Nimefurahi sana na couple ya leo yaani vitu ni Boom boom ❤❤❤❤
@mwajabudegwa10 ай бұрын
Yaan aliyah apewe 🎉 meng na azid kwenye hiki kipind anajua kuwanyoosha hawa wadada❤❤
@bongoupdatestv932210 ай бұрын
Kweli aisee😂😂
@fatumomatano97528 ай бұрын
Yani natamani naeza mchamba
@NeemaKhamis-n8h10 ай бұрын
Nzuli sana leo iko moja to jamani huyu Elizabeth simpendi anajisikia sana huyu kaka yuko very nice ❤😢
@Spicekingnushinwe.-kt5lp10 ай бұрын
Lilu diva napenda unavyo cheka hadi raha my sister ❤❤🎉🎉
@subrynerysegerow132310 ай бұрын
Nimempenda mr right akiongea anaonekana mstaarabu na hana mdomo mdomo kama wnaume wengine 😂😂😂hongera lolo umepata bwana inshaallah abadili din kweli akuoe mama
@zeynabuhussen874010 ай бұрын
lolo nae pia mpole mashaAllah❤
@salmakivo40739 ай бұрын
Lolo wanafanana na nelly
@rehemamgata2248 ай бұрын
Wangon ni nyoko
@sethjohnson72668 ай бұрын
Hapo Greyson umepata mke. Na kuhusu dini jitahidi kumshawishi Lolo atakubali kubadilisha deni baadae
@doriselipokea6517 ай бұрын
Awa wastaarabu shkamoo
@AnnoyedMarsh-is4nr10 ай бұрын
Mashaallah wamependezana sanaa nimependa sanaa hiyo mkaka mzurii sanaaa handsome hatimaye Lolo amepata mwenzawake jamn
@oman-c7yКүн бұрын
Yani mimi nawapenda sana.kila mara napenda kiiyangalia school kuwaona lolo ampendae.Allah awape mapenzi daima❤
@stevenemwakasimba-pt8er10 ай бұрын
Huu ni mnada wawanawake kweli dunia ipo mwisho mungu tuangalie wanao tunapotea tuoneshe njia sahihi
@AminaOmary-cn5vb9 ай бұрын
Nimerudia mara mbili kuangalia hii .nimeipenda sana hii couple.mkaka anaupendo sana
@edinarobert671610 ай бұрын
Nimependa wanaendana sana 😘😘😘😘😘😘😘
@israeluronu995810 ай бұрын
Naona kama eliza anamdomo sana na dharau pia. Angeenda zake na yule mzee baharia 😂
@ananiamwatebela315910 ай бұрын
Hata kwenye ndoa hawez kudum
@asiliyetuonlinetv506310 ай бұрын
😂😂😂shituka mwanangu
@neemaneychricious649310 ай бұрын
Ahhahahahahahahah jamn jamn hatr na nusu hahahah
@FatmaSaid-j9o10 ай бұрын
Fact
@elizabethswai777710 ай бұрын
😂😂😂😂mzee baharia
@liannsambu726410 ай бұрын
Grayson + lolo was natural love wameendana na kupendezana
@JeniphaEzekiel-z1s10 ай бұрын
Eliza aelew bwana mtoen apo
@FaridaCharema10 ай бұрын
Huyo eliza atolewe mana hasikilizi hata maongezi,anachoreka tu
@ngusiupdates436310 ай бұрын
Imagin ndo umemchukua Eliza akawe mke wako my dear nakwambia utanyookaa 😅😅😅
@GiftAbduly10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@dorcaskidoti24910 ай бұрын
😂😂😂 na komwe lake uyo Eliza haha bibi akalee wajukuuu uko atolewe
@ericmellau378310 ай бұрын
Amna uyu unamwitikia afu ungya nae ndoa unamnyosha bora ndoa ife ila ajue akuna zuzuu
@ancyjoakim830810 ай бұрын
😂
@Aishaawadhimsloki9 ай бұрын
😂😂😂😂
@taupenisanshimirimana47510 ай бұрын
Eliza atakuja kumaliza hizo soda tu 😂😂😂
@RozzyTom-fw8qh10 ай бұрын
Hahahahaha 🤣🤣🤣
@JudithLucky-n4s10 ай бұрын
😂😂😂😂
@MwaniPh8 ай бұрын
😅😅😅😅
@ashamshona93217 ай бұрын
Hahahaaaa
@NetNuggets605 ай бұрын
@@ashamshona9321😂😂😂😂
@liannsambu726410 ай бұрын
Uyo eliza mtoeni ni bibi aende nje anakera na kuwaharibia kazi buana ,amejikuta jaji wa mr.right hafato protocol atolewe buana
@ghayamjombo658210 ай бұрын
😂
@MwaJuma-zf8sk10 ай бұрын
Bora angechukuliwa na yule mzee stukaaa mwananguuu 😅🤣
@lawijosephezekieli107810 ай бұрын
Eliza bibi sana na sula lake kalificha na mekapu😂😂😂
@athumanhamad852210 ай бұрын
Ni bibi alafu masharit kibao atakua nawatoto wengi
@auntygee119410 ай бұрын
For sure anabore,halafu she is too old for that stage
@bwetungegodfrey413110 ай бұрын
That was the best couple of all this 5th season so far.That man has dignity
@rehemawaweru5373Ай бұрын
Waaah! This man aki he is so sweet na for sure amemakinika.Big up bro and hope ulimpata mwenye unamuhitaji.
@janethdavidsanga599910 ай бұрын
Yan hii ndoa mtuletee humu ndani tuione😊
@israeluronu995810 ай бұрын
Eliza bado niko na ww au wamtaka Gara B😂😂😂😂
@SantaJumaa10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@DorcasAmos-mv8cy10 ай бұрын
Hahahahaaaaaa
@WinWilly416210 ай бұрын
😂😂
@NasmaBanka10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AsyaHamad-tx9vr10 ай бұрын
Anataka wakumpeleka Dubai ana paspot Haina muhuri na ana leseni Haina gari
@HJf-d4x8 ай бұрын
I..like..the..couple..it's.. awesome..🎉🎉
@luganoesomu53018 ай бұрын
ukitaka upoteze mwelekeo na ukuu wako kwenye maisha jaribu kubadili dini hata kwasiku moja ,watu wanadhani ni jambo la kawaida kama vile kubadili nguo lakini kiukweli unapo badili dini unabadili yule unaemwabudu siku hii unaabudu mungu kesho unaabudu pepo(shetani), mungu wetu ni mungu mwenye wivu. mfalme sulemani mwana wa daudi aliemjengea mungu hekalu jerusalemu hadi watu toka dunia nzima wakawa wanaenda kuabudu huko kila mwaka, siku alipo oa mwanamke anae abudu miungu na suleimani akaiabudu .,Mungu akauvua uzao wake ukuu juu ya israel katika makabila 12 ya israeli akambakizia 2 mengine yote wakapewa wengine.nahiyo imetokea kwa wafalme wengi kama vile yeroboumu, belishaza, na wengine wengi. mwanaume yeyote mwenye misingi imara misingi yake inapimwa kwa uwezo wa kuitunza imani yake.
@Noor56-i7s9 ай бұрын
Aliya tha best ana juwa kukweli wanaendanaaa ❤❤❤❤❤❤ kweli
@symonmhoja310210 ай бұрын
Sio rahisi men kubadili dini, tuliosoma Cuba tumemuelewa mwamba, ila anazambi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@IreneMwenda-nl2hu10 ай бұрын
😮niww ndy uwez kwendra uko
@claudiamassay263510 ай бұрын
Hahahhahaha sanaaa
@Yangaone-h8j9 ай бұрын
Ile notion ya bcz of love, nnamashaka nayo, mwamba anaenda kula mzigo nakuuacha kwenye njiapanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MwaniPh8 ай бұрын
😅😅😅
@mrliverpoolynwa764110 ай бұрын
Lolo ni mzur sana hongera zake
@maryamChumas9 ай бұрын
Kalolo kazuri ,karembo na kasitarabuu wow good couple ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤i wish you all the best❤❤❤❤
@diva_201628 ай бұрын
Huyo Eliza anadharau na atazeekea humo anaropokwa hovyo kazi ipo ashuke stejin tu😊😊
@BethiGody10 ай бұрын
Naombeni icho kibibi kieliza mkitoe pumbavu zake sanaaa
@DoreenDaniel-hd7kv10 ай бұрын
Anaongea kama kengele
@AnethKukosi10 ай бұрын
Sigupendi gu eliza
@BethiGody10 ай бұрын
@@AnethKukosi 🤣🤣🤣Yan mm Eliza na zalishi siwaelew kabc
@zaitunirashidi553210 ай бұрын
😂😂😂😂😂kwanz kibaya kimezeeka kama queen Elizabeth 😂
@BethiGody10 ай бұрын
@@zaitunirashidi5532 😁😁😁bila shakaaaa
@ummyhoza44959 ай бұрын
Hii nimeipenda mno mungu awape maelewabo inshaallah ❤
@restitutamfoy9 ай бұрын
Eliza atazeekea hapo for sure pod iyo 😂😂😂😂😂
@Geraldmbesere-fn2de10 ай бұрын
Uyo eliza ana mambo ya kijinga siku zote haelewi ana kichwa kigumu 😂😂😂😂😂
@FatmaaFatoom10 ай бұрын
Ni kiazi ajifanya nzuri
@Geraldmbesere-fn2de10 ай бұрын
@@FatmaaFatoom ana uzuri gani mwenyew kama bibi
@Geraldmbesere-fn2de9 ай бұрын
Au yeye kawekwa kwa ajili ya kuchangamsha shoo nini
@nancyg86649 ай бұрын
Sasa bibi kizee kumbukumbuku zitoke wapi
@DJINNOSSBTZ10 ай бұрын
Huyo anajifanya mzuri halafu bibi😂😂😂
@jotoentertainment922510 ай бұрын
Huyo Lolo kwq kuongea na muonekano n kamaa jamaa kapata mtu🎉🎉🎉🎉
@Given-Norman10 ай бұрын
Inasikitisha sana yaani kubadili dini kutoka Grayson mpaka shabani madobe duh 😂😂😂 huyu jamaa anatakiwa afikirie mala mbili mbili
@salmakivo40739 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌
@AgathaMatambula-lf7fv9 ай бұрын
😊😊😊😊
@MwaniPh8 ай бұрын
Kama mzize alivyobadili kutoka Clement mpaka Warid
@kadhyanassor50463 ай бұрын
Kwanza kwa sheria ya kiislam haitakiwi mtu abadili dini kisa mapenzi sasa mapenzi yakiisha utarudi ulikotoka...unatakiwa usome dini na uingie kwa imani sio kufata kitu....Allah awaongoze na awasamehe
Ndio kheir Mimi kama mwanaume si Muslim staki pressure
@EstherJvany9 ай бұрын
Waooooo nawapenda sana ❤❤❤
@rosemaryjohn386010 ай бұрын
He is romantic ❤❤
@KathuyaAnnaАй бұрын
Lovely couple ❤❤❤much love from kenya
@edierichie10 ай бұрын
AISEE SIJAWAI KUKOMENTI MR RIGHT , KIUKWELI HUYU DADA ELIZA MTOENI SIONI KAMA KUNA CHOCHOTE ANACHOKIFANYA HAPO.
@lizndunchez72010 ай бұрын
True kuwaste tu masaa nvny sura ata akna
@justinambrose357710 ай бұрын
Kuna huyu Eliza na kuna yule Glady ni bure kabisa.... kujifanya na ujuaji mwingi😅
@rubenmsimbe93410 ай бұрын
Ni tukio la kufurahisha sana, kuna golden girls wengi sana waliopita walipojijua kuwa ni golden girl maringo kibao,lkn huyu mrembo hakuwa na mengi,ningekuwa na namba uaje ningemtupia buku big LOLO❤❤❤
@ollenshamba9 ай бұрын
Wamependezana sana Lolo yuko mucute sana jamn najiona mm huwiiiiii😅