Mungu ndiye Mungu wetu!! jitieni moyo Yeye ni Mungu wetu. Poleni sana wale mmepitia mambo ya kuumiza moyo. Let's share this song widely.
@james008BOND72 жыл бұрын
Acha neema izidi kukubeba na ivunje sheria Mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
@Muthonimk2 жыл бұрын
Amen Asante Sana nikisikiliza juu wimbo nakumbuka mahali Mungu amemitoa shida nilizipitia Yale majonxi lakini kwakua yeye ni Mungu naamini zaidi akuna siku ataaibisha wa kwake.
@helidahnyamigori6912 жыл бұрын
God bless 🙏 you bro nimekumbuka vile nimetesheka Kwa hii Dunia kutafuta mtoto najua ataleta emen
@riyahriyaan98022 жыл бұрын
lĺlĺò0
@riyahriyaan98022 жыл бұрын
0o00ĺl00999090
@JosphineNarumbeАй бұрын
Huu wimbo unifanya nitie bidii nikalee watoto wangu baada ya mume wangu kufariki nakubaki na ujauzito wa miezi tano na kwa neema yake Mungu yuko miaka miwili sai ,,,thanks saana Kasolo 🙏🙏
@jeanettegloria62442 жыл бұрын
Amen wa kwanza leo like zangu jamani
@prettyjolla48202 жыл бұрын
Mimi nilikua mjane at the age of 24 😭😭😭😭😭my son became fatherless at the age of 1 year and 1 month.. This far we thank God He has been there for us... God we grateful very grateful
@anthonyngao23632 жыл бұрын
Here comes a father ☺️
@medinacheronohildah79332 жыл бұрын
Pole sana but God is faithful
@winfredkavesa69142 жыл бұрын
God reigns forever 🙏
@aishanassib66412 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa mungu 🙏😭😭🤲🙏
@castywawira63702 жыл бұрын
God reigns forever
@antonykyalo912 жыл бұрын
Hapo ndipo tunapata msaada.Mungu wetu ni tegemeo forever
@st.terezah2 жыл бұрын
Mimi kama yatima nakuangalianga tuuu najipa moyo,be blessed my brother 🙏🙏🙏
@janet77402 жыл бұрын
Nimelia sana leo nilikua nimefunga kuigia online nakutana na huu wimbo am healed glory be to GOD
@muledominic2 жыл бұрын
This is an instant hit, leteni likes hapa.🙏
@JosphineMwende-e5c Жыл бұрын
Mimi nilikuwa mjane at the age of 20 yrs 😭😭😭😭😭😭 and my unborn child became fatherless 😢but we are grateful to God 🙏 it's now 8yrs and we glorify His Mighty Name🙏🙏🙏
@KevinAzangu2 ай бұрын
Ama kweli Mungu yupo Kwa kila Jambo unalopitia katika maisha,jipe Imani tu
@faiththerui2 жыл бұрын
God bless you bro napenda Kasi yako
@hellenmbithe962 жыл бұрын
AMEN so powerful message nimekuwa mlezi wa watoto wawili wasio na mamaa for ten years na Mungu amekuwa mwaminifu kwa maisha yao.
@gabutehgabu2 жыл бұрын
Woow,,Naye mungu ni nani Hellen,,you will never lack your entire life.kuna mungu aonaye hayo
@hellenmbithe962 жыл бұрын
AMEN
@rachelmaina26802 жыл бұрын
Mungu WA yatima atakulipa kwa wakati wake,more blessngs
@hellenmbithe962 жыл бұрын
@@rachelmaina2680 AMEN
@keithjuma-7423 Жыл бұрын
Barikiwa xna❤❤
@Susan-de5bj2 жыл бұрын
Iwimbo imeni bariki sana Mimi yatima Tena mjane🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏❤️
@tinakiri33312 жыл бұрын
Wewe ndiwe Mungu wa wajane na yatima🤲😭😭🙏🙏the wound is still fresh I lost my Daddie recently😭,Nishikilie Jehovah Kesho yetu iko mikononi mwako,Tutetee Mungu 🙏🙏
@faithmwende31502 жыл бұрын
pole dear my God help you
@anthonyngao23632 жыл бұрын
May God give you strength dear
@tinakiri33312 жыл бұрын
@@faithmwende3150 Asante sana dia🥰🥰🙏
@tinakiri33312 жыл бұрын
@@anthonyngao2363 Thanks sana🙏🙏🥰
@kimeunzyoki90472 жыл бұрын
Lei lazima ni comment...hizia zinanibeba... shine and shine my brother
@maureenjerotich33992 жыл бұрын
So touching song 😓😓 🙏 mungu naomba nibariki niwe baraka Kwa wengine 🙏🙏🙏
@angelamwende21272 жыл бұрын
So touching song🙏🙏 I have that pain I lost my beloved dad .... continue rip Dad 😭😭😭
@maureenjerotich33992 жыл бұрын
@@angelamwende2127 Pole dear shall be well with God 🙏
@angelamwende21272 жыл бұрын
@@maureenjerotich3399 thank you my dear
@princessvimala14242 жыл бұрын
So touching song ,already shading tears.,my role model in Gospel industry 🙏🙏🙏hatua yako Moja ni hatua Mia mbili kwangu brother SOLO🙏🙏
@rabbecangunzo90522 жыл бұрын
Simama nasi Jehovah ,you are our God 🙏😭
@rabbecangunzo90522 жыл бұрын
This song blesses my soul😭😭🙏 take charge God
@joynegedu636 Жыл бұрын
Remember, the story of Adam and Eve in the garden of Eden. Remember Samson and Delilah . Try and be like Joseph in potipha wife. Run away from every appearance of evils
@joynegedu636 Жыл бұрын
God that raised you to spread this gospel will hold you tight from falling in Jesus name
@castywawira63702 жыл бұрын
Huu wimbo uniguza zaidi.. wengine wetu huwa tunaishi kama mayatima haki..mungu tukumbuke kwa mahitaji yetu sisi wote
@JoshuaMigege-ls6du10 ай бұрын
Glory be to God 🙏
@SamuelTamaMusic2 жыл бұрын
Wow what a touching and wonderful song🙏. Mungu azidi kukubariki solo💙
@euniceoduor52632 жыл бұрын
Amen Amen napenda nyimbo zako Sana kasolo natamani kuimba kama ww bt najua ipo siku yangu yajaa
@fridahakinyi-sx7vh Жыл бұрын
😢😢😢😢god kweli ww ni mungu wa yatama nikikumbuka tangu wazazi waniacha nikiwa 2month
@MitchyloveMitchy-ei5es Жыл бұрын
This song is so touching ,😢😢Mungu ni WA wajane na yatima🙏🙏🙏🙏🤲
@KingDavid-q6q2 ай бұрын
❤❤❤❤ Napenda songs zako sote ubalikiwe milele na milele 😭😭😭😭😭😭
@judithnzuku18602 жыл бұрын
Amina Amina Mungu wetu ni wa maajabu 😭😭😭Mungu awatie nguvu wajane wote na mayatima wote pia🙏
@scholasticangomeni245011 ай бұрын
I love this song. As an opharn nmepitia mengi😢😢 but God has been always 🙏🏿 faithful and there for me...he's a miracle working God 😢
@gladysglado70742 жыл бұрын
Mheshimiwa Stephen Kasolo no one in Gospel a very humble man of God we met once when I was Kenya very God fearing man may God bless you n your family.... Very touching songs ..... wapii like. Xa Solo man of God
@damarismuli83642 жыл бұрын
Hi, kasolo hii wimbo naipenda sana inanitia moyo Mungu akuinue sana 🙏🙏
@james008BOND72 жыл бұрын
Kazi njema Mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏,,ni MUNGU MKUU🙏🙏🔥🔥
@scoviaanyango84772 жыл бұрын
Ooooh my God 🙏 Mimi ni mjane mungu simama na Mimi nisihaibike hata wale wamekata na pesa zangu simama na Mimi God 🙏
@signaturemirriamofficial66862 жыл бұрын
From JEHOVAH to WEWE NDIWE MUNGU,those two worship songs Mheshy Zina Neema ingine ya Ajabu, more grace Mtumishi 🙏🙏
@everlynekenyatta4072 жыл бұрын
It's you only you God please I go for my knees to ask to take care of my sister's kids it's 8yrs now since she left us 😭😭💔wew ni mungu wa kutegemewa I believe in you jehovah
@Namali-fe8tq Жыл бұрын
Asante kwa huwo wimbo unanifariji sana nakunitia moyo be blessed brother kasolo
@bendettahmuthangya7702 жыл бұрын
Tuyapitie yote lakini kila dakika tunangalia msalaba, hakika ni Mungu wetu wanjane na yatima, barikiwa sana ndugu kasolo kwa kututia nguvu
@rosebosibori4868 Жыл бұрын
Amen brother mungu akubariki nakwongeze hapo uliimba na umeniguza roho yangu mbaka naona mkono wa mungu
@periasakimba78922 жыл бұрын
My heart is melting when I listen to this song it is so blessings
@cesiliamaingi66772 жыл бұрын
Kasolo ni David wa siku inzi unguza moyo wa mungu wakati anaoabudu bro mungu anakupeda ,mungu tukubuke yatima hatuna msaada ila wewe baba
@Jameslochilia-f2k Жыл бұрын
Wewe ni mungu wa wajane na ya watima kweli, wimbu nzuri
@jerryjerrychepkemboi81432 жыл бұрын
My favourite song 🤏🤏🤏💪 💪🔥 🔥 inanipatia maana ya kuishi kama yatima God bless my mentor always encourage me
@Jamlick-nt5pc Жыл бұрын
May God be with you baba shine kwa nyimbo zako za kupa watu moto
@ronjimarketing20132 жыл бұрын
Nice song congrats kasolo 🎶🎶🎶🎶👍
@Namali-fe8tq Жыл бұрын
Asante kwa kunitia moyo after my dad kuaga nimepitia mengi but nashukuru mungu,
@ManuTV0 Жыл бұрын
Kupitia kwa huu wimbo mungu kumbuka pastor Ezekiel katika jina la yesu
@vivianayona-zc7wo27 күн бұрын
Nisaidie Baba maana ww ni mungu wa wajane na yatima ,nishikilie Mungu mema ,nitie nguvu katika hii safari yangu ya ujana maana sio rahisi
@kiilundinda1922 Жыл бұрын
Mimi nakuanga yatima,lkn mungu namuonaga,+unanitiaga moyo sana barikiwa sana
@romanawaleghwa947 Жыл бұрын
This song made shade tears😭😭😭continue resting in peace mum and my brother 😭😭😭
@joycepeter6541 Жыл бұрын
Mimi ni yatima mungu amekuwa mwaminifu kwangu Kila wakati. Tumte ngemee mungu wapendwa Amina.
@aggybona76582 жыл бұрын
Mungu wewe kweli ndiye mungu wa wachane na nayatima usituaje yesu sikia kilio chetu na ujibu maombi yetu Jehovah
@WinnieBirungi-h8y9 ай бұрын
Really your songs impact my life Almighty God bless you as you keep on blessing me AMEN
@EuniceNgwili5 ай бұрын
Am not an orphan nor widow but whenever i listen to this song i find myself weeping bitterly
@djjeorges32232 жыл бұрын
Mungu Mbele. You never disappoint my Boss ...!!
@janengambi272610 ай бұрын
Mungu azidi kukubaliki mtumishishi wa mungu ni kweli yeye ndiye mungu wetu❤❤
@beatricemakena6619 Жыл бұрын
Nikweli mungu wa wajane na yatima wimbo mzuri sana kasolo mungu na akuongezee maarifa zaidi
@betsychero11392 жыл бұрын
av bn waiting for this song for long tme...love ua songs kasolooo b bless
@assumptakatungemusic2 жыл бұрын
very touching ,nyimbo zako huwa zanibariki sana ,take over na success,ziliinua imani yangu na nikamuona mungu.inuliwa solo,
@stellahnthambi6333 Жыл бұрын
Congratulations 👏 nyimbo zako zinajenga mioyo za wengi aki,kama mm💃💃🙏🙏
@agggiesalih0492 жыл бұрын
😭 aky so touching 🙏🙏🙏 aky ni ukweri kama si wewe mungu ningekua wapy 🙏🙏🙏 asanti mungu uabudiwe milele🙏🙏🙏🙏🙏
@felistersmuasya32552 жыл бұрын
Powerful song 😭nimekuwa yatima tangu nikiwa class two 2004 mama aliondoka but nimepikea nguvu zaidi
@kevinoduor22362 жыл бұрын
Very touching song keep going . Ni kweli yeye ndiye mungu wetu kwa kila hali katika hii dunia.
@helidahnyamigori6912 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Mungu Wa wajane Na yatima endelea kuimba God blessed you my bro
@FlorenceHeniriettahMutua3 ай бұрын
Very touching keep it kasolo ❤
@johnoremo Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu,mwanza tz,
@veronicahdanielstv8292 Жыл бұрын
Uu wimbo uguza moyo wangu Sana barikiwa Sana Steve
@naomichebet15382 жыл бұрын
Mungu awesi tuacha kasolo nikiskia nyimbo zako nashidwa kusuia machozi mungu akubariki sana.
@tuyenikelaoaukelo28588 ай бұрын
I don't understand any single word here, and yet i'm here shedding tears! The way i love you and so songs neh...! Stay blessing my brother❤👌🤝
@ادنىاددنى5 ай бұрын
A m edina from saudia l like this song too much bro,be blrssed ❤❤❤
@catherinemunanie4076 Жыл бұрын
Wewe diwe mungu WA yatima na wajane .thankc Jesus
@alicemuthami30632 жыл бұрын
Nice song,, indeed an inspiration,, it's true yeye ndiye Mungu wa wajane na yatima. Baraka tele.
@aronstevemwau85562 жыл бұрын
This song aki ,,,Huwa yanikumbusha vyenye nlihangaika nkiwa shule aki ,,kukosa chakula ,mavazi ,bila malezi ya mzazi baba ,,😭😭,so painful my brother,,aron
@MercylineDorocus-n5k5 ай бұрын
Aky niliacha nikiwa mdogo one week saahii Niko 23 years sasa hiii life imekuwa gumu sana lakini najua mungu ataniona siku moja
@angelambithe16292 жыл бұрын
Nice song Mungu azidi kukulinda
@dianaokenyuri7015 Жыл бұрын
I dedicate the song too to my family of my mother 😭🙏🏻🙏🏻Mungu awalinde mamangu 🙏🏻🙏🏻
@pastormeriothmuthoni76162 жыл бұрын
Amen Amen ! Powerful words,,,🙏Kasolo Neema Iko juu yako!You are chosen and Annoited to encourage the Voiceless,,,,,👏
@alexmutisya56752 жыл бұрын
It's true pastor
@danielwachira9942 жыл бұрын
Kasolo nikumbuke kwa maombi I mwaka nimepitia mambo mangu sana
@MitchyloveMitchy-ei5es Жыл бұрын
The song is so touching oooh We come to theee no one like Jehovah shallow😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ChristineMbuli10 ай бұрын
So touching song😢😢😢 🙏 mungu thankyou kwa bali umenitoa nanijua bdo utaenda bali
@wilycksterwere19212 жыл бұрын
Nice song baba shine, he's the father of orphans and husband to the widows be blessed 🙌
@tinahmbulatv2 жыл бұрын
The song is very touching I can testify indeed He God of widows and orphans ...i was a widow at 27yrs left with a daughter just a month old yet i was from CS but who is God forever I'll glorify your name my dear God you've stand by me and my daughter I can't thank you enough it's almost three yrs now I'm really grateful my redeemer 🙏🙏🙏🙏
@FlorenceHeniriettahMutua5 ай бұрын
Really blessing song,the father's and widows find rescue and comfort in you Lord,be blessed kasolo
@jerryjerrychepkemboi81432 жыл бұрын
This song have been hope at all when I remember my parents kasolo I believe the Lord who have been keeping you will do something to me
@gabutehgabu2 жыл бұрын
So touching,,,Huyu mungu akuzidishie Nehema na kibali solo🙏🙏
@ndukukyengo8652 жыл бұрын
Niko na 9yrs since I lost my parents akika mungu amekua muaminifu
@margaretnzioka261010 ай бұрын
Tuendelee vikwazo Mimi na kakangu maishani😭😭😭😭 MUNGU TUSAIDIE
@SabinaMsaa Жыл бұрын
Amen!!! aki Mungu niundumie kupitia mtumishi wako Stephen Kasolo Yale ñimepitia yametosha, may God remember my family through our Lord Jesus Christ
@vicotychepngetich-bg5us Жыл бұрын
I lack words all your songs have turn my life around,mungu akubariki ,akuzidishe ,grace is your wife as well as your mom,shine all through 💋💋💋ata nimelia
@EuniceKiamba-y7x2 жыл бұрын
He surely is.....Let us hold on Him. He is very faithful. Thanks Kasolo
@janetnaliaka15 Жыл бұрын
The song is powerful,thank you God for being with us be blessed kasolo my best gospel artist
@NyakundiJohn-w4p3 ай бұрын
This song is so touching indeed I remember my dad's death tears come out my eyes 👀😢
@brendaatyang27952 жыл бұрын
I am fatherless l have passed through challenges but this song gives me strength and encouragingment thank u Kosolo be blessed.
@annmwikali29472 жыл бұрын
Nice song kasolo
@EverlynAgatha5 ай бұрын
Niliachwa na Watoto wacha mungu atushikilie 😢😢😢😢na wewe ndiwe mume wangu na baba 😢wa watoto wangu
@kerriekerrie905911 ай бұрын
Wewe ndiye babangu my heart is bleeding as a orphan 😭
@philomenamesimesi27382 жыл бұрын
Kweli ni Mungu wa wajane na yatima God bless you my brother I love your song
@felistusmuthoni66022 жыл бұрын
Huu wimbo umenkumbusha nlipoachwa na wazazi wangu nkiwa na mwezi moja ,Mungu umentoa mbali kwa kweli zidi kunlinda
@annejayden73052 жыл бұрын
My died in the year 2005,and 4 years later I lost my first born daughter.It was too painful to bear but I am grateful to God because this far He has proven to be Ebenezer😭😭😭
@marywanzasongs45592 жыл бұрын
Nimekua yatima for 24 years now, I went through a lot lakini saa hizi naamini ni kweli kuna mungu..... I am more than blessed with everything I need in life
@lucyoyiela67183 ай бұрын
Mungu ndie Mungu wa wachane nayatima its true cause my dad left me nikiwa na 3months and my mother nikiwa na four yrs tumegrow kwa nehema tu sahizi niko na 42yrs asande Bwana kwakutulea
@faithmbulamutuku4882 жыл бұрын
So touching song...mungu akubariki sana my role model
@fauziahchalo Жыл бұрын
What a song it reminds me a lot.wewe ndiye Mungu wetu
@moseabraham15512 жыл бұрын
Mungu wetu ndiye Alpha na Omega🙏.Kwa kila jambo yeye ndiye jawabu
@MaryAmin-x5j10 ай бұрын
When am going through tough situation the song gives the strength,,,No one like God Amen
@sherylmilowa19072 жыл бұрын
Amen and Amen.Being that I miss that parental figure,God will forever remain to be my dad mum.so nice is the song Kasolo tubarikiwe pamoja