UTACHEKA EX AHARIBU PENZI JIPYA | SIMTAKI ANA MAZOEA NA X | ANA WATOTO WAWILI (MR RIGHT S6E04)

  Рет қаралды 70,723

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 195
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 Ай бұрын
Jamani Dr kumbuka anamabangohatari😂😂😂
@safiunamugen7476
@safiunamugen7476 Ай бұрын
Nyinyi mnaharibu sana kabla warembo hawajaona nyinyi mshatoa makosa😢😢😢
@Salhamohamedimwampagatwa
@Salhamohamedimwampagatwa Ай бұрын
Ila napenda sana kufatilia iki kipindi sana kwasababu nakipenda sana ila sasaivi mnanikela jamani aswa kumbuka wewe unakashfasana namamista laiti sijapenda kamaapo unavyosema eti anamiaka 40 eti mpakaakija kuzaa mtoto wakwanza aje asome siatakua kashakufa siyo vizuri ivyo mwisho wamli wamtu ajuae nimungu pekeake nasiyo kiumbe kingine chochotekile nimejisikia vibaya sana apo punguza kashfa au acha kabisana
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j Ай бұрын
Sana huyu kumbuka mala namuona anaharibu sana kipindi anpenda sana vikashfa kashifakwa ma mr rights
@AlexFedrick
@AlexFedrick Ай бұрын
Jaman uwenda ndvy alivyo tumzoeee bure
@eliasj1015
@eliasj1015 Ай бұрын
Kumbuka ananigesha Yuko vzuri sana
@SiaEldar
@SiaEldar Ай бұрын
Yan wanaboa
@OmaryMapande-d7d
@OmaryMapande-d7d Ай бұрын
Mr.kumbuka unawadhalilisha wakina Mr. Right
@dariusshukuru8490
@dariusshukuru8490 Ай бұрын
Nafatilia kipindi hiki sana Natamani siku nifike ndani Studio hii,ao niwe Mr Right tuko Drcongo Lubumbashi Nawapenda sana
@tunuyaomar5017
@tunuyaomar5017 Ай бұрын
Jamani mambo anayofanya kumbuka hata kama hutaki kucheka lazima ucheke😅😅
@jalxs6745
@jalxs6745 Ай бұрын
Sasa mwataka akataliwe au vp mwaaribu kipindi😢
@gaspalinasambala6853
@gaspalinasambala6853 Ай бұрын
Gara b kwa sasa mnaharibu kipindi mnasema sana hao Mr right jamani mpaka wanakosa nguvu za kuongea sio poa jaman wachamben hao wadada wanaochagua wanaume sanaaa sio hao wakaka jaman plz aliya nichambie hao wadada hasa huyo mashavu na johari watakalia hayo mabenchi mpaka wakome
@HawaJumanne-uy4eu
@HawaJumanne-uy4eu Ай бұрын
Mnaharibu sana sasa hivi why mnawasema wanaume hivyo
@EllymellyNdondole
@EllymellyNdondole Ай бұрын
😂😂😂😂😂 nachek kam mazurii ila kumbuka anakauli san apunguze bhn😅😅😅
@GiftAbduly
@GiftAbduly Ай бұрын
Bora uyo dada kakataaa aisee ungejuta hawa watu wa ex wa hivi ungelia
@DayanaFrance-j8v
@DayanaFrance-j8v 24 күн бұрын
hahahaha
@harunadaudi5628
@harunadaudi5628 Ай бұрын
Hyvi huyu kumbuka mbona anamaneno ya kashfa dadeki unaalibia watu punguza,shobo bro😮
@MiliamNeneka-us5ks
@MiliamNeneka-us5ks Ай бұрын
Kumbuka ananipa raha😂😂😂
@StewartYembi
@StewartYembi Ай бұрын
Mnaongea sana mbawafanya ma Mr right wanakosa confidence mnawaharibia
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 25 күн бұрын
Ebu mtoeni dr kumbuka n falaa saana yan hafai wallah anaharibu saaaana akina mr right😢
@BeatriceSonga-r2y
@BeatriceSonga-r2y Ай бұрын
Mi kuanzia 40 ndo nawatafta mpaka 50 apo😆😆
@yussufayoub8233
@yussufayoub8233 Ай бұрын
Mm nipo nini 42
@EbanaMirumbe-ve6bf
@EbanaMirumbe-ve6bf Ай бұрын
Napenda kuangalia hio shoo ila kinga' muzi changu kinagoma goma yaan naangalia huku nazungusha antenna yaan daah
@maryamabdallah2702
@maryamabdallah2702 Ай бұрын
Kipindi na kipenda ila mnapenda kuwashushua sna kina Mr right achebi jmn kuwashushua hadi mie najiskia vibaya, kumbuka punguza
@DayanaMwakajinga
@DayanaMwakajinga Ай бұрын
Tunaombaa thanaa uyo kumbuka asiwepo dada et yuko wapiii luludiva
@rukiaelisam671
@rukiaelisam671 10 күн бұрын
😂😂😂Sasa gara B huku kuimba mpenzi yamekwisha vipi ?Mimi nitakuja hapo stej na ex Wangu sijui utanimbia nyimbo gani
@MunaMuna-t5c
@MunaMuna-t5c 5 күн бұрын
Ila kumbuka jmn unanichekesha heheheeeeeeesess
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Dr.kumbuka bwana eti eeeeh Dada mkavu huyu kama Perege😂😂😂😂😂Hawa warudianetu maana Hawa kupasha kioro nikawaidatu simu mojatu anapaa kama kunguru😂😂😂😂😂
@bahatielias6443
@bahatielias6443 20 күн бұрын
Kabisa ,Bora warudiane,natayali wanajuana madhaifu yao
@HilonimsMwinuka
@HilonimsMwinuka Ай бұрын
Huyo bro k anatoa Sana wenzie kasoro mno apunguze mdomo
@MwaniPh
@MwaniPh Ай бұрын
Anayumba sana sijui ni kimtu Cha wap hcho
@mudimkagila5252
@mudimkagila5252 Ай бұрын
HELLO MR RIGHT
@BrendahMwausegha-cf4kw
@BrendahMwausegha-cf4kw Ай бұрын
Kumbuka atolewe apo anakauli mbaya sana lulu diva alud apo please
@husseinbakary1969
@husseinbakary1969 Ай бұрын
Tuliza domo kumbuka ndo ananogesha kipindi
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi Ай бұрын
​@@husseinbakary1969ananogesha nn anawadharirisha tu
@MellodyMasoud-xk9bq
@MellodyMasoud-xk9bq Ай бұрын
Mr Garab Mimi Nipo Malawi Naishi Malawi Nampenda sana Litulu
@elphinejoshua1914
@elphinejoshua1914 Ай бұрын
Dr majuto kumbuka niache😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@leoniaathuman1038
@leoniaathuman1038 Ай бұрын
Huyu Mr right nimemuelewa haswaa sijui nimfate 🙈🙈
@HusseniSadam
@HusseniSadam Ай бұрын
@@leoniaathuman1038 kimbia umfate
@YustaAyubu
@YustaAyubu Ай бұрын
Unaweza vzur tuu
@amosmahona433
@amosmahona433 Ай бұрын
Hahahahaha,hahaha mwamba umetishaaaaaa
@nolascomahundi313
@nolascomahundi313 Ай бұрын
Kumbuka daaaaah😂😂😂😂😂😂mungu anakuona
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 ILA garabiiiiii et brooo hiyo suluali n ya kwako? Mmmmmh sasa ingekuwa so yake angevaa jomonnnnn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@NailaMickey
@NailaMickey Ай бұрын
Dr kumbuka acha ushambenga bhana unaboa una kiherehere mpaka unaboa loooh punguza vimaneno unawaondopea confidence
@DayanaFrance-j8v
@DayanaFrance-j8v 24 күн бұрын
mahusiano hayana umri .umri ni namba tu jmni maisha yaendee kawaidaa jmnii
@ElizaSiwajibu
@ElizaSiwajibu 18 күн бұрын
Jaman kumbuka ananifuraisha sana
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 25 күн бұрын
Kwan dr kumbuka yy hana hiyo miaka 40 ahahahah hao wooote 40 washafka😂😂😂😂
@Ayshapafyum
@Ayshapafyum Ай бұрын
Jmn ila huyu kumbukaaa ananiuaaaa😅😅😅😅
@ebbydjmnyamwezi979
@ebbydjmnyamwezi979 Ай бұрын
Dr kumbuka anakiherehere sana hafai kutaftia mtu mke huyo hastaili kuwepo hapo
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 25 күн бұрын
Aalliah iyo maffi fullus veepe ushawah kwenda gulf😂😂😂
@AishaZadi
@AishaZadi Ай бұрын
😂😂😂😂 kumbuka mungu akusameh
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 WE aliyah wewe et mafi fulusi 🤣🤣🤣🤣
@AishaNikule
@AishaNikule Ай бұрын
Kheeeeh nyieeeeee kumbe
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 Ай бұрын
Kumbuka anakauli chafu sana, sijui kwanini mko nae kwenye kipindi.
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv Ай бұрын
Mume wangu Ana miaka 42 na mm nna 27 nyie kaeni😂😂😂
@MwileMkangwa
@MwileMkangwa Ай бұрын
@@fatimaharoun-np8uv wangu 60 Mimi 28 🤣🤣🤣🤣
@SeplinaNgoja
@SeplinaNgoja Ай бұрын
Baba wa binti42 mume 40 atamheshemu baba yangu kweli?
@mwanaidramadhan-j2j
@mwanaidramadhan-j2j Ай бұрын
😀😁😂😀😁😂😀😂
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Ай бұрын
@@SeplinaNgoja watakuwa marafiki
@bahatielias6443
@bahatielias6443 20 күн бұрын
​@@SeplinaNgojakwakweli Hapo hapana
@BoraHamisi-zl6xy
@BoraHamisi-zl6xy Ай бұрын
😁😁😁 kumbuka umekosa pa kushika amechanganyikiwa
@zainasalum1110
@zainasalum1110 Ай бұрын
Mm mme wangu kanioa nikiwa na miaka 20 yeye alikua na miaka 41 mpaka sasa tuna watoto wawil na tumelingana huwez sema kama mr alinioa mdogo
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 19 күн бұрын
Huyo kumbucha hawez kushauli ndoa
@isdoryfelix30
@isdoryfelix30 Ай бұрын
NAMKUBALI SANA ZAY
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Ila kumbuka wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@BarakaDaudi-f4e
@BarakaDaudi-f4e Ай бұрын
Alafu Kuna mwisho wa mahusiano na sio wa maisha na hamuwezi mkawa ma adui Zay ana kosea wanao nuniana Wana pendana ila ndio hvyo
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r Ай бұрын
Huyo binti amaecha bahati yke,tena mume kakuchagua,listen gal,all men hav past history n are secretv,heri huyo ameweka wazi,hivi ww huna ur past,haya subiri umtengeneze wak kwako❤good luck 🎉😂
@ModesterSeverin-rq5uo
@ModesterSeverin-rq5uo 19 күн бұрын
Vitoto vya siku iz vinavyopenda watu wazima mmh na uyo mwenye mablich ndio anaonekana achagui
@StevLwango
@StevLwango Ай бұрын
Ila uyoo x ameharibuu san kwann asichaguliwe yeye
@ZaituniNyanje
@ZaituniNyanje Ай бұрын
Namtaka mm huyo mbaba mwenye 40 jamani na mm nina 30 tuna endana huyo 🤣🤣🤣
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 25 күн бұрын
Ttz hawasomi comment
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 Ай бұрын
Napenda watu wa hv maswali yanajibiwa papo kwa papo na anakuja jinsia alivyo na uhalisia wake...hawa ndio wanafaa
@JacksonManda-x3x
@JacksonManda-x3x Ай бұрын
Dr kumbuka daah umezingua bhana ila nakukubar unafurahisha kipindi
@HerikaMbuya
@HerikaMbuya Ай бұрын
Kumbuka maneno mngi mnooo
@byamungumapatano
@byamungumapatano Ай бұрын
Mimi Niko Congo Niko natafuta mrembo kudihunga nanyi nivipi
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 Ай бұрын
Ila nyie, Tena Wewe unaye ng'ang'ania Umri, Kuwa kigezo cha kufa haraka. Fanya Utafiti kwenye Taarifa za Vifo, uone ni Umri Upi wenye Vifoo vingi. Hapo umemfanyia Figisu Mr Right
@AishaSuleiman-m7h
@AishaSuleiman-m7h Ай бұрын
Kumbuka unapoint 😅
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Ila kumbuka 😂
@musondolirobert3922
@musondolirobert3922 Ай бұрын
Eveline ule mujinga sana watu wa miaka ya juu ndiyo wanaume wanachunga.wanawake
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 25 күн бұрын
Kenge niny comment zenyew hamsomi😏😏😏
@AnthonyNdaula
@AnthonyNdaula Ай бұрын
Huyu Dr Kumbuka Anafaa kuwa comedian😂😂😂
@RahimaShaik-hk7rb
@RahimaShaik-hk7rb Ай бұрын
😂😂Et mtumzima ovyo
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
We Dada unaakili hawa Ex hatarii haviishagi upo sawa sanaa
@MarieNgabo
@MarieNgabo Ай бұрын
Nawapeda sana III kipidi niatalo
@LovenessWaibe
@LovenessWaibe Ай бұрын
Arya acha haiwezekani x mkumbatiane kiasi hiko halafu et just ni hawakuachana kwa shari nyoooo, Tanzania hakuna kuachana kwa amani bwana to iache unafikiii
@hiki242
@hiki242 Ай бұрын
Dk kumbuka jmn😂😂😂😂
@FatmaAhmad-y1k
@FatmaAhmad-y1k Ай бұрын
Kumbuka anapandikiza loho kubwa jamani
@aminasima1514
@aminasima1514 Ай бұрын
Ila dada aliyah hizo nguo shoga mmmmh
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Ай бұрын
Kujiuza tuu hapo
@mariamabraham-q5x
@mariamabraham-q5x Ай бұрын
Dr kumbuka asiondoke hapo kwa stage isipokuwa apunguze kdg machambo.. ila hayo kachambo yaende hasa kwa hao wadada😂😂maan wanakera wameenda hapo kutafuta wachumba halaf wanaleta nyodo😂😂
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
@@mariamabraham-q5x ko unataka wajizolee mavi 😉
@mariamabraham-q5x
@mariamabraham-q5x Ай бұрын
@DoriceEdward-l6s acha wajizokee mavi ndio wanata iwe hivyo.
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
@mariamabraham-q5x 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 wewe mbinguni utapaskia harufu tu nakwambia
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
Li mr lait libayaaaaaaa
@bahatielias6443
@bahatielias6443 20 күн бұрын
Hakuna mbaya duniani Dorice
@SilverTaric
@SilverTaric Ай бұрын
Kumbe Gara B ni mkubwa alaaa
@GgjTfg
@GgjTfg Ай бұрын
Haka kazee kahovyo🤣
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Ай бұрын
Kumbuka unakera sana wewe ndiyo unasqbabisha Mr right wanakataliwaa unaniniblakinii
@AishaSuleiman-m7h
@AishaSuleiman-m7h Ай бұрын
Watu 2nadet na waliowapita bab zetu umri bab yangu mkubwa na yeye pia mdogo boooh
@angelrichard899
@angelrichard899 Ай бұрын
Kumbuka kama hata jilekebixha kuwa anawakaxhifu ma Mr Right wamtoe atafanya wadada waxipate watu xahihi watakuwa wanapata Bora watu.....
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Ila kaka mbina yupo vizur tu hawa qdada vp
@gibran254
@gibran254 Ай бұрын
Michipsi na mimayonais miaka sitini ndio maximum😂😂😂
@josephkigembe-ec4pq
@josephkigembe-ec4pq Ай бұрын
Session hii sio Kumbuka, sio Gara Bartazal wote wamechachuka viungo vingi huaribu mchuzi.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Yn uwo umri kwa mwnaume wla si mbaya mm ndo naoenda mwnaume anipote miaka mingi
@elinapetro7136
@elinapetro7136 Ай бұрын
Wadada wembamba sisi tunawivu jaman!😢😢😊
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg Ай бұрын
Sana jmni sijui moyo uko nje ya ngozi😢😅😅😅
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi Ай бұрын
​@@RayyanRayyan-rt9cg😂😂😂😂 et moyo upo nje ya ngozi
@estomiailomo7844
@estomiailomo7844 Ай бұрын
Yani hiki kipindi kilikuwa kizuli ila mnakihalibu mnazodoa watu spendi kbs
@kingkiller-fn1cf
@kingkiller-fn1cf Ай бұрын
Huu kumbe ni mchongo leo ndonimeelewa huyo zai namjua vizuri sana na naanamwanaume na istoshe nimwigizaji leo ndonimeelewa mnafanya maigizo
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Ай бұрын
Kumbe maigizo
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke Ай бұрын
Ila kumbuka acha hizo za mahesabu huna Siri na mungu ww
@kwamemayala
@kwamemayala Ай бұрын
Wanadeti nao sana tu wanajishaua kwani huwa hata akili ya kuuliza miaka waongo wanafiki hao wadada wanachotaka ni pesa
@alfredamapunda1321
@alfredamapunda1321 Ай бұрын
Makubwa 😂😂😂😂😂
@RahmaBako
@RahmaBako Ай бұрын
Kumbuka upo juuu
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt Ай бұрын
Majaji mna tabia mbaya
@CeciliaLeonarMwita
@CeciliaLeonarMwita Ай бұрын
Kumbuka kazidi mpaka anaharibu bna
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe Ай бұрын
😂😂😂Hahaha haha hahaha haha hahaha haha hahaha
@HawaTuwa
@HawaTuwa Ай бұрын
Dr kumbuk anaharib kipindi kwa mineno yake ya shombo😏😏😏
@maryamabdallah2702
@maryamabdallah2702 Ай бұрын
Kumbuka hekima inakuja na umri hujioni ww kumbuka hunabhekima jitazame unavyoshushua wenzio kwa kuwa umri wko mdogo utapata wp hekima
@Abdurazaki-k5w
@Abdurazaki-k5w Ай бұрын
Oya kumbuka anachekesha sana
@HalimaLikele
@HalimaLikele Ай бұрын
Garabii awo wadada wanasababu za kijinga sana muwe mnawambia ukweri bwana ❤❤😂🎉
@RamlatyMkwata
@RamlatyMkwata Ай бұрын
Kabisaa mi wananikera wanawatetea hao wanawake na kuwakosoa mr right,😮 hamuwatendei haki ma mr right mtu anaingia vizuri hata kama kuna mdada amempenda lakn majaji mnamkosoa mpk mtu anakata tamaa
@MarthaSimoni-x1y
@MarthaSimoni-x1y Ай бұрын
Dkt kumbuka anabarib kipind buan
@JescaPetro-e7h
@JescaPetro-e7h 17 күн бұрын
Kumbuk jaman ana nikosha amenifanya nifatilie iki kipindi
@RamadhanMwinyimku-dw4od
@RamadhanMwinyimku-dw4od Ай бұрын
Mpambanieni mwanaume mwenzenu apate jiko
@Oliver_philemoni
@Oliver_philemoni Ай бұрын
Me naweza kudete nao 40 me 22 niwatu wanajitambua sana
@mohamedameir
@mohamedameir Ай бұрын
Hamna adabu
@rashidhr2662
@rashidhr2662 Ай бұрын
Kumbuka hakimfai hicho kipindi.....Anakauli chafu sana
@amosmahona433
@amosmahona433 Ай бұрын
UKwelli kabisa anadhalilisha sana
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [43] SEASON 2 FINAL
31:24
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 63 М.
KAMA UNABISHA NIPE MKONO  - KIMBEMBE
4:58
Wasafi Media
Рет қаралды 120 М.