Sugu - Freedom ( Official Music Video )

  Рет қаралды 363,106

Sugu Mr. II

Sugu Mr. II

Күн бұрын

This song"FREEDOM"Has Been Produced By Daxo Challi (MJ RECORDS) From Tanzania And Written By SUGU 'The Video Was Directed By Hanscana from Wanene Films.

Пікірлер: 193
@tulisanga2023
@tulisanga2023 Жыл бұрын
Kweli ww sugu MB zangu Kila siku kwako...
@hardt325
@hardt325 8 жыл бұрын
We don't wanna be rich, we just wanna be successful 🙌🏾
@brandstar3640
@brandstar3640 8 жыл бұрын
Daaa
@sponsor7882
@sponsor7882 8 жыл бұрын
this is what we call good music
@Quisto317
@Quisto317 3 жыл бұрын
All time hiphop.Certified.
@noelmatemba1808
@noelmatemba1808 3 жыл бұрын
Keeping the good music alive
@Gemjvisualmedia
@Gemjvisualmedia 8 жыл бұрын
Nice hit from @DirectorHanscana ipo poa lakini mstari wa We don't wanna be rich,we wanna be successful! imesimama
@mathewphilip1374
@mathewphilip1374 8 жыл бұрын
The LEGEND is giving us what we have been missing kwa kipindi ndefu! Sugu will always stand no matter what, watakuja na kupotea. He got identity & Brand. A City salute!
@kijokombao5345
@kijokombao5345 7 жыл бұрын
sugu bhana amezingua kwenye hii ngoma bhana sio kwa kumfanyia hivyo Mr blue duh Mr blue kaza mwanangu
@barakadaudi3684
@barakadaudi3684 2 жыл бұрын
Napenda mstari ulisema wengine wanataka freedom ya kula ngum siwez kuwalaum
@hezronngulwa9250
@hezronngulwa9250 8 жыл бұрын
video kali sana mheshmiwa umetsha.
@dolumwamuyenu2245
@dolumwamuyenu2245 4 жыл бұрын
Rais wa mbeya big up
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Bora nishuke chini, kwa mama ntilie anijazie nifanye kweli eeebwana😂❤
@emmanueljudas4522
@emmanueljudas4522 4 жыл бұрын
Wapo wanaotaka freedom yakula ndumu na siwezi kuwalaumu
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 5 ай бұрын
Freedom
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 ай бұрын
Bonge la mzinga kitonga na mbunge hakuuawa
@opodoppo5924
@opodoppo5924 5 жыл бұрын
Brother achana na siasa endelea zako na muzic kama wamshauri kama mm 2019 gonga like kidogo
@Iam_caripol
@Iam_caripol 4 жыл бұрын
sAWA BUT UMRI UNAMRUHUSU SIASA, MZIKI PIA VIJANA CHIPUKIZI WAJIJENGE
@colindavies6268
@colindavies6268 4 жыл бұрын
Sugu...i want a Colabo na YUU Big Legend Broo
@bahatisollo9641
@bahatisollo9641 5 жыл бұрын
Wimbo huu naupenda sana
@divtv3226
@divtv3226 3 жыл бұрын
Freedom Nakubali mbunge wangu daima... Kama inamkubali sugu gusa like!
@pascalnjovu5174
@pascalnjovu5174 8 жыл бұрын
Kokaja kununuuuuuuu the green city
@zicomoses7974
@zicomoses7974 8 жыл бұрын
well done Mr. MP
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 5 жыл бұрын
Big up ..wapeleke peleke mjengoni kk.. heard you make me think like what if Pac was a president - ????!!
@paulsantana363
@paulsantana363 8 жыл бұрын
mh mheshimiwa sugu kweli umeishiwa mpaka umemuibia Mr bluu ngoma yake, sema namshauli Mr bluu akusamehe bure kwasababu umeishiwa, ila umekosea kwa sababu hukumtaarifu bluu.
@kaijagefrank3892
@kaijagefrank3892 7 жыл бұрын
Paul Santana tatizo umaskini unakusumbua
@abrahammasalla
@abrahammasalla 8 жыл бұрын
Big up MP border2border.
@oscarjoseph3909
@oscarjoseph3909 8 жыл бұрын
Mbeya city
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Aje hapa khaligraf aone jinsi bongo hip hop artists walivyo matajili
@fazsb
@fazsb 8 жыл бұрын
amazing sana
@davidlearn3301
@davidlearn3301 8 жыл бұрын
@Sugu, All the way from Cleveland, Ohio 🔥🙌 Tulisepa kitambo kwenda Nga'mbo...tunajimix kijanja na tukirudi tunazidi kua wajanja!! " Im paying the cost i'll be the next boss"
@coms2640
@coms2640 8 жыл бұрын
+David learn I am in homie, keep it up
@ubaludomgulunde5827
@ubaludomgulunde5827 3 жыл бұрын
Hustle homie!
@jayckizle
@jayckizle 5 жыл бұрын
Who's watching this in 2019. If you don't know me, just don't talk about me.
@ignaskaruhaweAquaculturist
@ignaskaruhaweAquaculturist 8 жыл бұрын
Mr II ukubwa dawa
@dachngoka3289
@dachngoka3289 8 жыл бұрын
bluee acha kuzingua kama ulishindwa lipia beet broo kachomoka nalo kuwa mpolee
@richardcastro2386
@richardcastro2386 8 жыл бұрын
mama hemmed mwanao nimetoka mbali najenga mpka hotel? Best line
@eliudkumwenda6122
@eliudkumwenda6122 4 жыл бұрын
Yes boss
@mharamimohamed8887
@mharamimohamed8887 8 жыл бұрын
haya brother tumekuelewa ila malizana na mdogo wako bhana ana lalama hauja mtendea haki.
@cosmaskamwela4921
@cosmaskamwela4921 3 жыл бұрын
Mbeya moja
@yafangunda4524
@yafangunda4524 5 жыл бұрын
Kama umemwona Roma gonga like hapa
@soipei3359
@soipei3359 4 жыл бұрын
Yeah Up
@jamalhussein3463
@jamalhussein3463 8 жыл бұрын
Salute...from keko
@TheJosephsbm
@TheJosephsbm 8 жыл бұрын
Big song
@thedextazlab
@thedextazlab 8 жыл бұрын
Nice video. Nice song. But I like the original better, Blue's version. 😈
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 5 жыл бұрын
Oyoooooo
@PITA1115
@PITA1115 8 жыл бұрын
We dnt wnna b rich,we wnn b succsd coz we pay de coxt to be de Boss
@shevashenco3451
@shevashenco3451 4 жыл бұрын
Hm sweet hm
@stangebo177
@stangebo177 8 жыл бұрын
Kama kweli umeiiba nyimbo umezingua
@JohnChale-rg8ic
@JohnChale-rg8ic Жыл бұрын
Huyo alioibiwa mbona haikusikika kama hii!? HUYU kiboko kitambo😁😁
@jamesmaganga1055
@jamesmaganga1055 4 жыл бұрын
MVP
@coms2640
@coms2640 8 жыл бұрын
We need good music like this, goes on with beat like crazy, I feel the hit. Suguuuu #Musicnotarguments
@shanisshow1864
@shanisshow1864 8 жыл бұрын
watu wanachonga sana blue kaibiwa kaibiwa idea ya nani? siyastudio acheni ushabiki wainafki sunngu neda baba -mara blue kafuni wapi kafunika ye mwenyewe kapewa idea alafu anadaii wimbo wake
@geraldswai5492
@geraldswai5492 3 жыл бұрын
2021 year
@malijanidaddy3048
@malijanidaddy3048 8 жыл бұрын
muombe msamaha mr blue utapoteza mashabiki
@herikaniugu
@herikaniugu 8 жыл бұрын
Acha muziki
@charlesphiloteus7660
@charlesphiloteus7660 8 жыл бұрын
ngoma kali
@clementmaingu8873
@clementmaingu8873 8 жыл бұрын
Blue's version is dope!!!!!!mh.umekaza ila blue n kiboko
@lusajo
@lusajo 8 жыл бұрын
Real hustlers...walikua wajanja na bado ni wajanja... Congrats Mr. II aka SUGU for nice song and video...keep inspiring us and the youth! Lesson: u can live ur dream, just do not give up, keep on strugglin'..
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 8 жыл бұрын
hahaha.. .whay kind inspiration are u talking about..?? still and robing someone's song??? is inspiration??? come on.. I hope #BASATA will have to deal with this....!!!
@kagusaandre
@kagusaandre 8 жыл бұрын
+Ramazani Mulongeca PRODUCER AMBAYE NDO MMILIKI HALALI WA BEAT ACCORDING TO COPYRIGHT LAW ALIIGAWA .... NA WOTE HAKULIPIA .... YUKO SAHIHI KUFANYA ALICHOKIFANYA ..... SEMA WASANII WAWE SMART KABLA YA KUROPOKA
@lusajo
@lusajo 8 жыл бұрын
+Ramazani Mulongeca inspiration kwa kupambana kutoka enzi za kuitwa mhuni na mpaka kuwa mheshimiwa bungeni, kuhusu kuiba ngoma ya Mr. Blue jamaa pamoja na studio wote wamezingua but hii haiharibu maana ya kuwa jamaa ni hustler
@lusajo
@lusajo 8 жыл бұрын
+Kagusa Andre unapompa kitu maana yake kuna haki umempa tayari kulingana na mlivyokubaliana, kumpa msanii biti bure haina maana unaweza fanya vyovyote unavyotaka..unless ulishaga mwambia kuwa utabaki na exclussive right na akakubali (kitu ambacho pia hakiwezekani)...kimsingi wasanii na studio pia zijifunze kufanya kazi zao kwa maandishi (kisheria) kuepuka mitafaruku kama hii
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 8 жыл бұрын
Lusajo Mwakasege APO NIMEKUELEWA ZAIDI KAKA.. #ONE_LOVE
@ElibarikiKilewo
@ElibarikiKilewo 8 жыл бұрын
Najenga Mpaka Hotel.. . Hahaa.. . Na Siwezi Kuwalaumu.. . ‪#‎Sugu‬
@michaelmallya5622
@michaelmallya5622 8 жыл бұрын
"Good artists copy, Great artists steal", Well done Sugu #Legend You're the Best!! #SuperHit Malizana na Mr. Blue Umeitendea haki hii nyimbo.
@dabasoprimaryschool3742
@dabasoprimaryschool3742 5 жыл бұрын
BLUE HANA CHAKE HAPA HUYU DEM KAVESHA CHORUS KAMALIZA BEAT WOTE WALIPEWA BURE TATIZO NINI?
@tifaaabduli6433
@tifaaabduli6433 4 жыл бұрын
Michael Mallya haha
@Ivannovann
@Ivannovann 8 жыл бұрын
Wow am speechless this is epic freedom u nailed it 100% en 10
@grationandrew7411
@grationandrew7411 8 жыл бұрын
asante waheshimiwa kwa nyimbo nzuri, Mungu awabariki
@ukweli255
@ukweli255 Ай бұрын
One Love Sugu..Get well Soon and stay strong brother 20 AUGUST 2024
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 8 жыл бұрын
Ngoma kali, demu kasimama, but solve issue ya hii ngoma na blue
@edmundmuhumba9585
@edmundmuhumba9585 8 жыл бұрын
Not fair brother, Bayser ameumia sana em malizana nae sio fresh kabisa we mtu mkubwa now...
@EmmanuelPonera-ie6kj
@EmmanuelPonera-ie6kj Жыл бұрын
Child Benz
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 8 жыл бұрын
Tabia ni kama Ngozi alisema Mrisho Mpoto,kumbe wizi bado upo ulimuibia Jarrafai MKe wake Shyrose leo umemuibia Mr Blue nyimbo,wanaMbeya kuweni macho na nyie.
@louisboukere2323
@louisboukere2323 3 жыл бұрын
Mentor 🙌🏾🔥🔥
@peterphilips270
@peterphilips270 8 жыл бұрын
sugu ni sugu hao wanafiki wakae kimya hapa ni freedom bonge la pini
@albertchuwa9055
@albertchuwa9055 8 жыл бұрын
byser umemzingua kwann,umetoa verses humu
@ahmeddola4648
@ahmeddola4648 8 жыл бұрын
The Legend is BACK na Master J kwenye machine!
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 8 жыл бұрын
nakwambia bana ata #Professor_Jay duuh ngoma kali
@shavelikindamba4539
@shavelikindamba4539 8 жыл бұрын
Unatoa lini ngoma Balozi????flow zako hatari bado tunazihitaji BongoFlavani
@amanam2735
@amanam2735 8 жыл бұрын
+Dola Ahmed Tunakusubiri Balozi!!!!
@kalinjonjodaxclusive8636
@kalinjonjodaxclusive8636 8 жыл бұрын
+Dola Ahmed Ndugu hata wewe !!!!! mchizi kazingua aliyosema blue yuko sawa hata kama beat hakuilipia ..... c kila tunachomiliki tumenunua ukishatoa na kumpa mtu c chako tena
@dullymmhIloveitdully
@dullymmhIloveitdully 8 жыл бұрын
We can wait you Ahmed
@georgecharles5988
@georgecharles5988 8 жыл бұрын
Nenda kajenge Hotel tu braza mziki unahitaji Talent!!!! :)
@saimmabula3442
@saimmabula3442 8 жыл бұрын
Video kali bhna SUGU umehustle sana had kufika hapo leo
@hurumantasamaye7296
@hurumantasamaye7296 5 жыл бұрын
freedom
@luisjackmosses1122
@luisjackmosses1122 8 жыл бұрын
Big big up brother for real"you paid the cost to be da boss" we don't want to be reach,we just want to be successful.... #ArushaNative
@taratara5350
@taratara5350 8 жыл бұрын
+Luisjack Mosses kaka
@danfordj7264
@danfordj7264 8 жыл бұрын
Byser kalalamika mlalanikiwa hajajibu anyone hapa anaweza kuwa tatizo. By the way namkubali sugu namkubali byser na niliikubali audio. Natumai watasolve itatoka video part 2 .iko vizuri Big up bro
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 3 жыл бұрын
Kuna ka snitch ktoka ifakara nakaona kwa video sijui hata kama kanajua nn maana ya hip hop
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 6 жыл бұрын
ngoma kali bro hongera
@marcochali2482
@marcochali2482 8 жыл бұрын
GREAT
@luncage2608
@luncage2608 8 жыл бұрын
kumbe na ww mh ni mwizi
@4bbless516
@4bbless516 5 жыл бұрын
Bruh yo fk up ths track was Mr Blue song man why yo fk like that No good sound ! Yo have to say Sorry don’t be shy Mwabiye tu ulikoseya Mr Blue 4life
@mzeeadam9175
@mzeeadam9175 3 жыл бұрын
Love u bro! You the real definition of hustler!
@Lwenge55
@Lwenge55 8 жыл бұрын
Angemuacha Byser ingekuwa hit song....lakini imepoteza ladha kwa umafia alioufanya. Get down and resolve it bro !!!!!!!
@josephmlelwa3175
@josephmlelwa3175 3 жыл бұрын
Napenda kuwa mtu flan in game am joseph mlelwa ,clinician napenda kufanya kitu.can u help nimekuja u'r fun since deiwaka
@josephmlelwa3175
@josephmlelwa3175 3 жыл бұрын
Nikiwahi kukuona FM studio
@emmanuelasheri7037
@emmanuelasheri7037 8 жыл бұрын
Kitu ka io,
@zerochanneltanzania3797
@zerochanneltanzania3797 4 жыл бұрын
Namkubali sana sugu.
@marcochali2482
@marcochali2482 8 жыл бұрын
GREAT SONG
@media-rs6lo
@media-rs6lo 8 жыл бұрын
GREEEN CITY BOY IN DA HOUSE
@ubaludomgulunde5827
@ubaludomgulunde5827 3 жыл бұрын
Mbeya
@shalisanga6892
@shalisanga6892 8 жыл бұрын
mwenyewe najikubal najenga mpaka hotel hahaha
@theemergencyoftownbyluwi1873
@theemergencyoftownbyluwi1873 4 жыл бұрын
Hatari Sana hii kitu tulijikata kitaa kwenda nga'mbo kwenda kusaka bingo kwani bongo Mambo hayakuwa Mambo tulikomaa kiwanja tukajimix kijanja hatukuvuta cocaine za ya ganja
@hezronmwampulo4338
@hezronmwampulo4338 8 жыл бұрын
Ngoma kali hatari
@gitu4me
@gitu4me 8 жыл бұрын
#MJRECORD ACHENI NJAA
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 8 жыл бұрын
hahahahahaha ahsanteh
@taratara5350
@taratara5350 8 жыл бұрын
click www.d-mike.com kupata hii story ya kutolewa kwa verse ya Byser
@mgenione9696
@mgenione9696 8 жыл бұрын
hatari sana Ngoma ya maana
@stephanocharles9730
@stephanocharles9730 8 жыл бұрын
ipo gud sana
@hemedigharibu3906
@hemedigharibu3906 8 жыл бұрын
Ngoma ilikuwa bomba kinoumahhh ila dah umeizolotesha@mheshimiwa BYSER. @@ simba kamiss hapo........
@mrramadhanimsangi7073
@mrramadhanimsangi7073 6 жыл бұрын
muheshimiwa upload na album zote ulizowah kutoa upate views na pia ibak kumbukumbu maana hardcopy siku hiz hazipatikan
@kimutattoo4067
@kimutattoo4067 8 жыл бұрын
One Love MbunGe Show them...
@makangangereza3517
@makangangereza3517 8 жыл бұрын
nice
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 жыл бұрын
Bonge la ngoma
@noelmatemba1808
@noelmatemba1808 8 жыл бұрын
Salute Mhe. , inspirational...
@noelmgeni1860
@noelmgeni1860 8 жыл бұрын
SAAAFI sana Suguuuu
@heaven.love.foundation
@heaven.love.foundation 8 жыл бұрын
tatizo byser alifunika zaid
@abdallahhamisi45
@abdallahhamisi45 8 жыл бұрын
Bonge la ngoma
@wilhelmibaganisa5493
@wilhelmibaganisa5493 3 жыл бұрын
21 may 2021#Sugu legend rais wa mbeya👏👏👏🙏✌️✌️✌️🔥
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 3 жыл бұрын
MSHua nimekubaliiɪɪɪ
@wilhelmibaganisa5857
@wilhelmibaganisa5857 3 жыл бұрын
Nani kamwona #Lijualikali 😆😆😆
Sugu - Hayakuwa Mapenzi (Official Music Audio)
4:42
Sugu
Рет қаралды 31 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 57 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 468 М.
Ngoma itambae-chid benz  dir : by hassan Kundamayi
5:02
Hassan Kundamayi bin Tambwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
Sugu feat Bilnass - Taita (Official Music Video)
3:07
Sugu
Рет қаралды 227 М.
Harmonize Ft Diamond Platnumz - BADO (Official Music Video)
4:10
Harmonize
Рет қаралды 41 МЛН
Mr Blue Feat Becka | Pesa | Official Video
5:13
Mziiki
Рет қаралды 1,1 МЛН
Roma - Zimbabwe [Official Music VIdeo]
4:45
VIVAROMA
Рет қаралды 4,3 МЛН
Mr2 sugu_wansniita sugu
4:18
Ntomoka Mhanuka
Рет қаралды 125 М.
Sugu - Freedom  Official (Music Video)
3:49
Sugu
Рет қаралды 24 М.
Mr. II aka Sugu Feat Stara
3:57
King Kinjikitile
Рет қаралды 140 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН