Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Naomba Hadith inayosema kuswali TAHIYYATUL Masjid harakaharaka please kwa maana ya kuongeza ilmu. Nikiwa na share hii elimu nitumie kui quote Hadith. Shukran wa Jazaakallahu khayra 🤲🏽
@africa74794 жыл бұрын
Saaalaaaalaaa,napenda sna unavyosenga hivyo
@abrarabgao6 жыл бұрын
MASHAALLAH TABARAKALLAH JAZAKALLAHU KHAIR SHEIKH
@aishaaisha70326 жыл бұрын
Masha Allah tabarak Allah shukran kwa ujumbe
@user-hb8vi9fx6g4 жыл бұрын
SHUKRAN
@faizkonde Жыл бұрын
Ibadia
@Fetty-r4o4 жыл бұрын
maa shaa Allah... sasa sheikh umesema swala ya Eid ina tahiyatul masjid, je ya Ijumaa haina tahiyah ina kabliya tu au ina zote mbili? kwa hivyo anaeingia akiswali ni ipi mojapo?
@abdijuma24356 жыл бұрын
malim swali :nataka kupeleka zakatul fitir kwa mayati ilaaa kikawaida tumetofautiana ktk hili wao hufuata saudia n wapo Tz n mimi hufuata nchini nilipo jee inafaa kutowa zakatul fitr kwa hapa
@mustymasoud52146 жыл бұрын
Maalim abdi..wew upo tz au saudi.. Na lengo la zakatul fitri unataka iwafikie watu walokueko TZ?. au sjakuelw
@abdijuma24356 жыл бұрын
malim mm nipo jirani tu n saudiaa .ilaaa nataka kupeleka zakatul fitr nyumban Tz yan jiran zng n nilio wakusudia hasaa kuwapa waoo hufuata saudia n sio Tz
@mustymasoud52146 жыл бұрын
Unaweza kutuma pesa na ukatoa ulichokusudia kam ni chakula bas kinanunuliw alaf watu weny stahiki bas watapatiw..ila laa km unawez kuwapa kw maeneo uliokuepo pia ni vziur.al imradi lengo litimie na kwa walengwa.ila Ni vzur ukaplka nyumban weny mahitaji ni weng san inshaa allah Allah akupe nguvu kw hilo. mie npo Muscat.