alikuwa oksaidi mbona ya simba amkusemea kuwa siyo penarti mnakuja ongelewa mambo ya yanga ila Gali lisha Waka sisi nyuma mwiko tunasonga mbele tuu
@WestonMbuba-ff4jk7 сағат бұрын
Leo umechambua kwa kisirani
@karingtonisimwinga1225 сағат бұрын
sindano hizo
@marialumbanga16 минут бұрын
😂😂😂unateseka ukiwa wapi
@Farajamsanga11 сағат бұрын
Mbona somba zidi ya jkt sana ilisitail sale
@MbwadukeStats3 сағат бұрын
Duh!
@HusseinMussa-x8y6 сағат бұрын
Umechemka ile sio ofside ni on side
@festonayingo2135Сағат бұрын
Magori ya mchongo.....
@marialumbanga16 минут бұрын
Yanawauma eeee😂😂😂
@WestonMbuba-ff4jk7 сағат бұрын
Mbwaduke kwenye penati umexhemka. Ni penati halali kabisa
@myself-T26 сағат бұрын
hapana kaangalie tena dube hakuguswa mwananchi mwenzangu
@jumamkoka22675 сағат бұрын
Tufanye hakuguswa ,,, vip kuhusu aproach ya kipa kwa dube au refa hawezi kuhukumu lengo la mchezaj kwa mcheji mwenzake?
@WestonMbuba-ff4jk2 сағат бұрын
@@jumamkoka2267 Hao ni kolo tu, na mara zote kolo ni kolo tu
@romimwalu3 сағат бұрын
Hakuna offside hapo,hapa naona Kuna shida kwenye sheria
@MichaelKimweri3 сағат бұрын
Kama angepewa pasi,kabla ingekua of side,goli la penati kweli haikua penati,
@godwin58845 сағат бұрын
Aliguswa kwenye goti
@claudsaprapasen90685 сағат бұрын
Dube offside Dube no penati wamebebwa
@HamzaAlly-g4s2 сағат бұрын
Dhamila ya kipa kwa dube nni? ile reaction ya kipa kwa mchezaji je, hakuna ukumu.???
@MbwadukeStatsСағат бұрын
Kuna contact yoyote? Kama kuna mgusano basi uko SAHIHI. Kinyume chake no penalty. Rejea sheria namba 12 kuhusiana na fouls and misconduct na sheria namba 14 inayozungumzia penalti. Contact fouls na kunawa mpira ndizo pekee huzaa direct free kicks ambazo ndani ya 18 huwa ni penalti. Faulo nyingine zote zisizohusiana na kugusana au kunawa mpira huzaa indirect free kicks ambazo hizi hupigwa hata ndani ya 18. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono! N.B Muhimu tambua kwamba hapo Mzee wa Data katoa tu maoni yake na wakati mwingine huchemka na hivyo siyo kwamba yeye kila anachoeleza yuko sahihi 100%. Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, kila mmoja anaona na anaweza kutoa maoni yake. Nawe uko huru kutoa maoni yako Mkuu kuhusiana na ulivyoona. Na ndiyo uzuri wa mchezo huu!
@Jimmsuva-be5dc5 сағат бұрын
Kwa upande wangu kuhusu maelezo yako ya penati hapana sikubali hajajiangusha ila alitishwa na ujaji Wa golikipa vibaya akaogopa asingeruka golikipa angeenda nae
@Jimmsuva-be5dc5 сағат бұрын
Labda tuseme mwamuzi aliona tu ule ujaji mbaya Wa kipa akalinganisha na kuanguka kwa dube akaconnect
@MbwadukeStats3 сағат бұрын
Kama umeona kuna mguso (contact) basi UTAKUWA SAHIHI. Kama ukiona kama alivyoona Mzee wa Data kwamba hakuna mguso basi tumsifu Dube kwa uzoefu wake na tumpe pole mwamuzi kwa kuhadaika!!
@helenwailly15585 сағат бұрын
Kumbe imebidi uendane na Othman Kazi bcoz ni mfanyakazi mwenzio wa Azam Tv not offside
@MbwadukeStats3 сағат бұрын
Duh!
@MichaelKimweri3 сағат бұрын
Mbwaduke dube hakuna of side,wakati anapewa paso ya goli,kwakua beki Aliya of side hiyo
@IsackJonfel2 сағат бұрын
Kipa alimzuia dube nafasi ya kufunga na kipa hakugusa mpira ko hiyo ni clear penalty kabisa
@MwanaBaloz-ij6es3 сағат бұрын
Ile ni penat safi
@errydeo886550 минут бұрын
Ilipigwa vizuri,Lkn haikua penalty,YANGA hapa! Kiushabiki utasemai penalty! Do I care? No😂😂😂
@HamzaAlly-g4s2 сағат бұрын
Au mpaka mchezaji atke damu ndo penalt???
@MbwadukeStatsСағат бұрын
Duh!
@Ba638284 сағат бұрын
Sorry Bwanduki Mchambuzi makini. Osman ameyakubali magoli yote 2 kama halali. Na kwa hili ntamkubali Osman zaidi sababu yeye ni refa nguli wa FIFA.