I think we need more conversations around finance and friends cause in as much as it was a prank, it felt insensitive and uncomfortable.
@nahdiadiana2 ай бұрын
Martha is a vibe ...najishikilia tu...maangi...si uachilie😂😂😂😂😂...martha ...mayai nayo nmerarua😂😂😂😂
@Karimi.4102 ай бұрын
Mtu ujipanga na kapesa kake....158.kapesa kake😅😅😅😅
@alavenderachieng43692 ай бұрын
This was a good one .....kila mtu aliplay part yake.......🎉🎉
@susanwanjira31392 ай бұрын
Wah wah nimecheka yngu yote hii nayo mliwapata especially kwa mlango Hehe noma ...expecting more to come ....more luv
@themaangis2 ай бұрын
Ooooh yes dear 🥰🥰🥰
@edinakirindo2 ай бұрын
Mayai nayo nimerarua😂😂😂😂, Martha 😅😅😅😅😂😂😂
@kemkem96212 ай бұрын
I love the Miranyi's honestly about their planning for their money,the way Enock is always calm👌 and Martha the pilipili👏👏 @maangis you have tried kuwasinzia vijisababu for looooooong wondering how they didn't realize it's a prank 😅
@themaangis2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@LilianLundo-um8mg26 күн бұрын
Family mwenyewe nilikua ready kukuulizia
@isoemoreen10262 ай бұрын
The reaction of Martha for me😂😂 very lit😂😂😂 hii nayo ni moto sana😂
@anneorina3942 ай бұрын
Hii sasa ndio inabamba😂😂😂😂 Nilikua nimewamiss Team Miranyis nawangoja next
@themaangis2 ай бұрын
😂😂😂
@maryannethuranira22725 күн бұрын
Miranyi is a gentleman.martha a very protective wyf.great combo.maangi ni jokers😅too mouthy😅
@magarematara89192 ай бұрын
Kama hiyo ndio itafanya urafiki yetu iishe,,,haha happy from here Matasia -Ngong
@musicwithlizenamba50422 ай бұрын
kuna chakula moja nimengoja sana mwatajie kwa menu but nyinyi ni nani! mmeniangusha sana. for all those 3 dies they must have been on a special diet meen! next time leave no table unturned hmm!
@Njokifelista2 ай бұрын
Martha never disappoints 😂😂😂it's the reaction for me😂😂Mitchell na Sam Hii prank nayo imewezaa😅.
@africangirl1892 ай бұрын
Martha good 😂👏🏿👏🏿 this is such a tasteless prank lakini pranks zinafaa kua na limits buanna 🙄.
Kumbwvu zangu😂😂😂😂nitasimama na bwana yangu kama martha hatulipi hatuna 🤣🤣🤣
@SHINECONJER2 ай бұрын
nipitie then comment done nikupitie
@LilianCute-2 ай бұрын
Martha nimeona kitu congratulations 👏🎉🎉 Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏
@christinemongina18512 ай бұрын
I thought i was alone
@melsevixjuma52512 ай бұрын
The comment I was looking for 🎉 congratulations @muranyis family 🎉
@modesterotieno2 ай бұрын
Hata Mimi nimeinotice😂❤🎉, congratulations
@janetNM2 ай бұрын
' changa yote' caught my attention 😅😅😅😂😂
@MarionWanjiku-y1r2 ай бұрын
Wewe ni mweupe sana, sitaki kukugwara🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@themaangis2 ай бұрын
🤣🤣🤣 OGOPA
@Annemwix2 ай бұрын
Mimi na mahasira zangu huu urafiki unaisha hiyo siku. Tupatanie tu kanisani. Wah!
@themaangis2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@annahkashina4922 ай бұрын
Martha n vile umerarua mayai ...😂😂😂😂 this has made NY day 😅😅😅😅
@themaangis2 ай бұрын
We are more than happy 🥰
@Sheba-h8q2 ай бұрын
Mlikuja kuongezea enock stress😂😂😂
@Hapa0012 ай бұрын
gaki eye mulinivunja mbavu sana aki woishe waaah ....utajua dem yako wakati wa shida😂😂martha ni mnoma 1:31
@trizaveshaa94872 ай бұрын
Kando na prank, Martha ako mimba sindyo??? Aki blessings za God wewe
@Mwiituwamuthembi2 ай бұрын
Naona hivyo pia
@trizaveshaa94872 ай бұрын
@@Mwiituwamuthembinimeona kwa hood vile amekaa them io top nikama ya Milly wa Jesus mtu aezi jua, anyway congrats to them kama iko❤❤
@kemkem96212 ай бұрын
Snoop! Snoop! Udaku ndio watu wanatafuta kwa hizi streets😅😅
@joycechelulei51942 ай бұрын
That explains hio kulost! Morning sickness sio jokes...blessings galore 🎉🎉
@celestinebabu682 ай бұрын
kabisa
@brithinbosibori98522 ай бұрын
Woi i felt for Martha akisema she's shaking
@jannystevens-s7z2 ай бұрын
Hahaha Martha hata akikula mayai tray moja kila sikuhaiwezi kuwa hiyo pesa.
@FridahMwangi-hm6vm2 ай бұрын
Uweeeeh mtu abembage dooh incase 😂😂😂
@Lanas202482 ай бұрын
Wewe ni mweupe sana..sitaki kukugwara😂😂
@evechepngeno6882 ай бұрын
Wow! Martha enyewe ni family. Well done Miranyis
@anwylwalter79092 ай бұрын
Sam "tuambie mko na ngapi tuwachangie" Martha"changa yote". 😂😂😂😂😂
@hellenwafula1437Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Martha for me nimeisha hapo pa Kwa bill hii ni prank noma
@janeatieno57662 ай бұрын
Hii nayo ni fun, @miranyis family, mfanye come back please please . 😂😂alafu nyinyi ma fans mjue pranks haiwekwi kwa roho 😂😂you revenge
@themaangis2 ай бұрын
😂😂😂 haiwekwi kwa roho
@ReliaCherono2 ай бұрын
Martha you are the best wife ever,, continue fighting for your hubby ❤❤
@themaangis2 ай бұрын
😂😂😂 she never dissapoints
@Sylvia-by3yy2 ай бұрын
Nimecheka vile mlitaka .BT I love you
@abigaelnyakwama44542 ай бұрын
@mlituleta hapa juu mlisikia hatuna mahali pa kulala😅😅😅😅😅 noma sana
@Fortune58952 ай бұрын
Martha mayai nayo umerarua it got me down😂😂😂
@themaangis2 ай бұрын
🤣🤣🤣 na hakuna kusamehea 🤣🤣
@rachel-f6k3e2 ай бұрын
Sam is saying mko na ngapi tuwachangie ...Martha is like changa yote ...changa yote
@Vin_silver2 ай бұрын
Hii nayo ni moto.Weeh!! receive the trophy 🏆🏆
@nancymachoka51042 ай бұрын
Sijapenda vile mmefanyia the Miranyis 😂😂😂😂
@ressypaul79562 ай бұрын
😂😂prank of the year 💕nimecheka sana
@daisycheruto5327Ай бұрын
By the time someone pranks you on something kuna venye amekuview we can’t prank WSR with a bill of 10 B for example because we know no matter the situation and time or place he will pay This prank is beyond what the eye can see
@cicilianyaboke53712 ай бұрын
So bad😢 Miranyis watakam na maubaya ngoja tu muone
@themaangis2 ай бұрын
We will be waiting 😊
@ruthmutyaba9572 ай бұрын
Be making sure pranks sweetheart ❤😂😂😂😂 have enjoyed seeing The miranyi's running away minus paying their bills😂😂
@ednaeva29912 ай бұрын
58k 😂😂😂😂na vile mmejienjoy ..msilipe Martha
@yvonnelingwa48612 ай бұрын
This prank thing will dent the friendship in future. I tell you for a fact sometimes it's good kujua limits
@janeatieno57662 ай бұрын
Prank ni prank akuna kueka kwa roho 😂😂😂
@yvonnelingwa48612 ай бұрын
@@janeatieno5766 I know but Kuna limits, you've never seen the miranyis pull such kind of pranks on them. The so called pranks have some truths in them ndio maana nasema people should be careful na wajue limits otherwise wako na content but it will cost them their friendship wasipo chunga
@dorothychepkoy13892 ай бұрын
Aki some pranks lakini mjawafanya poa😂😂
@smilenancie87122 ай бұрын
😂😂😂😂😂aki nimecheka vile mlikua mnataka , hi prank was more fire
@ByroneOmondi-v2q2 ай бұрын
Mimi mwenyewe nishaogopa😂😂😂💔💔
@judyjepchumba86192 ай бұрын
Martha hatunaaaaa!!!😂😂😂😂😂kila mwanaume anafaa akuwe Na Martha Kwa Maisha yake Maisha itakuwa sambamba
@ERICKRNKENYA2 ай бұрын
Aki Michelle ATI uliona Enock na glass mbili ya chai 😅😅😅😅😅
@themaangis2 ай бұрын
I don't want peace.... PROBLEMS ALWAYS 🤣🤣🤣
@ruthongeri51152 ай бұрын
Kwani nyi mko na pesa ngapi??? “Hatunaaa, pesa ngapi?” 😂😂😂😂😂😂😂😂
@lucymuthoni729422 күн бұрын
Nimecheka vle mlikuwa mnataka😂😂😂
@peacerumanyika20732 ай бұрын
Martha jamani eti Mayai nayo nimeralua😂😂😂
@villianmose3062 ай бұрын
Martha 😂😂😂"mayi nayo nimerarua"
@violeteliza63002 ай бұрын
I love the energy martha ako nayo,,martha hi five😂😂
@beldenbundi57512 ай бұрын
Weee mlichoma simu yangu wee hyo mbio na back feedback ya Martha weee...Wacha nipoeshe simu ❤❤❤
@themaangis2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@oduorevans34932 ай бұрын
Eish!!! Martha amepita na Michelle hapo kwa mlango kidogo nikue worried of our girl's safety
@themaangis2 ай бұрын
😂😂😂😂
@SHINECONJER2 ай бұрын
nipitie then comment done nikupitie
@ByroneOmondi-v2q2 ай бұрын
Mzee wa bass hdi sasa ananguruma tu " Hey guys why didn't u tell us........"😂😂😂😂💔
@dianabioreri12722 ай бұрын
When I grow up I would wish to meet Martha. She is such a vibe
@Sparktv3032 ай бұрын
Nyi mmechizi... Mnatuskianga 😂😂😂
@margaretnyahendo57312 ай бұрын
This was a banger!!! My question is the bill was a prank but do you mind sharing the actual details on bills for those interested in the place, thank you
@themaangis2 ай бұрын
They are actually affordable, just check their site and make a call for reservation or inquiries 🤣🤣🤣
@winjoygatugi57942 ай бұрын
😂😂😂😂 I love the energy of this girl
@cynthiakemunto-sm9rd2 ай бұрын
Ety kwani hii pesa inatoka wapi😂😂😂😂😂😂aki Martha hbu nichke
@ruthkemuma30832 ай бұрын
Martha"changa yote"😂😂😂
@RozanneKabs2 ай бұрын
Mimi natamani kupata husband kama hawa aki 😂😂
@carolinekerubo42402 ай бұрын
Wueh!Nishashtuka na hiyo brief
@DamarisMose-uk9de2 ай бұрын
Martha ni mtetezi wa familia😅 hadi Enoch aliamua awaache mutembee kwa miguu🤣🤣
@dhequeen8102 ай бұрын
Martha congratulations 😂🎉🎉🎉🎉nimeona kitu❤
@RhodahMongina2 ай бұрын
@themiranyisfamily nangoja comeback🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 @themaangis this is a good one.🥰
@themaangis2 ай бұрын
Before you realize it tutawalima na ingine 🤣🤣🤣 Hakuna kupumua
@RhodahMongina2 ай бұрын
@@themaangis Wooooiiiii wahurumie hata kidogo
@aggiekerubo8842 ай бұрын
This was quite a banger😂😂😂 have laughed from the moment it started till the end.....❤❤ You guys have made a good comeback... looking forward to more of these❤❤❤❤❤
@themaangis2 ай бұрын
Thank you 😊😊
@benterWere-xj8zj2 ай бұрын
Yeah hizi ndio pranks za maana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JeriahsarangeNyaosi-xv3ht2 ай бұрын
Gaki mokore iga😂😂 mimi nimehurumia miranyi
@florenshiahmumbi3426Ай бұрын
Aki hii prank nmechenga yangu yote.... I love martha ❤
@unleashitoutwithlysh15292 ай бұрын
I love Martha 😂😂, changa yote !
@JacklyneAtieno-s9f2 ай бұрын
Wuehh hii nimeifeel😢😅😅😅😅
@carolmoraa-st5if2 ай бұрын
Martha aty kukua kipofu n vibaya....hahahaaaa
@lucylumati2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mbavu zangu Martha issa no joke
@tarakwanashipai97802 ай бұрын
I love how Martha is always fighting on behalf of the hubby😂😂
@milkahkaramu50342 ай бұрын
If all ladies were like her, our families could have been far😅
@harrietbitutu92742 ай бұрын
Hii nayo hapana,something else please !
@carolgacheri93652 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅nimeisha...but have learnt something..eat what you can afford 😅😅😅
@themaangis2 ай бұрын
😂😂😂😂
@BrendahMomanyi2 ай бұрын
Hta kma n surprise siwezi funga macho the whole journey 😂😂😂miranyi poleni aki😂😂😂
@themaangis2 ай бұрын
😂😂😂 on to round two
@BeurahNyabuto2 ай бұрын
My best couples❤❤family tulikua tumekumiss
@thearchivecity42282 ай бұрын
Hauna wazazi
@EffyTreazer2 ай бұрын
😂😂😂
@Melldoreencommunity2 ай бұрын
Nawangoja ya naivasha muniite❤😂😂😂
@bagenimariam21902 ай бұрын
Changa yote😂😂😂😂😂😂😂😂
@naomicherono85282 ай бұрын
Martha made my day😂😂😂Hamjawafanyia poa aky😢
@lilianchndemo72182 ай бұрын
Martha is such a good woman... Hatulipi😅😅😅
@ruthongeri51152 ай бұрын
In the US unajipanga na bills zako even though you’ve been invited.