LULU DIVA AMPENDA MR RIGHT ALIYEWAKATAA WAREMBO WOTE | KASEMA HAJAONA MWANAMKE MZURI S04E19

  Рет қаралды 142,849

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 466
@ponyoduguru
@ponyoduguru 11 күн бұрын
Nilikuwa naisubir kwa hamu kubwa sana hii show ya huyu mwamba najuwa tulikua wengi tunaisubiria Basi tujuwane kwaku gonga like hapa
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asanten kwa sapoti yenu
@KhadijaKhadija-cz1yh
@KhadijaKhadija-cz1yh 4 күн бұрын
@@Raj-lastchance jibunzuzili.samakaka.wanawake.wahizisiku.nihatali
@KagendoPionah
@KagendoPionah 2 күн бұрын
Rajji from last chance ❤🎉 watching from Kenya 🇰🇪
@BongoKinoXtra
@BongoKinoXtra 11 күн бұрын
Uyu jamaa anaigiza last chance 😂🎉
@RehemaMussa-r7l
@RehemaMussa-r7l 11 күн бұрын
@@BongoKinoXtra kwel c ndo Raji uyu
@BongoKinoXtra
@BongoKinoXtra 11 күн бұрын
@RehemaMussa-r7l ndo uyo uyo ndio 😂
@RehemaMussa-r7l
@RehemaMussa-r7l 11 күн бұрын
@BongoKinoXtra kwaiyo kajipata Sasa ivi mn mm ndo yule tausi najilaumu ningejua ningemkubal t
@BongoKinoXtra
@BongoKinoXtra 11 күн бұрын
@@RehemaMussa-r7l Af naona kama kaja kuzuga tu uyo... sidhan kama anakosa dem uyo na kuigiza kote kule
@RehemaMussa-r7l
@RehemaMussa-r7l 11 күн бұрын
@BongoKinoXtra hhhhhhhhhh
@Daniella162
@Daniella162 11 күн бұрын
Watu mnaofatilia this show kutoka GOMA We put in our everyday Prayers 🇹🇿❤❤🇨🇩
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 2 күн бұрын
@@Daniella162 may God protect Congolese in goma
@safiunamugen7476
@safiunamugen7476 11 күн бұрын
Kutokea Kenya,,, following from Doha Qatar lulu nakupenda sana msuper wa jua kali❤
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 3 күн бұрын
Masha Allah siwema she's beautiful ❤❤❤
@JamesBahati-i6w
@JamesBahati-i6w 2 күн бұрын
Hapo man of the match ni uyoo Abdul 😅😅
@KulimushiMihigo
@KulimushiMihigo Күн бұрын
Hiiiii ninoma Sana 😂😂😂 Nime ipenda kweli
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o 2 күн бұрын
Nimeipenda hiy
@KolisNgwembele
@KolisNgwembele 4 күн бұрын
Zuwena au nimemfanisha😂😂😂😂😂
@Samtzofficial
@Samtzofficial 2 күн бұрын
Ni yeye
@Shebby_Mk11_tz
@Shebby_Mk11_tz 23 сағат бұрын
Ndo yeye
@HadiaMwidan
@HadiaMwidan 5 күн бұрын
Safi san bro safi
@PaulinaJoshuw
@PaulinaJoshuw 2 күн бұрын
Jamn dada kaaibika so pow 😂😂😂
@IreneMwinuka-u7z
@IreneMwinuka-u7z 8 күн бұрын
Kumbe tunaoangalia Last Chance ni wengi😂 me nilimuona tu kwenye ep ya kwanza nikauliza akasema niyeye Raj wanna man😂😂
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
😂😂😂ay bhn
@ZuhraAlly-l2g
@ZuhraAlly-l2g 3 күн бұрын
Kwamajina naitwa kareem Nitunzieni mlembommoja. Nimempenda {siwema} nampenda sana jamani
@AbellaKatakuzi
@AbellaKatakuzi 6 күн бұрын
Tunapenda wanaume weusi lakini tunataka kuzae watoto weupe😅😅😅
@jenfan8781
@jenfan8781 5 күн бұрын
@@AbellaKatakuzi hii comment nilikuwa naitafuta sana Toka 1901
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 күн бұрын
​@@jenfan8781 WANAWAKE WANA TABIA ZA KUDANGANYANA, WANAPOMKOSA MZUNGU NDIO HUDIDAI WANATAKA MWEUSI AU MARA NYINGI WASHATEMBEA SANA NA WATU HAO
@JacklinebosiboriMomanyi
@JacklinebosiboriMomanyi 6 күн бұрын
We wakenya sisi tuna roho ya kupenda na tukiamua kujitoa ni mara moja😂😂😂😂wapi like za wakenya
@kingfocustzog
@kingfocustzog Сағат бұрын
@@JacklinebosiboriMomanyi njoo bas nikupende mimi
@biancaqui1810
@biancaqui1810 11 күн бұрын
Natokea Kenya nawapenda Tz😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@Queenoflove-x3k
@Queenoflove-x3k 11 күн бұрын
Nawapenda pia🤣🤣🤣🤣mtoto wa kasongo🤣🤣🤣🤣❤
@prescovia76
@prescovia76 11 күн бұрын
2wqkupenda piah
@SadamoIssufo
@SadamoIssufo 10 күн бұрын
4:05 mim wa Moçambique nawap
@zuhurahamisi8687
@zuhurahamisi8687 10 күн бұрын
Tunawapenda piaa
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w 9 күн бұрын
Pamoja sana Familia
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 8 күн бұрын
Huyu sini Davis wa jua kali au naota??
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 8 күн бұрын
Ths mr Right is young but wth intellectual mind,n mature upstairs,congs young man
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
thanks bro
@JosephinaMsagala-m1l
@JosephinaMsagala-m1l 11 күн бұрын
Lulu diva ,usiwaze mungu atakujalia na ww kupata kababy Kako.
@gadafimuemede2985
@gadafimuemede2985 11 күн бұрын
Sucesso para sempre from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@noelydembe5040
@noelydembe5040 7 күн бұрын
Kama umemuona Zuwena wa Diamond like 😂😂
@ERICAIRANEZEZEREJE
@ERICAIRANEZEZEREJE 7 күн бұрын
😂😂😂😂 majibu ya huyu kaka nikama majibu ya mume wanguuu😂😂😂 jamani
@loulumony8519
@loulumony8519 8 күн бұрын
Mbona uyu kaka Iko smart san awowanaake siaelei kbx mwanaume mupole san uyu nimemupenda anasema kweli 💪💪🔥🥰🥰🇴🇲🇧🇮
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
waoo asant mamy🥰🥰
@Itsrems24
@Itsrems24 6 күн бұрын
@@Raj-lastchance ndo wewe Raj wa teacher😂😂😂😍
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 күн бұрын
Wazgua Mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HappySimon-r8h
@HappySimon-r8h 5 күн бұрын
Hyu Mr.right c ndo kaigiza Last Chance ya RK😂
@SalmaSalmaissaissa
@SalmaSalmaissaissa 6 күн бұрын
Jmn nimemuona zuwena wa diamond 🤣🤣🤣🤣🤣
@japhetmajiba6299
@japhetmajiba6299 3 күн бұрын
Huyo jàck hafanyi kazi bar kwéli
@TheodoraKasian-p3x
@TheodoraKasian-p3x Күн бұрын
Wanawake wote wanatumia vipodozi😂😂😂
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 7 күн бұрын
Uyo raji fundi wa last chance 🎉🎉🎉
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asant sana
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 7 күн бұрын
@Raj-lastchance mwenetu raji tunakukubali kama tunavomkubali konde boy
@YuvistaSarimu
@YuvistaSarimu 6 күн бұрын
@@Raj-lastchance wanakupenda ao kakaangu sema wameogopa kukuchagua labda utawakataa
@JackiJaday
@JackiJaday 3 күн бұрын
Mm nampenda huyu kaka jmn
@QeenHamis
@QeenHamis 4 күн бұрын
Me nipo kenya ❤🎉😂😅😅
@CatherineAdamu-e2d
@CatherineAdamu-e2d 7 күн бұрын
Abdul ana point sana
@JudithKitumbika-v4q
@JudithKitumbika-v4q 6 күн бұрын
Walomuona zuwena gonga like hapa😂😂😂😂
@OctavianMbunda
@OctavianMbunda 3 күн бұрын
Wabongo kwa ubunifu noma
@MashaSogoma
@MashaSogoma 6 күн бұрын
Huy mr right nimempend bure jmn napend wat wa serious kam hawa😘😘😘😘
@FatmaAhmadFatmaAhmad-pu5zh
@FatmaAhmadFatmaAhmad-pu5zh Күн бұрын
Mzingua mwenzangu njoo kwangu
@luisaugustovictor815
@luisaugustovictor815 4 күн бұрын
Nimependa sna kipindi 🇲🇿
@dariusshukuru8490
@dariusshukuru8490 11 күн бұрын
Natoka Drcongo Lubumbashi Napenda sana chow ya Mr Right sana❤
@doganidogani-i4z
@doganidogani-i4z 8 күн бұрын
..huyu kaka nampataje😢hacheki na wowote..😂angenifaa
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 7 күн бұрын
Hutaki acheke hata na ww
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x Күн бұрын
Ila zuwena😂😂😂😂😂
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x Күн бұрын
Yan mr right huyo n mm kabisa😂😂😂😂😂😂wallah hakuna kukenua😅😅😅
@rachelndaki5642
@rachelndaki5642 2 күн бұрын
Hii inaitwa weka tuwek ila huyo si ndugu yake chik wakwenye last chance 👏👏
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 7 күн бұрын
Mwanamke mwenye heshima utamjua tu, kwa maongezi yake
@OscarSipriani
@OscarSipriani 11 күн бұрын
Mm nimempenda amigali nawishi angekuwa mke wang
@AliySaidi-i2r
@AliySaidi-i2r 5 күн бұрын
Uyu MWAMBA ni balaaa 😎😎😎
@Officialunclebaiby
@Officialunclebaiby 7 күн бұрын
Mr Michael AKA gara B ..naomba umuambie lulu diva me pia natamani kumgeuza awe mama 😢😢
@DjumaCuxHkz-fv3zx
@DjumaCuxHkz-fv3zx 11 күн бұрын
Nimeyipenda Bongo
@NasrahAbdul-d2v
@NasrahAbdul-d2v 8 күн бұрын
Wanajiogopa hao kuwa nae coz kaka wawatu nimzr haendani nao 😂😂😂
@MariamKimbugwe
@MariamKimbugwe 4 күн бұрын
Nimeipenda iyo waziguwa oooooyeeeeeeeeeeeeee😂😂😂
@AminaLuhumba
@AminaLuhumba 7 күн бұрын
Ila raj nimekupenda bure😂😂😂
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asante
@AminaLuhumba
@AminaLuhumba 6 күн бұрын
@@Raj-lastchance nimependa majibu na maswali yako na ujasili wako pia pull up brooh✍️✍️✍️
@MaryanMaryam-lc1et
@MaryanMaryam-lc1et 10 күн бұрын
Tanga hawatok maboya😂😂😂 asantee bro wamezid hao
@AbellaKatakuzi
@AbellaKatakuzi 6 күн бұрын
Hii ndo inaitwa ubaya ubwela😅😅😅😅
@ivanignatio473
@ivanignatio473 2 күн бұрын
Kuna mtu amemuona zuwena😂
@AmaniMgalla-eb2ll
@AmaniMgalla-eb2ll 7 күн бұрын
Tupo nae kwenye last chance 😊
@MonicaBundala-r7c
@MonicaBundala-r7c Күн бұрын
Raaajii🎉🎉🎉🎉
@stellammari4922
@stellammari4922 7 күн бұрын
Nimependa sana Mr. Right vzr sanaa
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asant sana🙏
@SadickAbel-b8r
@SadickAbel-b8r 4 күн бұрын
Zuwena naye yupo
@brightnsaligwa3533
@brightnsaligwa3533 6 күн бұрын
HUYUU jamaaa ana confidence ya Hali ya juu na Yuko smart sana, But sitak kujua Kam ana act maisha au ndo hualisisa wake ila Yuko smart san
@salamambarouk5761
@salamambarouk5761 2 күн бұрын
Heeee Mr right Kaua 😂😂😂😂😂🙌
@KoksinaFrank
@KoksinaFrank 5 күн бұрын
Jomon Raj!!!!! Mi nakukubali sana usurious wakoo daah
@Gifttebe-e6w
@Gifttebe-e6w 7 күн бұрын
😂😂 jmn wanawake tunatia aibu tunawaza ela tu mda wote jmn
@AmosJohn-d1x
@AmosJohn-d1x 8 күн бұрын
Tatiz madada weng wanapenda wanaume wenyepesa so upendo
@JennyMwamage
@JennyMwamage 20 сағат бұрын
Hahahahha raj I like it........
@Stafamuigizaji
@Stafamuigizaji 11 күн бұрын
Ila ami na lulu akilieni wadada siku moja wasije kuzichapa mana naona sunu kilikuwa kinaenda kunuka🤣🤣
@VerowDeUniqueGal
@VerowDeUniqueGal 8 күн бұрын
asa zuwena wa diamond alikuw anafany nin hapo🤣🤣🤣
@DeboraMillanzi-f8g
@DeboraMillanzi-f8g 7 күн бұрын
jmn c kutafuta mr right😂😂😂😂
@VerowDeUniqueGal
@VerowDeUniqueGal 7 күн бұрын
@DeboraMillanzi-f8g kaona tumeanza kumsahau 🤣🤣 kaenda kutukumbusha kuw yupo
@HadijaSaid-b6z
@HadijaSaid-b6z 7 күн бұрын
Umetisha kaka
@vincentgazire7212
@vincentgazire7212 7 күн бұрын
Acha mzee wanawake niwabaya sana wanazarau sana
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 6 күн бұрын
Safi sana mr right 🎉🎉🎉🎉🎉
@JayJax-t2o
@JayJax-t2o 5 күн бұрын
Natural is natural
@HUSNAALLY-q8e
@HUSNAALLY-q8e 5 күн бұрын
Mr right Madam lecturer anakusubiri😂kwenye last chance😅😅
@estherchoni-yq6dr
@estherchoni-yq6dr 6 күн бұрын
Mr rights n Raji wa last chance❤❤🎉
@NafisaHeradi-o1z
@NafisaHeradi-o1z 5 күн бұрын
Mon frère vraiment courage ♥️✌️
@Lucy-em5xg
@Lucy-em5xg 5 күн бұрын
Jaman rusheni hiki kipindi na dstv ni kizur
@NuruIbrahim-ue1if
@NuruIbrahim-ue1if 8 күн бұрын
jamani nimempenda sana huyo kaka kwa mwaswali yake kamjbu vizuri
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asant sana
@SharonRobert-nx3pq
@SharonRobert-nx3pq 10 күн бұрын
Nimefurahiswa sana na Ramadhani👍👍👍
@dariusshukuru8490
@dariusshukuru8490 11 күн бұрын
Uyu Mr Right anacho ongea sio saw,kwa sababu kazi ni kazi
@edwardpaulo3351
@edwardpaulo3351 11 күн бұрын
Tangu huu ujinga tangu uanze leo ndotumeona mr mwenye uelewa ametu wakilisha vyema🎉🎉
@dariusshukuru8490
@dariusshukuru8490 11 күн бұрын
Sema siku izii sifatiliyi sana kipindi hiki kisaa vita ya huko nyumbani Goma, Jamani tunaomba Duwa zenu
@Daniella162
@Daniella162 11 күн бұрын
@@dariusshukuru8490 Watu wa GOMA we in 🇹🇿 are with you. Tunawaweka kwenye Dua Zetu kila Cku Je Taime
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 5 күн бұрын
@@dariusshukuru8490 Itaisha kwa uwezo wa MUNGU
@mandelatv-e3b
@mandelatv-e3b 8 күн бұрын
Kbx uyo kaka nimwana ume kbx🙌wew una anza ku uliza pesa ukombali kaka ninge kutumia Gft😢🎉🎉❤❤❤
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asant san kwa sapoti yako
@AmanKirway
@AmanKirway 5 күн бұрын
Ahh it's good Mr right
@NafisaHeradi-o1z
@NafisaHeradi-o1z 5 күн бұрын
Je vous aime fort 🇨🇩❤️✌️
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 11 күн бұрын
Mnataka wanaume weusi haraf mnajichubua mkizaa watoto weusi mnaanza kuwaficha😂😂😂😂😂
@Mwanasiti-xd3lv
@Mwanasiti-xd3lv 11 күн бұрын
😂😂😂😂acha nikupe 🎉🎉🎉 yko mwaya umenifulaisha
@amosathuman7366
@amosathuman7366 11 күн бұрын
@@naomikisaba5785 wachane
@Godchila03
@Godchila03 8 күн бұрын
😢😢😂😂😂
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 7 күн бұрын
Hapo sasaaa
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 8 күн бұрын
Mr right ya mwisho 😂😂😂😂😂 aki ameweza hawa ma dem ❤❤❤😂😂😂😂
@SamouOman
@SamouOman 20 сағат бұрын
Nampendaga huyu kaka atali
@JackieMkama
@JackieMkama 2 күн бұрын
Tunao ona raj anakaa kama anakibuli tujuane😂😂😂
@AndreaSimon-d4b
@AndreaSimon-d4b 9 сағат бұрын
😂 duuh ila tunajifunza kitu apo
@gamarahmed3258
@gamarahmed3258 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂Sijui kwa nini wanawake wabaya wanakuwaga na mashaauzi
@AmanKirway
@AmanKirway 5 күн бұрын
Ahhh nimeipenda hii
@SisteryMagwaza-pi2yk
@SisteryMagwaza-pi2yk 19 сағат бұрын
Namuona zuwena😂😂😂😂😅😅😅😅🎉❤
@HajaraIsuja
@HajaraIsuja 16 сағат бұрын
Nani kamuona zuwena😂😂😂
@SaadaHussein-c1t
@SaadaHussein-c1t 11 күн бұрын
Kafanya vizur kweli na hao wanawake wangekuwa wanaulizwa Kaz zao maana kazi kunyambua kazi tu za wanaume badala ya kuangalia mume bora
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asant sana🙏🙏
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 8 күн бұрын
Mr nimependa sna yan kanyooka kwa majib♥️🇹🇿
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asant sana🙏🙏
@Fatma-xm8ej
@Fatma-xm8ej 6 күн бұрын
Kaa ambae nimemuona zuena vile😂😂😂😂😂.. Au macho yangu.. 🧐..? Kaja kutafta Mr right😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@neematweve903
@neematweve903 5 күн бұрын
@@Fatma-xm8ej kweli yupo
@SusanMutika-nl8sq
@SusanMutika-nl8sq 11 күн бұрын
Kura juma icho love's from kuria nawapenda,,❤❤🎉🎉san ,wapi like jamani
@KelvinMrema-y9i
@KelvinMrema-y9i 11 күн бұрын
Zuwena in the house😂😂😂
@SimaNaji-b1f
@SimaNaji-b1f 5 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 watyu mna machoooo
@MwajumaMohammedi
@MwajumaMohammedi 9 күн бұрын
Nimempenda bule Mr light
@Raj-lastchance
@Raj-lastchance 7 күн бұрын
asant🙏🙏
@SaidyAthumani-c1m
@SaidyAthumani-c1m 7 күн бұрын
Zuwezaaaaa
@janissam5187
@janissam5187 6 күн бұрын
Huyu jama come back zake noma see you in the last 😂😂😂
@EusebioEduardoAntonio
@EusebioEduardoAntonio 11 күн бұрын
napenda sana show ya Mr Right🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Mariam-d4s3p
@Mariam-d4s3p 5 күн бұрын
Dharau mwenzake kibur maaninaa😂😂😂wameenyooshwa leo na Mr light
Little Nayla _ Part 01
16:24
ZEBUU FILM
Рет қаралды 48 М.
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
BALAAA! WAREMBO WOTE WAMEMPENDA MR RIGHT HANDSOME - S04E12
14:59
ST BONGO TV
Рет қаралды 248 М.
SALUH AKIIMBA SEYA BSS | MAJAJI WAKOSA LA KUSEMA |
5:27
SALUH Tz
Рет қаралды 152 М.
Hello Mr.Right Kenya S2 EP 11-1💕 Dating Reality Show
17:50
StarTimes Selected TV
Рет қаралды 108 М.
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН