Huyu jamaa aliongea point sana na sasa hii speech yake leo ndio inareflect ukweli Big up sugu
@bensonfrank6437 жыл бұрын
MH. SUGU KILA AKIONGEA ANAONGEA POINT 💪✊ MUNGU AKUWEKE SANA BRO.
@abdallahdataguy7 жыл бұрын
umeona eh. Yaani kihuni kihuni flani lakini full point mwanzo mwisho
@denisexpchannel36847 жыл бұрын
benson frank √√√√
@geraldstanslaus647110 ай бұрын
2024 and still the best speech ever
@lastpage4885 жыл бұрын
"Kutofautiana mawazo na mitazamo ni utamaduni wa watu wanaofikiri na walioelimika" Prof. Joseph Mbele
@antarysuleiman53387 жыл бұрын
Kusoma san sio kwamba utakua muelewa sana 😂 kuna walio jielewa tangu tumboni yani wakishushwa duniani utapenda ......SUGU BABA UPO VIZURI SANA
@kitangacharles58187 жыл бұрын
waeleweshe maana wanajua c hatujui
@jumacostantine80037 жыл бұрын
nimekuelewa Sana sugu Asante kwa kutuwakilisha
@essaumtawa23446 жыл бұрын
Juma Costantine
@ramambongo40697 жыл бұрын
Kamanda sugu uko vizuri wapasue mimacho imewatoka haamini kama ni ww sugu wachane kaka wanamuogopa sana
@emmanuelsilungu4467 жыл бұрын
mbeya city president much respect president
@nicodemocharles55666 жыл бұрын
respect sugu
@mwambirekwamboka95257 жыл бұрын
Big up Sugu keep on moving with genuine reasons n fact #BeBlessedEver
@scarletscarlet53637 жыл бұрын
Nimekukubali mbunge wangu I sarut you
@mfedeful7 жыл бұрын
Salehe Yassin ni salute sio sarut...
@kassimrajabu78054 жыл бұрын
@@mfedeful hahahahahaha
@vicentigiboregibore10076 жыл бұрын
chadema wooote nivichwaaa kwanza niwasomi napoint wanazjua kwahiyo tunajivunia hilo
@samsonkusupa68097 жыл бұрын
kweli sugu umeongea
@festomeshack85817 жыл бұрын
Massage delivered mh. Sugu
@jojigeorige10567 жыл бұрын
Hahahaha daah aisee Sugu kanifurahisha sana, nothing serious lakini ujumbe umefika. Mwalimu mzuri ni yule anayeburudisha darasa akili haichoki uelewa unakua juu word by word ni rahisi kukumbuka huwezi sahau.Big up Sugu
@ilumbukibi41697 жыл бұрын
Dah!We haumo bwana!
@morathraphael62877 жыл бұрын
Sugu hivohivo wakuelewa atakuelewa mbona musukuma walasaba na anaeleweka
Mipango bila taratibu ni VURUGU ucseme co mipango! Nafurahiaga uongeaj wako tu Mh.
@rosemarysempombe85597 жыл бұрын
Akili za huyu mheshimiwa anazijua mwenyewe
@danielmatya373 Жыл бұрын
Daaah Sugu z still Sugu jamaa kanyooka kama chuma
@babytee49017 жыл бұрын
nakuelewaga sana mheshimiwa sugu.......
@amonsanga62097 жыл бұрын
dah ebwana nimeielewa sana hii speech
@georgembilinyi28244 жыл бұрын
Mbeya city......up
@nurunswebe42034 жыл бұрын
sugu big up bro your the best member of parliament respect to you up coming president of tanzania
@mbarakaathumani30352 жыл бұрын
Speach nzuri
@rasnchimbi7 жыл бұрын
Kweli kabisa yote yanayofunguliwa Leo yalianzishwa Na kikwete
@edsonmosha74187 жыл бұрын
Big up broo
@petermwanyondo64597 жыл бұрын
umekomaa vizuri mkuu
@furahajonas8397 жыл бұрын
kweli sugu sasa umebadilika unachangia fresh
@victormaimu37484 жыл бұрын
2020 bado nacheki
@Amon-gj8tx7 күн бұрын
This speech
@mselematiku23187 жыл бұрын
ahaaaa ahaaa anamaliza miti yetu hao mpe makavu bwana sugu
@JohnsonBagambi8 ай бұрын
Binafs nawaomba selikali yangu jimbo la mbeya mjini ligawanywe maana sugu ni muhim sana kurd bungeni
@MrHouse-d8b Жыл бұрын
Sugu fundi sana jamaa
@mselematiku23187 жыл бұрын
safi sana sugu una akili sana
@richardmanyelezi58267 жыл бұрын
nimekubali sungu
@danieljoseph63097 жыл бұрын
This is the way to send message across 😂😂😂😂😂😂😂
@mtanzaniamzalendo70017 жыл бұрын
daneil joseph yeah
@vincentmokenye44654 жыл бұрын
Barable of seed1🤣🤣
@bungapaul52214 жыл бұрын
Respect bro
@henrygwalema85087 жыл бұрын
Hamjibu kwa hoja mnasubiri tukoke nje mtufanyie pyuu pyuu Pyuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂
@clintonmwaisaka-zd7dh Жыл бұрын
tumekumis sugu bungeni
@brownmshan26297 жыл бұрын
Huyo ndio sugu moto chini!!
@mosamossile91134 жыл бұрын
Mashindwa kwenda Butihama kwa baba wa Taifa, Mtawezaje kwenda Chato
@adsonjoseph89333 жыл бұрын
Mr ll 2 proud
@nasserkomba62317 жыл бұрын
True say Mr Sugu.
@fadhilimgohamwelu18917 жыл бұрын
Duh kweli wapinzani wa tanzania ni chenga leo unamsifu kikwete ikiwa ndiyo mlikuwa mnamtukana hovyo hovyo azarani
@siwemaalphoncy24524 жыл бұрын
Salute sugu
@joycejohn77547 жыл бұрын
Ujumbe umefika
@paulmalula87147 жыл бұрын
hawa ndo wabunge tunaowahitaji katika bunge letu
@fredrickmsomba41237 жыл бұрын
APPRICIATE NYINGI KWAKO SUGU
@husseinseif98567 жыл бұрын
Viva sugu
@AlexHekela Жыл бұрын
Sungu.arudi Mbungen
@lucasabunuas46627 жыл бұрын
Sugu ndio mbunge wetu anaekuja kupambana nae kwenye jimbo lake mby city atapunguza wingi wa kura zake tu but ushindi uko palepale.
@notabenemwakamala75906 жыл бұрын
Mh Sugu huwa unazungumza mazuri daima jitihada ya kuzuia radi naziona we jipange kwa yote
@seifmohamedseif94673 жыл бұрын
We miss this 😂😂
@rutashubanyuma45467 жыл бұрын
Ni dont shoot me sio shut jamani global vp??
@hassanmakweto40125 жыл бұрын
ET unamaliza miti, unaleta jangwa # sugu we noma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@samsonkusupa68097 жыл бұрын
kweli sugu umeongea maana kula MTU siku hz ni kambale kila SKU tunasikia mapya
@salmaibrahim95855 жыл бұрын
BP sana mh.sugu tuchape kazi
@abhambomihambo67546 жыл бұрын
Safi sana MP Sugu!
@marychallo8435 жыл бұрын
Ahaha karatas nying unaleta jangwa😀😀
@e-mzambuli66473 жыл бұрын
Big up
@lawrencebundala57697 жыл бұрын
Eti anamaliza miti tu, Dah! Ama kweli kazi ipo.
@shabbymakapane32127 жыл бұрын
Huyu jamaa Dah
@elishamwaya40747 жыл бұрын
Hahahahaha! mbaazi huk zinaitwa haujaulamba maana hazina bei kabisa yaani ukiomba unapewa bure tu,
@musocar4087 жыл бұрын
ELISHA MWAYA mmmmhhhh
@malcomg10042 жыл бұрын
😂😂😂😂,WAZIRI WA ELIMU KARATASI NYIINGI,SUGUUU
@mwakinhosantos63074 жыл бұрын
Maelezo mengii.....anamaliza miti tu huyu analeta jangwa
@athumaniomary12456 жыл бұрын
sugu we need you 2020 to be our president
@godblesskyangala37857 жыл бұрын
Smart politician
@onesmolwambano93497 жыл бұрын
misifaaaaa
@aronadam50932 жыл бұрын
Yote yaliyo kuwa yanaongewa na wapinzani yana timia sasa
@wilbertcharles91297 жыл бұрын
nakuonaa
@roggersmwangumbe53827 жыл бұрын
Mi naomba mpunguze bei ya wali maharage, iwe sahani mbili buku!!
@mbogomagembe63187 жыл бұрын
huyu mbuge bana kweli msanii anachomekeza ukweli
@ernestomaphie14755 жыл бұрын
Suguuuu
@ابنعثمن2 жыл бұрын
"mnakosa muda wa kutembelea Butiama,mtaenda Chato"? Quoted.
@willsonfelician38857 жыл бұрын
Wanakuita Suguuuuuuuuuuu..... hatari mzèe
@evanslugoya12327 жыл бұрын
mjinga mjinga hawez kumuelewa sugu timamu pekee ndoatamuelewa
@zaudatmakula34547 жыл бұрын
Evans Lugoya kabisaaaa
@subiradalabu66165 жыл бұрын
Evans Lugoya ..umeonaeeee..
@omalisaidi32455 жыл бұрын
nikweli kabisa
@rajabummamba80195 жыл бұрын
Hahahaha.nipenda
@christophersypriano78247 жыл бұрын
big up sugu
@flaviankiria4357 жыл бұрын
Waambie babaaa
@evodmagidanga77307 жыл бұрын
Duuuuuh jakaya kawa wa muhimu kwa wapizani hakika mtu huwezi jua umuhimu wake mpaka atoke
@twevebrown22067 жыл бұрын
EVOD MAGIDANGA . Rudi shule wewe elimu bure hatakuandika shida
@hudhud20227 жыл бұрын
EVOD MAGIDANGA Japo ndie alipeleka majeshi kupindua matokeo ya uchaguzi Zanzibar lakini alifanya mazuri yake
@hudhud20227 жыл бұрын
Kweli kabisa Mheshimiwa Sugu uko mkwe kabisa
@seadkolasnic68947 жыл бұрын
alikubali kukosolewa ndio maana kasema mwanadiplomasia mzuri
@kijangapeter51355 жыл бұрын
GC president, , kura yangu haikupotea aisee 🙌🙌
@paschalboniface83194 жыл бұрын
Uyu jamaa family yake wanajifunia kuwa na mtu kama uyu yani nikichwa sana mungu amlinde sana
@anthonymgogo26517 жыл бұрын
Ukweli mtupu!
@HelakridiWella7 ай бұрын
2024🎉🎉🎉🎉🎉
@pascarmwatosya58555 жыл бұрын
Hakika kula yanguu najivunia haikupotea bule
@vincentmokenye44654 жыл бұрын
Fact fact fact sugu
@mcjogopah85134 жыл бұрын
Wananita sugu, mbeya niyako mzee baba
@pauloalufayo61457 жыл бұрын
Kweli tundu lisu wapo wengi ila tundu lisu yuko bungeni haleluya upinzani roho wa bwana yu juu yenu atawalinda kweli
@harunimfaume62805 жыл бұрын
yalio funguliwa ni ya kikwete na kama kikwete alivyo kua anafungua miladi ya mkapa uwanja na vingine
@mbumbulicomedians32867 жыл бұрын
point
@sidemtata22127 жыл бұрын
Salut :#Sugu
@mossesmlokozi34257 жыл бұрын
uko poa
@hamisbennjaphet4007 жыл бұрын
Waambie hao Mr ll
@isackmwaluko75647 жыл бұрын
kwa nini watanzania ni wepesi wa kuunga mkono wanasiasa wa mlengo wa kushoto hata kama ataongea visivyo..!!!!? wanunuzi wa kunde na mbaazi walikuwa brazil vs canada na kwasasa wanalima wenyewe tena kuzidi tz..hawanunui tena..sasa..anayepandisha bei ni nani!!!!abilia wote wakinunua magari ya kutembelea mabasi yanakosa wateja..mtaailaum serikali.??wabongo bwana!!!mtamuelewa tu jpm.
@abisolomonuyokachaguliwaac40484 жыл бұрын
Rais wetu wa mbeya waambie mzee baba
@elishaworkout61166 жыл бұрын
hahhahaahhhahaaahaaajjjjjaaajj eti mnaleta jangwaaa,, hahahahaha sugu Nouma