STEVE HARVEY: MCHEKESHAJI BILIONEA, ANAYEABUDU DINI ZOTE MBILI, UISLAM NA UKRISTO..

  Рет қаралды 30,594

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 324
@kitusawalifestylechannel4714
@kitusawalifestylechannel4714 3 жыл бұрын
Mungu ni moja aliye kwa Bibilia pekeee na mwanawe ni Yesu kristo bila krito huwezi kumjua Mungu .
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
😂😂😂mungu anamtoto duh kwastaili hii kutakua na mjomba wake mungu😂😂😂.acha kuipashida akiliyako mungu ni mmoja.
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Allah amuongoze katika njia iliyonyoka sazingine kamaliza
@benardsiyumwe5571
@benardsiyumwe5571 3 жыл бұрын
Big up sanaaa I like it.
@sofialinus8241
@sofialinus8241 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie dini inatutenganisha......tunapenda na kuheshimu dini kuliko ku-kupenda Mungu wetu😢🙏🙏🙏
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 жыл бұрын
🙏, nimekuelewa
@sofialinus8241
@sofialinus8241 3 жыл бұрын
@@TM.Sullusi 🙏, Asante
@naimazuber5433
@naimazuber5433 3 жыл бұрын
INNA DIINA NG'INDA LLAH L ISLAAM
@mohammedsururu4047
@mohammedsururu4047 3 жыл бұрын
Swadaqta
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
"lakum diinukum waliyadin" Allah anamwambia Muhammad aseme
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 жыл бұрын
Motoni
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 3 жыл бұрын
Lakini mariyamu si mama wa Mungu ni mama wa yesu tu!
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@khanifayusuf8948
@khanifayusuf8948 3 жыл бұрын
Kabisa....mungu Hana mama....hakuzaa wala kuzaliwa
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 жыл бұрын
steve he is funny
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 3 жыл бұрын
Bdo imani yke haiko sawa
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Haiko sawa kwasababu kasema mpk dini ya mabuda anaabudu yeye kwakati wao mabuda wanaabudu moto, ng'ombe, jua
@dorsandollah3384
@dorsandollah3384 3 жыл бұрын
Yesu hachanganywi kabisa na imani na dini zingine
@totodavis1949
@totodavis1949 3 жыл бұрын
Hakika
@rashidubruhani8981
@rashidubruhani8981 3 жыл бұрын
Ata Allah achanganywi wala afananishwi na chochote wala lolote
@JOHN16verse33
@JOHN16verse33 3 жыл бұрын
@@rashidubruhani8981 wakristu wana Mungu wao na Waislamu wana wa kwao... Unatakiwa ujue which one is the most high creator of heaven and earth...
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
Mm nauliza akifa atazikwaje?
@silasboniface7840
@silasboniface7840 3 жыл бұрын
Vip
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Hataree sana 😃😃😃😃
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Kwani Ibrahim alikua na dini gani koz dini zote tatu kuu za duniani zinalink back to him. 1. Christianity ✝️ 2. Islam ☪️ 3. Jewish ✡
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 3 жыл бұрын
Muslim
@erickmislakuba4136
@erickmislakuba4136 3 жыл бұрын
Huyu mtu wa Freemason hana imani ya Mungu
@manuelamahwera6090
@manuelamahwera6090 3 жыл бұрын
don't judge so you don't be judged.
@ngokaomary5123
@ngokaomary5123 3 жыл бұрын
Wachaa kubisha huyu nimfuasi wa Dajjal kicho mmoja ..utawajua kwa matendo yao
@oscarmarwa9141
@oscarmarwa9141 3 жыл бұрын
Amini unachokiamin kitakupa furaha cku zote
@luganoessom1464
@luganoessom1464 3 жыл бұрын
Muongo hizo picha zinazo muonyesha amevaa kanzu alikuwa Dubai kupromote kampuni linalo husika na tour Yani kupeleka watalii Dubai pamoja na hotel ambazo wanashirikiana nazo kuwapatia huduma za bei nafuu wageni, Mimi nimeshuhudia live hii show so msidanganye watu,ukiangalia channel kama Discovery au fine living show zake utaziona .🙂
@isacksaimon4532
@isacksaimon4532 3 жыл бұрын
Sasa kafungaje ndoa wakati ana dini 2
@rorotv4872
@rorotv4872 3 жыл бұрын
Hafai
@nasmaabdul3245
@nasmaabdul3245 3 жыл бұрын
Dini ya haki ni uislamu
@obbymwakasoke9842
@obbymwakasoke9842 3 жыл бұрын
ndivyo ulivyokaririshwa na waarabu sikushangai ona jina lako tu ni la kukopikutoka kwa waarabu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@obbymwakasoke9842 yako unafata wazungu
@nasmaabdul3245
@nasmaabdul3245 3 жыл бұрын
@@obbymwakasoke9842 siku laumu kumbe wa mbeya hahahaa
@assanemussa2212
@assanemussa2212 3 жыл бұрын
Mashallah
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 3 жыл бұрын
Huyo sio muislam,anadini yake anayoiamini
@rangesteven6100
@rangesteven6100 3 жыл бұрын
Abudhab waislam wanavyoishi na kupendana na wakristo
@jonathanfrancis2385
@jonathanfrancis2385 3 жыл бұрын
Hii sio inavyosema kwenye WIKIPEDIA habari hazifanani na personal life yake kwenye wikipedia
@ابوأزهدالليثي
@ابوأزهدالليثي 3 жыл бұрын
Bado anabaki Kichekesho tu , hajajua anachokifanya
@hafidhothman4588
@hafidhothman4588 3 жыл бұрын
Hahahahhaa
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Utajili mzuli sana ila uwe wa halali minlichkua dawa za utajili nliteseka sana
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 жыл бұрын
Pole
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Jama yangu nlipewa mashalt magum sana
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 жыл бұрын
Fanya kazi uzima ndio utajiri wa kidunia
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 3 жыл бұрын
Tupo wengi Steve harvey
@hamudsuad4193
@hamudsuad4193 3 жыл бұрын
katika uislam hakuna ujinga huo
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 3 жыл бұрын
Km ni kweli bas hana anacho fanya ana twanga maji kwenye kinu
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 жыл бұрын
Ni mkristo ni mchungaji
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 жыл бұрын
Iko siku ataiona haki iko wp tumwachie aitafute kwanza
@luganoessom1464
@luganoessom1464 3 жыл бұрын
Waongo bwana hiyo ni tv show alikuwa anatangaza kampuni linalo peleka watalii Dubai kutoka ulaya na marekani.sio kweli wanachosema
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Wanajivuruga hawa
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Yeye ni mkristo izo zingine ni matangazo ya niaxharaaa
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Kwani dini ni biashara?
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
ahmed ujui kumbe
@modysultan6170
@modysultan6170 3 жыл бұрын
hilo nalo neno kwani uislam haumkubali mtu wa hivyo bila shaka atakua upande huo huo wenu
@nicelyrutakyamilwa4388
@nicelyrutakyamilwa4388 3 жыл бұрын
@@modysultan6170 mmmmh kwan walio upande wenu na wanafanya maovu huwaoni.....cpendi ninyi watu mnaudini Sana af mnatuona wakristo hatufai dah
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Duniani tutaona mengi sana
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Hii ni kwa kizungu Mosque of Mary mother of jesus Kweli upo Abudhabi huu mskiti ..na kwa kiarabu ni Masjid Issa um Maryam Kwa kiswahili ni Msikiti wa Issa au yesu mtoto wa Maryam. Hakuna tatizo kwasababu kwa kiislam Issa pia ni mtume alotajwa ktk quraan kati ya wale mitume wakubwa wanne nao ni 1 Dawood 2 Mussa 3 Issa 4 na wa mwisho ni Mhammad.
@sofialinus8241
@sofialinus8241 3 жыл бұрын
Weeeee shindwa na ulegee YESU sio Isa Kwasababu Isa hakusurubiwa wala hakufa na kufufuka Nakama YESU NI Isa ...... Basi qn: Ni kitabu cha uongo kwasababu kimekanusha kusurubiwa,kufa na kufufuka Kama YESU NI Isa, na qn Ni kitabu cha Mungu..... Mimi sofia NIFE kwasababu nitakua nimekufuru.
@imash04tv20
@imash04tv20 3 жыл бұрын
@@sofialinus8241 uliza wàtu wenye elimu ikiwa hujui mama tatizo inavyoonyesha elimu yako au niseme kichwa chako hakina elimu kabisa ya dini jifunze Kwanza usiongee tu
@sofialinus8241
@sofialinus8241 3 жыл бұрын
@@imash04tv20 Ntauliza vp wenye elimu ya dini hali aliye-wapa maneno watunzi wa qn hakujua........ Wala .........🤣🤣🤣🤣🤣
@imash04tv20
@imash04tv20 3 жыл бұрын
@@sofialinus8241 unajua hueleweki unachoongea hem ongea ufahamike ww mwenyeo sijui kama unajifahamu
@sofialinus8241
@sofialinus8241 3 жыл бұрын
@@imash04tv20 🤣🤣🤣🤣🤣 watoto wa mama mdogo wabishi kweli kama Nini.....Ba-mkubwa Ismail shikamoo
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 3 жыл бұрын
Baina ya haki na batil ni batil. Baina ya Uislam na ukafiri ni ukafiri. Baina ya Uislam na ukristo ni ukristo
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Uyo angali mupotevi tu dini ni moja uisilamu sahihi ametzmbikiza uyo yupp naigiza tu comedi
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Dini nyingine zimetoka wapi?
@MohammedAli-up6cu
@MohammedAli-up6cu 3 жыл бұрын
INAONEKANA AJITAHIDI KUITAFUTA HAKI,NA INSHAA ALWAH,IPO SIKU ALWAH ATAMUONGOZA.
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
Nawe inabidi urudi au uanze madrasa sio alwa ni Allah.
@ruuh5149
@ruuh5149 3 жыл бұрын
@@ramazubery2641 umenifanya nimecheka ucku wt huu jmn 😂😂😂😂😂😂😂😂
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
@@ruuh5149 😂😂 kweli unajua nashukuru kuzaliwa muisilamu maana tunauelewa mkubwa sana wenzetu hubeba Imani bila akili ndio utakuta viroja kamaivi😂.
@brokenigga2842
@brokenigga2842 3 жыл бұрын
@@ramazubery2641 hii dharau umeleta hapo daah!
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 жыл бұрын
Sasa kuswali Mara moja ndiyo anaabudu dini mbili...hovyo
@itNeza
@itNeza 3 жыл бұрын
Huyu ni Mimi ( ila tafauti nikuwa Kuna saa Vyote Sivikubali ). 😍
@emmaventuresafaris110
@emmaventuresafaris110 3 жыл бұрын
Huu ni uongoo mkubwa kwa nn mnadanganya watu huu ni uongo hyu jamaa ni mkristo
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 жыл бұрын
Tena ni mchungaji
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 3 жыл бұрын
Anaabudu msikiti lakini huku kwingine anaabudu yesu christu ila sio kanisa ama ukristu
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 3 жыл бұрын
Miyayusho
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Wacha uwongo mtangazaj hyo pcha alipga akiwa Dubai
@kingwilliam1807
@kingwilliam1807 3 жыл бұрын
Mtangazaji hovyo kweli
@robsonwisdom1522
@robsonwisdom1522 3 жыл бұрын
Huwezi kuwatumikia mabwana wawili never
@yohanesfelix7534
@yohanesfelix7534 3 жыл бұрын
Wakristo na waislam Mungu wao ni mmoja.Unavyosema kutumikia mabwana wawili unamanisha nn?
@mahamudaideed6922
@mahamudaideed6922 3 жыл бұрын
@@yohanesfelix7534 ni tofauti mungu wenu ana mtoto na wetu hana, na yesu wenu aliuwawa na wetu hakuwawa na pia mna masanamu na sisi hatuna
@robsonwisdom1522
@robsonwisdom1522 3 жыл бұрын
@@mahamudaideed6922 unaongeo usicho kijua iyo Sanam unaijua ww biblia imeandika huwezi kuwatumikia mabwana wawili sa sijui kipi usichoelew ww
@robsonwisdom1522
@robsonwisdom1522 3 жыл бұрын
@@mahamudaideed6922 Kwan minimesema Kuna mungu wengi au vip mbona unajibu usicho ulizwa ww
@mahamudaideed6922
@mahamudaideed6922 3 жыл бұрын
@@robsonwisdom1522 wewe ndio hujaelewa nachomaanisha Mungu wetu sio mmoja na hizo ndio tofauti ya mungu wetu na wenu pamoja na yesu wetu na wenu tungekuwa na Mungu mmoja hatungekuwa na imani tofauti... Mungu wetu hana mtoto na wenu ana mtoto tutakuwaje sawa
@تاتوجمعه
@تاتوجمعه 3 жыл бұрын
Ipo siku hilo jina kafir mtaenda kujibu kwa mwenyez mungu kuwa ita wenzenu makafir mfyuuu😏😏🙄
@yusrashabani2983
@yusrashabani2983 3 жыл бұрын
Hakuna cha kujibu imeandikwa kwenye vitabu makafiri Kwaiyo waache kusoma kisa kuwafurahisha ili iweje, itabiti mjikaze tu ilo ni mpaka kiama
@تاتوجمعه
@تاتوجمعه 3 жыл бұрын
Watufuraishe kitu gani mfuraishe muumba wako matendo yako😂
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Tata kasomekwanza ndio utowehukumu unachokipinga Allah mwenyewe ndie aliewata jinahilo
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 3 жыл бұрын
Hata wewe ukıacha swala tutakuıta kafırı
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 жыл бұрын
Huyu ni mkristo mnafik mkubwa
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Acha tu, usimhukumu huyu mtu.
@shariffakassim1925
@shariffakassim1925 3 жыл бұрын
Pengine ni muislam kiimani but anajivalisha uso wa kiikristo anaogopa yakamfikabkm yaliyomfika Mike jackson
@mohamedabdalla2548
@mohamedabdalla2548 3 жыл бұрын
Anatia usanii wake mwenye imani
@ustadhsalimonlinetv.1807
@ustadhsalimonlinetv.1807 3 жыл бұрын
Hilo neno na Marry Jisus umetafsiri vibaya hakuna neno mama wa mungu hapo
@jonasmasinde760
@jonasmasinde760 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni rafiki yangu tunaimani sawa
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Hhhhh kumbe? Imani ya njia panda hio
@msangiramadhan1911
@msangiramadhan1911 3 жыл бұрын
Dini ya Haki ni moja tuuu
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 жыл бұрын
Ni uislamu tu
@gaudenciamsrikale956
@gaudenciamsrikale956 3 жыл бұрын
Upendo
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 жыл бұрын
@@davallamchambe5275 swadakta
@jumamohamedi5044
@jumamohamedi5044 3 жыл бұрын
Mwenye haki nimungu tu Mana yeye ndiye anayehukumu mabo ya dini ni Imani kwahiyo imano ya mwenzako usihukumu maana nawewe utahukumiwa kwamaana nawewehujui hatimayako
@shalomkind4575
@shalomkind4575 3 жыл бұрын
Hahaha wenye kuishi na majini wanajijua .jehanam yangoja .TUBU !
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Imani yake haiko sawa kwsababu huwezi kushika vitu viwili kwa pamoja huwezi kujiamini hivo. Hususan mtangazaji kasema mpk dini ya mabudist anaenda kufanya ibada kwakati mabuda wanaabudu moto,jua, ng'ombe sasa ni akili hizo?
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Imani zote mbili ni za ki Abrahamic
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 3 жыл бұрын
Katika uislama hakuna uraia pacha uwiii Steve amua kuwa mnyama au ndege usikae kama popo
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Dini zote zina nafasi yake kwetu bimadam hakuna dini ilio juu ya nyingine
@abdualawi909
@abdualawi909 3 жыл бұрын
Mnafik ni mtu hatar hana iman
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 3 жыл бұрын
Tutafuteni hela manze,utaskia mtu akisema,yote ni ya dunia itapita,mbona hipiti kwako
@kaimuulongo9590
@kaimuulongo9590 3 жыл бұрын
akuna kitu kam iko Ana lolote uyo sema anazingua tu
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
😂😂 apo cuma kimepinda eti anaamini dini mbili sasa vitu viwili hivyo lazima pako moja kweli
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Ndio hapo
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 3 жыл бұрын
Huyo mchambuzi na baadhi yenu mnavahatisha tu ukweli kuhus Hiyo video
@emmaventuresafaris110
@emmaventuresafaris110 3 жыл бұрын
Picha unayo iona alipiga akiwa Dubai na alilipwa kuitanzangaza Dubai acheni kupotosha uma
@habibaali9767
@habibaali9767 3 жыл бұрын
Kabisa
@prettynayally2177
@prettynayally2177 3 жыл бұрын
Dubai inqweza Tagazwa kweli hahaha burj Khalifa inajitosha kuitagaza dubai
@emmaventuresafaris110
@emmaventuresafaris110 3 жыл бұрын
@@prettynayally2177 nitakurudia na link soon
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 жыл бұрын
Huyu mnafiki na kafiri pia
@oxygen9603
@oxygen9603 3 жыл бұрын
toa sabab yenye mashiko tujifunz kutok kwako
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 жыл бұрын
@@oxygen9603 Hawezi kuabudia dini mbili kwa pamoja ashike moja na nyingine achane nayo na vile vile huyu kibaraka wa illuminat
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
@@davallamchambe5275 hyo pcha alipga akiwa Dubai
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 жыл бұрын
@@ShSh-my8cw sawa kupigwa picha kwake dubai sina shida nayo shida ipo hivi kwanini atumikie dini mbili na asichague moja kutokana sijawai kumuona Askofu akitoka kanisani na kwenda msikitini au akitoka msikitini na kwenda kanisani au kiongozi wa kiislamu atoke msikitini alafu aende kanisani labda awe amebadili dini kama vile katoka kwenye uislamu kaenda kwenye ukristo au katoka kwenye ukristo akaenda kwenye uislamu akawa uko ndipo alipo amini ila sio uende msikitini au uende kanisani hiyo aileti maana
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Kwani kafiri ninani??? Tuanzie hapo au ww uliumbw na mungu yupi na uyo kafiri aliumbw na mungu yupi
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
My brother doesn't share his girlfriend! || STEVE HARVEY
6:07
Steve TV Show
Рет қаралды 50 МЛН
IPI DINI YA MAJINI?   //Sheikh Yahya Issa/Sheikh Hassan Kariuki
27:15
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 19 М.
PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI
10:09
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 788 М.
JOL MASTER | MOVIE YA YESU KWA KISUKUMA
12:08
Cheka tu
Рет қаралды 397 М.
Charles Hilary wa Ikulu Zanzibar afunguka Kuhusu kwao na makuzi yake
4:00
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 83 М.
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН