Ngoma hio ya Stamina Asimuaze ni kali na inaongelea haswa hali ilivyo katika maisha ya ndoa. Ila bora kuachana badala ya kukaa na kuumizana mwishowe kukatana roho.
@georgeludakulo68484 жыл бұрын
Like na comments kwa stamina from Zambia
@eliaminitulloshembazi26174 жыл бұрын
asiwaze ni ngoma kali yenye mafunzo ya ndoa Hususani in socially.
@stevenmaketa80514 жыл бұрын
💪🏼💪🏼kibishi yn wasafiiiiiiii yani mdokwaanza tunaanza
@raiswamaraishalisi84264 жыл бұрын
Am proud with stamina fro m DRC 💪🏾💪🏾💪🏾
@jajmkama99624 жыл бұрын
Kama unampenda Stamina gonga like
@zuberihamza33584 жыл бұрын
Like nyingi kwangu wasafi for life
@abdumsuya96134 жыл бұрын
Nakukubali Sana staminaaaaa
@hassanmagori53764 жыл бұрын
Studio ya kinyama Sana nakupendaga we dem mtangazaji , Lil omy big up Sana kipindi kizuri Sana.
@shaphyvuai68054 жыл бұрын
DJ vasley mnyama mkaliii.... I see yeah.... Naona upo kwenye screen au Mtu wa IT... wewe eeeeeeee..kubali sana
Big up Guy's you are very up wcB 4life teleza na tezaaaa
@zuberihamza33584 жыл бұрын
Duh nimekua wakwanza leo ku view na kucoment leo
@macksonjuma51804 жыл бұрын
Jamaa anakula Pilau la harusi kumbe anapanga kukuibia mke
@shadrackchilomo58384 жыл бұрын
Kama unaikubali wasafi gonga likes nyingi
@kaniepeketestarkaniepekete51294 жыл бұрын
Mimi nataka nikuwe musani sasa mimi niko Congo kama unani kubala uningiye simultanément 0891863387 o994853820 0816644852
@flyboytv70634 жыл бұрын
Ngonga likes kama w umechek hiiiiipia
@witneyjerry12934 жыл бұрын
Staminaaaaaaa 😂 nakukubaki mnoo,ila fanya kumsamehe wife life liendelee ,sidhani kama atakaa arudie kuchit tena kwenye ndoa
@seveyanney79914 жыл бұрын
Nawakubali wasafi lakini nimeona kuna watu wanachart hata hawamsikilizi stamana hapo studio
@stephenmafimbo45214 жыл бұрын
Kzaz
@nyamshertvonline38314 жыл бұрын
Napit tu, naitaj likes zanguuu
@emmanueldaud85694 жыл бұрын
Jamaaa wanajuaa haoo
@youngrapper84374 жыл бұрын
Rostam
@eliasjulius46094 жыл бұрын
nice
@mussaabdiel97974 жыл бұрын
Mwanakulitafuta mwanakulipata
@gentilsafarikacheranga30252 жыл бұрын
Hâta mimi siku nimewai iweka statut WhatsApp , niliombwa sana link.... Hatari sana kabisa
@mariam123mariam64 жыл бұрын
463 lini jmn maan mamb ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mama_africabags53434 жыл бұрын
Watu wangu wa nguvu
@gabrielmassawe92334 жыл бұрын
Nikushaur hapo talaka kwny u kristo ni ukifumania yaan zinaa na kuugua kichaa mpk kupelekea mwngine kumdhuru mwngine so sentens ya mpk kifo ni sawa expect hayo mambo ma 2
@shabanibilali65584 жыл бұрын
Punguzen kuchat wasaf jomon khaaa
@hasanuntv44684 жыл бұрын
Subscribe kwenye Channel kwa kupata matukio ya kidini
@pendondossy21584 жыл бұрын
Jmn
@bahatimwalwimba26084 жыл бұрын
Utoto mwingi mambo ya ndoa unayaanika utadhani unaanika mpunga
@dennisalbertmshiu95014 жыл бұрын
Kingekuwa block 89 kingenoga zaid# jonijo# baba ako
@orestehavyarimana58064 жыл бұрын
Tuko pamoja
@elshaarawymuhabesh3164 жыл бұрын
Jonijo hana kitu lilommy ndio kizazi sana
@paullomiligwa37054 жыл бұрын
Stamina
@lssaiddy08babapanaissaiddy664 жыл бұрын
Goood
@ramadhanimwachieni70114 жыл бұрын
Stemina mtu hatari sana
@starlonejadamskp82244 жыл бұрын
Me nastory Zaid ya yako
@guccij35494 жыл бұрын
Siku izi wanawake wanagonganisha sanaa magari
@naamohamed99644 жыл бұрын
@GERALD TEMBA ONLINE tabia mbaya tu ya mtu sasa stamina ana njaa gan mpk mke amfanyie hivyo
@djsilva87594 жыл бұрын
Xna all team
@danielmkama244 жыл бұрын
Mbona hamuongelei yule dada aliekua anapita pita na mimba yake kwe video na ni chumban ni nan?
@elshaarawymuhabesh3164 жыл бұрын
Limeongelewa hilo sikiliza full interview yake....
@kaniepeketestarkaniepekete51294 жыл бұрын
😀😁😂
@adamuligate7754 жыл бұрын
Rostam 💥💥💥🤯
@paulmaswili55854 жыл бұрын
Tuko wasafi akuna Dani dani ya WCB ,,,
@emmanuelnyove82924 жыл бұрын
Naomba namba ya stamina niongee nae tafadhari yangu ni 0766109170