nafika hapa nmechelewa kidogo mnakosa kunipa likes zenu aki ...🎉🎉moto sana steve.. wapi likes za wakenya wenzangu
@MwinyiMbwiga6 ай бұрын
❤❤
@lunangabenjamin31217 ай бұрын
Steve,ndaro,tx dulla.mkizingisiwa mlivuta bangi hakuna atakaye kataa juu kimuonekano kama mmevuta kweli kumbe juwa kali maskini.
@emmanuelmudaheranwa22637 ай бұрын
the comedy of these guys made me to learn swahili now i am smart! everything they say, i understand! kwanzia muda huu! nasema swahili sanyifu! yani guys nawashukulu sana! very talented! from rwanda!!
@Goals_3337 ай бұрын
FROM USA 🇺🇲 ...Timu Steve mweusi tujuane kwa like please 🙏 tangu nianze kufatilia comedy za Steve mweusi sijawai kua Wakwanz leo me ndo Wakwanz nawaomba jaman .. like zote ziwekwe hapa pls naomba 🙏 🙏 🙏 🙏 😅😅😅
Ovyooo hamna maana maneno ya utovu wa adabu ndio tangazo lenu. Ovyooo kama mchuzi wa magozi ya mbuzi. Mnapofanya jambo jema tumieni maneno mazuri sio matusi. Ndio maisha yenu halisi ya kishamba hayo mnarelekea sana na maneno yenu.
@Sumagy-x4p6 ай бұрын
Wewe usiokuwa na matusi mbn atukuon ata wewe vilevile chefu kitunguu ww
@SamuelAloo-qv3kg7 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪 much love Stevo
@RuhuneKabose7 ай бұрын
Steve unazarahu bose weye steve adabu inapunguka kidawa nimurenbo sana unajuwa chaguwa sana. Wanawake
@Sumagy-x4p6 ай бұрын
Umalay uwoo
@nurafedrick3787 ай бұрын
Hata mm mwenyewe siwezi ongea naumbwaaaa naongea na mwenyeumbwaaa huyu dada vip
@bitishoriziki55857 ай бұрын
Kinjana wewe unatisha KBS una chezaga movie zako nzuri sana 💪🙏 ❤❤️💐🥰
@glorymanga36507 ай бұрын
Machale yakawa yanamcheza kwenye moyoo😆😆😆steve bwana