AWASHIWA TAA ZOTE | TAZAMA WAREMBO WALIVYOMGOMBANIA | ANA UZURI WA KIUME PESA IPO | HELLO MR RIGHT

  Рет қаралды 443,486

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 401
@sethjohnson7266
@sethjohnson7266 10 ай бұрын
Wanaume wanaopenda hapo ni domo zege. Kwamba wanakosa jinsi ya kutafuta wadada na kuwashawishi mpaka waende kujiuza hapo!! Eti Mr Right, 😄😄😄 uhuni mtupu
@AbdulSaleh-t4d
@AbdulSaleh-t4d 9 ай бұрын
Maigizo haya
@scolas3134
@scolas3134 2 ай бұрын
Usiseme hivo kosho unaweza ukamuona kakako hapo😂😂😂😂
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂mm najiuliza mbona hawajielewi hata kidogo 😂😂
@erickkamala
@erickkamala Ай бұрын
hiv kweli Mr right unapata mtu wa kuishi nae !!jama tunaenda wap?lkn m nawashauri wanaume wenzngu acha tabia hii s nzur mtu unamuona Leo eti mnaoana Leo kiukweli tbia hii s nzur ningekuwa kiongozi wa serikali hili jukwaa ningelifungia maana halina Mila na destuli
@ElizabethBrown-z4g
@ElizabethBrown-z4g 11 ай бұрын
Duuuuu ila akina Lizzy Mungu atusaidie🏃
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 3 ай бұрын
Duh bwana kipara misifa imemzidi mpaka kaharibu mchuzi... ivi mnaijua white dry wine?😂😂😂? Yaani Wine kavu nyeupe😂😂😂
@ericbrunokalonndwa8590
@ericbrunokalonndwa8590 Ай бұрын
Haha ni mtazamo tu sioni kosa kwenda ni maamuzi
@faudhiaramadhani2308
@faudhiaramadhani2308 10 ай бұрын
😂😂 nikikumbuka ya Ciara na yule kaka Sina Hali nabakigi kucheka tuu
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 10 ай бұрын
Eliza mimi nakapendaga bureeee😂😂😂
@TwahiliMadodo
@TwahiliMadodo 7 күн бұрын
🎁🎁🤗🤗
@VictorBugobola
@VictorBugobola 11 ай бұрын
Hiiioo nayo n aina ya umalaya tu😂😂😂
@KhalfanSaid-mo9jh
@KhalfanSaid-mo9jh Жыл бұрын
Nyinyi mnaoendesha Mr Right nahao Wanawake wanaojiuza hadharani,mnamkera Allah nadalili zakiama, niwanawake kujaa masokoni.. Allah akbaru
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Жыл бұрын
Kabisa
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 Жыл бұрын
Mcheni Mungu na kumtukuza,siku ya Bwana inakuja!
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 Жыл бұрын
Yalekebisheni mapito yenu,msienende namna ya ulimwengu huu!
@omanoman2044
@omanoman2044 Жыл бұрын
Hakika hujakosea.qiyam hakiko mbali tufanye ibada kumrudia mungu naumala unawasupuw
@wizdady4727
@wizdady4727 Жыл бұрын
Mbona unateseka ww
@bettykarume5619
@bettykarume5619 Жыл бұрын
Mkulima makini sana huyu af anajielewa mnooooo big up sanaaaaaa😊
@Happinesabella3654
@Happinesabella3654 Жыл бұрын
Niwasaidie wakongwe Kama Eliza na zarish na wengine watu wanawaona kila siku mpo na mna nyodo Sana ndo maana hamchaguliwi wanaotaka wapya nenden mkatafute wenza mtaan acheni kujianika
@rehemawaweru5373
@rehemawaweru5373 3 ай бұрын
Wow and wow your such a man Oscar 😍😍
@SamwelOgonyo
@SamwelOgonyo 11 ай бұрын
Pia mm ntawatembelea am from Kenya 🇰🇪 warembo wapo
@TwahiliMadodo
@TwahiliMadodo 7 күн бұрын
Eliza nyodo bhana ❤❤❤
@ahmedhamis
@ahmedhamis 11 ай бұрын
Hatarii na nusu
@Damz240
@Damz240 Жыл бұрын
Atakae chaguliwa asije umiza moyo wa kijana maana hawachelewi kujinyonga hawa
@aloyceisdory7855
@aloyceisdory7855 2 ай бұрын
Leo ndo nimeamin hizi mambo wanapangwaga yaani huyo Oscar schoolmate wangu bagamoyo afu kama ni kumaliza chuo ni mwaka huu afu afu eti nana degree na maisha taari 😂😂😂😂
@hawababy120
@hawababy120 Жыл бұрын
😂😂😂😂apokwanusa nimecheka san😂😂😂🇧🇮🔥🔥
@OmarAhmed-s3k
@OmarAhmed-s3k 10 ай бұрын
Allah mstahamilivu sana ila kama si hvyo ana uwezo wa kutoa adhbu yoyote aitakayo muda wowote Allah tunusuru waja wako hakika ss ni wadhaifu
@aysharamadan-j3l
@aysharamadan-j3l 2 ай бұрын
@@OmarAhmed-s3k ameeen
@Godfrey-n7c
@Godfrey-n7c Ай бұрын
@@OmarAhmed-s3k Umewaza Nini kaka...??
@sospeterurassa9894
@sospeterurassa9894 Жыл бұрын
Uzuri wa mtu sio hela wala muonekano mzuri au kawaida, Wapo zuri wa sura umbo na kinyume chake wapo ,hapa ni kuomba Mungu tu kila mwandamu ana mazuri na mapungufu yake bila kuishi au kufahamiana japo kidogo huwezi kujua Yaani hapo mtu siku moja tu unatangaza maisha ya pamoja kabla ya kufahamiana ni hatari tupu,
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 11 ай бұрын
Tena ni ujinga mtupu...hujui historian yake japo kidogo jamaniiii😩
@Sakina-sk8rn
@Sakina-sk8rn 11 ай бұрын
Yaani bola nimuombe Mungu wa Kuhani musa anisaidie tu nipate wangu kuliko uko
@Sakina-sk8rn
@Sakina-sk8rn 11 ай бұрын
Ata kunusa kupo apo aya makubwa
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Zalishi na eliza mina wanamidomo n niwakongwe hapo😂😂😂n hamjachaguliwa
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu Ай бұрын
😂😂😂ndo wakoje hao
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 11 ай бұрын
Ndio mana ndoa hazidumu sikuizi hamuezi vumulia mashida kwasababu mmepatana katika mazingira ya kiuni uni😂
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s Жыл бұрын
Please naomba no ya huyo kaka ili anifanye nione dunia ni mahali salama pakuishi❤❤🎉🎉😂😂😂nyie wakaka huwa wanamaneno yakutuaminisha😅😅😅
@Swabrah-fey
@Swabrah-fey Жыл бұрын
😂😂😂
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Unaweza kuta mfukoni hata nauli hana, simu imeharibika charging system mwezi wa 3 sasa
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s Жыл бұрын
@@mcback4384 ila ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niache kdgo🙌🙌🙌🙌😂😂😂
@ladislauskostantin3006
@ladislauskostantin3006 3 ай бұрын
@@faithkaganda-k3s niko hapa
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h Жыл бұрын
Mwanaume kama mimi siwezi kutafuta mwanamke hapo😂😂
@musajackison5965
@musajackison5965 Жыл бұрын
Ww jamaa usiogope kachukue vyuma hivyo
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h Жыл бұрын
@@musajackison5965 🤣🤣🤣🤣
@MaryamaAlly
@MaryamaAlly Жыл бұрын
kwan unanini bwana weeh 😅😅 kwenda
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 10 ай бұрын
Njooo mkuuu untie Niko hapa😂😂😂😂
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 10 ай бұрын
@@MaryamaAlly Nina hela na nina nguvu. za kiume
@WinifridaMbembe
@WinifridaMbembe 8 ай бұрын
Huyu Eliza hana akili timamu huyu
@PaulMaloveboy
@PaulMaloveboy 3 ай бұрын
Eeee!! Mungu tusaidie maan siyo kwa sitair hii Dunia simama nishuke 😂😂😂
@HappyJovinary
@HappyJovinary 10 ай бұрын
Mwanaume anaejielewa hawezi kwenda sehem kama hizi kutafta hao makahaba
@SibaSaid-k6d
@SibaSaid-k6d 5 ай бұрын
Acha wivuu
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 3 ай бұрын
That is great@@HappyJovinary
@DicksonMsafiri-ig9xk
@DicksonMsafiri-ig9xk 2 ай бұрын
@@HappyJovinary huyu jamaa ameenda kwa makahaba wenzake
@VEREDIANAMADOSE
@VEREDIANAMADOSE 2 ай бұрын
Happy usiwaite wenzio ivyo
@LadyyJemsii
@LadyyJemsii 2 ай бұрын
Wivu tu hata mtaani kunamakahaba kibao
@AbdulSaleh-t4d
@AbdulSaleh-t4d 9 ай бұрын
Wanawake wanapenda wanaume weusi wenye mng'aro,ambao hawana mambo mengi, smart kichwani,wasafi,wapambanaji na wakweli.ukiwa na sifa hizo hata kama masikini utapendwa na wengi
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 3 ай бұрын
@@AbdulSaleh-t4d jidanganye
@agriparose3942
@agriparose3942 Жыл бұрын
Mr right Mrs right wako niko hapa acha kujichelewesha na zinaa hizo
@mshewetv
@mshewetv Жыл бұрын
Kiindi kifungiwe ni upuuzi tu hapa
@MegaNasri-bv7tc
@MegaNasri-bv7tc 6 ай бұрын
Sasa nimegundua wanaume wa iringa wanapendwa nimetoka kulizwa juzi tu mwezenu 😢wako na iyo bahati ya kupendwa na wanawake😂❤
@gasperrobert7036
@gasperrobert7036 11 ай бұрын
Huyu Mr Right ni schoolmate wangu wa advance pale Bagamoyo Sec ,ama kweli miaka inaenda leo Oscar anatafta Mchumba apa 😂
@westcijosh
@westcijosh 11 ай бұрын
Hapana hatafuti ni scripted
@JastinaRuguma
@JastinaRuguma 11 ай бұрын
😂
@venacyibrahim5056
@venacyibrahim5056 11 ай бұрын
Yaani na yeye na elimu yake amekosa mtu huko anakuja hapa??!, kweli pesa zake na elim yake havimsaidiii chochote. Ebu fikilia hao warembo profile zao mbona hazitajwi????, ukijiuliza hilo swali na ukapata jibu. Utaona wanaume wanaoenda kutafuta wanawake hapo wanashida hawako sawa
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 10 ай бұрын
Na osca kapendwa kwa umoja wa wadada😂😂😂😂❤
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 10 ай бұрын
​@@venacyibrahim5056agiza soda I will pay it 👍
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Жыл бұрын
Kwanza madem wenyewe wote wabaya 😂😂
@hus-keenwizer679
@hus-keenwizer679 11 ай бұрын
😂😂😂
@RehemaSamwel-h8n
@RehemaSamwel-h8n 10 ай бұрын
😂😂😂😂kbx
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 10 ай бұрын
Wivu naweerr😂😂😂😂😂😂😅
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 10 ай бұрын
Ila kama una point agiza ntalipa😂
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 10 ай бұрын
@@MwileMkangwa-y1n 😂😂
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 Жыл бұрын
Wooow huyu mr right ni fire💥💥💥
@kamkubwa
@kamkubwa 8 ай бұрын
Haujaniona mie
@SylvesterManeno
@SylvesterManeno 11 ай бұрын
Eliza anataka harufuu yakee😅😅
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Жыл бұрын
Wahehe hoyeeeeeeee! Tuko juu hatujawahi feli😂😂😂😂 utulivu ndio Hadi yetu tukiudhiwa hatuna muda wa kujishana...kamba Iko wapi kwa heri
@renatuschina220
@renatuschina220 Жыл бұрын
Duuh nomaaa😀😀
@LadyyJemsii
@LadyyJemsii 2 ай бұрын
Huku wanaenda wasiojua kutongoza😂😂
@UstadhiMfinanga
@UstadhiMfinanga Жыл бұрын
Sidhani kua unaweza kumpta mke hapo stara ya mke hapo ipo wpi
@deniusjohnbosco3527
@deniusjohnbosco3527 Ай бұрын
Apo Leo ngekua Mr right nsingetoa mke apo ngerudi next Day 😂
@bienfaitnoah2942
@bienfaitnoah2942 3 ай бұрын
Hongereni san
@hamishamis179
@hamishamis179 3 ай бұрын
Kwani hii ni kweli au ni mchezo tuu ivi kweli mke anapatikana hapo
@RahmaKasimbagu
@RahmaKasimbagu 3 ай бұрын
Ila Oscar edger 😁😁😁
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 11 ай бұрын
Hivi ni kweli au maigizo? Mi siamini kama mume/ mke bora anachaguliwa kama nyanya sokoni! 🥺🥺 Wanaangalia muonekano wa nje!!! Kama ni kweli basi dunia ina mambo na bado tutaona mengi...
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Жыл бұрын
Hiii inadhaminiwa na freemason
@faustinemillanzi2899
@faustinemillanzi2899 11 ай бұрын
Bila shaka
@MussaAndongile
@MussaAndongile 3 ай бұрын
Madanguro ay kaz tunayo hii inch Mungu aingilie kat
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Ай бұрын
Ila wahehe mi nawakubali sana watulivu
@Nyamizi
@Nyamizi 2 ай бұрын
Natamani sanaiki kipndi😊
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj Жыл бұрын
zinaaaaa matangazo
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj Жыл бұрын
fact
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 11 ай бұрын
NJE YA POINT,JE HIVI NDIVYO MLIVYOAMBIWA MVAE NA RAIS??? SHAME TO YOU.HATA HIKI KIPINDI HAMFUNDISHI KITU ILA KUPOTEZAA😢
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g 2 ай бұрын
😮😮😮😢😮
@ProspertRubura
@ProspertRubura 11 ай бұрын
Mimi ni Prosper kutoka Bujumbura Burundi je awo wanawake wana tafuta mapenzi wala wanataka hela
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Eliza kaumbuliwa et asogee aibu khaaa 😂😂😂😂
@JacklineMdolwa
@JacklineMdolwa 11 ай бұрын
Yaan etu amnuse ili chiz lawapi hhhhh
@maryluhaga1589
@maryluhaga1589 2 ай бұрын
😂😂😂😂haliya😂😂😂
@Dorcaskiwale-ir6ec
@Dorcaskiwale-ir6ec Жыл бұрын
Uyu Eliza sijampenda kwa kweli anawenge sanaa
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kwani Bado achapata mchumba anakiherehere sana
@RobsonWisdom
@RobsonWisdom Жыл бұрын
Shetani Yuko kazini daaa saiz hawajiuzi vichochoroni wanakuja hadharani 😢😢😢😢😢😢
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g 2 ай бұрын
😮😮😮😮😢😢
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
Hawa wadada ni njaa tuy nazinaa zinawasupuw wallah
@rahmamusa8548
@rahmamusa8548 9 ай бұрын
Eliza kanywa soda. Sana kwenye stage atamaliza cret😮😮
@IssakaMisholo-wy7mf
@IssakaMisholo-wy7mf 7 ай бұрын
So good job
@DreyzOfficial-w7p
@DreyzOfficial-w7p Ай бұрын
Kwaiyo hawa wanaotafuta wapenzi umu ni madomo zege 😅
@OscarJeremiah-r2h
@OscarJeremiah-r2h 10 ай бұрын
Wajina huyo mhehe mwenzangu
@aysharamadan-j3l
@aysharamadan-j3l 2 ай бұрын
Hv kumbeh saiv wanawake hakun aibu kabxaaa Yan ndo kam wamebeba nafac za wanaume jmn Allah tuhurumie mola wetu bila ww hauwez kabxaa
@MamySuheil
@MamySuheil 9 ай бұрын
Allah tusamehe maana pesa inasababisha tunafanya kila tu Cha kumfurahisha shetani ila nakuomba usimsamehe yoyote anaekuza zinaa allahu akbar allahu akbar allahu akbar
@FATUMACHIPYANGU
@FATUMACHIPYANGU Жыл бұрын
Awa wadada.wanajirahisisha mno kama makahABA DUUH😢😢
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 2 ай бұрын
Mwachie atafute bikra😂😂😂
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Mr right na kipara chake cha jua kali
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 niuwe
@Feisal712
@Feisal712 3 ай бұрын
Wanajiuza hadharani hii dunia ya leo mungu atubariki tutaona
@user-boss_ledy
@user-boss_ledy Жыл бұрын
Mbn wabay ndo wanajishaua😂😂😂
@grolykimario26
@grolykimario26 11 ай бұрын
Mmmmm eliza bwana aibu naona mm😂😂
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 9 ай бұрын
Anakera Hadi basi tuko sote
@RebeccaPIUS-cw7xr
@RebeccaPIUS-cw7xr 3 ай бұрын
@@grolykimario26 yombo
@VailethSanga-n4i
@VailethSanga-n4i Жыл бұрын
Eliza bado yupo😅😅😅😅
@saraissa9327
@saraissa9327 Жыл бұрын
Oscar jamaniii..wife materials tupo hku tumekaa tunawasubiri 😢😂😂😂
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv Жыл бұрын
Na husband material tupo huku tunawatak nyie wife materials😢😂
@Esters-zr6nl
@Esters-zr6nl Жыл бұрын
😂😂😂
@saraissa9327
@saraissa9327 Жыл бұрын
@@Brunoh90Tv au sio 😂😂😂
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv Жыл бұрын
@@saraissa9327 Ndiooo😅
@AbdulaziziMohamed-n7q
@AbdulaziziMohamed-n7q 3 ай бұрын
Dunia inaenda spidi 😂😂
@mudimkagila5252
@mudimkagila5252 2 ай бұрын
Kwa wale wote wa
@NeemaKhamiss-k9i
@NeemaKhamiss-k9i Жыл бұрын
Wahehe eanajia kupenda pia wanawifu sana ukimsariti kukutoa roho sioshidazake
@TWProducts-f4z
@TWProducts-f4z 11 ай бұрын
Dada umepata huyo kaka tulia mambo ya pesa sogeza pemben tanguliza upendo dunia itakuwa mahala salama pako wew kuishi
@shakiramshule342
@shakiramshule342 11 ай бұрын
Uyu Eliza ana zarau sana
@lydiahkerubo4985
@lydiahkerubo4985 Жыл бұрын
Sa huko ni soko kweri😂😂😂 heri nitafute kwa strit😂
@fabiannjovu2273
@fabiannjovu2273 Жыл бұрын
MR RIGHT KAFIKA NA KIZIZI😂
@roseafrael75
@roseafrael75 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@MwajumShaban
@MwajumShaban Жыл бұрын
Kabsa kaogeshwa huyu sibule😂
@AnnaMuhema
@AnnaMuhema 6 ай бұрын
Cha mkwawa
@MwanaidiAbubakariMwanaidiAbuba
@MwanaidiAbubakariMwanaidiAbuba 3 ай бұрын
Kipind kwaza kinaboa wamekua stori tu sasa hiv huyo doct kaw kiherehere san mnaboaaaaaaaa na stori san
@HamiduNumbi
@HamiduNumbi 9 ай бұрын
Eliza anamdomo uyo dada😅
@AgnesBenedict-k4b
@AgnesBenedict-k4b 3 ай бұрын
Mmmmh siyo pw jamn dunia imeisha
@YunusShelukanya
@YunusShelukanya 9 ай бұрын
Mbona iko wazi tumekataa kutafutiwa wake na wazazi sasa tunachukua makahaba jukwaani mwanamke kweli mwenye maadili ya kua mk huwezi mkuta akijitangaza apo tunaomba rekodi zao hau mlio wapa wanawake wamewai kuoana kweli ama wana duu tu nakupitishana uku kweli unaweza mtambua mtu kwa kumtazama. MUOGOPENI MUNGU.
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 9 ай бұрын
Dunia inamamambo mengi nahaya yote nkatka upotevu Hawata waridhia mpka mtakapo fuata mila zao hapo hakuna ridha ya ALLAH uchumba unautaratibu wake bali uyahudi ndio leo umetawala .
@Bizmind472
@Bizmind472 11 ай бұрын
I like mr right ya kibongo si kama ya kwetu
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 9 ай бұрын
Ya kwetu inaboo ata siwatchingi simi fun
@Bizmind472
@Bizmind472 9 ай бұрын
@@fatumomatano9752 kweli
@AbdulSaleh-t4d
@AbdulSaleh-t4d 9 ай бұрын
Ya bongo hata na watoto unaangalia
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy Жыл бұрын
Hatari 😅
@IreneMinja-bm8zj
@IreneMinja-bm8zj 8 ай бұрын
Mwanaume anaejielewa na ana akili timamu hawez kwenda kusimama na kuchambuliwa ivo 😂😂😂😂 . Au mtafute namna mtaboresha kipindi chenu isonekane kma mnajiuza
@rehemamkude6766
@rehemamkude6766 8 ай бұрын
Mambo yakibadikika na ww badilika. Tupo kiditali ndg. Yaani hakuna namna. Ninawapongeza sn wabeba maono haya. Big up sn! Ss ww bakia hapo kwenu usubirie kugongewa Mlango.
@ericbrunokalonndwa8590
@ericbrunokalonndwa8590 Ай бұрын
Hiyo ni art kuna mawazo tofauti kunabwatu wanasema hawawez hapo ila ukiwakuta ohio wanachaguaukiwakuta baada nis sehem zao ni mtazamo tu kila mmoja anakipawq chake
@Godfrey-n7c
@Godfrey-n7c Ай бұрын
Ahaaaweee
@edwardpaulo3351
@edwardpaulo3351 11 ай бұрын
Mwisho wasiku serikari yetu ni kututangazia ukahaba hazalani yani tunako elekea tz mmmmmh Aisee nikubaya sana😢
@musondolirobert3922
@musondolirobert3922 Жыл бұрын
Aliya leo nimevutwa na mivalio yako leo❤
@ConsolathaKanosius
@ConsolathaKanosius 4 ай бұрын
Jamani wadada tujitahidi kutafuta hela kwajasho na so kujiuza jamniii daaa
@hanifaalhanif6392
@hanifaalhanif6392 Жыл бұрын
mashallah i like this gays
@elianeradius
@elianeradius Жыл бұрын
Tumia tu kiswahili ndugu😅.
@inno5044
@inno5044 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@regen5458
@regen5458 10 ай бұрын
Haki wewe 🤣🤣​@@elianeradius
@ChriswaMaria
@ChriswaMaria 5 ай бұрын
Hivi hizi insh ni kweli au kwamba wanatafuta wachumba
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Жыл бұрын
Huyo eliza leo kaangukia pua vile alivyowaza alijua atachaguliwa yy
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Halafu si mmama kabisa hata sauti yake inaonyesha 😂😂huyo mkaka atakuwa ni mdogo kwake
@LindaMohamedi-h9e
@LindaMohamedi-h9e 3 ай бұрын
Eee Mungu wasamehe maana hawajui walitendalo
@restypeter1141
@restypeter1141 Жыл бұрын
Elizaaaaa sahiv kila mwanaume anampenda😂
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh Жыл бұрын
Baada ya kuchunda😂😂😂 ukiringa sn haya ndo madhara
@salomevenance9555
@salomevenance9555 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄jmn
@irenemacha5661
@irenemacha5661 Жыл бұрын
Kishangazi😂😂😂
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Жыл бұрын
😄
@BestaNyambalafu
@BestaNyambalafu 8 ай бұрын
🤣🤣Anajikutaga malkia saiv kachunda mwenyewe
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s 2 ай бұрын
Huyo kaka basi kichwa hichooo
@danielndei5420
@danielndei5420 10 ай бұрын
ufala ya hii show ni mziki kua so loud kushinda sauti ya watu ,..mziki background music inaboa sana na its too loud,.. ila LOLO mzuri
@Luccado-kn2xs
@Luccado-kn2xs 2 ай бұрын
Kumbe inabidi tunyoe maparaa
@FestoBalagaju
@FestoBalagaju 4 ай бұрын
Nimekukubali mwamba
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Жыл бұрын
Gara b alikua kwa bongo star Sasa hapa Tena vipi au kipndi kimerek0diwa kabla??
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 Жыл бұрын
Mbona yupo huku mda tu
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 Жыл бұрын
Huna wanarekodi ndio maana wanatuma sub clip za kipindi kijacho
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Жыл бұрын
Oooh sawa
@johanesjofrey2105
@johanesjofrey2105 2 ай бұрын
Na Mungu mnamuhusisha ktk hii biashara yenu?
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
UTACHEKA NDARO NA STEVE MWEUSI WAKITONGOZA DEMU
8:37
Ndaro Tz
Рет қаралды 443 М.
LAST CHANCE | 7 |
21:11
Chinga Media
Рет қаралды 207 М.
BSS 2024 SE15 EP05 DAR | FULL SHOW
1:30:47
BongoStarSearch
Рет қаралды 169 М.
Хорошее время было!
1:00
Дмитрий Романов SHORTS
Рет қаралды 1,1 МЛН