Stamina Noma Sana from drc Congo ila stamina nime mu check sana bila ma jibu
@limatikii6 ай бұрын
Stamina noma san
@Killer_wayne2276 ай бұрын
Sharobwenzi ❤
@kadito-kenya6 ай бұрын
Maua upewe mwanetu like moja basi kwa ajili ya familia ya hihop ❤
@MeedyBakari6 ай бұрын
Good😂😂😂 Medy Bize koja
@mokayaayomah52586 ай бұрын
Collabo ya Diamond na Ibraah ,,,hiyo noma.
@Ufunuo976 ай бұрын
bonge la interview
@DONY-kz6 ай бұрын
Kama umefatilia vizuri wakati Stamina Ana ongelea kuhusu Konde... Sijui ni mimi tu hapo sababu nahisi kama wame jump hiyo sehemu ya interview hadi kwa Ray
@johanesgeorge19586 ай бұрын
Yaah nimeona hicho k2,, ila anyway acha ipitee tuu
@SLVESTA076 ай бұрын
Sharobwenza on this one 🔥🔥🔥
@alecheconradninje61836 ай бұрын
Ww sholo fungu la kumi liache usiliingize kwenye hizo za kusaidia 😂😂😅 ila kazi zako azijawai kuwa ndogo big up 😮
@innorapper35796 ай бұрын
Media Houses are the Problem. The few media outlets that support Hip-hop here in Bongo, the songs that come out don't get enough airtime, and the ones that do get airtime are usually those selected by the media houses themselves. In short, MEDIA HOUSES control which music dominates the market. A good example is the rise of Singeli music, which fought its way into the mainstream. Hip-hop used to be like that in the past, but times have changed. Many Hip-hop artists invest a lot of intellectual effort (racking their brains) into crafting their lyrics. However, when you want them to perform at your show, you expect them to accept a fee that doesn't match the quality of their lyrics, even if they're not famous. This is where artists clash with event organizers. Hip-hop has quality, but the media houses prioritize quantity. Let's revive the support from MEDIA HOUSES for the game as it used to be back in the days.
@sephbuche94596 ай бұрын
❤ anyone watching this deserve to know seph Buche
@MpuyaMayunga6 ай бұрын
Ngoma ambayo iliniuma hamkuifanyia video ni like faza like son na fid mlizinguana ata sielewi coz toka enzi izo ukahama kwa fid
@ChimVice235 ай бұрын
Stamina na mpataje mm pia na rap na Nina kazi kazaa mzee naeza vip mpata huyu mfalme
@pascalmkawe6 ай бұрын
Namkubali sana chalii wa moro
@chidymngoni45166 ай бұрын
👊🏾💯🔥
@johnchabai89916 ай бұрын
story mnazikata kata haziishi haieleweki, MWAZINGUA
@RJustbeen6 ай бұрын
King kaongeya kuhusu hilo muni subscribe niwambiye kwenye game haina wa support siyo kusema game imedeadi hapana ilipokufiya nitawambiya kesho❤❤❤
@AliAli-zd3rr6 ай бұрын
Moro town mpka modeko mikono juuuu shorwe bwenzi
@ShukuluKaflama6 ай бұрын
Muache kondee banaa wewe mumechokaa ila harmonize ndoo anashika soko lakuziki Apa tanzania
@IbrahimSalum-i1x6 ай бұрын
Stamina na mboso 😅
@eduardboss71316 ай бұрын
Pacha wako uyo dogo Mr T rapper
@AhmadMwema6 ай бұрын
Na wewe nima
@ThekingjamesAzarganje-lm4tb6 ай бұрын
Achana na wabana puwa man fanya bifu nawenzako kond ni mû mja kati ya wakina diamond rayvan nawengine kibao wewe nimaoja katiya fid chic Benz roma nay apana wabana puma masta
@diasalicastro53536 ай бұрын
Huyu jamaaa mbn hawapi nafasi wenzie afu n mbovu kuliko wenzie