WAREMBO WAWILI WAGOMBANIANA MR RIGHT MMOJA | ALIYEKATALIWA AMWAGA CHOZI HADHARANI ALIMPENDA S04E19

  Рет қаралды 71,260

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 103
@PrincessOde-w4b
@PrincessOde-w4b Күн бұрын
Jamani nimegoga like nikajua jux
@PendoPeter-q1e
@PendoPeter-q1e 7 күн бұрын
Kama jux jmna nani kagundua jaman gonga like
@EmelyneManizana
@EmelyneManizana 9 күн бұрын
Huyu Mr Right anafana na jux Show kali kinoma❤❤
@OrgenesKimario
@OrgenesKimario 12 күн бұрын
Kidogo niseme jux
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 11 күн бұрын
Jaman jaman jaman binafi n mpenzi wa siwema nampenda sana yaan ningekua naweza kwenda hapo Mr right ningeenda kwaajili ya siwema ❤❤❤
@simonmaina8220
@simonmaina8220 7 күн бұрын
Baadest ❤❤
@PatrickTarimo-t3q
@PatrickTarimo-t3q 4 сағат бұрын
Kazi ipo
@MaryamImrani-y3h
@MaryamImrani-y3h 11 күн бұрын
Jamn aliyeon shat yazuwena imechanik kwapan nani 😅😅
@ShakuurRayyan
@ShakuurRayyan 9 күн бұрын
Usinifany nikaanz vdeo nzim tafadhali 😂😂😂😂
@asmahassan5661
@asmahassan5661 8 күн бұрын
Mm apa😂😂😂
@ESTHERENDLES-db1zw
@ESTHERENDLES-db1zw 8 күн бұрын
mh acha nianze upya kuangalia hd nione maana umenfanya ncheke kwa saiti😂😂😂😂
@djanfarmoulay6865
@djanfarmoulay6865 8 күн бұрын
Nauza mafuwa Kwa bei nafuu😢😢 tena ni Yale makalii😢😢 Ila naitaji mnunuzi mwenye uhakika 😢 4:50
@marthasonia5005
@marthasonia5005 8 күн бұрын
Nice 🔥
@nganshiog3180
@nganshiog3180 5 күн бұрын
wew mshangz mm nimeshakuelewa
@VENOM-nf6dr
@VENOM-nf6dr 11 күн бұрын
Icho kinguo cha ndan cha juvic toka 2023 😂😂😂😂
@Stafamuigizaji
@Stafamuigizaji 12 күн бұрын
Daaaah''' Leo Yangu ni macho tu
@SalimOmary-q9n
@SalimOmary-q9n 4 күн бұрын
Siwema chombo bwana
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 11 күн бұрын
Pole sana siwema
@jacobclavery1532
@jacobclavery1532 11 күн бұрын
Mrs right kafrah kabisa kutoka moyoni❤️‍🔥
@KulimushiMihigo
@KulimushiMihigo Күн бұрын
Yani mnani furaisha😅😅😅
@IzkiOamn
@IzkiOamn 8 күн бұрын
Mwenyw nilijua jux😂😂
@KebyeraHappy
@KebyeraHappy 8 күн бұрын
Zuwena uko vizuri
@Stafamuigizaji
@Stafamuigizaji 12 күн бұрын
Mjitaidi caméra iwe kwa recho sana😂😂 jamani tuombeane nifike hapo pia😂
@SaidyAthumani-c1m
@SaidyAthumani-c1m 3 күн бұрын
😂😂😂😂
@KlugarNguvila
@KlugarNguvila 11 күн бұрын
iLike it
@Aishakidevu
@Aishakidevu 4 күн бұрын
Jux
@allyselemani785
@allyselemani785 Күн бұрын
Akili nyingi kama movie za james bond
@ReyzDon
@ReyzDon 8 күн бұрын
Doctor kaongea point Sana
@ShabanBenjamin-j2g
@ShabanBenjamin-j2g 5 күн бұрын
Msela wangu juvic kulikoni tena kutafta mademu uko😂😂😂
@manongadancers5886
@manongadancers5886 12 күн бұрын
Aiseee mpenzi ni balaaa
@AhadiMkuyu-jo1rt
@AhadiMkuyu-jo1rt 5 күн бұрын
Yani wanadharau Et bishoo yani mabinti wengine ni mapepo aisee
@aika3024
@aika3024 11 күн бұрын
Hivi vidada havijielewi😏🙄 Siwema kapata alichokuwa anakipanda😅 acha aondokee😂
@ZephaniaCharles-g8u
@ZephaniaCharles-g8u 17 сағат бұрын
Hawajamaaa wamefanana mpakalaha
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l 9 күн бұрын
Ila Angechagua siwema tu
@JamesProffesoe
@JamesProffesoe 5 күн бұрын
Mmmmm kumbe dunian tuko wawili wawil mm nikadhan jux
@ClantLameck-u6e
@ClantLameck-u6e 4 күн бұрын
Hatar anafanana na juma jux
@HusnaBinti-o5c
@HusnaBinti-o5c 8 күн бұрын
Duuu wanafanan san na jux😮😮😮😮😮😮
@charlesgeorge2855
@charlesgeorge2855 9 күн бұрын
Ila amygal unamsakama mtu sanaa
@ShamsaLeba
@ShamsaLeba 5 күн бұрын
😂😂😂uyu jovi kweli kakuwa mtoto wa kondo sekondari
@jacquesmuhongya5368
@jacquesmuhongya5368 5 күн бұрын
Kekekek😂😂 zuwena hawa muoni kabisa hata mimi na shangaa
@HamadBashir-bs5wo
@HamadBashir-bs5wo 4 күн бұрын
Mchunguzaji wa maisha sio mke😂
@AshuraGeorge-s4m
@AshuraGeorge-s4m 4 күн бұрын
Amefanana na mond
@PhilimonPaul
@PhilimonPaul 8 күн бұрын
Huyo jaamaa nikama jux
@NeyNkwabi-p3b
@NeyNkwabi-p3b 2 сағат бұрын
Mchezo mbaya huu jaman unakataliqa live
@barakamoses1535
@barakamoses1535 2 күн бұрын
Namuelew san siwema ni bint mrembo san
@Nyerere-fq9ls
@Nyerere-fq9ls 8 күн бұрын
Hata mm nilijua ni siwema daaaaaa
@Ellybeny
@Ellybeny 5 күн бұрын
Hv kweli wanaenda kuwa na mahusiano??
@christinachemka3416
@christinachemka3416 8 күн бұрын
Jaman zuwena😂
@nisherlastborn8841
@nisherlastborn8841 3 күн бұрын
Kwani zuwena au bas
@RosemaryMasanja
@RosemaryMasanja 8 күн бұрын
Mii nilijua atatoka siwemaa
@abbygeorge8394
@abbygeorge8394 8 күн бұрын
Garab akikushika mkono tu bac unaachwa hahah😂😂😂😂😂
@jacobrohit4988
@jacobrohit4988 9 күн бұрын
Unavyo kataa wengina divyo umektaliwa😂😂😂
@MerryKivafi
@MerryKivafi 6 күн бұрын
❤😂
@Ladyzeal-y4m
@Ladyzeal-y4m 9 күн бұрын
Kwaiyo huyu si jux😮
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 9 күн бұрын
Wewe siyo ndugu kweli
@EvaSanga-k6x
@EvaSanga-k6x 8 күн бұрын
Nani ameona zuwena kanguo kamechanika🤣🤣
@LeylaSaria
@LeylaSaria 9 күн бұрын
Sema jux kbsa jamn 😂mpk kutabasam
@MariamObote
@MariamObote 9 күн бұрын
Ivi zuena unashida gan lakin😂😂😂😂😂
@HalimaKapela
@HalimaKapela 10 күн бұрын
Uyo Rachel anavyo jishauwa
@AminaYusuph-f4f
@AminaYusuph-f4f 2 сағат бұрын
Jmn kwan ukimjua m2 nd umseme km hv
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w 11 күн бұрын
Hiv kushirik Mr right. Kuna vigezo au yoyote anashiriki
@LucyPaschal-p1t
@LucyPaschal-p1t 9 күн бұрын
Jux uyu kabsa jmn
@davidmsangi3964
@davidmsangi3964 6 күн бұрын
meno ya recho ni kama mla mirungii twende mbele turudi nyuma
@dariusshukuru8490
@dariusshukuru8490 11 күн бұрын
Kipindi hiki kwangu kina nifundisha kbs,na wakati navutiwa ili siku Moja ni we Mr Right kutoka Drcongo Lubumbashi
@magrethpaul5844
@magrethpaul5844 5 күн бұрын
Niko Tayali
@dariusshukuru8490
@dariusshukuru8490 5 күн бұрын
@magrethpaul5844 tayari kufanya nini??
@ThadieIsisa
@ThadieIsisa 8 күн бұрын
Kafanana na jux au kakakee?
@MaryKawamala
@MaryKawamala 7 күн бұрын
Sema wanawake wa hapo hawako siliasi wanatania so wajilekebishe
@AminaLuhumba
@AminaLuhumba 7 күн бұрын
Mbona kama tishert ya zuwena imechanika😂😂😂😂 kwenye kwapa
@Riffahhussein
@Riffahhussein 7 күн бұрын
Sio tshirt ni top😅
@AminaLuhumba
@AminaLuhumba 4 күн бұрын
@Riffahhussein eeeh hiyo hiyo
@Riffahhussein
@Riffahhussein 4 күн бұрын
@@AminaLuhumba 😂
@SwaibaRashidi-us7ux
@SwaibaRashidi-us7ux 5 күн бұрын
Hawa wanaume vp zuwena hawamuoni
@isunga1964
@isunga1964 12 күн бұрын
😂😂😂😂😂jamani wekeni na wakati wa mashangazi tuje
@LeylaSaria
@LeylaSaria 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂unaruhusiwa mbn Kwan hapo huwaon😂
@AngelPatrick-h6t
@AngelPatrick-h6t 6 күн бұрын
😂😂😂umenifurahisha my dear
@hassanbilaly-cq1xe
@hassanbilaly-cq1xe 12 күн бұрын
Jmn hiki kipindi huwa nakipenda mno ❤️
@alfanmwenda8589
@alfanmwenda8589 Күн бұрын
Diamond kachukua nyota ya zuwena kama alivyochukua ya lavalava
@constancioMaurício
@constancioMaurício 12 күн бұрын
Daah Léo himezidi
@tzbrowntz
@tzbrowntz 10 күн бұрын
Nipeni vigezo vya kufika hapo
@RizoIbrahimovich-z4f
@RizoIbrahimovich-z4f 12 күн бұрын
Mbona kama nmemuona zuwena 😂😂 nayeye anatafuta mr right duh kipindi cha umalaya sana
@isunga1964
@isunga1964 12 күн бұрын
😂😂😂😂ndoo yeye
@davidpeter2398
@davidpeter2398 11 күн бұрын
Amigal hajui kuhoji km ugomvi aisee
@julianamuga389
@julianamuga389 11 күн бұрын
Huyu ammy km ta....hi....ra ye kuweza mxiuh
@CharityImaculate
@CharityImaculate 12 күн бұрын
Sophia?😢
@gastoenock3020
@gastoenock3020 6 күн бұрын
Abdul ni kama Ronaldo tuu uwanjani yeye anatumia miguu yote miwili..
@davidmsangi3964
@davidmsangi3964 6 күн бұрын
shakira sema ukwli hujawai kuvuta shisha??
@lawrenciamkolwe796
@lawrenciamkolwe796 11 күн бұрын
Zuuuuuui
@MankaVodacom
@MankaVodacom 8 күн бұрын
huyu si yule anatembeza korosho jaman mbona shisha tena au kadanganya
@nessasment.1727
@nessasment.1727 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 ety korosho
@HawaJumanne-uy4eu
@HawaJumanne-uy4eu 7 күн бұрын
Wewe umemfaninisha na yule anayetembeza korosho kkoo siyo yule mkono wake mmoja mbovu😅😂
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 8 күн бұрын
Shakira IMO sahihi
@asteriaslaa5482
@asteriaslaa5482 8 күн бұрын
Umepata mtu unayeendana nayè mwali... Siyo unakuwa na mtu ukicheka wigi la mama yake anakukasirikia badala mcheke wote😂😂😂😂😂😂
@joymamwanga5036
@joymamwanga5036 11 күн бұрын
Nilijua tuu kabeba shangingii ila uyo alovaa orange alikuwa wife material. Ila uyo alombeba ni wife of benefits 😂😂😂 atapigwa na vitu vizito mana anapeleka mbwa mawindonii
@lawrenciamkolwe796
@lawrenciamkolwe796 11 күн бұрын
Duu mdada akitoka hapa asirudi tena kuludi ni umalaya to
@EvaemmanuelMondea
@EvaemmanuelMondea 11 күн бұрын
Mbon hawafanan jamn atoe miwani
@dariusshukuru8490
@dariusshukuru8490 11 күн бұрын
Byashara haramu kwani... Madada hawataki masiyara kweli Nafikiri Shakira ana haki ya kuwa namu simamo huwo
@AminaYusuph-f4f
@AminaYusuph-f4f 2 сағат бұрын
Jmn km unamjua m2 nd umseme km hv kwl
@JacksonMn
@JacksonMn 12 күн бұрын
Huyu suena anatafuta nini tena huku
@DianaElia-o5p
@DianaElia-o5p 11 күн бұрын
@@JacksonMn mh nikajua macho yangu kumbe naww umeonaa ee
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 9 күн бұрын
😂😂Apo ssa
@AminaYusuph-f4f
@AminaYusuph-f4f 2 сағат бұрын
Jmn kwan ukimjua m2 nd umseme km hv
SALUH AKIIMBA SEYA BSS | MAJAJI WAKOSA LA KUSEMA |
5:27
SALUH Tz
Рет қаралды 156 М.
Горы Бесплатной пиццы
00:56
Тимур Сидельников
Рет қаралды 8 МЛН
UNABII KUHUSU KAMPUNI YA SAFARICOM- KAMPUNI KUANGUKA 2027
1:40
PROPHET ASHERI MINISTRY (EGTM TV)
Рет қаралды 52
NDARO NA STEVE WALIVOKIWASHA KISA MWANAMKE
12:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 25 М.
KWA KISWAHILI HOTUBA YA IBRAHIM TRAORE' MBELE YA RAIS VLADIMIR PUTIN
5:35
ARUSHA ONE RADIO
Рет қаралды 1 МЛН
BI HARUSI KAMWIMBIA HAPPY BIRTHDAY MUMEWE UKUMBINI
3:26
MC CHAOPA
Рет қаралды 333
Zakir Naik Looses It on Audience and Christian Missionary
13:44
Only One Way
Рет қаралды 1,7 МЛН
Горы Бесплатной пиццы
00:56
Тимур Сидельников
Рет қаралды 8 МЛН