MASKINI MREMBO AKATALIWA | HAMNA MWANAMKE WA KUNIFAA HAPA| HANA SURA NZURI | (MR RIGHT S6E01 PART D)

  Рет қаралды 74,922

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 326
@UwajenezaJazira-cv7et
@UwajenezaJazira-cv7et Ай бұрын
Asante sana ndugu zetu kutoka East Rwanda 🇷🇼 Tunawapenda sana ndugu zetu wanao kubali kazi nzuri yakutuwekeya full video hizi wanatuwekeya gonga like hapa
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 Ай бұрын
Kweli mimba zengine hazijitoi mpk pale hnapo kwenda kuzaa...zngin zinajificha....
@CollinAgustine
@CollinAgustine Ай бұрын
Mr garab jitahidini jaman hichi kipindi mkirushe live on KZbin wengine hatupo bongo tunapata shida
@justineonline6556
@justineonline6556 Ай бұрын
@@CollinAgustine nitaongea na producer iwe hivyo.
@husseintayar699
@husseintayar699 Ай бұрын
Ni kweli tupo weng nje tunakipwnda
@MariamuSandaly
@MariamuSandaly Ай бұрын
@@CollinAgustine jamani mnashanga Nini. Iyo ipo kabisa Mimi nilimpeleka mdowangu kwa hali ya homa. Alafu akaza. Lpsekisheni. Yani mapokezi namtot mkubwa tu
@esthermugoli4527
@esthermugoli4527 Ай бұрын
@@justineonline6556thank you ❤
@brandsmedia4861
@brandsmedia4861 Ай бұрын
Sasa umezingatia kwamba ving'amuzi vinauza vifurushi kupitia vipindi hivi?. Wakiweka live hapa means hakuna biashara tena
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 Ай бұрын
Gara B yupo sawa wengine mpk wanazaa hujui halafu kijana mdogo
@esterjapheth5331
@esterjapheth5331 5 күн бұрын
😂😂😂😂jmn Dr Kumbuka hapn🙌🏻🙌🏻
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Ай бұрын
😂😂😂 matumbo yanatofautiana acheni ubishi 😂😂😂😂
@TheresiaEmmanuel-nr3iu
@TheresiaEmmanuel-nr3iu Ай бұрын
@@YusraSiyaleo-yk2fz ni kweli kabisa Mimi nimeshihudia hilo kwa ndugu yangu Yani nilijua ana miezi mnne lakini alijisikia vibaya na alipopelekwa hospital alijifungua mapacha
@MwitaMarwa-s6u
@MwitaMarwa-s6u Ай бұрын
@@YusraSiyaleo-yk2fz kabisa mimi nimeshuhudia kwa dada mmoja yaani mpk anajifungua hakuna aliejua kama ana mimba
@RoddaMsabi
@RoddaMsabi 29 күн бұрын
@@YusraSiyaleo-yk2fz kabisa
@EmJesho
@EmJesho Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kweli tutaenjoy kweli msimu uu daah noma sana
@FatmaAhmad-y1k
@FatmaAhmad-y1k Ай бұрын
Jamani musimkatalie.kunawengine hawanaga matumbo mm mwenyew mama yangu alikuwa haniamini kama miezi imekalibia mpaka najifunguwa ndo kaamini
@DorcusDaud-e5f
@DorcusDaud-e5f Ай бұрын
@@FatmaAhmad-y1k wanabisha me nishawahi kaa na mtu ,,,,na sikuwahi kujua kama ni mjamzito,,usiku analia anagara gara,,me nimekazana kumuambia labda chakula tulichokula🤣🤣🤣 nilivyoona yupo serious kulia nikaita watu anafika hospital eti huyu moja kwa moja Labour 😂😂
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Ай бұрын
Mama ako mm madocto nakwenda kuzaa hawaamin tena Pacha mamba ykwanza na mtu mnene kuna wengine maziwa ni mkubwa ila tumbo hwana
@DorcusDaud-e5f
@DorcusDaud-e5f Ай бұрын
@@Rizikialiamechannel763 tatizo watu kuelewa ndy hawataki
@NuraynAllyMakoye
@NuraynAllyMakoye Ай бұрын
Hata mimi niko ivo mtu hawez kujua
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Ай бұрын
Kweli wanabisha tu lkn mm mjombaangu aliishi na mwanamke miezi 4 anajifungua
@hawababy120
@hawababy120 19 күн бұрын
Wajina unatuzalilisha kwakweli😂ila kumbuka bana unanimaliza😂😂😂
@AbrahEliud
@AbrahEliud 17 күн бұрын
@@hawababy120 ww n mzuli
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 22 күн бұрын
ndugu zangu mimi ni daktari wa wanawake na watoto lakini hauwezi kuamini mimi na mume wangu ambaye pia ni daktari tulikua na binti wa kazi tumekaa nae kama miezi 2 tu siku napigiwa Sim na mume kuwa nirudi nyumban kuna kitu nikarud nakuta bint kajifungua mtoto jikoni tukakuwahisha hospitali ya botchi pale. Inamaana bint wa kazi alikuja na ujauzito mkubwa kabisa bila sisi kujua na haukuonyesha kbs na alikua mwembamba na nguo za kawaida tu anavaa ..tulimrudisha kwao
@NeemaKhamis-n8h
@NeemaKhamis-n8h 3 күн бұрын
😢pole sana dada
@LadyyJemsii
@LadyyJemsii 16 күн бұрын
Dr kumbuka asiwe mbishi Kuna mimba zingine hazionekani kati unashusha acheni ubishi
@SuleimaniKimwagas
@SuleimaniKimwagas 22 күн бұрын
Hawa amependa, ni vyema kuonyesha hisia zake mm binafsi nimemuelew Hawa mno🤲🤲
@ammydaniel8947
@ammydaniel8947 24 күн бұрын
Mwanamke hatongozi hawa! Utateseka sana, usifanye hivyo siku nyingine
@WimbaVerse
@WimbaVerse 24 күн бұрын
hujapenda wewe, subiri uje upende ndio utajua jinsi ya kutongoza.
@rehemashinsi
@rehemashinsi 8 күн бұрын
kumbuka unasherehesha steg 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FatumaMatola-d4o
@FatumaMatola-d4o 5 күн бұрын
Huyo mnyakyusa mmemshushuwa sana kuhusu story yake ya yule mke🎉 aliyejifungua!.
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 14 күн бұрын
Inawezekana sanaa tu mm .mdg wangu kabisa tunakula tunalala wote ndani alikuwa namimba hatukuwahi kujuwa katu naalikuwa yupo kawaida tulikuja kujuwa mimba ina miezi 8 alikaa wiki 2 tu akajifungua
@AngelThobias-r6u
@AngelThobias-r6u 2 күн бұрын
yaan mwaisa hujaona hata mmoja😂
@hamicluvanda8464
@hamicluvanda8464 13 күн бұрын
Kwanza huyo kumbuka anayebisha ana watoto tuanzie hapo kwanza 😅😅😅
@oliverngualo4028
@oliverngualo4028 28 күн бұрын
Hana NYASHII kwa hiyo konde boy sio vitu vyake😅😅😅
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s 28 күн бұрын
Ila kumbuka et hakuna hawa wala mwanahawa 🤣🤣🤣🤣🤣
@hamicluvanda8464
@hamicluvanda8464 13 күн бұрын
Mbona kumbuka anabishana na wanaume😅😅😅
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 18 күн бұрын
napenda aliya anavocheka😂😂😂❤❤❤❤
@gidiboy9081
@gidiboy9081 Ай бұрын
Kwa watu wote wa nje mfano Mama, Baba, Kaka, mjomba, Shangazi, Dada, Mdogo mtu, na majirani ni ngumu mno kugundua mimba ya mtu ambaye amekusudia msijue, ila Mume wake, anayelala naye kitanda kimoja, wanafanya kila kitu, Huwezi kumficha, labda mimba changa! Ya miezi chini ya mitatu. Miezi inayofuata hadi kujifungua, labda mume Kipofu!
@IRENEKOMANYA
@IRENEKOMANYA Ай бұрын
Nampenda harmonize😂😂😂😂😂😂😂bomboclaaaat
@bintside
@bintside Ай бұрын
😂😂😂 Nimecheka saana kwa kweli🤣🤣🤣
@RamlaJuma-ct9jb
@RamlaJuma-ct9jb Ай бұрын
Nimecheka na Hawa jamani mkavu 😂😂😂😂
@mollelyrebecah6840
@mollelyrebecah6840 25 күн бұрын
Mi napita jamani ilahuyu Mr angeenda kanisani ama afunge kabisa Mungu akushushii ,pengine ukutanena mtu mkubaliane Mambo yaende.🏃🏃🏃
@HalimaLikele
@HalimaLikele Ай бұрын
Jmn adi laha ❤❤🎉
@NyangetaFaustine
@NyangetaFaustine Ай бұрын
😂😂😂😂 nyie kumbuka frizzier haligandishi😂😂
@AmosSniper
@AmosSniper 23 күн бұрын
Jank Yuko vzr, Maana nao huwaumbua masela wamaana hapo💪 Viva sana Mr light 🕯️
@PerepetuaEnos
@PerepetuaEnos Ай бұрын
Hii seoson nitaenjoy sana😂😂
@NeemaKhamis-n8h
@NeemaKhamis-n8h 3 күн бұрын
Jamani naitaji mchu,mba na mimi nina miaka 28 inawezekana😅
@adamuadamumussa7289
@adamuadamumussa7289 Ай бұрын
Ila hich kidem kinamashauzi kana ile unatakaje😅😅😅😅
@gracequeenpers4731
@gracequeenpers4731 8 күн бұрын
Jam an I jamni hiii stori inawezekqna coz mmi jirani yangu afunga ndoa na mwanamke kakanae miezi mitatu na kajifungua miezi tisa
@shangweyussuf640
@shangweyussuf640 13 күн бұрын
Huyo kaka msimuonee kuna watu mpaka wanazaa, mume, au wazazi hawajui. Mimi wifi yangu was same!! Kuna watu wana mwili MashaAllah hapo nawakatalia. Mimi imenitokea kwa bunti nilikuwa namlea. Mpaka siku anaenda Leba anapimwa yuko virgin na hakuna mtu alihisi ana mimba. Kumbe mshikaji alimwagia tu ktk michwzo, binti akiogopa kulala naye.
@KathuyaAnna
@KathuyaAnna 22 күн бұрын
Huyo hapo kwa mimba ametudaganya😅😅😅
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Iyo. Kawaida kbs mm. Mwenyewe tumbo. Langu. Kinakuaga dogo
@FatumaMatola-d4o
@FatumaMatola-d4o 5 күн бұрын
Kumbuka mmemkwaza Mir right
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 19 күн бұрын
Huyo hawa anajeuri hato kaa ht na mwanaume jeuri anazarau anavyo wanyori watu kwa jicho la zarau😂😂
@RenaLyimo
@RenaLyimo 11 күн бұрын
Inawezekana mwanaume alimficha mimba ni Yake akijua niya miezi michache ila akihesabu miezi alilalanayo mpaka kujifungua sio.akagundua sio Yake.
@morisgonzalo
@morisgonzalo 15 сағат бұрын
Hizi ishu za kuulizana maswala ya kipato mwaache mana wanawake wengine wanafata kipato cha mtu sio mapenzi
@jumaalmasjuma1700
@jumaalmasjuma1700 15 күн бұрын
Nilisoma na msichana mmoja form five likizo ya mwezi mmoja akajifungua na baada ya mwezi akarudi kuendelea na masomo na mimba aliipata kabla ya kuanza kidato cha tano.... Na hatukujua wote alikuwa anavaa mikanda
@AdamGeorge-i3m
@AdamGeorge-i3m 17 күн бұрын
Inawezekana
@fidelitekarigirwamuyangwa973
@fidelitekarigirwamuyangwa973 Ай бұрын
😂😂😂😂❤naceka nkumbuka eti akarogee
@BoraHamisi-zl6xy
@BoraHamisi-zl6xy Ай бұрын
Kaka mwenyewe Hana maajabu mbona jamani 😂😂😂 alafu wewe kumbuka unanichekesha na misemo yako
@MaulidKitenge-x1m
@MaulidKitenge-x1m 15 күн бұрын
Wap maneno ayo ata kweny kanga yapo
@FeddyKengwa
@FeddyKengwa Ай бұрын
Daah sema jamaa kazingua sasa alienda kufanya nini😢😢
@HakizimanananaQueen
@HakizimanananaQueen Ай бұрын
Inawezekan msimubishiyi kiukwel inawezekan siyokilamtu yuko na tumbo kubwa mim mwenyew nilichukuwag ujauzito watu wengi wamejuw kam nimekuwakuw mjamzito kipindi najifunguw 😂
@OmanIbra-f2b
@OmanIbra-f2b 12 күн бұрын
Inawezekana sana mm mimba yng ya kwanza aijajulikana mpaka nazaa so ni mkweli uyo kaka
@KhamisAziz-oc7cf
@KhamisAziz-oc7cf 25 күн бұрын
😅😊😊😊
@ITINDEEMMANUEL-h8u
@ITINDEEMMANUEL-h8u 19 күн бұрын
"Kuhusu jamaa mpenzi wake kujifunguw akiwa yupo nae kwa miezi mitatu kwenye mahusiano,na bila yeye kutokujua kama alikuwa na mimba hiyo inawezekana kabisa,Coz mm nna ushahidi wa ndug yang kabisa hiyo ilimkuta,alioa baada ya mwez mmoja,mke wake akaanza kuumwa kumpeleka hospital anambiwa akalete vitu vya kujifungulia,Hata yy hadi leo alibaki anashangaa"
@JulithaOliva
@JulithaOliva 25 күн бұрын
Hawa achana na mwaisa atakutesa😂😂😂
@LucyStanely-k7z
@LucyStanely-k7z 22 күн бұрын
Inawezekana kuishi na mwanamke na usijue kama ana mimba
@alexmusambya5612
@alexmusambya5612 Ай бұрын
Jamaa nime muelewa 100% Haitaji mke aliye zaa, anajielewa alivo
@alphoncelaurent9454
@alphoncelaurent9454 Ай бұрын
Bombo claaaak pameanza kuchangamka sasa😂😂😂
@leahjohn4734
@leahjohn4734 Ай бұрын
Mbon mr right kha taila😂
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 Ай бұрын
I'm single for almost 1 year now from all those beautiful girl but the guy looks like it it's a player🇿🇦💯🇧🇮
@kilogreek4050
@kilogreek4050 18 күн бұрын
ATA BIBI BONGE WA KIRIAKOO AKIWA NA MIMBA YA MIEZI 6 UTAJUA 😂😂😂
@LadyyJemsii
@LadyyJemsii 16 күн бұрын
Jaman hii inawezekana dada angu kabeba ujauzito Hadi siku uchungu unampata ndy watu wanashtuka kama. Alikuwa mjamzito hii ipo
@EDWINMBILINYI-gj5ob
@EDWINMBILINYI-gj5ob Ай бұрын
Mr right amezingua
@Itambu
@Itambu 7 сағат бұрын
Huyo jamaa hajielewi anapotza muda
@mauahussein9833
@mauahussein9833 Ай бұрын
Dr kumbuka usimlazimishe mi pia na rafik yangu hadi alijifungua mwanaume wake wa kando hakuwahi kujua kama anamimba mpaka Sasa hajuw kama amezaa lini😅😅
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Ай бұрын
Timu strong embu nipitieni hapa niko nakikao nanyie please
@Karyma-g3n
@Karyma-g3n Ай бұрын
Sw 😂😂
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Ай бұрын
@Karyma-g3n ukuje haraka kumeanza kuchangamka
@AmonBora-ve5si
@AmonBora-ve5si 24 күн бұрын
Jomon leo dada dharau kakataliw😂😂
@SophiaLeonard-x3z
@SophiaLeonard-x3z 24 күн бұрын
Inawwzekana msimbishie
@BeatriceSonga-r2y
@BeatriceSonga-r2y 16 күн бұрын
Huyo kaka sjapenda
@MarySion-c6h
@MarySion-c6h 23 күн бұрын
Dada mpumbavu kweli kweli, Mbona unajishusha hivyo??? Mwanaume mwenyewe maskini sana.
@GREATESTHITSREPLAYY
@GREATESTHITSREPLAYY 23 күн бұрын
Ila Mwanamitindo 😅😅😅😅
@NyangetaFaustine
@NyangetaFaustine Ай бұрын
Inawezekan bhana..mim mama angu mdogo mpk anajifungua mimba haikuwa yaonekana kabisa....so achen kubisha vitu ambavyo nyie hambebii mimba minio anyu 😮😮ubishi tu
@JerindaEzekiel-qq4bu
@JerindaEzekiel-qq4bu 20 күн бұрын
Ila kaka madevu😅🙌
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 4 күн бұрын
hayo mahusiano hayatadumu ata kidogo
@halidhemed7524
@halidhemed7524 25 күн бұрын
😂😁😁😁
@ednahumazi777
@ednahumazi777 Ай бұрын
No kama alikuwa.kibonge huwezi juwa mimi hapa nina mkaza mwana mnono alipokuwa na mimba hatukujuwa mpaka anaenda zaa mimba haikuonekana but alikuwa mvivu
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂kumbuka umsem kweli anatak kulelewa😂😂
@nasraabdallah8566
@nasraabdallah8566 Ай бұрын
Doctor kumbuka ana kiherehere sana wallaih yaani mchochezi adi anamtoa mr,right kwenye mstar yupo kama mwanamke daah
@adamuadamumussa7289
@adamuadamumussa7289 Ай бұрын
@@nasraabdallah8566 wewe Tena😂😂😂
@nasraabdallah8566
@nasraabdallah8566 Ай бұрын
@adamuadamumussa7289 staki hahaha
@franciscamalley8892
@franciscamalley8892 21 күн бұрын
Ni kweli kabisa Mumbai unaweza isionekane mean cku ya kujifungua
@LightnessTemba-f4d
@LightnessTemba-f4d 17 күн бұрын
Uyu mr right ovioo amekuja kufanya nini sasa
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 Ай бұрын
That guy he doesn't know it from all those beautiful girls he said there's no anyone this type🇿🇦🫂🇧🇮
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s Күн бұрын
Mm nilushika mimba familya Wala hyo mwanaume hakujua miezi tisa ndio tumbo limetoka ss we kumbuka unapenda kubisha km demu
@omarysquare2218
@omarysquare2218 Ай бұрын
Kuna bint ashajifungua shulen bila watu kujua😂😂😂😂😂😂
@DoreenNyange
@DoreenNyange 20 күн бұрын
Mi swz kumganda mkaka jmn au mm mshamba
@adamuadamumussa7289
@adamuadamumussa7289 Ай бұрын
Sasa kumbuka unabisha nn jamaa kasema hakuwa na mda wa kukaa nae sana,,, anataka kulet ubish kwa mambo ya wanawake🙌🙌🙌
@franciscamalley8892
@franciscamalley8892 21 күн бұрын
Ni kweli kabisa inawezekana
@NdikumanaOrivie
@NdikumanaOrivie 10 күн бұрын
Haw sorry utapata mumemwema kwako
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 Ай бұрын
Inawezekana tena sana tumesoma na watu mpaka wanajifungua ila hatukuwajua hata wazazi wao hawakuwajua
@Yuditha-g6n
@Yuditha-g6n Ай бұрын
Jamani msimbishie watu wa namna hiyo wapo na nimewashuhudia kwa macho yangu mtu anamimba mkija kumgundua ndo anakalibia kujifungua
@WinnElirehema
@WinnElirehema 26 күн бұрын
Inawezekana kbisaaa tena sanaa
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 28 күн бұрын
Dah ila kumbuka ni mnafki 😅😅😅 eti jamaa anatafuta mashangazii
@PaulYuda
@PaulYuda Ай бұрын
namuomba asagwile ajitoe kwenye hyo dhambi kama kwl anahofu ya mungu
@esthermugoli4527
@esthermugoli4527 Ай бұрын
Kweni anafanya zambe 😮
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 19 күн бұрын
Huyo Mwanaume muongo atunge tena stori miezi 6 mimba usijue huyo kashasema msanii ndo anatuigizia
@TatuMwishehe
@TatuMwishehe 20 күн бұрын
Hina wezekana mimi mwenyewe mama yangu akuningundua adi himefikanmiezi 8 ndio anajuwa kama nina mimba
@Itambu
@Itambu 7 сағат бұрын
Hakuna kitu jamaa muongo
@nuriatihdjasumin1548
@nuriatihdjasumin1548 28 күн бұрын
Jamani kweli inawezekana sana kuficha ujauzito hadi kuzaliwa
@qudratabdallah4745
@qudratabdallah4745 Ай бұрын
Kuwa na tumbo au kutokuwa na tumbo haijalishi mtu ana mimba ila ukiwa mjamzito Kuna vitu vinabadilika mfano maziwa kuwa meusi na mstari wa tumboni kuonekana sana.
@Gmlefactzone
@Gmlefactzone Ай бұрын
🎉🎉🎉
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 27 күн бұрын
Ndyo unaweza usifaham
@fugakwamalengo707
@fugakwamalengo707 29 күн бұрын
Dr. Tikiti kweli ananipa raha sana
@KebyeraHappy
@KebyeraHappy 17 күн бұрын
Inawezekana mimi adi miezi tisa ndo watu wanaanza kuisi iwenda ninamimba ya mwezi
@estherjenesy
@estherjenesy Ай бұрын
😳😳😳
@rumangabocopspv833
@rumangabocopspv833 Ай бұрын
Uyo kijana haku kuja honest ali penda kuja interview na ku ji julisha tu Mimi ni mkongomani tu na penda muonekano na majitapo tu
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,1 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 33 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 39 МЛН
DR. MOHAMED AMVAA WAZIRI KABUDI "SIMBA TUMEONEWA"
14:42
TOP 10 TV TZ
Рет қаралды 1,7 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,1 МЛН